name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Makonda: Mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amewashukuru wote waliomtumia salamu za pole baada ya kushindwa katika kura za maoni za kuwania kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge katika Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kupitia ukurasa wake wa...
null
Seebait na Eskimi waungana kuleta suluhisho za hadhi ya kimataifa kwa wafanyabiashara wa Tanzania DAR ES SALAAM, JUNI 14, 2023 – Seebait, mtandao mkubwa wa matangazo ya biashara ya kidijitali nchini Tanzania, imeungana na Eskimi, kampuni ya matangazo inayofanya kazi na chapa mbalimbali za kimataifa kuunda kampeni za ma...
null
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuzungumza pindi wakuu wa Mikoa na wilaya pamoja na viongozi wengine wanaposhindwa kufanya kazi yao vizuri. Rais ameyazungumza hayo alipokuwa Lamadi Mkoani Simiyu akielekea Mkoani Mara kwenye maadhimisho ya miaka 45 tangu kuzaliwa...
null
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali John Masunga amesema kuwa tayari jeshi hilo limempokea kijana aliyeokoa abiria wa ajali ya ndege ya Precision Air, Majaliwa Jackson Samweli ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan. Amesema Majaliwa anatarajia kuanza mafunzo ya Zimamoto na Uokoaji pamoja na ya U...
null
Mara nyingi ajali za moto zinapotokea watu hupoteza maisha au kupata majeraha mbalimbali kutokana na kutofahamu mambo ya kufanya kujiokoa pindi jengo walilomo linapoungua moto. Swahili Times kupitia Smart Knowledge tumekuandalia mambo sita ambayo unapaswa kufanya ili kujiokoa kwenye ajali za moto. Usisahau kusambaza uj...
null
Mwanaume aliyejulikana kwa jina Kisumo Emmanuel (38) mkazi wa Sayaka wilayani Magu mkoani Mwanza amemuua mtoto wake Lukonya Kisumo (3) kwa kumnyonga shingo kwa madai kuwa mtoto huyo si wake hivyo amezaliwa nje ya ndoa. Akithibitisha tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema baada ya kutek...
null
Serikali ya Kenya imesema kuwa haijafunga mpaka wake kwa sababu ya Tanzania bali imefunga kwa ajili ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona. Pia, nchi hiyo ya Afrika Mashariki imekanusha taarifa zilizoripotiwa na vyombo vya habari kuwa imewazui madereva wote wa Tanzania wanaoendesha malori ya mizigo kuingia nchini...
null
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku. Magonjwa haya yamekuwa yakienezwa zaidi kupitia kujamiiana. Hizi ni dalili za magonjwa ya ngono kwa wanaume; •Maumivu wakati wa kukojoa na tendo la ndoa •Malengelege na vidonda sehemu za siri ...
null
Ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwanafunzi Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12 kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12. Mahakam...
null
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga imewahukumu Elikana Pamasi (19) na Saguda Hushi (42) wote wakazi wa Kijiji cha Kayenze Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya mauaji iliyokuwa ikiwakabili. Washtakiwa hao walitenda kosa hilo Machi 9, 2020 katika Kijiji cha Kap...
null
Jeshi la Polisi nchini limesema Uongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa soko la Kariakoo umeeleza kuwa tangazo linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kufunga biashara kuanzia Juni 24, 2024 hadi changamoto za wafanyabiashara zitakapotatuliwa halijatoka kwao na hata uongozi wao ngazi ya Taifa hawajathibitisha ta...
null
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ametoa wito kwa viongozi wa mataifa mbalimbali duniani kukubali kumweka Mungu mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Korona badala ya kutegemea nguvu za binadamu pekee. Amesema upendo na miujiza ya Mungu kwa Tanzania inajidhihirisha katika kipindi hiki ambapo dunia inapita katika wak...
null
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, amesema Tamasha la Kizimkazi ni fursa muhimu kwa Mkoa wa Kusini kuongeza vivutio vya utalii na kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika mkoa huo. Ameyasema hayo leo katika Ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, lililofanyika Kizimkazi Dimbani, Wilaya ya...
null
Serikali ya Uingereza imesema itawashawishi zaidi wafanyabiashara wa Uingereza kuwekeza katika sekta ya bishara na utalii nchini Tanzania baada ya kujua vipaumbele vya Serikali ya Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa na Mjumbe Maalumu wa Waziri Mkuu wa Uingereza (Boris Johnson) katika masuala ya biashara kati ya Uingereza na...
null
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imewahukumu ndugu wawili Mussa Shija, (33) kwenda jela miaka 20, na Hollo Shija (35) kwenda jela miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kuishi pamoja kama mke na mume. Hukumu hiyo imetolewa August 14 mwaka huu na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Enos Misana baada nd...
null
Serikali imesema takwimu zinaonesha Tanzania inaongoza kwa matumizi ya unywaji pombe barani Afrika huku watu wenye umri wa kuanzia miaka 15 wakitumia wastani wa ndoo moja ndogo kwa mwaka. Akizungumza Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza (NCD) kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Omary Ubuguyu amesema matumizi ya pombe...
null
Mwanzilishi wa kwanza wa kiwanda cha dawa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Mansoor Daya alifariki dunia jana jijini Dar es Salaam. Hadi kifo chake, Daya alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mansoor Daya Chemicals Limited iliyopo jijini Dar es Salaam ambayo imekuwa ikizalisha bidhaa za dawa nchini Tanzania kwa zaid...
null
Rais abaini wanaostaafu/kutenguliwa kuondoka na mashine za kukusanya fedha Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya wafanyakazi kutoka halmashauri wanaostaafu au kutenguliwa kazini kuondoka na mashine zinazotumika katika ukusanyaji wa fedha (POS) na kusababisha ukusanyaji wa fedha kutofanyika vizuri. Ameyas...
null
Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuendelea kulinda misingi ya kuanzishwa kwa jeshi hilo na kuendelea kudumisha nidhamu, utii, uaminifu na uhodari uliopo katika jeshi hilo. Ameyasema hayo wakati akifunga zoezi la Medani katika ku...
null
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limekiweka katika uangalizi maalum kwa kipindi cha miaka mitatu Chuo cha DECCA Afya na Sayansi Shirikishi (DECOHAS) Dodoma kutokana na kukiuka taratibu za udahili. Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora NACTVET, Dkt. Jofrey Oleke amesema chuo hicho kimehusik...
null
Chama cha ACT-Wazalendo kimemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ambaye sasa ni Jaji wa Mahakama Kuu, Biswalo Mganga wajiuzulu nafasi zao ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Uamuzi huo umekuja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kueleza kuhusu upotevu wa fedha zi...
null
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka kuhusu lini mchezo wa Simba SC na Yanga SC ulioahirishwa utachezwa na hatima ya waliolipa viingilio. Waziri Mkuu Majaliwa ametoa agizo hilo leo bungeni mjini Dodoma na kueleza kuwa kuahirishwa kwa mchezo huo wa wata...
null
Balozi wa Tanzania arejeshwa nchini, Usalama wa Taifa wapata bosi mpya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi mbalimbali katika Serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania kama ifuatayo; Amemteua balozi Hussein Othman Kattanga kuwa Balozi wa Tanzania mjini New York nchini Mareka...
null
Jeshi la Polisi nchini limesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza viongozi wa upinzani kufanyiwa vitendo visivyofaa hazina ukweli wowote bali ni taarifa za kutengeneza na kuongeza chumvi ili kupata huruma ya wananchi. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kuwa baada ya ufuatiliaji sa...
null
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsi mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze kupata huduma mapema. Amesema hayo Juni 6, 2024 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa tatu wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Urolojia Tanzania (TAUS) unaofanyika Jijini Dar Es Sala...
null
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekemea vikali taarifa za kufikirika na zenye utata kuhusu imani za kidini ambazo zinaendelea kushamiri kwenye vyombo vya utangazaji mitandaoni, na vile vya runinga na redio za kawaida (traditional media), na kuviagiza vyombo hivyo kuacha mara moja. TCRA imetoa ufafanuzi kuwa taa...
null
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imesema imesitisha safari za Tanzania kwenda Guangzhou nchini China hadi Oktoba 16 mwaka huu kutokana na suala la kiufundi. Akizungumza na Swahili Times, Anna Paul kutoka kituo cha mawasiliano na huduma kwa wateja amesema wateja waliokwisha kata tiketi zao watasafiri kupitia Shirika la ...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi wanaotoza bili za maji kuacha tabia za kuwabambika bili wananchi ili kufidia gharama za uendeshaji za ofisi zao. Akizungumza mkoani Kagera leo Juni 9 wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wa Kata ya Kyaka, Wilaya ya Missenyi, Rais amesema wananchi walipe bili kulingana na matumizi yao. ...
null
Cristiano Ronaldo, mwanasoka wa kwanza bilionea duniani Mshambuliaji wa Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo ameweka rekodi nyingine kwa kuwa mwanasoka wa kwanza bilionea duniani. Mwaka uliopita Ronaldo aliingiza $105 milioni (TZS 243.3 bilioni) kabla ya kodi na ada nyingine, hivyo kushika nafasi ya nne kati ya mastaa...
null
TagsBajeti ya TanzaniaBunge la bajetiHali ya uchumiMpango wa TaifaMwigulu NchembaPato la TaifaUchumi wa TanzaniaUVIKO19Wizara ya Fedha Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kul...
null
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Mahango wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumfanyia ukatili, udhalilishaji na kumuua kwa kumnyonga mtoto wa miaka saba, Amedeus Laurent kisha mwili wake kuuficha kwenye shamba la migomba. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polis...
null
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema watu watatu wamefariki dunia baada ya kuungua moto katika eneo la ndani ya Msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel katika Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani humo. Kamanda wa Polisi, Almachius Mchunguzi amesema walipokea taarifa ya ajali hiyo Septemba 23, mwaka huu majira ya saa 0...
null
Benki ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye shindano la mwaka huu la Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi wa pili kwenye mshindi jumla wa tuzo hizo zilizoandaliwa jana jijini Dar es Salaam na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE). Tuzo nyingine ilizoshinda benki hiyo ni za mshindi wa pili wa Sekta Binafsi, wa kwanza...
null
Fahamu madhara ya kutumia maji kupoza injini ya gari Moja ya makosa yanayofanywa na wamiliki wa magari ni kutumia maji kupoza injini. Maji ni rahisi kupatikana hivyo linapokuja suala la upoozaji wa injini maji yanakuwa chaguo la kwanza. Wengi hawajui jinsi ‘radiator’ inavyofanya kazi na injini ya gari, ndiyo maana huwa...
null
Wafanyabiashara takribani 150 wenye maduka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamefunga maduka yao leo Jumanne, Julai 30, 2024, ili kushinikiza Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kuwapunguzia kodi ya pango. Wafanyabiashara hao wamesema wamechukua hatua hiyo baada ya manispaa kushindwa kutekele...
null
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufili ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Chato inajengwa kwa pamoja na si kwa awamu kama ilivyo sasa. Rais Magufuli ametoa maelekezo hayo leo mara baada ya mgeni wake, Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi kuweka jiwe la...
null
Hatua za kisheria za kuchukua mchumba anapovunja ahadi ya kuoana Haitakua haki kama kutakua na mfumo au namna inayolazimisha watu kuoana kama watu hao hawataweza kuishi pamoja kwa furaha. Suala la ndoa ni muunganiko unaohitaji ridhaa ya mwanaume na mwanamke (au wanawake kama ndoa ni ya mke zaidi ya mmoja). Lord Kenyon ...
null
Hatma ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imepangwa kujulikana leo ambapo Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha itakwenda kuamua iwapo kiongozi huyo wa zamani ataachiliwa huru ama atakwenda kutumikia kifungo. Sabaya alikamatwa Mei 27, mwaka jana wilaya ya Kinondoni jijini ...
null
Rais Samia akemea vyama vya ushirika vinavyowakandamiza wakulima Rais Samia Suluhu Hassan amevitaka vyama vya ushirika kuwalinda, kuwasimamia na kuwatetea wanaushirika na sio kuwanyonya na kuwakandamiza kwa manufaa yao binafsi. Akizungumza katika kikao na Maafisa Ugani na Maafisa Ushirika Ikulu mkoani Dodoma, amesema b...
null
Spika wa Bunge wa Tanzania, Job Ndugai amemwagiza Waziri wa Nishati, January Makamba kuhakikisha anasimamia vizuri wizara hiyo na kutatua changamoto nyingi za nishati zinazowakumba wananchi ikiwemo bei ya mafuta, kukatika kwa umeme na kukamilishwa kwa miradi ya kimkakati. Ndugai ametoa rai hiyo wakati akizungumza baada...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikaeli Mbowe. Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki. “Tanzania h...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ametoa tuzo maalum kwa Benki ya NMB katika kutambua mchango na utendaji mzuri wa taasisi hiyo ya fedha nchini. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna pamoja na Mwenyekiti...
null
Sigrid’s ‘High Five’ Video Is A Little High School Musical Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’r...
null
Wizara ya imeagiza kusimamishwa kazi kwa miezi mitatu Muuguzi Msajiliwa, Scholastica Kanje anayefanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha, kutokana na kitendo chake cha kufanya mazaha kwenye utoaji chanjo ya UVIKO-19. Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Agness Mtawa amemwagiza Muuguzi Mkuu ...
null
Birds of Prey Movie Reportedly Won’t Include Catwoman Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re div...
null
Why Angela Bassett Knew Black Panther Was Something Special Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’...
null
Hati Fungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hati fungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE) leo. Hatua hiyo inaifanya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hati fungani katika ...
null
Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo na tija kwa Watanzania John Hinju, UDBS Tanzania imepata bahati kubwa kuwa na sekta ya mawasiliano ya simu ambayo imekuwa ikipanuka kwa kasi kubwa siku hadi siku. Miundombinu ya mfumo wa mawasiliano nchini kama vile mkonga wa taifa na uzinduzi wa mtandao wa 4G umetengeneza fursa nyin...
null
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande ametangaza kuwepo kwa mgao wa umeme utakaoanza Februari Mosi hadi Februari 10 mwaka huu katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza na waandishi wa babari leo, ameeleza kwamba kumekuwa na miundombinu chakavu ambayo imekuwa ikisababisha kukatika kwa...
null
Baraza la Ukunga na Uuguzi Tanzania limetangaza kufuta matokeo ya mtihani wa usajili na leseni za wauguzi na wakunga kwa watahiniwa wa Stashahada 1,330 uliofanyika Septemba 07, 2023 baada ya kubaini kuwa kuna kuvuja kwa mitihani. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imesema mtuhumiwa aliyehusika na uvujaji huo, tayari...
null
Viongozi wa dini waungana kumuombea Rais Samia kwa kudumisha amani Viongozi wa dini wa Mkoa wa Kagera wameungana kwa pamoja kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine wa kitaifa kwa kuendelea kudumisha amani, utulivu, upendano na maelewano. Ibada hiyo iliyowakutanisha viongozi wa Dini ya Kikristo na ...
null
Wasifu wa Prof. Honest Ngowi aliyefariki dunia Wanazuoni na Watanzania kwa ujumla wameianza wiki hii kwa habari mbaya kufuatia kifo cha Prof. Honest Ngowi kilichotokea mkoani Pwani. Prof. Ngowi ambaye alikuwa njiani kuelekea mkoani Dar es Salaaam amefariki dunia baada ya gari lao kuangukiwa na kontena eneo la Mlandizi....
null
Serikali ya Kenya imewaruhusu Wafanyabiashara wa Tanzania kuingia nchini Kenya na kuwekeza bila sharti la kuwa na viza ya biashara, ikiwa ni hatua ya kukuza ushirikiano wa kibiashara baina ya nchi hizo mbili. Uamuzi huo umetolewa na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akihutubia jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Wafan...
null
Hounslow West Social Housing Project Passes Final Hurdle Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re ...
null
IGP Wambura: Hali ya usalama nchini ni shwari Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amesema hali ya usalama nchini ni shwari kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Jeshi la Polisi ambapo amevipongeza vyombo vya ulizi na usalama kwa kuhakikisha nchi inakuwa na amani na utulivu na wananchi wanaendelea na sh...
null
Tokyo 2020: Surfing Will Take Place in The Ocean Waves Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re di...
null
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imetangaza mabadiliko ya Sheria ya Serikali za Mitaa ya utozaji wa kodi ya majengo ambapo viwango vya utozaji vimebadilika pamoja na wigo wa ukusanyaji umeongezeka kwa kujumuisha nyumba zilizopo maeneo yote ya Wilaya. Mamlaka imeba...
null
Relaxed Edmund leads British hopes at French Open Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Balozi Dk Slaa awakosoa wanaotumia mitandao kuichafua serikali August 17, 2019 - Tanzania yatinga ro...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Mashirika 19 ya umma yaunganishwa na kubakia 7 October 26, 2023 - Serikali yaja na mkakati wa upimaj...
null
Tukio la ajali mbaya ya helikopta iliyomhusisha Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na maafisa wengine, limeleta majonzi makubwa kwa taifa hilo. Ajali hii inaongeza orodha ya matukio ya kusikitisha katika historia ya ajali za anga zinazowahusisha marais na viongozi wa dunia. Matukio kama haya huacha alama kubwa duniani kote, n...
null
Mkurugenzi wa Mifumo ya kifedha na Ubunifu wa kampuni ya Mainstream Media limited Bw. Deogratius Mosha akiendesha mafunzo kwa Wakufunzi wa Vicoba wakati wa uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yame...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 105 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 105 za Ajira Serikalini swahilitimes January 3, 2023 0 40 POST: ASSISTANT RESEARCH FELLOW (HOUSING AND ...
null
Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki. Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa na juhudi za serikali kuk...
null
The 10 Most Beautiful Churches in Vienna, Austria Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided...
null
RC Sendiga apiga marufuku watumishi kuhama mkoa wa Rukwa Katika hatua ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa wafanyakazi mkoani Rukwa, Mkuu wa Mkoa, Queen Sendiga amepiga marufuku kwa watumishi hususani wa sekta ya elimu na afya kuhama kutoka mkoa huo kuelekea kwenye mikoa mingine. Akitoa agizo hilo katika kikao k...
null
More News - TIC: Thamani ya uwekezaji nchini yapanda kwa asilimia 120 September 18, 2023 - Serikali kufuatilia utendaji wa watumishi wa afya kwa wagonjwa September 11, 2024 Yaliyojiri - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benk...
null
Uganda: Dereva bodaboda ajiua kwa kujichoma moto ndani ya kituo cha polisi Dereva bodaboda mwenye umri wa miaka 29 amefariki dunia baada ya kujichoma kwa moto akiwa ndani ya kituo cha polisi nchini Uganda baada ya polisi kukataa kuachia pikipiki yake. Pikipiki ya Hussein Walungembe ilikamatwa wilayani Masaka ikiwa ni u...
null
Which Locations From Famous Novels Do You Know? Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided y...
null
These Will Be the Busiest Days at the Airport This Summer Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re...
null
An Eclectic California Ranch Inspired by Nature Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided y...
null
Watu 17 wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Magira Gereza wilayani Korogwe mkoani Tanga majira ya saa 4:30 usiku Februari 3, 2023. Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Omary Mgumba amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo imehusisha gari aina ya Fuso na Coaster iliyokuwa na wa...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zinalenga kuimarisha ushirikiano zaidi wa kimkakati hasa katika biashara na uwekezaji utakaosaidia nchi hizo mbili kusonga mbele kimaendeleo. Rais ameyasema hayo alipokuwa na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi katika mazungumzo na waandishi wa habari mara baada ya she...
null
Saa chache ziliwa zimebaki kumfahamu atakayeongoza mhimili wa Bunge, Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema wagombea tisa watawania naafasi hiyo katika uchaguzi utaofanyia Februari Mosi 2022. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma kuhusu uchaguzi huo na maandalizi ya uchaguzi Nenelwa amesema kuwa miongoni ...
null
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kuwa chama hicho hakitakuwa chama kikuu cha upinzani milele, na hivyo amekiasa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani, ili hata kitakapoondoka uhusiano wao mzuri uendelea. Mbowe amesema hayo leo akizungumza katika Baraza Kuu la CHADEMA mkoani Dar es ...
null
Rais Samia Suluhu amesema kukamilika kwa mradi wa kufikisha huduma za mawasiliano ya simu vijijini kutasaidia kukuza pato la taifa kutokana na kuongezeka kwa wigo wa matumizi ya teknolojia ya Habari na mawasiliano (TEHAMA) pamoja na mawasiliano katika sekta nyingine. Ameyasema hayo Mei 13, 2023 jijini Dodoma katika haf...
null
Meridianbet Wawafikia Wafanya Biashara Zaidi ya 300 Dar es Salaam Oktoba 14 siku ya kumbukizi ya Kifo cha aliyekuwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Kampuni ya Meridianbet wameweza kutoa Aprons zaidi ya 300 kwa wafanyabiashara hasa baba lishe na mama lishe katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar- es salaam ikiwemo ...
null
Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024Nafasi 38 za Ajira Serikalini December 2, 2024Nafasi 80 za Ajira Serikalini November 26, 2024 More News - Rais Samia: Haki itapunguza mlundikano wa mahabusu gerezani September 29, 2022 - Majambazi wasimamisha mahubiri kanisani na kuwaibia waumini November 28, 2022 Yaliyoj...
null
Rais Samia Suluhu amesema ni muhimu Ofisi ya Msajili wa Hazina kuhakikisha inasimamia ipasavyo sheria na kanuni zilizopo ikiwemo kusimamia ipasavvyo utekelezaji wa mikataba ya utendaji kazi (performance contract) katika kuhakikisha kuwa taasisi na mashirika ya umma yanajiendesha kwa tija na kupunguza gharama za uendesh...
null
Paul Hendrik van Zyl (77) raia mzungu aishie Afrika Kusini amefikishwa Mahakamani baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi mwanamke mweusi akidai kuwa alidhani mwanamke huyo ni kiboko. Mwanaume huyo ambaye ni mmiliki wa shamba alikamatwa Aprili 26 baada ya kufyatua risasi akiielekeza kwa mwanamke huyo aliyekuwa akivua sama...
null
Aliyosema Rais kuhusu vitendo vya watu kuvamia magari yanayopata ajali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu zaidi ya 60 na majeruhi takribani 70 walioungua kwa moto baada ya lori lililokuwa na shehena ya mafuta kupata ajali...
null
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo Disemba 17, 2020 kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa sababu gani magari kwa gharama kubwa. Am...
null
RC Makonda atishia kumnyang'anya Meya wa Kinondoni fedha za maboresho ya Coco Beach Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo August 09 ametoa mwezi mmoja kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhakikisha ujenzi wa maboresho ya fukwe za Coco unaanza mara moja na kama wakishindw...
null
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania ndio nchi inayouza mafuta kwa gharama ndogo zaidi ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika Mashariki. Ameyasema hayo alipotembelea Kijiji cha Kilando kata ya Kilando Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, katika ziara yake ya Kijiji kwa kijiji, lengo likiwa ni kukagua, kufatil...
null
Ni tamanio la kila anayeajiriwa ama serikalini au kwenye sekta binafsi kupata kiasi cha malipo ambacho kitawezesha kumudu gharama za maisha. Hata hivyo, viwango vya mishahara hutofautiana kuliangana na elimu, uzoefu, eneo la kazi, cheo, na mambo mengine. Kwa mujibu wa taasisi ya Statista, ambayo inajishughulisha na mas...
null
Wanahabari sita wa Shirika la Utangazaji la Sudan Kusini (SSBC) wanashikiliwa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo kutokana na kuonesha picha za Rais wa nchi hiyo akionekana kutokwa na haja ndogo. Waandishi hao wanatajwa kuwa Joval Tombe, Victor Lado, Joseph Oliver, Jacob Benjamin, Mustafa Osman, na Cherbek Ruben Video ...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mathayo Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jami (ISW). Bibi Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia, amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji Kalombola ni Jaji Mstaafu ...
null
Bei ya mafuta ya petroli yashuka; hizi ni bei mpya kwa mikoa yote BoT yataja orodha ya ‘Application’ za mikopo zisizokuwa na kibali November 21, 2024 More News - Ishara 4 kuwa unapaswa kubadili haraka matairi ya gari lako February 27, 2024 - Chalamila atoa wiki mbili mabasi 70 ya Mwendokasi yarekebishwe October 12, 202...
null
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na maeneo yote ya mikusanyiko ya watu ikiwemo maeneo ya masoko kutenga maeneo maalumu ya kuvuta sigara na tumbaku. Meneja wa TMDA wa Kanda hiyo, Anitha Mshighati ameyasema hayo wakati akieleza mkakati wa mamlaka ...
null
Abiria wanaoshiriki katika uvunjaji wa sheria na kanuni zinazoongoza vyombo vya moto na usalama barabarani wataanza kupata adhabu baada ya rasimu ya kanuni mpya zinazoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kukubaliwa na wadau. Hivi sasa abiria watakaokwenda kinyume na sheria watapata adhabu tofauti ...
null
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Uongozi kwa mwaka 2022 inayotolewa na AFRIMMA kwa kutambua mchango wake katika kukuza tasnia ya sanaa na burudani nchini Tanzania. AFRIMMA imesema kuwa Rais Samia ameweka mfano ambao utaigwa na viongozi wengine kwa kuboresha taswira ya burudani nchini Tanzania. “Kutoka kufuf...
null
Diwani wa Kawe aliyepotea na kupatikana Mei 23 mwaka huu, Mutta Rwakatare amesema anatarajia kuitengenezea filamu tukio lake la kupotea huku akilifananisha tukio hilo na filamu ya ‘Lost and Found Tour.’ Ameyasema hayo wakati alipohojiwa na vyombo vya habari baada ya kuhudhuria kikao cha kujadili taarifa ya Mkaguzi na M...
null
Youth Olympic Games 2022 Gains Momentum in Africa Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided...
null
Serikali imekanusha taarifa zilizosambazwa kupitia mtandao wa Myflyright.com kuhusu ndege ya Tanzania ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kudaiwa kusafirisha mizigo kwa njia haramu. Akizungumza na vyombo vya habari Mei 31, 2023 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema taarifa hizo zinazoeleza kuwa ndege hiyo imeku...
null
Mchezaji wa Yanga, Feisal Salum (Fei Toto) ameomba msaada kwa Watanzania kumchangia pesa ili kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) la kuvunja mkataba na klabu yake. Feisal amesema TFF imeshindwa kumsaidia kupata haki yake ya kuvunja mkataba na klabu hiyo, hivyo ameamua kupeleka malalami...
null
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Federal Polytechnic, Ilaro (FPI) nchini Nigeria amejiua baada ya kutumia ada yake ya chuo na ya mwanafunzi mwenzake kucheza kamari mtandaoni na kushindwa. Kulingana na Shirika la Habari la Nigeria (NAN), Samuel Adegoke, mwanafunzi wa Diploma ya Uhandisi wa Umeme, aliripotiwa kunywa sumu sik...
null
More News - Wasifu wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa February 10, 2024 - Magazeti ya Tanzania leo Aprili 25, 2020 April 25, 2020 Yaliyojiri - Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 - Nafasi 100 za Ajira Serikalini December 10, 2024 - Benki ya Dunia yapungu...
null
Mchina aliyewatesa wafanyakazi wake jela miaka 20 Mahakama nchini Rwanda imemhukumu raia wa China Sun Shujun kifungo cha miaka 20 jela baada ya video iliyosambaa ikimuonesha mwanaume huyo akiwachapa wanaume wawili waliokuwa wamefungwa kwenye mti Agosti mwaka jana. Aidha, mahakama pia imemhukumu raia wa Rwanda, Renzaho ...
null
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hakuna mtu yeyote nchini ambaye amekamatwa au atakamatwa kwa kutoa maoni dhidi ya mkataba wa bandari au mradi mwingine wa Serikali na kubainisha kuwa watu watatu waliokamatwa walitoa vitisho vya kiuhalifu ikiwa ni pamoja na kuchochea kuipindua S...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...