name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | null |
null | Za Karibuni Mpango asimulia aliyoyaishi dk Faustine Ndugulile November 30, 2024 Signal Iduna kuwaka moto ‘dabi’ Ujerumani November 30, 2024 Featured Somwa Zaidi Maoni Advertisement Zinazovuma Tanzania Angalia ZoteKigoma kuendeleza mpango nishati safi WANANCHI wa Mkoa Kigoma wanatarajia kupokea mitungi 19,530 ya gesi sa... |
null | WENYEVITI na wajumbe wote wa Serikali Za Mitaa wametakiwa kuweka tofauti zao za kisiasa pembeni na badala yake wahamasishe na kuelimisha umma kushiriki katika shughuli za maendeleo. Akitoa rai hiyo leo mkoani Mtwara, Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, Mwalimu Hassan Nyange amesema, nafasi ya mtaa... |
null | NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali inatarajia kuanzisha mradi mpya wa upelekaji umeme katika vitongoji utakaohusisha ujenzi wa njia za kati na ndogo za kusafirisha umeme. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 31, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbozi, George Mwanisongole a... |
null | Kuhusu HabariLEO HabariLEO ni gazeti la kila siku la Kiswahili ambalo limejikita katika kuchapisha Habari za kweli, na ukweli mtupu kwa kuzingatia misingi na viwango vya juu vya taaluma ili kupasha habari, kuburudisha na kuelimisha wasomaji mijini na vijijini. Gazeti la HabariLEO limekuwa likichapishwa tangu toleo lake... |
null | ISRAEL: SERIKALI ya Israel imepanga kukata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kumkamata Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant. Wiki iliyopita, Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu walitoa vibali kwa watu wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohamm... |
null | WATU 23 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Shule ya Msingi Salem kugongana na gari la Jeshi la Wananchi (JWTZ) eneo la Migomigo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara. Ajali hiyo imetokea jana majira ya saa 1 jioni (Novemba 28,2024) katika eneo hilo la migomigo barabara ya kutokea wilayani Newala mkoani... |
null | KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche anabeba dhamana ya kuiongoza timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kwenye fainali za mataifa ya Afrika zinazotarajia kuanza kutimua vumbi Ivory Coast Januari 13. Ni dhamana kubwa amekabidhiwa na Shirikisho la Soka nchini (TFF) baada ya kuona ana vigezo vyote vya kitaal... |
null | DAR ES SALAAM – Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili kuimarisha usalama wa sekta ya usafirishaji majini na hivyo kuchochea maendeleo ya Uchumi katika nchi husika. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko Novemba 29, ... |
null | ARUSHA – Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, na Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, wamewasili Tanzania leo, Novemba 29, kushiriki Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaofanyika Arusha. Rais Samia Suluh... |
null | TAASISI isiyokuwa ya kiserikali inayojishughulisha na masuala mbalimbali ya sanaa na utamaduni (ADEA) Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara imeendelea kutoa mafunzo kwa mafundi selemala ili kuwaongezea ujuzi wa sanaa katika kazi zao hizo. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo ya (... |
null | DAR ES SALAAM: WANAWAKE nchini wamehamasishwa kuchangamkia fursa zitokanazo na nishati safi ya kupikia, ikiwamo ya utengenezaji wa majiko banifu na mkaa mbadala. Rai hiyo imetolewa leo mkoani Dar es Salaam na Mtaalam wa Jinsia na Nishati kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Dk. Joseph Sambali wakati akitoa mada kuh... |
null | DAR ES SALAAM – Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amesaini kitabu cha Maombolezo na kukimfariji mjane wa marehemu Dk. Faustine Ndugulile, Dk. Magdalena Lyimo na Mama mzazi wa marehemu, Bi. Martha Ndugulile wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Kigamboni, Jijini Dar es salaam l... |
null | MTWARA: MKOA wa Mtwara unatarajia kupokea mitungi ya gesi 1675 ambayo itasambazwa katika wilaya zote za mkoa huo na kuuzwa nusu bei kwa wananchi ili kuwawezesha kutumia nishati safi na salama. Mitungi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kama ruzuku kwa bei ya mitungi kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Mku... |
null | MATUMIZI ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika mahakama za Tanzania yamepunguza malalamiko kwa wananchi ikiwemo upotevu wa mafaili kwa kiwango kikubwa, viashiria vya rushwa ikiwemo upunguzaji wa gharama kwa wananchi katika kuchapisha makatarasi. Pia kutokana na Tanzania kupigia hatua katika masuala ya ... |
null | WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amezindua rasmi Bodi ya Magavana ya Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (MWEKA) huku akisisitiza chuo hicho kuendelea kutoa mafunzo bora yanayokidhi mahitaji kulingana na vipaumbele vya taifa. Dk Chana ametoa kauli hiyo leo Novemba 29, wakati wa katika hafla ya uzindu... |
null | MKUU wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Onesmo Buswelu amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya hiyo kuhakikisha anakaa karibu na wakulima kupitia vyama vya ushirika (AMCOS) pamoja na Afisa ushirika ili kujua changamoto zinazo wakabili wakulima. Ametoa maagizo hayo katika Mkutano Mkuu wa wakulima wa Tu... |
null | BUNGE la Seneti leo Alhamis limeppiga kura kuendelea na kesi ya kumuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila yeye kuwepo bungeni. Maseneta walipiga kura ya kukiri kupinga hoja ya utaratibu wa kuahirisha vikao hadi Jumamosi, Oktoba 19, 2024. “Kwa vile mchakato huu umefungwa na katiba, na ikizingatiwa kuwa muda unakamilika... |
null | MSANII wa muziki wa taarabu nchini Mzee Yusuph ‘Mfalme wa Taarabu’ anatarajia kupewa mauwa yake kwa kuupigania muziki huo katika tamasha la la muziki huo linalotarajia kufanyika Disemba 8, 2024 jijini Dar es Salaam. Akizungumza na habarileo Mzee Yusuph amesema kuwa watu wengi wanapenda kuwapa watu mauwa yao wakiwa wame... |
null | WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Hassan Zidadu Kungu (kushoto) na Mbunge wa Kibiti, Twaha Mpembenwe (Kulia) baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Nne cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 01.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
null | DAR ES SALAAM; Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), imeliongezea thamani tunda la beetroot, ambapo sasa linatengenezwa mvinyo. Mratibu wa Utafiti Kitaifa wa Mazao ya Mbogamboga, kutoka Kituo cha Tengeru Arusha, Emmanuel Laswai amesema kinywaji hicho kilichotengenezwa kina mchanganyiko pia wa mdalasini na tanga... |
null | WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa. Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho ambacho uwekezaji wake umegharimu shilingi milioni 600, Majaliwa amesema kuwa Ra... |
null | Tanga: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati (anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi), Dk James Mataragio ametoa rai kwa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kujipanga vyema kufanikisha tukio la kutangaza duru ya tano ya kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi nchini. Dk Mataragio ametoa rai hiyo... |
null | Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) George Mkuchika, wakati wa kikao cha sita cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 05. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Sila... |
null | RUVUMA – Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema kiwango cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia 8.1 mwaka 2023. Waziri Mhagama amesema hayo Novemba 29, wakati wa ufunguzi wa kongamano la kitaifa la kisayansi la masuala ya UKIMWI pamoja ... |
null | DAR ES SALAAM; Samaki kaa wajulikanao kama ‘tuyuli’ wapo hatarini kutoweka kutokana na kuonekana kwa uchache katika maeneo ya ukanda wa Pwani. Ofisa Habari wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Ivan Kimaro amesema hayo alipozungumza na HabariLEO Digital na kueleza kuwa sifa kubwa ya samaki hao ni wakubwa na wana uwez... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan, amesisitiza juu ya umuhimu wa juhudi za pamoja katika kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia na ajira kwa vijana ili kuhakikisha ustawi wa watu wa kanda hiyo. Rais Samia amesema hayo Arusha wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yaliyofanyika jijini Arusha. ... |
null | LINDI: Ukarabati wa kisima cha gesi asilia unaoendelea katika Kitalu cha Songo Songo mkoani Lindi unatarajiwa kuongeza uzalishaji wa gesi asilia kwa takribani futi za ujazo milioni 20 kwa siku. Ujazo huo unaweza kusaidia uzalishaji takribani megawati 100 za umeme. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibi... |
null | MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeibuka mshindi wa jumla kwenye uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya kimataifa vya Uhasibu katika Sekta ya Umma (IPSAS) na Sekta za Kibiashara (IFRS). Tuzo hizo zimetolewa Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Kadhalika, TRA imeibu... |
null | TANGAZA NASI GAZETI, TOVUTI Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inatoa suluhisho la uainishaji na utangazaji mahususi katika magazeti yake ya Daily News, HabariLEO, na SpotiLeo, na pia kupitia program ya simu (TSN App) na majukwa ya mtandaoni ya Daily News Digital (Tovuti, mitandao ya kijamii na YouTube). Tovuti zetu... |
null | NAIROBI, Kenya – Bunge la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kazini Naibu Rais wa Taifa hilo, Rigathi Gachagua. Wabunge wa seneti walipaswa kumtia hatiani katika shauri moja kati ya 11 yaliyokuwa yakimkabiri kiongozi huyo. Kwa sasa anakuwa Naibu Rais wa kwanza Afrika Mashariki kuondolewa ofisini kwa kura ya Ma... |
null | MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imezindua taarifa ya utendaji wa soko la bima huku ikihimizwa kuimarisha matumizi ya teknolojia na kuhakikisha inafanya kazi kidigitali ili kwenda sambamba na kasi ya ukuaji. Akizungumza kwenye uzinduzi wa taarifa hiyo ya mwaka 2023 Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Hama... |
null | DAR ES SALAAM – MFADHILI wa zamani wa timu ya soka ya Simba, Azim Dewji amelishauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kufanya maandalizi ya michuano ya Afcon ya mwaka 2027 kwa kuanza kutafuta na kukuza vipaji vya mpira. Amesema hatua hiyo itasaidia itakapofika michuano hiyo, Tanzania iwe na timu nzuri itakayo... |
null | Konokono ni mboga ambayo nyama yake ina ladha na ni nzuri kwa afya ikiwa na chazo kikubwa cha protini, fosforasi, kalsiamu, chuma, mafuta kidogo na sodiamu. Ingawa biashara ya konokono inahitaji uwekezaji, kiwango cha faida kwenye ufugaji wa konokono ni kikubwa. Nchini Nigeria, konokono za ukubwa wa kati zinaweza kwend... |
null | JESHI la Polisi limefafanua kuwa linaendelea na ufuatiliaji wa tukio la kupotea kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo. Taarifa iliyotolewa leo na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa saa 11 alfajiri ya leo katika eneo la Mbezi Luis, stendi ya mabasi ya Magufuli mwanaume ... |
null | UJERUMANI : WAZIRI wa Maendeleo ya Uchumi wa Ujerumani, Svenja Schulze amezungumzia janga kubwa la kibinadamu nchini Sudan kufuatia ziara yake ya hivi karibuni katika eneo hilo, na kuisifu Chad kwa mshikamano licha ya umaskini. Katika mahojiano maalumu na DW Afrika, Schulze alielezea hali ilivyo kwenye mpaka wa Sudan n... |
null | DAR ES SALAAM: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB). Kauli hii inakuja wakati benki hiyo ikiendelea kutoa gawio kwa serikali kuu na kuiwezesha kutekeleza miradi ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam Mwenyekit... |
null | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewaomba viongozi wa kuteuliwa na kuchaguliwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, kanuni na miongozi inayoongoza nafasi husika ili kuleta maendeleo kwa wananchi kwa ustawi wa taifa. Mchengerwa ametoa wito huo wakati akijibu hoja na ushauri wa wabunge a... |
null | ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro , Jacob Ole Mameo amewataka wanawake wa Umoja wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) kutumia nguvu waliyonayo kukemea wanaobeza jitihada zinazofanywa na baadhi ya wanawake walio katika nyadhifa mbalimbali za uongozi wa dini na serikali. Askof... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.