name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | ## Hii sio rasmi sana lakini inasemekana kuwa kampuni ya Apple iko mbioni kuongeza idadi ya matangazo katika vifaa vyake vya iPhone na bidhaa zingine za Apple.
Kuna makala tulinadika kuhusiana na Apple kuweka matangazo ndani ya App Store kwenye kipengele cha Today, soma zaidi >>HAPA<<
Kwa sasa huko AppStore kama mwe... |
null | ## Telegram na Apple yote ni makampuni makubwa sana yanayijihusisha na mambo ya teknolojia. App ya Telegram inapatikana katika soko la Apple maarufu kama AppStore.
Juzi juzi tuliandika kwanini Telegram walitoa lawama kwa Apple, soma zaidi >>HAPA<<
Sababu ya kucheleweshewa kupandishwa kwa sasisho (update) lao ni emoj... |
null | ## Apple inaheshimika sana na sera yake ya ulinzi na usalama hasa katika vifaa na huduma zake. Hii imeifanya kampuni kijichukulia sifa nyingi ukiachana na kuaminika.
Kampuni imeweka hili wazi kwa kutoa taarifa hiyo, Kwa haraka haraka kampuni inasema imefanikiwa kuzuia zaidi ya dola bilioni tano kuibwa katika soko lak... |
null | ### Truth Social, Mtandao wa kijamii wa Donald Trump kama Twitter umezinduliwa kwenye App Store, CNET imeripoti. Hilo linathibitisha taarifa kutoka kwa akaunti iliyoidhinishwa inayohusishwa na afisa mkuu wa bidhaa wa Truth Social “Billy B,” ambaye aliwaambia watu wanakili tarehe 21 Februari kwenye kalenda zao. “Kwa sas... |
null | App StoreAppleappsIntanetiMaujanjaMtandao wa KijamiisimuTeknolojiaTruth SocialUchambuzi ‘Truth Social’ Mtandao wa kijamii wa Trump umezinduliwa kwenye iOS Semu Msongole February 22, 2022 Truth Social, Mtandao wa kijamii wa Donald Trump kama Twitter umezinduliwa... |
null | ### Apple leo iliripoti takwimu mpya zinazoonyesha ukuaji wa Hifadhi ya Programu kwa mwaka 2021. Kampuni hiyo katika taarifa kwa vyombo vya habari ilisema sasa imelipa zaidi ya dola bilioni 260 kwa watengenezaji wa programu tangu Hifadhi ya App ilizinduliwa kwa mara ya kwanza. Mwaka 2008, namba ambayo ni juu kutoka $20... |
null | ### Ecobank ni benki ya kiafrika inayopatikana katika nchi 33 barani Afrika. Benki hii pia ina ofisi za kuhudumia wateja wake nje ya bara la Afrika ikiwemo nchi ya Uingereza, China na Ufaransa. App ya Ecobank ni programu maalum ya kwenye simu janja inayokuwezesha kupata huduma za kibenki kwa haraka.
Kuna aina nyingi ... |
null | AndroidApp StoreAppleappsEcobankIntanetiPlay StoresimuTeknolojiaUchambuzi Fahamu jinsi ya kutengeneza Xpress Account kwenye App ya Ecobank Semu Msongole December 19, 2021 Ecobank ni benki ya kiafrika inayopatikana katika nchi 33 barani Afrika. Benki... |
null | ### Apple watengeneza trilioni 3.2 kati ya kupindi cha Krismasi na mwaka mpya 2020. Hayo ni makadirio kwa shillingi za kitanzania baada ya Apple kutangaza mapato ya dola bilioni 1.4 za Kimarekani katika kipindi hicho.
Mapato haya ni asilimia 16 juu ukilinganisha na mapato yaliyopatikana kwenye soko hilo la apps katika... |
null | ### Changamoto, kupata faida/hasara kwenye biashara ni jambo la ambalo linafahamika na kwa namba inawezekana kuonekana ni ndogo lakini kwa yale waliyoyapitia katika kipindi cha miaka kumi sio kitu kidogo.
Mwezi Julai 2008 ndio soko la programu tumishi lililopo chini ya Apple lilianzishwa na lilikuwa na programu tumis... |
null | ## Apple Music ambayo inamilikiwa na kmapuni ya Apple ni huduma inayohusu maswala ya muziki, kupitia katika huduma hiyo kuna mengi yanapatikana na kwa hivi karibuni ni wameongeza Apple Music Classical.
Apple Music Classical ni huduma ambayo ilikua haipatikani kabisa katika mtandao wa PrimePhonic ambao mtandao huo uli... |
null | ## Kipengele hiki kitaanza rasmi katika vifaa vya iPhone, iPad na hata Apple TV 4K mpya na kitakua kianahusisha kuimba kwa wasikilizaji au watumiaji wa Apple Music.
Apple Music ni huduma ya k’stream muziki kwa huduma ya kulipia kwa muda (kifurushi) kama vile Spotify n.k.
Karaoke ni uwezo wa kuimba kwa kufuatisha man... |
null | ## Kwa dunia ya sasa kuna mitandao mingi sana ya muziki tena ile ya ku’stream, mitandao hii ipo ambayo ni ya kulipia na ile ya bure kabisa.
Kuna mitandao mingi ambayo inatoa huduma hii ila ile maarufu ni kama Apple Music, Spotify, Amazon Music, Tidal, Deezer, YouTube Music— na mingine mingi tuu ambayo inatoa huduma y... |
null | Apple MusicMaujanjaMtandaoSoundcloudSpotify FAHAMU: Mtandao Wa Muziki Wa Ku’Stream Wenye Nyimbo Nyingi! Hashiman (@hashdough) Nuh October 18, 2022 Kwa dunia ya sasa kuna mitandao mingi sana ya muziki tena ile ya ku’stream,...
MtandaoMtandao wa KijamiiSoundcloud Soundcloud Yapunguza Asilimia 20 Ya Wafanya Kazi! Hashima... |
null | ### Dunia ya leo ambayo imejaa utandawazi lukuki inafanya watu wasiwe na ulazima wa kuhifadhi nyimbo/aina nyingine ya burudani kwenye vifaa vyao vya kidijiti na badala yake wawe wanapata huduma hiyo popote pale na wakati wowote ule kiurahisi kabisa.
Takwimu za watu wanaosikiliza muziki mtandaoni duniani kote inazidi k... |
null | ## Apple mara kwa mara wamekua wakifanya mambo kadha wa kadha yakiwa ni kati ya marekebisho ya vitu ambavyo wanaona haviko sawa.
Mara kwa mara pia Apple, wamekua wakichukua maoni ya watu na wadau mbalimbali ili kuhakikisha kuwa wanaweka vitu vyake vizuri ili kuzidi kuwa juu zaidi.
Kumbuka kwa sasa iOS 71.2 toleo la ... |
null | ## Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa maonesho/michezo ya kuigiza na filamu basi pengine eneo maarufu ambalo linaoneshwa kupitia Apple TV la SILO pengine utakua unalijua
Unesho hili linafikikia ukingoni kwa upande wa toleo la kwanza na Apple TV wameona kwamba watoe sehemu ya kwanza tuu katika mtandao wa Twitter.
Kwa ... |
null | ## Ni wazi kwamba Apple wana ubinafsi sana hasa katika huduma zao, huduma zao mara nyingi huwa zinaingiliana kwa vifaa vyao tuu na mwanzoni Apple Tv ilikua ni hivyo hivyo.
Apple Tv ni moja kati ya huduma kubwa sana kutoka Apple ambayo inahusisha Ku’Stream kwa malipo ya vifurushi vya awamu ili kuweza kuangalia filamu,... |
null | ## Licha ya Apple Watch Series 3 kuwa saa janja ya bei ya chini (punguzo) kutoka Apple kwa muda mrefu, saa hii yapigwa chini baada ya miaka mitano katika soko ili kupisha bidhaa hii >>
Kwa sasa Apple Watch hizi zitakua hazizalishwi kabisa na kampuni na hili linatokana na utambulisho wa saa mpya ambazo zimezalishwa na... |
null | ## Apple wanazidi kuhakikisha kuwa wanatoa vifaa vilivyo bora na vinavyorahisisha maisha ya wateja wao wa kiasi kikubwa sana.
Lakini je, tuko tayari katika kupata huduma ya kamera kwenye saa? kwa sasa kuna saa nyingi tuu ambazo zina huduma hii.
Fikiria kutumia saa tuu yenyewe katika swala zima la kupiga picha moja k... |
null | ### Spotify ni programu tumishi ambayo ina nyimbo za wasanii mbalimbali kutoka dunia nzima lakini pia inafanya kazi kwenye saa janja za Apple (Apple Watch).
Spotify ambayo inawatumiaji wengi tuu duniani na hata hivi karibuni programu tumishi husika imeweza kupatikana nchini Tanzania kama ambavyo tuliwahabarisha. Muzik... |
null | ### Watumiaji wa Apple Watch wafikia milioni 100 duniani kote, jambo linalofanya Apple Watch kuwa aina ya kifaa cha nne cha Apple kuwa na watumiaji wengi zaidi.
Apple Watch ni saa janja kutoka Apple inayotumia programu endeshaji spesheli ya kwa ajili ya kufanya kazi na vifaa vya Apple.
Data zinaonesha kwa kuwa na wa... |
null | ### Katika maisha baada ya kuheshimu Mungu wetu, wazazi kitu kinachofuata ni muda kwani bila ya hivyo vitu vinakuwa haviendi kwa mpangilio. Kuwa katika ulimwengu wa kiteknolojia kumerahisisha mengi lakini bado saa hazijasahaulika ila zinazidi kuboreshwa.
Sasa katika ulimwengu wa kidijiti tumeshasikia na pengine kuzion... |
null | ### Mabadiliko ya teknolojia kwenye vitu mbalimbali yamekuwa yakiwaacha watu midomo wazi kwa kushangaa jinsi mambo yalivyobadilika mathalani siku hizi kuna “Saa janja” ambao ina uwezo wa kuongezwa umeme unapopungua/kuisha kabisa, kutuma/kupokea ujumbe mfupi maandishi au hata kupokea simu lakini kubwa zaidi kuweza kuoko... |
null | ### Kama unapenda kusikiliza muziki mtandaoni na ni mkereketwa wa teknolojia bila shaka utakuwa unafahamu huduma ambayo Spotify wanatoa kupitia intaneti.
Kampuni hiyo (Spotify) wameamua kutoa app mpya kabisa kwa ajili ya saa janja za Apple ambapo wahusika wameweka huko ili kuwavutia watumiaji kulingana na sifa ilizon... |
null | ## App ya Books toka kwa kampuni ya Apple ni maarufu sana ambayo inawawezesha watumiaji kupata vitabu vile na vya bure na hata vile vya kulipia, lakini ni wazi kama unatumia kifaa cha Apple ambacho kina kioo kidoggo pengine umekutana na shida katika kusoma machapisho hayo.
Ukaichana na hayo tuu kama una kitabua ambac... |
null | ## Apple imeshazindua iPhone 15 na imekuakua simu ambayo ina vipengele vingi vipya licha ya simu pia iCloud na yenyewe imepata ujazo uhifadhi mpya.
Ni wazi kwamba iCloud ni ya bure lakini unapewa ujazo uhifadhi mdogo na kama ukitaka ujazo uhifadhi wa juu Zaidi basi hauna budi kuulipia (kuna vifurushi kabisa).
Apple ... |
null | ## Katika mkutano mkubwa wa Apple unaofanyika kila mwaka unaojulikana kama Apple Worldwide Developers Conference (AWWDC) wa mwaka 2021 umegusia kuhusiana na iCloud plus (iCloud+).
Huduma hii inakua ya kimaboresho zaidi ukilinganisha na huduma ya iCloud ya kwanza ambayo tumeizoea. Ikumbukwe pia kuwa huduma ya iCloud i... |
null | ### Kwenye suala zima la ushindani wa biashara ya saa janja makampuni mengi yamekuwa yakifanya maboresho kila toleo moja baada ya jingine na siku si nyingi tutaweza kufahamu undani wa Oppo Watch 3.
Mbali na simu janja Oppo imeweka nguvu nyingi tuu kwenye saa janja ambazo zimekuwa zikitoka toleo moja hadi jingine mwak... |
null | ## Soko la saa janja limepanda kwa asilimia 13 toka mwezi Januari mpaka machi 2022. Hii ikiwa ni ongezeko la 13% katika mauzo.
Ni wazi kabisa kwamba saa janja kutoka Apple ndio zilizoongoza kwa mauzo katika mwaka 2021, hii inamaanisha kuwa mpaka sasa bado saa hizo kutoka Apple zipo kidedea.
Taarifa zilizopo ni kwamb... |
null | ## Ukiachana na kusubiriwa kwa muda mrefu, tamko limetoka rasmi kuwa msaidizi kutoka Google (Google Assistant) atafika katika saa janja maarufu kutoka Google.
Kiongozi wa juu kabisa kutoka Google, Patrick Chomet amesema kuwa kipengele hicho kitawasili katika saa hizo mwaka huu.
Unaweza ukajiuliza ni kwanini Samsung ... |
null | ### Uvaaji wa saa janja umekuwa ukikua mwaka hadi mwaka na makampuni mbalimbali yamekuwa yakitoa kifaa hicho cha kuvaa mkononi pamoja na masashisho ambayo zinafanya ziwe imara kuziepusha na mabaya kwenye ulimwengu huu wa teknolojia.
Wakati Samsung inafanya uzinduzi mkuwa wa simu janja-Galaxy S21 na tabiti-Galaxy Tab ... |
null | ### Miaka imesogea na teknolojia imekua pia; saa tulizokuwa tulizovaa miaka 10, 20, n.k iliyopita ni tofauti sana na hizi za leo ambazo zina mengi mbali ya kuonyesha muda (saa, dakika na sekunde).
Simu janja kwa kiasi kikubwa zimechukua nafasi ya watu kuwa na ulazima wa kuvaa saa mikononi mwao. Hata hivyo, kutokana n... |
null | ### Mauzo ya saa janja yaendelea kufanya vizuri mara baada ya kuonekana kuongezeka katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2021 ambapo makampuni makubwa yaendelea kujitutumua.
Mahitaji ya saa janja bado yaonekana kuwa ni kiungo muhimu ambacho kinaingizia makampubi faida kubwa. Hii inachagizwa na ukuaji wa teknolojia ... |
null | ### Kwa namna yake teknolojia ya simu zinazojikunja zinarudi kwenye ushindani/machoni pa watu. Kama utakuwa ni mpekuzi mzuri kuhusu teknolojia utafahamu kuwa makampuni mbalimbali yana buni vifaa vya kidijiti vinavyokunjika mathalani simu janja inayovaliwa mkononi.
Wengi wetu siku hizi tunafahamu kuwa kuna saa janja a... |
null | ### Wakati habari za uzinduzi wa Samsung Galaxy Note 9 zilikuwa katika mitandao mbalimbali haikuelezwa kuwa siku ya utambulisho wa simu hiyo wangetambulisha saa janja yenye jina jipya, Galaxy Watch.
Ilikuwa ikitegemewa pengine Samsung wangezindua simu mbili kwa wakati mmoja lakini mambo yakawa tofauti na kuleta kweny... |
null | ### Xiaomi imetangaza ujio wa saa janja (Smart Watch) kwa ajili ya watoto. Saa hizo zitajulikana kwa jina la Mi Bunny Watch 3 na zitakuwa na teknolojia ya 4G pamoja na sehemu ya kuwekea laini.
Pia saa hiyo itakuwa na uzito wa gramu 51, kioo chenye teknolojia ya AMOLED na kamera yenye 2MP HD. Aidha, itakuwa na rangi z... |
null | ### Vitu mbalimbali zenye rangi nyekundu kutoka kampuni maarufu na tajiri katika biashara ya vifaa vya teknolojia. Apple imeonekana kupata mamilioni ya dola za kimarekani yaliyotokana na kuuza bidhaa zake zenye rangi upendo 😀 😀 .
Katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani Apple iliweza kukusanya jumla ya $160 mil... |
null | ### Shirikisho la wakala wa mtandao nchini Ujerumani limepiga marufuku uuzaji wa saa janja za ‘kitoto’ kwa watoto kwa madai saa hizo zinatumika kama vifaa vya upelelezi.
Marufuku hayo yatawahusu watoto wa kuanzia umri wa miaka 5 mpaka 12. Saa janja hizo zimekuwa zikionekana kama wanasesere za kuchezea lakini zimesaidi... |
null | ### Fossil imekuwa ni moja ya makampuni ambayo yanashindana vilivyo na kampuni kama Apple kwenye biashara ya saa janja na baada ya kutoa toleo lililopita katika muendelezo wa saa janja kutoka kwenye familia ya “Q”.
*Fossil *wamekuwa wakijitahidi kuleta utofauti wa toleo moja hadi jingine na kwa upande wa saa janja *Q... |
null | ### Kampuni ya Apple imefanya vizuri katika soko kwa kuuza saa janja (Apple Watch) zake katika robo tatu ya mwaka 2017 kulingana taarifa ya Canalys iliyotoka karibuni.
Apple imeweza kuuza saa janja takribani milioni 3.9 kwa familia ya saa zake za Apple watch series 3 ambapo ni sawa na asilimia 23 ya saa zote zilizouzw... |
null | SaaTeknolojiaUchambuzi Saa ya kisasa isiyochajia na kitu chochote bali na joto la mwili wa binadamu Mato Eric November 13, 2017 Katika kizazi cha teknolojia siku hizi kuna saa maarufu sana kwa jina lisilo... |
null | ### Watanzania wengi wanatafuta simu zenye kamera bora kwa ajili ya uundaji wa maudhui kwa sababu ya umaarufu wa majukwaa kama Instagram, TikTok, na YouTube.*
*Ili kuhakikisha unapata ubora unaohitajika, hizi hapa ni simu 7 bora ambazo zina sifa zinazokidhi mahitaji ya uundaji wa maudhui mwaka 2024.
Ili kuhakikisha u... |
null | ### Mambo yanabadilika na vitu vipya vinatoka kila leo; sasa hata kama simu haipo katika kundi la kutambulika kama simu janja basi itakuwa na kamera kuifanya iweze kuvutia na kuuzika kwa watu/mataifa mbalimbali.
Mambo yalivyo hivi sasa simu janja ni lazima iwe na kamera angalau mbili ili kuweza kuwa katika nafasi nzu... |
null | simuSmartphones Simu 7 Bora kwa Uundaji wa Maudhui (Content Creators) Mwaka 2024 LanceBenson August 28, 2024 Watanzania wengi wanatafuta simu zenye kamera bora kwa ajili ya uundaji wa... |
null | simuSmartphones Simu 7 Bora kwa Uundaji wa Maudhui (Content Creators) Mwaka 2024 LanceBenson August 28, 2024 Watanzania wengi wanatafuta simu zenye kamera bora kwa ajili ya uundaji wa... |
null | simuSmartphones Simu 7 Bora kwa Uundaji wa Maudhui (Content Creators) Mwaka 2024 LanceBenson August 28, 2024 Watanzania wengi wanatafuta simu zenye kamera bora kwa ajili ya uundaji wa... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45912 |
null | ### Watanzania wengi wanatafuta simu zenye kamera bora kwa ajili ya uundaji wa maudhui kwa sababu ya umaarufu wa majukwaa kama Instagram, TikTok, na YouTube.*
*Ili kuhakikisha unapata ubora unaohitajika, hizi hapa ni simu 7 bora ambazo zina sifa zinazokidhi mahitaji ya uundaji wa maudhui mwaka 2024.
Ili kuhakikisha u... |
null | ### Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Transsion Holdings ni kampuni inayomiliki chapa maarufu za simu za Tecno, Infinix na Itel. Kampuni ya Qualcomm, mtengenezaji maarufu wa chips za simu, imedai kampuni ya Transsion imevunja haki miliki zake za kiteknolojia katika utengenezaji wa simu zao.
Qualcomm wamesema ka... |
null | ### Teknolojia ya simu janja kutoingia maji katika teknolojia ambayo imeonekana kutumia na makampuni nguli kama vile Apple, Samsung imeonekana kuwa na matokeo mazuri sana.
Makampuni mengi wamezifanya simu rununu ambazo zina uwezo wa kutoingia maji katika umbali wa mita kadhaa kwa muda wa mpaka dakika 30 lakini katika... |
null | ### Labda tatizo sio simu kwamba ni kubwa ila nguo yako ya ‘kubana’. Utakuta mtu kavaa suruali ya kushika mwili (kubana) na hawezi kabisa weka simu mfukoni anabaki kuishikilia tuu. Sasa baadhi ya watumiaji wa iPhone 6 Plus wamepata ufumbuzi ni vipi wataweza beba simu zao mifukoni mwa suruali.
~~“Nilijaribu kutoa simu... |
null | ### WhatsApp ni moja kati ya App inayotumika sana katika swala zima la kutuma na kupokea ujumbe siku hizi. Na urahisi wake juu ya kuitumia inaifanya izidi kupendwa na watu.
Moja kati ya maswali au maombi tunayopokea kwa wasomaji wetu ni juu ya kutumia akaunti mbili za WhatsApp katika simu moja. Je hili linawezekana? ... |
null | simuTeknolojia Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Tecno na Infinix Zatumbukizwa Katika Shtaka la Haki Miliki teknokona July 21, 2024 Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Transsion Holdings ni kampuni...
AppleIPhonesimuTeknolojia Apple kuzuiwa kuuza iPhone 6 na 6 Plus Nchini China Kisa Wizi wa Ubunifu teknoko... |
null | simuTeknolojia Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Tecno na Infinix Zatumbukizwa Katika Shtaka la Haki Miliki teknokona July 21, 2024 Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Transsion Holdings ni kampuni... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45794 |
null | ### Qualcomm waiburuza Transsion mahakamani, Transsion Holdings ni kampuni inayomiliki chapa maarufu za simu za Tecno, Infinix na Itel. Kampuni ya Qualcomm, mtengenezaji maarufu wa chips za simu, imedai kampuni ya Transsion imevunja haki miliki zake za kiteknolojia katika utengenezaji wa simu zao.
Qualcomm wamesema ka... |
null | ## Pengine mwaka huu simu janja nyingi za kujikunja zitatoka, Mpaka sasa zimeshatoka nyingi na Motorola Razr toleo lingine la kujikunja linakuja.
Kwa sasa kifaa hiki kinazunguka katika mitandao – kikionekana kwa muonekano wake – na jina lake ni Motorola Razr 40 Ultra Fold.
Uzuri wa kifaa hiki kwa muonekano kinaoneka... |
null | ## Ni wazi kuwa kila toleo la program endeshi linapotoka kunakuwa na baadhi ya simu janja ambazo zimechakuguliwa kupata toleo hilo, Motorola nao waongeza idadi ya simu katika Android 13.
Motorola ni moja kati ya makampuni makubwa sana na ni kongwe ukilinganisha na makampuni mengi ya kutengeneza na kuuza simu na imewe... |
null | ## Motorola ni moja kati ya chapa maarufu sana zinazotengeneza simu janja, toleo lake la RAZR ni moja katika ya matoleo yanayoiwakilisha vyema kampuni.
Kwa sasa kampuni hiyo iko katika hatua za kutengeneza matoleo mengine mawili ya simu za RAZR ambayo yatatoka 2023
Ukifikiria sana utagundua kuwa matoleo hayo yatakua... |
null | ## Motorola itatambulisha vifaa hivi katika mkutano ambao umedhaminiwa kuwa ni utambulisho wa vifaa vyake ambao utakua ni mwezi agosti mwaka huu.
Pengine katika utambulisho huo ndio utaona simu ya kwanza kabisa yenye 200MP katika kamera yake.
Kwa majina vifaa hivyo ni Razr nyingine ikiwa ni muendelezo wa ile ya kwan... |
null | ### Motorola wapo njiani kuja na simu janja mpya ambayo inaonekana kuna nguvu nyingi zimewekezwa kuhakikisha kuwa kamera ya rununu husika inakuwa ni yenye ubora wa kuvutia.
Zimekuwepo taarifa mbalimbali zikihusisha Motorola kueta simu janja ijayo mbele ya macho ya watu ambayo inayo kamera ya ubora wa hali ya juu amba... |
null | ### Unazikumbuka simu za Motorola? Teknokona leo tumekuandalia makala kuhusu simu janja za Moto G na matoleo yake mbalimbali. Kampuni ya Motorola inahusika na utengenezaji wa simu pamoja na vifaa vingine vya mawasiliano na imekuwa ikitoa huduma hizi tangu mwaka 1928 ilipoanzishwa nchini marekani.
Kwa upande wa simu j... |
null | ### Mwezi Julai mwaka huu ulikuwa na ingizo jipya la simu janja kutoka Motorola ambao wameendelea kuja na rununu ambazo zinaendana na kile ambacho wateja wanahitaji sokoni. Motorola Edge 20 ilikuwa ni moja ya simu janja ambayo ilikuwa na habari lukuki za chini kwa chini.
Makampuni mengi siku hizi yanaweka ubunifu, ngu... |
null | ### Motorola ni kampuni ambayo imekuwa kwenye ulingo wa biashara kwa miaka mingi sasa na tumeshaweza kuona, kutumia simu janja mbalimbali ambazo wamekuwa wakizileta sokoni na sasa kuna hii nyingine Moto E20.
Katika siku za usoni tutegemee ingizo jipya kwa maana ya simu janja Motorola Moto E20 ambayo mpaka sasa zile si... |
null | ### Makampuni mengi yanaweka nguvu nyingi kwenye teknolojia iliyoshika hatamu katika miaka ya karibuni. Kwenye simu janja 3-5 zinazotoka basi mojawapo utakuta ni ya 5G kama Motorola One 5G UWB Ace.
Motorola imendelea kujiweka vizuri kwenye soko la 5G ambapo mwezi Januari mwaka huu ilitoka Motorola One 5G Ace na miezi... |
null | ### Simu janja nyingi tuu zaendelea kuwezeshwa kuhamia kwenye Android 11 ambapo watumiaji wa Motorola One wanaweza kufurahia yale yanayopatikana kwenye programu endeshi husika.
Kama utakuwa ni mpenzi wa simu janja zinazotengenezwa na Motorola naamini najua kwamba rununu ninayoiongelea humu ilitoka mwaka 2019 ikiwa ma ... |
null | Kwenye ulino wa simu janja ambazo zinakunjika na kukunjuka Microsoft Surface...
Wingi wa Android 11 kwenye simu janja unaendelea kusogea na sasa Nokia 5.3...
Toleo la Android 11 laendelea kusogea kwenye simu janja nyingi tuu za Samsung...
Miaka miwili baadae tangu Samsung Galaxy A30s itoke sasa Android 11 imegonga..... |
null | ### Zaidi ya miaka 42 iliyopita simu ya kwanza ilipigwa kutumia simu ya mkononi, simu hiyo ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa na kampuni ya Motorola. Ilikuwa mwezi wa 4 tarehe 3 mwaka 1973 walijaribu kupiga simu kwa kutumia simu hiyo ya kwanza ya mkononi iliyokuwa inafahamika kwa jina la Motorola DynaTAC.
Mfanyakazi w... |
null | ## Vivo ni moja kati ya Makampuni makubwa sana katika maswala mazima ya kiteknolojia na kwa sasa kuna swala ambalo linaikumba kampuni hiyo kutoka katika kampuni nyingine nguli ya Nokia.
Soko ambalo kampuni ya Vivo inaweza kulikosa huko ulaya ni lile la ujerumani ambalo ni moja kati ya masoko makubwa sana katika maswa... |
null | ## Hii ni moja katika ushirika mkubwa sana ambao umeshawahi kutokea unaohushisha kampuni ya simu za Nokia, HMD Global na kampuni ya Zeiss
Zeiss inasifika sana katika kutengeneza kamera na hata hapo mwanzo Nokia ilikua haijaweka wazi kwanini iliamua kuichagua kampuni hiyo kuwa kama mshirika wake katika hili.
Vyanzo m... |
null | ## Kampuni ambayo inamiliki chapa ya Nokia, HMD Global imekuja na simu tatu, simu hizi sio ngeni (tulishaziona zamani) lakini zinakuja na vipengele vipya kabisa.
Hapa ni kama kumbukumbu sio? Simu hizo tatu ni Nokia 8210 4G ambayo hii inaenda sambamba na Nokia 8210 ya mwaka 1999 kwa muonekano kasoro vipengele tuu.
Si... |
null | ### Nokia G11 ni simu janja iliyozinduliwa lakini haikuwa na shamrashamra za matangazo kuhusiana na uzinduzi wake na badala yake watu walishangaa kuikuta kwenye tovuti ya Nokia kama bidhaa yao mpya.
Simu hii inafanana kwa karibu kabisa na Nokia G21 katika maeneo mengi tuu lakini utofauti wake unaonekana zaidi kwenye ... |
null | ### Kwa miaka kadhaa sasa simu janja za Nokia zimekuwa kwenye ulingo wa ushindani na makampuni mengine ambayo nayo yanatoa rununu zinazovutia na zinazoendana na teknolojia ya kusasa. Nokia G21 imezinduliwa leo ikiwa imeboreshwa maeneo mbalimbali.
Simu janja hii ambayo imezinduliwa leo ni kuboresha toleo lililopita kw... |
null | ### Nokia Mobile kutambulisha simu mpya mwezi wa Oktoba. Kampuni ya HMD Global inaendelea na utengenezaji wa simu za Nokia, na Oktoba 6 tutegemee vitu vipya kutoka kwao.
HMD Global hawajatangaza vifaa vyote vitakazotangazwa ila tayari habari za chini chini zinasema kutakuwa na utambulisho wa simu janja ya Nokia G50 5... |
null | ### Mapema mwezi Mei mwaka huu Nokia ilitoa orodha ya simu zake ambazo zitapokea masasisho hivyo kuwea kuhamia Android 11 na miongoni mwa rununu hizo ni Nokia 5.4.
Wakati watu wengi wakisubiri ujio rasmi wa Android 12 kuna simu nyingi kadha wa kadha bado hazijaweza kuhamia kwenye toleo la sasa la programu endeshi la s... |
null | ### Katika ulimwengu wa simu janja Nokia wamekuwa wakijitahidi kufaya hishima waliyokuwa nayo miaka mingi iliyopita inarudi na kuendelea kuvutia watu wengi zaidi. Ukiongelea bidhaa mpya kutoka HMD Global hivi sasa basi ni Nokia XR20.
Teknolojia imekuwa hivyo mambo mengi yamebadilika kwenye sekta zima ya mawasiliano na... |
null | ### Katika simu ambazo bei yake hazishuki kwa wale ambao tunapenda “Simu ndogo” na zenye kutunza chaji muda mrefu hakika tunafahamu umaarufu wa Nokia 105.
Miaka miwili baadae HMD Global wameona ni wakati sahihi wa kutoa simu mbili bora zaidi ya watangulizi wake hapa naongelea Nokia 105 na 110 zote zikiwa na 4G nakini ... |
null | ### Biashara ya simu janja kwa upande wa Nokia imeendelea kushamiri ambapo Nokia G20 imetoka ikiwa imewekwa mengi ya ambayo yanafanya kuiweka kampuni hiyo kwenye ushindani.
Kwa miaka mingi tuu nimekuwa mpenzi wa simu janja za Nokia na tangu warudi kwenye ushindani wa soko la ushindani wamekuwa wakiuza zaidi ya rununu... |
null | ### Miaka mingi iliyopita (zaidi ya miongo miwili) simu za kukunja na kufunua zilikuwa maarufu sana lakini pia ghali. Kwa mara nyingine HMD Global wametoa Nokia 2720.
Katika utangulizi wangu nimesema “*Kwa mara nyingine tena*” kwa sababu moja tu kuwa mwaka 2019 walitoa simu yao ya kwanza katika teknolojia ya kisasa il... |
null | ### Baada ya kufanikiwa kuliteka na kulimiliki soko kwa takribani muongo mmoja ghafla taratibu mauzo yanapungua na kuanguka kabisa sokoni. Inashangaza na kushtua kidogo kuona kampuni kubwa ya simu ya Nokia iliyojizolea umaarufu mkubwa sana duniani ikitapatapa walau kupata asilimia ndogo tu yaani angalau asilimia moja y... |
null | ### Kampuni ya Nokia yenye makao makuu yake nchini Finland kwa wakati huu inatoa simu ambazo zinatumia mfumo endeshi wa Android. Hii ni baada ya kampuni hio kuachana na mfumo endeshi wa Windows.
Nokia C2 ni moja ya simu zao katika bei ya chini zenye ubora mzuri na thamani kwa gharama yake. Kutokana na ukuaji wa teknol... |
null | ### Nokia Mobile wametambulisha simu mpya mbili wiki hii, nazo ni Nokia 6300 4G na Nokia 8000 4G. Hizi ni simu mpya ambazo bado zinatuletea yale maumbo ya simu zilizofanya vizuri sana miaka ya nyuma kutoka Nokia.
Tofauti kuu kwa sasa hizi ni simu mpya na ni za kisasa kwenye eneo la kiteknolojia.Ingawa simu hizi zinaka... |
null | ### Wengi wetu na dunia nzima kwa ujumla inafahamu kuwa tayari Android 11 imeshatoka na simu janja mbalimbali zimeshaanza kufahamika ni lini zitapata taarifa fupi ya kuweza kupakua toleo jipya la programu endeshi na pengine watumiaji wa rununu (Nokia) walikuwa wanajiuliza pia.
Miaka ya 90 hadi 2000 simu za Nokia zilik... |
null | ### Baada ya kukifunga kiwanda chake kimoja kwa muda kutokana na Corona, Nokia waliamua kukifungua tena hivi karibuni kutokana na maambukizi kupungua. Wiki hii wamejikuja wakikifunga tena kiwandao hicho baada ya wafanyakazi wengine 42 kukutwa na maambukizi ya Corona.
Kiwanda hicho cha vifaa vya mawasiliano kinachomil... |
null | ### Shirika la Nokia (Nokia Corporation) la nchini Finland ni moja ya mashirika kongwe duniani katika sekta ya mawasiliano.
Unaweza kuwafahamu zaidi enzi zao za kutuletea simu za Nokia ila tambua shirika hilo lina biashara nyingi zaidi kwenye sekta ya mawasiliano zaidi ya utengenezaji simu kwa sasa. Na simu zao kwa sa... |
null | ### Kwa yeyote ambae alipenda kusikiliza muziki kwenye simu miaka ya 2007 na kuendelea lazima atakuwa anaikumbuka Nokia 5310 Xpress Music.
HMD Global wameendelea kuwakumbusha watu zaidi ya muongo mmoja nyuma kwa kurudisha machoni pa watu simu ambayo iliwahi kupendwa na wengi kutokana na uwezo wake wa kutoa muziki kwa ... |
null | ### Simu ya Nokia 7.2 ipo njiani kuingia sokoni na inakuja ikiwa na moja ya kamera ya kiwango cha juu katika simu janja kwa sasa.
Kampuni ya HMD Global inayotengeneza simu za Nokia na kumiliki hatimiliki ya kutumia jina hilo imezidi kujikita katika kuhakikisha wanatengeneza simu zenye kiwango cha hali ya juu. Baada ya... |
null | Kila leo kuna simu mpya/toleo jipya la simu linatoka likilenga wateja...
HMD Global ambao tayari wana bidhaa mblaimbali ambazo zinabeba jina la Nokia...
Kama umekuwa mfuatiliajo mzuri wa simu janja zinazobeba jina la Nokia...
Makampuni kadha wa kadha isipokuwa Apple wamejitahidi kuhakikisha bidhaa zao...
Mabishano ... |
null | Hivi karibuni Nokia iliamua kufufua na kuirudisha sokoni simu yake iliyotamba...
Nokia ni simu ambazo zilipata umaarufu sana hapo mwanzo na kuwa ndio namba moja...
Ndio, ndio kwa kishindo kabisa kampuni ya Nokia imerudi tena na sasa simu janja...
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye simu ya kwanza ya Nokia ipo mbi... |
null | AndroidBlackberryIntanetiIPhoneNokiasimuwhatsapp WhatsApp: Inatumika Kupitisha Ujumbe Bilioni 10 Kwa Siku! teknokona August 25, 2012 Leo, WhatsApp imetangaza kupitia Twitter kwamba programu yao maarufu ya... |
null | ### Katika ulimwengu wa kisasa, simu janja ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Kutoka kwa sababu za mawasiliano, urambazaji, hadi burudani, vifaa hivi tunavitumia mara kwa mara. Moja ya changamoto kubwa katika matumizi ya simu janja ni kudumisha ubora wa betri ya simu yako.
*Inaweza ikawa umewahi kusikia vid... |
null | ### Polisi Tanzania imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali kuweza kukabiliana na wale ambao wanabainika kutumia vibaya mitandao ya kijamii.
Kundi hilo ambalo lina jukumu la usalama wa raia na mali zake imeweka wazi mpango wake wa kuwasaka viongozi wa makundi ya WhatsApp ambao wanaendesha mtandao huo kwa mambo yasiyofaa... |
null | ### Wanawake wamekuwa wakifanya kazi katika sekta mbalimbali hivyo kuleta mchango wa katika ukuaji wa uchumi wa taifa husika na kuwa mojawapo ya nguvu kazi na mtu muhimu kwa maendeleo ya nchi. Je, wanawake kwenye masuala ya teknolojia wapo?
Wanawake ni kundi ambalo wamekuwa wakijichanganya kwenye sekta mbalimbali amb... |
null | ### Kampuni ya mawasiliano ya Smile Telecom nchini Uganda imeamua kuwalipia kodi ya kila siku ya shilingi 200 za Uganda kwa wateja wake wote kwa muda wa miezi mitatu ili waweze kutumia mitandao ya kijamii.
Serikali ya Uganda kuanzia Julai Mosi mwaka huu imeanza kulipisha wananchi wake wote kodi kwa kila mwenye kutaka... |
null | Katika ulimwengu wa kisasa, simu janja ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila...
Umoja wa Ulaya umetangaza kanuni mpya itakayotaka simu zote zinazouzwa katika...
Betri ya simu kuisha chaji haraka limekuwa tatizo kubwa kwa watumiaji wa...
Umewahi kujiuliza ni kwanini huwezi kutoa betri kwenye simujanja za kisasa kwa... |
null | Kudukuliwa kwa akaunti yako ya Instagram kunaweza kuwa tukio la kusikitisha na...
Katika ulimwengu wa kisasa, simu janja ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila...
Tunaweza kupoteza vifaa vyetu vya kielektroniki, pia vinaweza kuibiwa, je...
Hivi katika pita pita zako katika mitandao ya kijamii haujawahi kukutana na.... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.