name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | ### Tecno Spark 5 ni mojawapo kati ya simu toka kampuni ya Tecno ambayo ina thamani nzuri kwa gharama yake ya manunuzi.
Kama kawaida kwa kampuni ya Tecno, huduma yao kuu ni kwa wateja wa viwango vya chini na kati na simu hii ni moja kati ya machaguo mazuri kwa kundi hilo. Kutokana na ukuaji wa teknolojia Tecno wanaen... |
null | ### Simu ya Tecno Camon 16s ipo njiani kuingia sokoni. Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s muda wowote kuanzia sasa.
Camon 16s ni simu ambayo inakuja na teknolojia kubwa ya kamera na uwezo mkubwa utakaowanufaisha watumiaji katika shughuli zao za kiofisi na kiuchumi.
T... |
null | ### Simu za Tecno Spark zimekuwa kwenye midomo ya watu kutokana na sababu mbalimbali lakini hasa kwa kuziboresha kwa kuwa na muonekano wa kiushindani bila kusahau nguvu ya betri inayowekwa.
Miezi kadhaa nyuma ilitoka *Tecno Spark Power 2 Air* na ingawa si mpenzi wa rununu zinazobeba jina hilo nikavutiwa kutaka kuifaha... |
null | ### TECNO kama kawadia yao, wamekuja na kingine kipya, mara hii wamekuja na simu mpya ya TECNO Camon 15. Inajulikana wazi kuwa simu zao za matoleo ya camon zimejikita sana katika teknolojia ya picha.
Simu inakuja na kamera nne (4) ni simu chache sana sasa hivi ambazo zinakuja katika mfumo huu wa kamera. Najua una sha... |
null | ## Kampuni kinara ya simu za mkononi TECNO ndio kampuni inayosemekana na wadadisi wa masuala ya teknolojia ya simu kuwa huenda ndio itakayoleta teknolojia ya kamera ya simu ambayo kwa mara ya kwanza katika tasnia ya masuala ya simu janja Tanzania itakata kiu kwa watumiaji wa simu hizo hasa kwa upande wa kamera, betri n... |
null | ## Kampuni ya simu za mkononi TECNO imezindua duka kubwa la simu, maarufu *‘Smarthub’* jijini Arusha ambalo linatoa huduma mbalimbali.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka hilo mwishoni mwa wiki, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Bw. Benjamin Maneno ambaye pia alikuwa ndiye mgeni rasmi, alis... |
null | ## TECNO imeshiriki katika maonyesho ya teknolojia yanayojulikana kama **Consumer Electronics Show (CES)** kwa mwaka 2020. Katika maonyesho hayo kampuni hiyo ilikua na mengi ya kusema pamoja na hili la kuimarisha ushirikiano wake na kampuni ya Google.
Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro Kutoka TECNO hivi karibuni limewe... |
null | ### Tulishaandika uchambuzi wa kirefu kuhusu simu ya Tecno Phantom 9, leo tumekuandalia video inayoonesha nini utakuta ndani ya boksi jipya la simu ya hii.
Pia kuna video ya uchambuzi wa kifupi wa simu hii kutoka kwenye chaneli yetu ya YouTube.
### Je utakuta nini kwenye boksi la simu ya Tecno Phantom 9?
### Uchamb... |
null | ### Simu janja za Tecno zipo lukuki sokoni na zina wateja wengi sababu rahisi ni kwamba bei yake inahimilika (rahisi). Unakumbuka Tecno Phantom? Sasa ni toleo la kenda (9).
Wateja wengi wa simu janja wanaweza kuwa kwenye wakati mgumu hasa akiwa ni mpenzi wa rununu za Tecno kutokana na kwamba zipo nyingi sokoni vilevi... |
null | Ingawa soko la simu janja katika mwaka 2018 limeshuka duniani kote ni soko la...
Sote tunafahamu jinsi gani bidhaa za Tecno zilivyotapakaa nchi za Afrika kwa...
TECNO Mobile imeendelea kuimarisha msimamo wake kama bidhaa namba moja kwa simu...
Kampuni ya Transsion Holdings inayozalisha simu za Tecno na nyinginezo zi... |
null | ## Apple na Samsung ni makampuni makubwa sana katika nyanya ya kiteknolojia, ukiachana na ufanyaji kazi wao pamoja katika maeneo mbalimbali bado wanabaki kuwa washindani.
Kwa miaka kadha wa kadha Samsung wao waliokua wanaongoza katika orodha ya mauzo ya simu janja nyingi huku Apple wakifuatia katika orodha.
Mchuano ... |
null | ## Kampuni ya vifaa vya elektroniki na utengenezaji wa simu janja Xiaomi, inatarajia kuzindua mfululizo mpya wa simu janja za Redmi Note 12, nchini Tanzania Aprili 20, 2023.
Kampuni hii — Xiaomi — kubwa ya teknolojia imekuwa ikifanya vizuri katika ubunifu wa simu zake, na mfululizo huu wa simu za Redmi Note 12 sio to... |
null | ### Tafiti za Cisco imeonyesha uwezekanano wa vifaa vinavyotumia iOS na Mac kudukuliwa kwa kutumia file lililo katika mfumo wa picha la lenye kirusi.
Utafiti huo umebainisha kuwa **file lililo katika mfumo wa TIFF linaweza likatumwa kwa njia ya MMS, barua pepe au likawekwa kwenye tovuti fulani halafu mtu akaongozwa k... |
null | ### Kama ni mfuatiliaji mzuri wa TeknoKona basi utagundua kuwa habari hii iliandikwa toka mwanzo na kwa sasa nakupa mawili matatu juu ya pale ilipofikia.
Soma Hapa ili kujua kiliandikwa nini awali.
Kampuni ya Essential Products Inc ambayo inamilikiwa na mmoja kati ya waanzilishi wa Android, Andy Rubin imesema kuwa i... |
null | Apple na Samsung ni makampuni makubwa sana katika nyanya ya kiteknolojia,...
Oppo ni kampuni kubwa sana ambayo inajihusisha na teknolojia nyingi ikiwemo...
Watumiaji wengi wa simu wamekuwa wakilalamika simu zao kujaa mapema na wengi...
Oppo ni chapa kubwa sana ya kutengeneza na kuuza simu, ni moja kati ya...
Fununu... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45535 |
null | ## Apple na Samsung ni makampuni makubwa sana katika nyanya ya kiteknolojia, ukiachana na ufanyaji kazi wao pamoja katika maeneo mbalimbali bado wanabaki kuwa washindani.
Kwa miaka kadha wa kadha Samsung wao waliokua wanaongoza katika orodha ya mauzo ya simu janja nyingi huku Apple wakifuatia katika orodha.
Mchuano ... |
null | ### Kwa sasa simu za iPhone 6, Samsung Galaxy S6 Na HTC One M9 ndio simu za juu kabisa zinazoshika bendera katika makampuni hayo husika, na pia zina muamko mkubwa sana katika soko
### Wateja wa simu janja hujaribu kuzilinganisha simu hizi kutokana na mapendekezo yao na nini wanategemea katika simu hizo. Japokuwa kuna... |
null | ### Huko jijini Barcelona kampuni ya Samsung imetambulisha simu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana. Hapo jana wametambulisha rasmi Samsung Galaxy S6 na Galaxy S6 Edge.
### Jambo kubwa sana ni kwamba toleo la Galaxy S6 limebadilisha kabisa muonekano wa familia za simu za Galaxy S kulinganisha na zilizopita. Mambo maku... |
null | ### Siku chache zilizopita nilifanikiwa kuwa karibu na simu janja ya Tecno Phantom Z Mini na ninaweza kusema imenipa kila sababu ya kujipanga ili nami niimiliki. Simu hii imeingia rasmi sokoni mwishoni mwa mwaka 2014.
### Phantom Z Mini (V7) imetolewa baada ya mafanikio makubwa ya toleo la Phantom Z liloingia sokoni m... |
null | ### Tangia Samsung watoe simu janja za kujikunja na kulishangaza soko moja kwa moja makampuni mengine mengi nayo yaliingia katika soko hilo.
Makampuni Kama Motorola, Oppo hata Google waliona nao wasibaki nyuma waingie katika soko hili kwa miguu miwili kabisa katikakufuata nyendo za Samsung.
Licha ya makampuni yanayo... |
null | ### Kwa mujibu wa Bloomberg, kampuni ya kutengeneza vifaa vya kielektroniki zikiwemo simu za mkononi ya HTC inatarajia kuuza sehemu au biashara yake yote.
### Kampuni ya HTC imejijengea umaarufu mkubwa kwa kutengeneza simu janja (Smartphones) kwa miaka kadhaa iliyopita.
Kutokana na kukua kwa ushindani kutoka kwa Sams... |
null | ### Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Uganda sasa watatozwa ushuru mpya ili kuzuia kile ambacho rais Yoweri Museveni anataja kama “*Lugambo*” (umbea).
WhatsApp, Facebook, Twitter, Skype na Viber ni miongoni mwa mitandao inayolengwa kwakua ndio hutumiwa na raia wengi nchini Uganda. Inadaiwa kuwa hatua hiyo imech... |
null | ### Ushindani katika kupunguza gharama za huduma ya maongezi ya simu Tanzania inazidi kupamba moto na wateja kuzidi kunafaika. Kampuni ya Vodacom hii leo imebadili mfumo wa huduma ya Cheka Nao.
Kabla huduma hiyo ilikatika itakapofika saa sita usiku bila kujali mteja alijiunga saa ngapi siku hiyo. Kwa sasa huduma hiyo... |
null | AppleSamsungsimuSmartphonesTabiti Kioo Cha Kwanza Cha Apple Cha Kujikunja Kitakua Cha Samsung! Hashiman (@hashdough) Nuh December 12, 2023 Tangia Samsung watoe simu janja za kujikunja na kulishangaza soko moja kwa moja...
SamsungsimuSmartphones Samsung Haina Mpango Wa Kutengeneza Simu Za Kujikunja (Fold/Flip) Za Bei R... |
null | Tangia Samsung watoe simu janja za kujikunja na kulishangaza soko moja kwa moja...
Samsung ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika swala zima la kutengeneza...
Kuna makampuni mengi ya simu ambayo yanafanya vizuri katika soko la nchini...
Google ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika nyanya ya teknolojia... |
null | Tangia Samsung watoe simu janja za kujikunja na kulishangaza soko moja kwa moja...
Ukiachana na vitu vingi ambavyo kampuni ya Samsung inasifika kutengeneza kama...
Kama unahisi teknolojia ya vioo vya kujikunja haijakuacha mdomo wazi pengine...
Kwa sasa simu janja zipo katika ukubwa wa aina tofauti tofauti. Je, ukubw... |
null | Tangia Samsung watoe simu janja za kujikunja na kulishangaza soko moja kwa moja...
Kuna makampuni mengi ya simu ambayo yanafanya vizuri katika soko la nchini...
Ukiachana na vitu vingi ambavyo kampuni ya Samsung inasifika kutengeneza kama...
Kumbuka kwa soko la sasa kampuni ya Samsung ndio imeshika soko la simu janj... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45478 |
null | ### Tangia Samsung watoe simu janja za kujikunja na kulishangaza soko moja kwa moja makampuni mengine mengi nayo yaliingia katika soko hilo.
Makampuni Kama Motorola, Oppo hata Google waliona nao wasibaki nyuma waingie katika soko hili kwa miguu miwili kabisa katikakufuata nyendo za Samsung.
Licha ya makampuni yanayo... |
null | ## OnePlus kwa sasa ni kampuni ambayo inasifika vikubwa kwa simu janja zake ambazo zimeingia katika soko na kuwa ni mshindani mkubwa sana hata kwa makampuni makubwa.
Ni wazi kuwa imefanya vizuri sana katika soko la simu janja na kwa sasa inajiaandaa dhahiri kuingia katika soko la tabiti ikifika mwaka 2023.
Kwa taari... |
null | ### Tableti ya HTC A101 ni tableti mpya mjini. Kampuni ya HTC kuna kipindi ilikua imeshika chati kwenye soko la simu ikishindana na Samsung.
HTC bado hawapo nyuma, wametambulisha tabiti mpya huku wakiwa na mipango kadhaa, moja kati ya mipango yao juu ya tabiti hii ni kwamba imeandaliwa mahususi kwa soko la afrika.
T... |
null | ## Kwa haraka haraka dhumuni linaweza kuwa ni kuja *kuichachafya *Samsung, lakini nadhani OnePlus wana sababu nyingi ukiachana na hii.
Fununu zilizopo ni kwamba tabiti hiyo itajulikana kama OnePlus Pad. Kwa upande wa OnePlus wenyewe bado hawajathibitisha hili kwamba wanakuja na tabiti ya Adroid
Kusoma taafifa hizo z... |
null | ### Panasonic ni moja ya makampuni ambayo bidhaa zake hasa za kiganjani hazijaenea katika nchi za Afrika kulinganisha na washindani wengine na hivi karibuni imezindua tabiti mbili kwa mkupuo.
Tabiti ambazo zimezoeleka na hata kupatikana kwa wingi ni za Huawei, Tecno, Samsung, Vodafone, n.k lakini ni nadra sana kumkut... |
null | Sio simu zote za Samsung zimepata au zitapata masasisho ya programu endeshi...
Samsung ambao wamekuwa wakifanya vizuri kwenye soko la ushindani bado...
Panasonic ni moja ya makampuni ambayo bidhaa zake hasa za kiganjani hazijaenea...
Mfululizo wa matoleo ya simu za familia ya Moto Z Play siku zote yameleta usawa...
... |
null | PanasonicsimuTeknolojia Gharama za vioo vya OLED kupungua Mato Eric August 26, 2018 Makampuni mengi yamekuwa yakiachana polepole kutumia vioo ya LCD na kuhamia...
AndroidOreoPanasonicsimuTabitiTeknolojiaUchambuzi Panasonic yazindua tabiti mbili kwa mara moja Mato Eric July 27, 2018 Panasonic ni moja ya makampuni ambay... |
null | ## Kampuni ya Realme inamilikiwa na kampuni moja ambayo inamiliki simu za Vivo na Oppo ambayo inajulikana kwa jina la **BBK Electronics**
Kampuni hii ni kubwa na ina chapa nyingi ambazo zinajihusisha moja kwa moja na bidhaa za kiteknolojia na nyingi zinafanya vizuri.
Simu za Realme zimetangazwa kufikia malengo yake ... |
null | ### Kwa sasa simu janja zipo katika ukubwa wa aina tofauti tofauti. Je, ukubwa wa simu janja una tija kweli au sio kitu cha msingi kama vile kampuni nguli la Nokia linavyosema?
Pengine kwa wengine umbo ni kitu cha muhimu zaidi katika simu. Vipi kuhusu na teknolojia ya ndani ya simu hiyo lakini? Ni jambo la msingi kuwa... |
null | ### Hivi sasa ukenda kwenye maduka ya Samsung utakutana na simu janja Samsung Galaxy Note 9 ambayo ilitoka mwezi Agosti 2018. Mwaka huu tayari taarifa mbalimbali zimeshaanza kuenea kuhusu toleo lijalo kutoka familia ya “Galaxy Note”.
Ni karibu miezi kenda (9) imepita sasa tangu dunia ifahamu rasmi kuwa kuna Samsung G... |
null | RealmesimuSmartphones Realme Imesafirisha Simu Milioni 200. Nyingi Zikiwa Ni Nje Ya China Mpaka Sasa! Hashiman (@hashdough) Nuh November 27, 2023 Kampuni ya Realme inamilikiwa na kampuni moja ambayo inamiliki simu za Vivo na...
RealmesimuTeknolojia Yafahamu ya muhimu kuhusu simu janja Realme Narzo 30 5G #Uchambuzi And... |
null | Kampuni ya Realme inamilikiwa na kampuni moja ambayo inamiliki simu za Vivo na...
Ni wazi kwamba soko la simu janja linatawaliwa na chapa nyingi sana za simu za...
Hata kama siyo mtaalamu wa teknolojia, naamini unatumia simu na unazijua...
Ili simu iendelee kutumika kwa mda mrefu inahitaji iwe na chaji ya kutosha,..... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45436 |
null | ## Kampuni ya Realme inamilikiwa na kampuni moja ambayo inamiliki simu za Vivo na Oppo ambayo inajulikana kwa jina la **BBK Electronics**
Kampuni hii ni kubwa na ina chapa nyingi ambazo zinajihusisha moja kwa moja na bidhaa za kiteknolojia na nyingi zinafanya vizuri.
Simu za Realme zimetangazwa kufikia malengo yake ... |
null | ## Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya kutengeneza na kuuza simu.
Simu nyingi huwa zinauzika sana na mara nyingi soko hilo ni gumu maana bidhaa nyingi ambazo zinauzika basi asilimia kubwa zinatoka hapo hapo china au nchi zingine za bara la asia.
Kumbuka makampuni haya yapo... |
null | ### Muanzilishi wa kampuni ya Apple watengenezaji wa simu maarufu za iPhones, tableti za iPad na kompyuta za Mac alikuwa ni mtu maarufu na mwenye misimamo mbalimbali ambayo kwa kipindi kingine ilikuwa ni vigumu kumbadilisha. Ila ni kutokana na misimamo yake mbalimbali ndiyo iliyosaidia kwa kiasi kikubwa kuleta mafaniki... |
null | ### Kwa sasa kasi kubwa ya maendeleo ya teknolojia inaonekana kuzidi mno katika kila nyanja ili kurahisisha maisha ya mwanadamu.
Pamoja na kukua huko lakini kuna hatari ya kupunguza ajira za watu wengi makazini. Huko nchini Uturuki tayari wamezindua usafiri wa treni ziendazo kasi na zisizotumia Dereva. Zinajiendesha z... |
null | Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya...
China safari hii imekuja kivingine, kwa sasa imetoa tamko kuwa waandaaji wa App...
India ni moja kati ya nchi ambazo zinathamini sana ulinzi na usalama haswa ule...
Hapa kuna mambo mengi sana lakini makubwa ni kwamba Amazon inafuga du... |
null | HarmonyOS ni programu endeshi maarufu kabisa ya Huawei ambao ni magwiji kabisa...
Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya...
Huawei ina program endeshi (OS) ambayo sio Android na imeendaliwa rasmi katika...
Programu endeshi (HarmonyOS 2.0) ambayo haijafikisha hata miezi mitatu... |
null | Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya...
Soko la simu janja za kujikunja linazidi kutanuka kwa kiasi kikubwa,...
Honor ni chapa ambayo mara ya kwanza kabisa ilikua inamilikiwa na kampuni ya...
Mauzo ya simu janja nchini Uchina katika robo ya nne ya mwaka 2021 yameshuka...
T... |
null | Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya...
Vivo ni moja kati ya kampuni kubwa sana ya kutengeneza na kuuza simu na kwa...
Utengenezaji na Uuzaji wa simu janja ni moja kati ya soko kubwa sana na mara...
Vivo ni moja kati ya Makampuni makubwa sana katika maswala mazima ya...
Pe... |
null | Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya...
Xiaomi 14 Series zinasubiriwa kwa hamu katika soko na kwa taarifa zilizopo ni...
Utengenezaji na Uuzaji wa simu janja ni moja kati ya soko kubwa sana na mara...
Kampuni ya vifaa vya elektroniki na utengenezaji wa simu janja Xiaomi,...... |
null | Facebook
Email or phone
Password
Forgotten account?
Sign Up
Notice
You must log in to continue.
Log in to Facebook
Log in
Forgotten account?
Create new account
English (UK)
Polski
Español
Français (France)
Italiano
Lietuvių
Română
中文(简体)
Português (Brasil)
Deutsch
العربية
Sign Up
Log in
Messenger
Facebook Lite
Video
Pl... |
null | End-to-end encryption and privacy controls.
Message and call for free* around the world.
Group conversations made simple.
Say it with stickers, voice, GIFs and more.
Reach your customers from anywhere.
https://teknolojia.co.tz/?p=45428 |
null | ## Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya kutengeneza na kuuza simu.
Simu nyingi huwa zinauzika sana na mara nyingi soko hilo ni gumu maana bidhaa nyingi ambazo zinauzika basi asilimia kubwa zinatoka hapo hapo china au nchi zingine za bara la asia.
Kumbuka makampuni haya yapo... |
null | ### Programu endeshi (HarmonyOS 2.0) ambayo haijafikisha hata miezi mitatu tangu ipelekwe kwa wateja imeendelea kupaa kwa maana ya kuwafikia watumiaji wengi kwa kasi ambayo haikutegemewa; hivi sasa tunaongelea simu janja 90 milioni.
Huawei ambao wanajivunia na kuwa cha kwao wenyewe lakini pia kuleta ushindani kwenye u... |
null | ### Katika programu endeshi kubwa hivi sasa HarmonyOS ni miongoni mwao ambao hadi sasa imeshafikisha watumiaji milioni 70 huku namba hiyo ikitarajiwa kusogea mara dufu.
Habari za HarmonyOS zilianza kuvuma mwaka 2019 wakati na dunia ikafahamu kuwa Huawei wanajipanga kuja na kitu chao wenyewe kwenye ulimwengu wa teknolo... |
null | ### Kwenye ulimwengu wa sasa teknolojia ya kuchaji haraka imeshika kasi kwea makampuni mbalimbali kutoa simu janja ambazo zina uwezo wa kuhimili kujaza umeme kwenye betri ndani ya muda mfupi.
Mimi ni mmoja wa wafuasi wanaopenda sana kifaa cha kidijiti kitumie muda mfupi kuchaji na katika hilo basi pale ambapo mtu atan... |
null | ### Katika simu ambazo zimezungumziwa kwa miezi kadhaa hakika huwezi kuacha kuitaja Honor 50 pamja na wenzake kutoka familia na sasa baada ya fununu tarehe ya uzinduzi wa bidhaa hizo yafahamika.
Honor 50 pamoja na wenzake kwa maana ya Honor 50 Pro, 50 Pro+ zimekuwa zikitajwa kutoka hivi karibuni lakini pia taarifa zik... |
null | ### Kipuri mama Snapdragon 778G leo kimezinduliwa rasmi ambapo kinakuja mahususi kwa ajili ya rununu za uwezo wa kati lakini pia ambazo zina teknolojia ya 5G.
Makampuni mengi hivi sasa yanajitahidi kutengeneza simu janja zenye teknolojia ya 5G ambapo Snapdragon 778G inaelezwa ufanisi wake umeongezeka kwa 40% zaidi na ... |
null | ### Biashara ya utengenezaji na uuzaji wa simu za Honor imeuzwa na kampuni ya Huawei. Kuanzia sasa simu zinazobeba jina hilo hazitatengenezwa wala kuuzwa na kampuni ya Huawei.
Katika uamuzi unaonekana kuja kutokana na madhara ya vikwazo walivyowekewa na serikali ya Marekani, kampuni ya Huawei imeamua kuuza biashara nz... |
null | ### Kwa miaka kadhaa kampuni nyingi tu duniani zimekuwa ziktoa simu mbili/kila moja kwa wakti wake lakini ambazo zinatoka familia moja. Huawei ambao ndio wamiliki wa bidhaa zinazobeba jina la “Honor”, wametoa Honor 10 Lite baada ya mtangulizi wake kutoka mwezi Januari 2019.
Ukifuatilia kwa karibu makampuni ambayo yan... |
null | ### Honor ni bidhaa ambazo zipo chini ya Huawei Technologies na ni moja ya simu ambazo zinaiweka kampuni husika kwenye ushindani mzuri kila mara takwimu zinapotolewa.
Huawei wameamua kuanza mwaka 2019 kwa kutoa *Honor View 20* (V20) ambayo inatazamiwa kupendwa na wengi kutokana na sifa zake lakini hata bei yake inast... |
null | ### Simu za Honor zipo toleo tofauti tofauti ambazo tayari zipo sokoni na kuendelea kuleta ushindani. Hata hivyo, Honor Magic 2 ilizinduliwa bila ya wengi kutegemea.
Wakati wa tamasha la IFA lililofanyika jiji la Berlin-Ujerumani Afisa Mkuu Mtendaji wa Huawei alikuwa akizindua Huawei Play lakini ghafla akawashangaza ... |
null | ### Mwezi Septemba ulikuwa ni simu baada ya simu tukiwa tumeshazifahamu rununu kadha wa kadha ambazo zilitoka na moja kati ya hizo ni Huawei Honor 8X na 8X Max.
Mfululizo wa simu za Huawei Honor umekuwa ni wa kuvutia ambapo mpaka sasa wamefika toleo la nane na kwa ujumla ni rununu za kiwango cha kuvutia halafu kwa be... |
null | ### Vita katika kuifanya simu janja iweze kufanya kazi vyema ndio kitu ambacho kinafanya makampuni mbalimbali kutoa simu ambazo zina RAM kubwa na hivyo kufanya kuvutia watu wengi.
Katika hali iilyowashangaza wengi Huawei kwa mara ia kwanza kabisa kupitia bidhaa ambayo inauzwa chini ya yake nikimaanisha *Honor *imetoa... |
null | ### Baada ya kutoa simu ya rununu ya Honor 10, hatimaye Honor imezindua simu nyingine ya bajeti nafuu ya Honor Play 7. Simu hiyo imezinduliwa rasmi nchini Uchina.
Honor Play 7 inakuja na vipengele kadhaa vya kuvutia kikiwemo cha kamera ya mbele (Selfie) na kioo chenye kuonesha picha kwa ukubwa wa 18:9 na chenye tekno... |
null | ### Huawei ndio wanaomiliki bidhaa zinazobeba jina la Honor na wameendelea kutoa simu janja kwa mwaka 2018 na kuifanya kuwa ya kiushindani kutokana na bidhaa yenyewe kuwa na mashiko.
Simu janja ambayo imezinduliwa kutoka Honor ni *Honor 9i *(2018) ambayo inaifanya bidhaa yenye na kampuni mama kuendelea kuwa washindan... |
null | ### vivo V21 5G ni mojawapo ya simu janja zilizo kwenye ulimwengu wa 5G ambao unaonekana kushika hatamu kutokana na makampuni mengi kuonekana kutoa rununu za aina hiyo.
Niseme wazi tuu kwamba kampuni nyingi hivi sasa zinaweka nguvu kubwa katika kuhakikisha simu janja wanazotoa zinaendana na kasi ya ukuaji wa teknoloji... |
null | ## Katika makampuni nguli ya kutengeneza na kuuza simu kwa sasa huwezi kuiacha Xiaomi, ambayo ni kampuni maarufu sana kutoka china.
Mara kadha wa kadha kampui imekua ikitoa simu ambazo zinaleta ushindani na chachu ya hali ya juu katika soko. Kwa sasa kampuni iko mbioni kutoa matoleo ya Xiaomi 13.
Matoleo haya yatato... |
null | ## Xiaomi kwa sasa wana mpango wa kuja na matoleo mengi ya simu za Xiaomi 13, pengine hii ndio itakua simu yao shindani kabisa na simu zingine kwa muda wa mwaka mmoja.
Kwa fununu ambazo zinasambaa ni kwamba matoleo haya ya simu hizo yataanza kutambulishwa ndani ya mwezi novemba mwaka 2022.
Mwaka 2021 kampuni ilizind... |
null | ### Kampuni ya Xiaomi wiki iliyopita ilitangaza simu zao mpya, aina ya **Xiaomi 12S**, Walitangaza matoleo matatu ya simu hizo, zikiwa ni **Xiaomi 12S**, **Xiaomi 12S Pro** pamoja na **Xiaomi 12S Ultra**. Malengo hasa katika matoleo hayo ni kuboresha kamera za simu zao, wakitumia msemo wa **“Capture The Moment”**, huku... |
null | Kampuni ya Xiaomi wiki iliyopita ilitangaza simu zao mpya, aina ya Xiaomi 12S,...
Katika matoleo ya simu, kampuni huweka umakini mkubwa katika toleo kubwa zaidi,...
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa makampuni yanayofanya biashara ya simu janja...
Baada ya Google, Samsung ilikuwa OEM ya kwanza kutoa sasisho la hivi pun... |
null | ### Katika matoleo ya simu, kampuni huweka umakini mkubwa katika toleo kubwa zaidi, kulijaza na sifa nyingi ambazo ndizo bora kwa wakati huo, ili kuifanya simu hiyo kuonekana bora zaidi ya ushindani. Kwa sasa, toleo hilo kwa kampuni ya Xiaomi ni simu yao ya **Xiaomi 12S Ultra**, ikiwa imejazwa sifa mbalimbali mbazo ndi... |
null | ### Mwaka huu Xiaomi 12 Ultra itatoka na simu hii inaonekana isiwe tofauti sana ile iliyotoka nyuma yake kwa maeneo mbalimbali yanayopendwa na watu.
Xiaomi 12 Ultra ni simu janja ambayo inazungumziwa kwa wingi na watu wanaofuatilia kwa karibu kutaka kufahamu undani wa rununu husika hata kabla haijatoka. Simu hii amba... |
null | ### Katika ulimwengu wa sasa simu janja ambayo inakuwa na kasi zaidi inayokea kujizolea sifa kwani ufanisi wake unakuwa umezidi rununu nyingine kwa nyanja mbalimbali. Xiaomi 12 inatajwa kuja kuwa simu janja yenye kasi zaidi duniani. Je, unafahamu sababu?
Inaposemwa kuwa simu janja kuwa na kasi kubwa moja kwa moja hapa... |
null | ### Mwezi Septemba una simu janja kadha kadha ambazo tayari zimeshazinduliwa na bado kuna nyingine zipo njiani kuja hivyo kuna vingi ambavyo bado hatujaviona kutoka makampuni mbalimbali. Redmi 10 Prime ni ingizo jipya ndani ya familia ya Redmi.
Ukizungumzia simu janja mpya kutoka kwenye familia ya Redmi basi Redmi 10 ... |
null | ### Xiaomi waamua kufungua ukurasa mpya na kuanzisha biashara mpya ambayo inaonekana kuendelea kupata soko kutokana na ukuaji wa teknolojia kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme.
Ktika hatua ya kutanua wigo wa biashara na kufikia wateja wapya kwenye biashara ambayo ndio mara yao ya kwanza kuifanya Xiaomi wamesaji... |
null | ## Ni wazi kwamba mara kwa mara tumeweza kuona simu na baadhi ya bidhaa kadha wa kadha kutoka kampuni ya Xiaomi zikiwa na nembo ya ‘Mi’
Msemaji wa Xiaomi amesema kuwa kwa bidhaa nyingi zijazo zitaachana na nembo ya Mi na zitakua na nembo jina ya Xiaomi.
Hii wamedai kuwa itawasaidi katika soko la dunia katika kuhakik... |
null | ## Mwezi juni niliandika kwamba kampuni ya Xiaomi imejitutumua na kushikilia nafasi ya pili katika soko la kutengeneza na kuuza simu duniani.
Soma Zaidi Makala Yangu Ya Nyuma –> Hapa <–
Ilishika namba hiyo baada ya kuipita Apple ambayo ilikua ikishikilia nafasi hiyo ya pili, huku Samsung ikiwa inashikilia nafasi ya ... |
null | ## Katika makampuni ya simu yenye sifa kedekede huwezi kuacha kulitaja Xiaomi, kampuni hii ni kubwa sana ambayo ina makao makuu huko nchini china.
Ukiachana na kuwa kubwa sana huko china hata duniani kote inafanya vizuri sana hali ambayo imepelekea makampuni mengine makubwa kama vile Apple na Samsung *kuogopa.*
Kuna... |
null | ### Katika 10 bora ya kampuni ambazo zinafanya vizuri kwenye mauzo ya jumla kwa miaka ya hivi karibu hakika huwezi kuwakosa Xiaomi ambao wamekuwa wakitoa rununu kadha wa kadha ikiwemo Xiaomi Redmi Note 10 Pro.
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu simu janja kutoka kwenye familia ya “Redmi Note” ambayo mp... |
null | ## Kwa teknolojia ya simu ilipofikia bado Xiaomi kutoka nchini china inaonyesha kuwa bado inapambana sana ili kuhakikisha kuwa inabaki katika nafasi za juu kabisa katika soko la simu na vifaa vyake.
Mwaka jana (2020) mnamo mwezi october iliweza onyesha simu ikitoka asilimia 0 mpka asilimia 100 ndani ya dk 19 wakati i... |
null | Xiaomi mwaka huu wameamua kuja na toleo jipya la simu janja ambalo limewekwa...
Xiaomi wanafahamika kwa kutoa simu janja mbalimbali zikiwemo zile zenye uwezo...
Xiaomi bado wanaendeleza msururu wa simu janja na kuna taarifa kuwa Redmi Note...
Kwenye soko la ushindani ukianza kutaka simu janja nzuri, zenye kuvutia ha... |
null | Simu zinazotengenezwa spesheli kwa ajili ya wanaopenda kutumia simu zao kwa...
Biashara ni ushindani na ukitaka kuweza kupenya soko na bidhaa yako kuuzika kwa...
Katika onyesho ambalo hufanyika mara moja kila mwaka (MWC19) likikutanisha...
Simu ya mkunjo wa display inakuja hivi karibuni. Kuanzia mwisho wa mwaka 2018... |
null | ## Asus ni kampuni ya kiteknolojia kutoka Tawain, kampuni inajihusisha na mambo mengi ikiwemo na kutengeneza na kuuza simu.
Simu zake ambazo ni toleo la Zenfone ndio zinakusadikika kwamba zitaachwa kabisa kutengenezwa huku wengi wakiwa wanahoji sababu zitakua ni zipi?
Kuna makampuni mengi ambayo yalikua yakitengenez... |
null | ### OnePlus ni kampuni inayosifika kwa kuja na simu zenye sifa za kipekee sana, wanalenga kushindana na simu bora zaidi zilizo sokoni, na sasa wamekuja na kitu cha kitofauti. Kupitia OnePlus Ace 2 Pro wameleta teknolojia mpya, teknolojia ya kuwezesha kutumia simu yako ata kama mikono yako imelowa.
Kwa muda mrefu sasa ... |
null | ## Sony ni moja kati ya chapa kubwa sana katika ulimwengu wa teknolojia, chapa hii ina bidhaa nyingi halikadhalika na bidhaa ya simu.
Kwa haraka haraka ni kwamba kwa upande wa simu kampuni ya Sony haifanyi vizuri sana kama zamani lakini hiyo haimaanishi kwamba kampuni halina wateja katika soko.
Ni makampuni mengi sa... |
null | ## Nothing Phone ni moja kati ya simu janja ambazo ziliingia katika soko na kushangaza wengi…wengi walikua wakishangazwa na muonekano wake wa nje.
Nothing Phone wao ni wageni kabisa katika soko la simu janja na baada ya simu yao ya kwanza kufanya vizuri sasa wako katika hatua za kulitoa toleo la pili la simu yao.
Ni... |
null | Nothing Phone ni moja kati ya simu janja ambazo ziliingia katika soko na...
Nothing Phone (1) ililiteka sana soko na kuacha wengi midomo wazi kwani ilikuja...
Nothing ni kampuni ya simu na vifaa vya kielektroniki, miezi kadhaa iliyopita...
Wiki iliyopita, kampuni ya Nothing ilizindua bidhaa yao ya pili, ikiwa ni sim... |
null | iPhone inazidi kutoa matoleo ya simu zake tuu, na mwaka huu tunategemea toleo...
Biashara ziko nyingi na za aina mbalimbali na kila siku zinaanzishwa biashara...
Mara nyingi sana utamsikia mtu anasema simu yake imekufa au imeharibika gafla...
Ni wazi kwamba kwenye soko la simu janja za kukunja na kukunjua Kampuni ya... |
null | ## Simu janja za ule mfumo wa kujikunja (fold) ziliingia katika soko na mapokezi yake sio mabaya hii inaonyesha dhahiri kwamba kwa kipindi kijacho soko lake litapanuka zaidi.
Mwaka 2022 ndio mapinduzi makubwa yalifanyika kuhisiana na simu hizi –fold– na kingine ni kwamba mpaka sasa bado kampuni ya Samsung imeshika us... |
null | Watumiaji wengi wa simujanja/smartphones zenye programu endeshi ya Android...
Unaweza ukamtumia mtu picha na ukashangaa anajua sehemu ulipo, ni kitu ambacho...
Samsung imekua ni moja kati ya kampuni ambalo linaingiza vifaa vya aina yake...
Ni wazi kwamba vifaa vinavyotumia chapa ya Google Pixel vinafanya vizuri sana... |
null | **Kampuni ya Samsung**ya nchini Korea yaipiku Nokia katika kuwa muuzaji namba moja wa simu duniani. Nokia waliipiku Motorola mwaka 1998 kushika namba nafasi hiyo na sasa takribani miaka 14 baadae nao wamepokonya nafasi hiyo ya ‘market leader’ na kampuni ya Samsung.
Samsung imekuwa namba moja katika idadi ya simu ilizo... |
null | Kwa watumiaji wa simu za Blackberry waliojiunga na Blackberry services wanafurahia huduma ya kutuma ujumbe wa maneno, sauti, picha pamoja na video kwa kutumia application ijulikanayo kama Blackberry Messenger (BBM) huduma ambayo imejipatia umaarufu mkubwa hasa kwa vijana.
Kama nilivyodokeza mwanzo huduma ya Blackberry... |
null | Kampuni kongwe inayojihusisha na utengenezaji wa simu za mkoni ya Nokia imetambulisha simu mpya mbili ambazo tayari zimeanza kupokea tathmini chanya kutoka kwa wataalamu mbali mbali wa maswala ya teknologia, simu hizo ambazo ni Nokia Lumia 800 pamoja na Nokia Lumia 710 zote zikiwa zinatumia mfumo wa uendeshaji (Operati... |
null | ### Suala la utumiaji wa simu na ugonjwa na kansa/cancer vimekuwa vikihusishwa sana. Lakini kulikuwa na kitu kimoja kilichokuwa kinakosekana, nacho ni utafiti mkubwa juu wa jambo hili.
Na sasa kutokana na utafiti wa muda mrefu nchini Denmark wa matumizi ya simu na matukio ya ugonjwa ya cancer imegundulika hivi vitu v... |
null | Simu ya iPhone 5 kutoka kampuni ya Apple imeweka rekodi ya kuwa Smartphone...
Kampuni ya Apple watengenezaji wa simu za iPhone, kompyuta za Mac na tableti za...
Leo, WhatsApp imetangaza kupitia Twitter kwamba programu yao maarufu ya...
Kampuni ya Sony ipo katika hatua za mwisho za kuleta mrithi wa smartphone...
Kam... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.