idx
int64
0
1.09M
lcs
stringlengths
1
272
similarity
float64
0.04
0.69
labse_similarity
float64
-0.07
0.98
en
stringlengths
7
481
sw
stringlengths
10
490
1,204
ay e pe ui.
0.22807
0.410679
Pray for the person to your (right/left).
Ingiza namba yako ya simu kwenye sanduku upande wa kulia.
1,079,526
(sa 3:10, 11, 29; Isaa 11:6-9; 35:5, 6; 65:21-23) Howeet euti a hh.
0.564516
0.910957
(Psalm 37:10, 11, 29; Isaiah 11:6-9; 35:5, 6; 65:21-23) However, other resurrections were to take place before that happens.
(Zaburi 37:10, 11, 29; Isaya 11:6-9; 35:5, 6; 65:21-23) Hata hivyo, ufufuo mwingine ungetukia kabla ya huo.
720,084
o oyaay kww o teind hik.
0.294118
0.649135
You probably already know whether you’re the kind of person for whom this would work.
Huenda unafahamu kwa kina jinsi mtu anavyojisikia kwa kitendo hiki.
360,644
ter h rsnt uin n inasin t n t ilgang n ard o ii e aKaliningrad an rimorie, a a o ornrasnodar o Rostov n.
0.465812
0.938334
After the President Putin agreed on increasing the number of the special gaming zones, such are expected to be set up within the Altay, Kaliningrad and Primorie, as well as on the border between the Krasnodar region and Rostov region.
Baada ya Rais Putin walikubaliana juu ya kuongeza idadi ya kanda maalum ya michezo ya kubahatisha, kama zinatarajiwa kuanzisha ndani ya Altay, Kaliningrad na Primorie, pamoja na juu ya mpaka kati mkoa Krasnodar na Rostov kanda.
1,205
hen e ke aee ae e aee saaei.
0.309278
0.601469
Then Moses spoke to the Israelites, and they took the blasphemer outside the camp and stoned him.
30 Kisha Musa akaenda akaingia kambini, yeye na wale wazee wa Israeli.
1,079,527
21 n sai to t o seen ou ie a a h a, manha sa a n n?
0.377622
0.859091
21 And said to the children of Israel : When your children shall ask their fathers, to morrow, and shall say to them : What mean these stones ?
21 Naye akawaambia wana wa Israeli: “Wana wenu watakapowauliza baba zao wakati ujao, wakisema, ‘Mawe haya yanamaanisha nini?’+
720,085
Satan irn an wnto u oe a n asas.
0.419753
0.880746
Satan is strong and wants to put disorder and unrest in your hearts and thoughts.
Shetani ana nguvu na anataka kutia moyoni na fikirani mwenu fujo na wasiwasi.
360,645
: ay, y or hai men o a sraiga ou a fahhwa ahamona om i a aas hia."
0.377049
0.719217
6:161 Say, "My Lord has guided me on to a straight path through an ever--true faith-- the way of Abraham, who turned away from all that is false and was not one of the idolaters."
Sema: "Kwa hakika, Mola wangu Mlezi ameniongoa kwenye Njia iliyonyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo mila ya Ibrahim aliyekuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina."
1,206
oasenionea ees n us us.
0.373134
0.883984
Today's environmental challenges need all of us, not half of us.
Changamoto za mazingira za leo zinahitaji sisi sote, sio nusu yetu.
1,079,528
hn a ip me h e.
0.296296
0.651459
Then carry it out upon me and do not show me respite.”
Kisha nihukumuni, wala msinipe muhula.
720,086
a oa,
0.230769
0.877312
The health of the patient,
Afya ya wagonjwa,
360,646
e ul sb ha.
0.282051
0.561833
He would surely be hesitant.
Alihisi kuwa mwenye huzuni, bila shaka.
1,207
d wh s o a i, ai.
0.222222
0.428979
And when these Two Witnesses have finished their testimony, they are then killed.
Baada ya wawili hao kukosa kusoma, waliuawa.
1,079,529
e e ye ean an y anan h?
0.341463
0.773774
[33]Ye serpents, ye generation of vipers, how can ye escape the damnation of hell?
Ninyi nyoka, nyinyi kizazi cha nyoka, mnawezaje kuepuka laana ya jahanamu?
720,087
n e e aiin
0.212766
0.607968
And when he said “Children!
pale aliposema: "Watoto ni vipepeo vya Peponi."
360,647
nd wan m
0.277778
0.803828
And I want to remind the people of
Napenda kuwakumbusha wananchi kwamba
1,208
o saia i mse
0.292683
0.368723
of Isaiah concerning Himself
na Yuda Iskarioti ambaye alimsaliti Yesu.
1,079,530
he ak atritsm i alw t h s lai issi s assasi a dm i d.
0.361446
0.796732
The mask of patriotism is allowed to cover the most glaring inconsistencies; and the enemies, perhaps the assassins, of Othman now demanded vengeance for his blood.
Barakoa ya uzalendo inaruhusiwa kufunika ukiukaji wa utaratibu wa dhahiri kabisa; na maadui, labda wale wauaji, wa Uthman, sasa walidai kisasi kwa ajili ya damu yake.
360,648
t tat men wsoee oennt ita na a n a.
0.365385
0.913081
At that moment, I was completely broken—I couldn’t take it any longer and I at last broke down in tears.
Wakati huo, nilikuwa nimevunjika kabisa—sikuweza kuvumilia tena na mwishowe nikatokwa na machozi.
720,088
elw a pi).
0.285714
0.749463
Yellow Grease (typical) .
Zelenki ya kawaida (kijani kipaji).
1,209
82 ay ba a i h ad as.
0.353846
0.792594
82 If any turn back after this, they are perverted transgressors.
82.Na atakayegeuka baada ya hayo, basi hao ndio mafasiki.
1,079,531
rist a me e wl manin ta.
0.369863
0.818483
Christ has come to the world as a man, putting on the flesh to do battle.
Kristo amekuja duniani kama mwanadamu, amevaa mwili kupigana vita.
720,089
h d Diana.
0.434783
0.844307
The death of Diana.
Ya kifo cha Lady Diana.
360,649
h t t an im n.
0.322034
0.887133
The step by step process and the requirements are as under.
Mchakato wa hatua kwa hatua na mahitaji ni kama chini.
1,210
n e ain on h a a a waaio onwa.
0.369048
0.714019
And We rained on them a rain, and evil was the rainfor those who had been warned.
Na tukawanyeshezea mvua (ya mawe), basi ni ovu mno mvua (ya adhabu) ya waliyo onywa.
1,079,532
Professor Benan Kedar ebrew solar i sral, 9: “n my ingui reeachcc h h e ienrin n er gli inainowa New World Translation.
0.468992
0.91411
Professor Benjamin Kedar (Hebrew scholar in Israel, 1989): “In my linguistic research in connection with the Hebrew Bible and translations, I often refer to the English edition of what is known as the New World Translation.
Profesa Benjamin Kedar, msomi wa Kiebrania nchini Israel, alisema hivi mwaka wa 1989: “Katika utafiti wangu wa lugha unaohusu Biblia ya Kiebrania na tafsiri mbalimbali, mara nyingi mimi hurejezea chapa ya Kiingereza ya Biblia inayoitwa New World Translation.
720,090
owee i t a a iiindu.
0.308824
0.767901
However, God is not as man is; He is Sovereign God of the universe.
Lakini Yesu sio mwanadamu; Yeye ni Mungu katika mwili wa kibinadamu.
360,650
offth i ananaa.
0.296296
0.669382
We offer three different maintenance control packages.
Tunatoa tofauti tatu za uhifadhi wa nyanya.
1,211
ut as tching th , a i n n b n harig h u un , sa I a, an aa, an oob?
0.339367
0.814803
But as touching the dead, that they are raised; have ye not read in the book of Moses, in the place concerning the Bush, how God spake unto him, saying, I am the God of Abraham, and the God of Isaac, and the God of Jacob?
Kama kwa ajili ya ufufuo wa wafu, je, hamjasoma katika kitabu cha Musa, jinsi Mungu akamwambia, katika kichaka, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?
1,079,533
twol o.
0.228571
0.875663
"They two shall be one flesh."
“Hawa wawili watakuwa mwili mmoja.”
720,091
e ue e mmti h s h so.
0.293333
0.363505
We hurried the accommodations the day before, so we had to settle for that.
Lakini tumeona katika wiki zilizopita, kwamba tunaweza kuhimili vishindo.
360,651
n o o ak o ewa i ewa ini ote.
0.358696
0.76153
And I do not ask you any reward for it, my reward is only with the Lord of the Worlds.
Na sikutakini juu yake ujira, kwani ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
1,079,534
hat i t a ia i ti wo a t aaat u ua .
0.348624
0.583356
That is for them a disgrace in this world; and for them in the Hereafter is a great punishment” (Surah 5:33).
Hii utakuwa hizaya yao katika dunia hii, lakini katika wakati ujao watapata adhabu kali.
1,212
h ai s li
0.238095
0.359156
The Magic Is In Believing
Wachawi wana amini sana katika jambo hili.
720,092
l oat lestitetiing consin ty plugin(github.com/zestyping/THE LINESTRING PLUGIN) o GIS to nt aaosa lin io r .
0.581152
0.90264
To solve, or at least mitigate this, Ping wrote a conversion utility plugin(github.com/zestyping/THE LINESTRING PLUGIN) for QGIS to convert the Javarosa lines into proper Well-Known Text.
Kutatua, au angalau kupunguza hii Ping aliandika [Plugin utility plugin] (github.com/zestyping/THE LINESTRING PLUGIN) kwa QGIS kubadili mistari ya Javarosa katika nakala inayojulikana vizuri.
360,652
8 n ua n i a u au.
0.327273
0.818026
8 And you shall bring his sons and put coats upon them.
8 Kisha walete hao wanawe na kuwavika kanzu.
1,079,535
n any as e i u hata atiaeeiae e e y ntent rnet browser.
0.416667
0.807301
In any case, we inform you that you can activate or deactivate these cookies by following the instructions of your Internet browser.
Anyway, sisi kuwajulisha kuwa unaweza kuwawezesha au afya na biskuti hizi kufuatia maelekezo ya Internet browser yako.
1,213
uh earemn l ak nuea ea n nin lara aad a radioloia rin innir.
0.398734
0.881886
Such measurements help to make nuclear reactors and the handling of nuclear waste safer, and enhance radiological protection for citizens and the environment.
Vipimo kama hivyo husaidia kufanya athari za nyuklia na utunzaji wa taka za nyuklia ziwe salama, na kuongeza ulinzi wa radiolojia kwa raia na mazingira.
720,093
n ta i we i uw w ttt n hru"
0.3
0.627626
And that is why he said: "you will know the truth, and the truth will set you free" (Ibid.
Neno la siri: "Na mtajua ukweli na kweli utawafanya huru."
360,653
n enav is isi aniiu ooh o d a a lgo.
0.351852
0.911045
Any endeavor is impossible to scale and extremely difficult to accomplish if you don’t have a list of goals.
Jitihada yoyote haiwezekani kupima na vigumu sana kukamilisha ikiwa huna orodha ya malengo.
1,079,536
corin t amini, inti onati out, whee wmn ni minunnna we mt tiund e i y pee tadi meine.
0.349593
0.858537
According to Dlamini, in this conservative country, where women were considered minors until not long ago, wives must obey their husbands, even if they oppose ART or prefer traditional medicine.
Kwa mujibu wa Dlamini, katika nchi hii ya kihafidhina, ambako wanawake walionekana kama wasiokuwa na nafasi hadi hivi karibuni, wake lazima kuwaheshimu waume zao, hata kama wanapinga matumizi ya ART au wanapendelea matumizi ya madawa ya kienyeji.
1,214
a n blb.
0.25
0.933162
We had never believed in God before.
Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla.
720,094
a i M.
0.25
0.943468
He asked the Prime Minister.
Aliuliza Waziri Mkuu.
360,654
woe w e ea a hai.
0.318182
0.887047
The whole world is subject to death, because all have sinned.
Dunia nzima inakabiliwa na kifo, kwa sababu wote wamefanya dhambi.
1,079,537
t arti14/2015 oh o a Hague Netherland.
0.449438
0.841013
Next article2014/2015 fellowship Opportunities at the Hague Academy in Netherland.
Makala zilizotanguliaUshirika wa 2014 / 2015 Fursa katika Chuo cha Hague huko Netherland.
1,215
ad aoioe odesia in 1965
0.393443
0.899885
Land apportionment in Rhodesia in 1965
Ugawaji wa kimbari wa ardhi katika Rhodesia Kusini mnamo 1965
720,095
ill h ui af f te.”
0.328358
0.850357
Still others returned to “enquire after the health of the Prophet.”
Bado wengine walirudi “kujulia hali ya afya ya Mtume.”
360,655
he th id a t at.
0.314815
0.562169
They then issued a warrant for his arrest.
hao baada ya kuamuru ipigwe penalti dhidi ya timu yao.
1,079,538
27 or inee he a ik, mi a ea, b a nim an t hns n h u huni.
0.357955
0.849895
27 For indeed he was sick, coming near to death, but God had mercy on him and not on him only, but also on me, so that I would not have grief upon grief.
27 Ndiyo, kwa kweli, alikuwa mgonjwa karibu kufa; lakini Mungu alimwonea rehema,+ kwa kweli, hakumwonea rehema yeye peke yake, bali mimi pia, ili nisipate huzuni juu ya huzuni.
1,216
hankso oa sa, ri!
0.375
0.924921
Thanks for the words and inspiration, Trip!
Shukrani kwa ajili ya maneno na msukumo, safari!
720,096
ah again unin u ea nwi i.
0.318182
0.536408
Allah again turns kindly to such people, for Allah is All Knowing, All Wise.
Ni faradhi inayotoka kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi (na) Mwenye hikima".
360,656
NCS i a rat way m a mak w!
0.4
0.915724
NCS is a great way to meet new people and make new friends!
NCS ni njia nzuri ya kukutana na watu wapya na kufanya marafiki wapya!
1,079,539
e emie am a e h, ie h twateao.”
0.351064
0.673854
He remained calm and prayed: “Father, forgive them, for they do not know what they are doing.”
Aliwaombea hata maadui zake, “Baba, wasamehe, kwa vile hawajui watendalo.”
1,217
n 1991 she md a two o hilde s a w a la on oasntirtr Cidhope, - t oriia wo oito onim o Sr ldrn h ir John Major i 10 Downing Street 1993.
0.54023
0.932287
In 1991 she formed a Network of Street Children NGOs and two years later, along with Nicolas Fenton, Director of Childhope, - the original two motivators - she saw the Consortium for Street Children launched by Sir John Major in 10 Downing Street in 1993.
Mnamo mwaka 1991 aliunda NGO NGO ya Watoto na miaka miwili baadaye, pamoja na Nicolas Fenton, Mkurugenzi wa Childhope, - wahamasishaji wa awali wawili - aliona Consortium kwa Watoto wa Anwani iliyozinduliwa na Sir John Major katika 10 Downing Street mwaka 1993.
720,097
ou sil h h n hnus n S-400.
0.346154
0.802465
You still have the option to change course on the S-400.”
"Bado mna nafasi ya kuamua ikiwa mtabadilisha mawazo kuhusu ununuzi wa S-400."
360,657
an ie o eaouai
0.28
0.388809
and guide us to the inheritance you have promised.
basi tuelezeni majimbo ambayo mmekubaliana
1,079,540
VENECIA, a sie inenela, sai: “ uneer ie itsip.”
0.466019
0.856088
VENECIA, a sister in Venezuela, said: “I could never imagine myself witnessing by phone.”
VENECIA, dada kutoka Venezuela, alisema hivi: “Sikuwazia kamwe kwamba ningeweza kuhubiri kupitia simu.”
1,218
e wo is ie is i ime an o mi a aono wan.
0.328125
0.715163
He who is guided is guided for himself, and to he who is misguided, Say: 'I am but one of the warners.'
Na mwenye kuongoka, basi ameongoka kwa faida ya nafsi yake; na aliye potea - basi sema: Hakika mimi ni miongoni mwa waonyaji tu.
720,098
his dima, o as e rakg aairs r a ee aa ha n n en 2013.
0.363636
0.816749
This diplomat, who has been tracking AU affairs for over a decade, said Cairo has “never forgotten” its suspension in 2013.
Mwanadiplomasia huyo, ambaye amekuwa akifuatilia masuala ya AU kwa muda wa muongo mmoja, amesema Misri "Haijasahau" kusitishwa kwake uanachama mwaka 2013.
360,658
o te e e ty.
0.272727
0.285909
So they go make up some word or they.
Hakikisha kidole kinabonyeza herufi au vitufe vyake tu.
1,219
ot to ioe ate a n pp in a hr.
0.223881
0.319305
Lots to discover at every scale, even for people in a hurry.
Ghafla pakaqimiwa kuwataarifu watu wawe tayari kwa swala, kila mtu alisimama na bila zogo watu wote wakajipanga katika mistari haraka.
1,079,541
e on n a 3.
0.317073
0.753661
The longest one we saw was 13 minutes.
Muda mrefu zaidi wa nimeona ni dakika 39.
720,099
say andogenic tid ad alh iiia i tk2 3 wk o ao.
0.440367
0.913204
Usually, androgenic steroids and all other artificial hormones will take 2 – 3 weeks to clear in your system.
Kawaida, steroids na androgenic na homoni nyingine za bandia itachukua wiki 2 - 3 ili wazi katika mfumo wako.
360,659
ontwat auunaatun ttpi
0.315068
0.827022
Comment:what about undergraduates students? when do we start applying
Maoni: vipi kuhusu wanafunzi wa kwanza? ni wakati gani tunapoanza kutumia
1,079,542
klii.
0.219512
0.474026
And their depth of knowledge is striking.
Ujuzi wao wa kilimo.
1,220
8:71 u if hey nen beay e y aee ea ah a w uh.
0.359375
0.878583
8:71 But if they intend to betray you – then they have already betrayed Allah before, and He empowered [you] over them.
8:71 Ikiwa wanataka kukufanyia khiana, wao walikwisha mfanyia khiana Mwenyezi Mungu kabla yake, na Yeye akakuwezesha kuwashinda.
720,100
The a al
0.421053
0.567384
The Programme al...
Televisheni ya al …
360,660
o h a ca.
0.357143
0.7305
You have a smaller camera.
Kamera yako kwa chini zaidi.
1,079,543
eDubai Media City adi 2000.
0.675
0.931951
The Dubai Media City was funded in 2000.
Ya Dubai Media City ilifadhiliwa 2000.
1,221
e wi sa i h a iu i hao im
0.305263
0.446961
He will say, “This know also, that in the last days perilous times shall come” [2 Timothy 3:1].
kusema: “Unajua watu wamekuwa wadanganyigu sana siku hizi kwa hiyo lazima
720,101
"ntnat e ha u e.
0.290323
0.796492
"Unfortunately, Congress has not fulfilled its responsibility.
"Kwa bahati mbaya bunge halikuutimiza wajibu wake."
360,661
hank o te ti a oae!
0.37037
0.881064
Thanks for the inspiration in all your messages!
Shukrani kwa ajili ya uongozi katika ujumbe wako wote!
1,222
In ance, or nstace, a ort th h vetha ale t e ii ir i a siarka reide k al a aas esa r bcau a .
0.383721
0.89013
In France, for instance, a court found that the government had failed to do enough to limit air pollution around Paris; similarly, Jakarta residents took legal action against the Indonesian government because of air pollution.
Kwa mfano, huko Ufaransa, korti iligundua kwamba serikali ilishindwa kufanya vya kutosha kupunguza uchafuzi wa hewa karibu na Paris, na huko Indonesia, wakaazi wa Jakarta vile vile alichukua hatua za kisheria dhidi ya serikali kwa sababu ya uchafuzi wa hewa.
1,079,544
akinn at l aa.
0.319149
0.600884
Mankind incurs great losses and damages.
uharibifu mkubwa wa maisha ya watu na mali zao.
720,102
ryin in e ee n eehinais , ene h ihi
0.295082
0.642361
Everything in the heavens and everything in the earth glorifies Allah, the King, the All-Pure, the Almighty, the All-Wise.
Kila kilioko katika mbingu na ardhi kinamtakasa, naye ni Mwenye kushinda, Mwenye hikima
360,662
ook on u uca h a a ur ss.
0.3375
0.892665
Look beyond your success and plan where you want to take your business.
Angalia zaidi ya mafanikio yako na mpango ambapo unataka kuchukua biashara yako.
1,223
at in tob, t ati ag a oi a pa i nn ngo.
0.315789
0.903162
Later in October, the parties agreed to establish corridors for safe passage of refugees during the second round of the negotiations.
Baadaye mwezi Oktoba, vyama vilikubaliana kuunda mipaka kwa salama ya wakimbizi wakati wa mzunguko wa pili wa mazungumzo.
1,079,545
n he wi a m eel h i y u tte.
0.348837
0.414333
And he will pass among the angels, they will say: ‘He must be from the sent Prophets.’
Na husema mbona hakuteremshwa Malaika wa kutwambia kuwa kweli huyu ni Mtume.
720,103
tat h hal liy e at ewawne
0.325
0.220902
that there shall have been validly tendered and not properly withdrawn, together
Lakini hapa juu yake na mazuri katika hali yoyote haiwezekani.
360,663
by a an uie m.
0.264706
0.742317
Nobody forces a woman to work outside the home.
Hakuna mahali Biblia inamkataza mwanamke kufanya kazi nje ya nyumba.
1,224
o tnoonia aion yo?
0.276316
0.689804
(6) Do they not consider how many generations we have destroyed before them?
Je huoni uma ngapi tulizoziangamiza kabla yao?
1,079,546
Septemb wa a a.
0.307692
0.824994
September 4th was Teachers Day.
Tarehe 10, mwezi Septemba ilikuwa ni siku ya walimu.
720,104
oe o i Backpacking
0.439024
0.793834
Clothes to Bring Backpacking
Kutengeneza nguo kwa ajili ya Backpacking
360,664
a i uin aa?
0.323529
0.597979
What is the function of clay mask?
Hizo mask za clay zinauzwa wapi?
1,225
erily ha i a rabi a e u unta.
0.385542
0.71643
“Verily we have sent it down as an Arabic Qur’an in order that you may understand.”
Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa lugha ya Kiarabu ili mpate kuzingatia.
1,079,547
u a kin fo y oo.
0.272727
0.361785
You are looking for excuses to deny the obvious.
Zaidi ya nini wewe ni wakidai kusimama kwa ni mafundisho ya uongo.
720,105
he po aim t w t ui
0.229167
0.539913
(The hypocrites have deceived them) just like Satan, when he says to human, “Disbelieve in God!”
Ni kama mfano wa Shetani anapo mwambia mtu: Kufuru.
360,665
n la a a ana ma .
0.298246
0.800448
"And Allah has created every animal from water. ..."
Na Mwenyezi Mungu amemuumba kila mnyama kutokana na maji.
1,079,548
e e yo ik
0.297297
0.455669
See the symbols as shown in [link].
Tazama jinsi ishara zake zilivyo kuu,
1,226
ow y e udoohd a tati
0.338462
0.788199
How you are cut down to the ground, you who laid the nations low.
Namna ambavyo umeangushwa chini, wewe uliyedhoofisha mataifa!
720,106
ut ma ssas t una."
0.339286
0.856394
But we made some mistakes that we should not be making."
Tulifanya makosa ambayo hatukupaswa kufanya."
360,666
he to are pt tiss a nu isu inun ota taantiia ssiout ia i thi in a n a.
0.309013
0.812867
The two are expected to discuss a number of issues, including North Korea, trade and territorial disputes in the South China Sea during their meeting on Thursday and Friday.”
Viongozi hao wawili wanatarajiwa kujadili masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na Korea Kaskazini, mahusiano ya kibiashara na mizozo ya mipaka katika Bahari ya Kusini ya China wakati wa mkutano wao utakaofanyika siku ya Alhamisi na Ijumaa.
1,227
eri at t aada.
0.272727
0.808537
Experience related to the project will be an advantage.
Uzoefu wa usimamizi wa mradi itakuwa faida.
1,079,549
e olto lv ov t una tae a kw aktiiin.
0.310345
0.860407
He resolved to leave, resolved to shun all that he had known, and seek tranquillity wherever it might be found.
Akaamua kuondoka,akaamua kuyaacha mambo yote aliyokuwa anayafahamu,na kuutafuta utulivu kokote unakoweza kupatikana.
720,107
hud yu it uptm o ow 9%, o ma (1) nt yao.
0.425743
0.887689
Should your site uptime goes below 99.9%, you may receive one (1) month of credit* on your account.
Tovuti yako ya uptime inakwenda chini ya 99.9%, unaweza kupata mkopo mmoja wa (1) * kwa akaunti yako.
360,667
nd ak finf yooan te e.
0.294872
0.494269
[11.3] And ask forgiveness of your Lord and then repent to Him.
Aombe msamaha kwa Mola wake na ajiondoe katika udanganyifu wa aina yoyote ule.
1,079,550
Knowlege giaal
0.301887
0.238096
Knowledgeable guidance along the way
Kuelewa mwelekeo Mwenendo wa Mlezi wa Msingi Salama .
1,228
id n a u, Adam, a u shseaan?
0.391892
0.831064
Did I not charge you, O children of Adam, that you should not serve Satan?
Sikuagana nanyi, enyi wana wa Adamu, kuwa msimwabudu shetani?
720,108
TruthBuzz eows i e hanmakewan ieed nw a ai vir.
0.40678
0.84005
TruthBuzz Fellows will be change-makers who can drive the adoption of new ways of making facts go as viral.
Washirika wa TruthBuzz watakuwa wabadilishaji ambao wanaweza kuendesha njia mpya za kufanya ukweli kwenda kama virusi.
360,668
w a I o h o b.
0.285714
0.929953
How can I solve such problems the best.
Jinsi gani wanaweza I kutatua matatizo hayo bora.