name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 165 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 165 za Ajira Serikalini swahilitimes June 5, 2023 0 54 POST: LECTURER – ACCOUNTANCY(RE-ADVERTISED) – 6 ...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Error 404 404 Page not found Oops! The page you were looking for was not found. Perhaps searching can help. Latest Articles Habari Maisha Dada wa kazi akutwa amejin...
null
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeiondolea Klabu ya Singida Big Stars (SBS) adhabu ya kufungiwa kusajili. Kamati imesema badala ya adhabu hiyo, klabu imepigwa faini ya TZS milioni moja ambayo inatakiwa kulipwa kabla ya dirisha dogo la usajili kufungiliwa Desemba 15...
null
Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali wikiendi hii, kwenye Epl Chelsea watarudi uwanjani kukipiga na Wolves siku ya Jumamosi kwenye dimba la Stamford Bridge, Chelsea wamekuwa na matokea mazuri kwenye mechi zao za nyuma, atakutana na Wolves aliyeshinda mechi moja tu kwenye Ligi. Weka utabiri wako na Meridianbet Jini la kufun...
null
Timu ya usalama kutoka taasisi mbalimbali nchini Kenya imegundua makaburi manne katika kanisa moja jijini Kisumu ambapo kulikuwa na watu wanaosadikiwa kuwa na matatizo ya akili wanaodaiwa kushikiliwa kwa nguvu bila idhini yao. Timu hiyo ya usalama iliyojumuisha maafisa kutoka Idara ya Upelelezi (DCI), Maafisa wa Ofisi ...
null
Apple yatishia kuiondoa Twitter kwenye App Store Mfanyabiashara Elon Musk ambaye ni mmiliki mpya wa mtandao wa Twitter ameishutumu Kampuni ya Apple kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye programu zake bila kutoa sababu. Mmiliki huyo pia amedai kuwa tayari kampuni nyingi ikiwemo iPhone zimesitisha kutangaza kwenye mtandao...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeweka jitihada kubwa katika kuwawezesha vijana kutumia rasilimali za nchi zilizopo ili kujiletea maendeleo na kuboresha maisha yao. Akizungumza katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Manyara, Rais Samia amesema Serikali inaweka nguvu kubwa katika maeneo ya utalii, m...
null
Wasifu wa marehemu Dkt. Faustine Ndugulile, Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile ameaga dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, 2024 nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Dkt. Ndugulile alikuwa mtaalamu wa afya, mwanasiasa mahiri, na kiongozi wa mfano aliyetoa mchango mkubw...
null
Mwanahabari mashuhuri wa Marekani, Grant Wahl amefariki dunia nchini Qatar baada ya kuzimia alipokuwa akiandika habari za Kombe la Dunia, Desemba 9, 2022 jambo lililozua mshtuko na huzuni katika ulimwengu wa michezo. Kwa mujibu wa mashihidi waliokuwepo katika eneo la tukio wameeleza kuwa Wahl alianguka katika eneo la w...
null
• Wanandoa kunyimana tendo la ndoa ni chanzo cha migogoro, msongo wa mawazo na ukatili dhidi ya watoto. • Kesi nyingi zinazoripotiwa katika dawati la jinsia, chanzo ni kunyimana tendo la ndoa. Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Muze, Sumbawanga mkoani Rukwa, Valentine James amesema tabia ya baadhi ya wanandoa kunyimana tendo...
null
Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) imetoa wito kwa viongozi wa mikoa nchini kujenga utaratibu wa kufanya matamasha ya ulaji nyama ili kuhamasisha wananchi kuongeza wigo wa kula nyama, kujenga afya zao na kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo nchini. Meneja Masoko wa NARCO Bw. Immanuel Mnzava amesema uhamasishaji u...
null
Baada ya agizo la Waziri wa Uchukuzi, Kipchumba Murkomen la kufanyika kwa majaribio ya lazima kwa madereva wa magari ya utumishi wa umma wanaotaka kurejesha leseni zao yanayosimamiwa na Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) nchini Kenya, takwimu zimeonesha madereva wengi wamefeli majaribio hayo. Akiwasilisha...
null
Dkt. Mpango aagiza Magereza kuondoa matumizi ya ndoo kama choo kwa wafungwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya kudhalilisha utu na kukiuka haki za binadamu kwa wafungwa. ...
null
TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’ Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka. Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Mah...
null
More News - Vodacom Tanzania yazindua kampeni ya Mtandao Supa September 17, 2019 - CHADEMA na ACT Wazalendo wapinga matokeo, wataka uchaguzi wa marudio October 31, 2020 - Ugonjwa usiojulikana waua 12 Uganda November 22, 2023 Yaliyojiri - Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024 - Hatua 5 za kukamilisha ...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. Ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Ifakara mkoani Morogoro ambapo katika hotuba hiyo ameagiza Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununu...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha Mkoa wa Morogoro unarudi kwenye hadhi ya viwanda kama ilivyokuwa hapo zamani ili kukuza uchumi wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla. Akizungumza leo na wananchi wa Mkoa huo katika Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo, Rais Samia a...
null
Bodi ya Mikopo yataja sababu kuu tatu za wanafunzi kukosa mikopo Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema kuwa wanafunzi wengi hususani wanaotoka katika kaya maskini wamejikuta wakikosa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kutokana na kukiuka maelekezo yanayotolewa katika mwongozo wakati wa...
null
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema hatagombea tena nafasi ya ubunge katika jimbo la Kongwa jijini Dodoma. Amesema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael. “2025 sitagombea nafasi ya ubunge ...
null
Norwegian’s New Route Map Lets You Filter Destinations by Temperature For some travelers, choosing the right vacation isn’t about the sights or the food, it’s all about the climate. Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living wi...
null
Serikali ya Kenya imeiandikia rasmi barua Shirika binafsi la Kimarekani, Ford Foundation ikiituhumu shirika hilo kufadhili maandamano ya Kenya pamoja na kuyaweka wazi mashirika 16 ya Kenya yanayofadhiliwa na shirika hilo. Katika barua iliyoandikwa kwa Darren Walker, Rais wa Ford Foundation, serikali ya Kenya kupitia Ka...
null
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na kusisitiza kwamba kama serikali...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 1,320 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 1,320 za Ajira Serikalini swahilitimes July 23, 2024 0 61 POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 13 POST Empl...
null
Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa. Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha matengenezo yanayolenga kubore...
null
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amemwomba radhi Waziri wa Michezo, Mohamed Mchengerwa kwa kudhania kuwa amelielekeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumfungia kujishughulisha na shughuli za mpira ndani na nje ya nchi. Manara amedai kumekuwa na kutokuelewana baada ya vyombo vya habari na mit...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ameunda tume ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi Wizara ya Mambo ya Nje ili kuirudishia hadhi yake na kuipa umahiri kwa kuwa hali iliyokuwa ikiendelea wizarani humo ilisababisha wizara hiyo kudorora na baadhi ya maeneo yake kukwama kiutendaji. Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam w...
null
Serikali nchini Zambia imesema takriban mbwa 400 wanahofiwa kufa mwezi mmoja uliopita nchini humo baada ya kula mahindi yenye sumu na kwamba huenda binadamu wakawa hatarini kudhurika pia. Waziri wa afya wa nchi hiyo, Elijah Muchima ametangaza kuwa takriban nusu ya sampuli 25 zilizochukuliwa kutoka kwa kampuni za kusaga...
null
Familia ya mwigizaji Alain Delon, ambaye aliaga dunia mwishoni mwa juma akiwa na umri wa miaka 88, imekanusha ombi lake la kutaka mbwa wake anyongwe na kuzikwa kando yake kufuatia kifo chake kilichotokea nchini Ufaransa. Mwigizaji huyo aliyefariki siku ya Jumapili, katika mahojiano na jarida la Paris mwaka 2018, alimue...
null
Watu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la abiria kampuni ya Sheraton lenye namba za usajili T922 ADC iliyotokea katika kijiji cha Mwilima kata ya Kasamwa mkoani Geita. Akithibitisha kutokea kwa ajari hiyo Kaimu Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa ...
null
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ndiyo iliyopewa mamlaka na haki ya umiliki wa maeneo yote ya bandari nchini, hivyo hakuna chombo chochote wala TPA ambayo ina uwezo wa kutoa umiliki huo kwa kampuni yoyote ile. Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akitoa hotuba ya kuahirisha ...
null
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Jeshi la Polisi kuwaachilia huru bila masharti yoyote viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya waandishi wa Habari ili waweze kutekeleza wajibu na haki za kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza Mkurugenzi wa LHRC, A...
null
Tanga: Mtoto wa miaka 9 akamatwa kwa tuhuma za kumuua mwenzake mwenye miaka 9 Jeshi la polisi mkoani Tanga linamshilikia mtoto (9), mkazi wa Mji Mpya Hale, wilayani Korogwe ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kichangani kwa tuhuma za mauaji ya Ally Khalifa Bakari (9), mwanafunzi wa darasa la t...
null
Ufadhili huu wa masomo ya shahada hutolewa kwa wanafunzi wenye ufaulu mzuri kwenye mitihani yao ya kidato cha sita lakini wanatoka kwenye mazingira magumu na hawana uwezo wa kujisomesha. Zaidi ya ufadhili wa masomo, vijana hawa watapata mafunzo ya vitendo katika benki yetu na makampuni mengine washirika. Kwa mwaka huu,...
null
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Shahende, Kata ya Butobela wilaya ya Geita mkoani Geita , Helena Mashaka (13) amechomwa mikono kwa moto na mama yake hali iliyosababisha kushindwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi. Mtendaji wa Kijiji, Edar Michael amesema tukio hil...
null
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Katibu Mkuu, John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) wamekamatwa na Polisi mkoani Mbeya katika ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa leo. Viongozi hao wamewasili leo mkoani humo ili kuungana na vijana wa chama hicho kup...
null
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa. Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi k...
null
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema mchezaji na winga wa klabu hiyo, Bernard Morrison hapewi muda mwingi wa kucheza uwanjani kwa sababu hana pumzi ya kutosha. Nabi amebainisha kuwa hali hiyo ni kutokana na mchezaji huyo kutopenda mazoezi makali na hivyo kushindwa kuhimili kucheza uwanjani kwa muda mrefu. “Watu...
null
Adamu Mohammed mkazi wa Mtaa wa Zanzibari, Manispaa ya Musoma mkoani Mara ameiomba Jeshi la Polisi kumkamata mama mkwe wake, Zainab Ally kwa madai ya kummwagia uji wa moto uliomjeruhi usoni na kifuani. Alidai kuwa tukio hilo lilitokea Machi 9 mwaka huu nyumbani kwa mama wa mke wake, Happiness Moses alipokwenda kumtembe...
null
Bolt yasitisha safari kati ya Nigeria na Afrika Kusini baada ya kufanyiwa mzaha mtandaoni Kampuni ya huduma za usafiri mtandaoni, Bolt imechukua hatua ya kuzuia maombi ya safari kati ya Nigeria na Afrika Kusini kufuatia mzozo wa mzaha uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Watumiaji wa mitandao hiyo wamekuwa wakiomba (...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 306 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 306 za Ajira Serikalini swahilitimes August 26, 2024 0 115 POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 8 POST Employ...
null
Rais Samia aipongeza REA kwa kutatua changamoto ya muda mrefu ya umeme Rais Samia Suluhu Hassan ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi nzuri wanayoendelea kuifanya nchini ikiwemo mradi wa Kituo cha cha Kupokea na Kupoza umeme cha Ifakara ambacho kimetatua changamoto ya muda mrefu ya umeme kwa wananchi. A...
null
Barabara kadhaa zinatarajiwa kufungwa katika Mji mkuu wa Uganda, Kampala, siku ya Ijumaa Septemba 08, 2023 kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni. Kamanda wa Usalama Barabarani Jiji la Kampala, Godwin Arinaitwe amesema watafunga barabara ili kupisha sherehe zinazotarajiwa kuhu...
null
KMC na Meridianbet Wachangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi. KLABU ya KMC, alimaarufu kama “KINO BOYS”, kwa kushirikiana na Mdhamini mkuu wa klabu hiyo kampuni ya Meridianbet wametoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa kituo cha polisi, kilichopo Mtaa wa Tegeta A ambacho kinaendelea kujengwa ili kutoa msaada wa kiusalama kwa ene...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali kama ifuatavyo; - Amemteua Dkt. Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Dkt. Kilimbe anaendelea na wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi cha kwanza kumalizika. - Amemteua Bw....
null
Klabu ya Vipers Sports Club imethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Cesar Manzoki amekamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Dalian Pro FC inayoshiriki Ligi Kuu ya China. Mshambuliaji huyo mahiri, alijiunga na Venoms mwanzoni mwa kampeni ya 2020/21 na akaendelea kufanya vizuri kama mshambuliaji muhimu kwenye kikosi na...
null
My 3 Months with Amazon Key Were Better Than Expected Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re div...
null
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana amemsihi Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura kufanya tamthmini juu ya hali ya wingi wa trafiki walioko kwenye miji wanaosababisha kero barabarani. Kinana amesema shughuli hazifanyiki ipasavyo kutokana na askari wa usalama barabarani kuwa kila mahali...
null
Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda nchini Uganda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya leo na mlinzi wake kutoka nyumbani kwake. Spika wa Bunge nchini humo, Anita Among amethibitisha kifo cha waziri huyo alipokuwa akiongoza kikao cha mashauriano leo asubuhi. “Leo asubuhi...
null
Wakamatwa wakiuza sehemu za siri za mwanaume Mamlaka ya Msumbiji inawashikilia wanaume wawili kwa madai ya kujaribu kuuza sehemu za siri za mwanaume zilizo na majeraha. Viungo hivyo vilivyokuwa vikiuzwa kwa gharama sawa na TZS milioni 97.5 zimedaiwa kutolewa katika mwili wa mwanaume mmoja aliyeuawa katika eneo la Milan...
null
Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Seleman Jafo amehimiza shule zote za sekondari (Binafisi naza Serikali) nchini kuachana na matumizi ya kuni na mkaa kama nishati ya kupikia, na badala yake wajikite katika matumizi ya nishati mbadala. Waziri Jafo amesema matumizi ya kuni na mkaa yanac...
null
Kwanza kabisa, ni muhimu kutambua kwamba unapaswa kuheshimu uamuzi wa mwanamke na kuheshimu mipaka yake. Kukubali kukataliwa ni sehemu ya kukua na kujifunza katika maisha. Hata hivyo, ikiwa bado unataka kujaribu kumrudisha mwanamke ambaye amekukataa, hapa kuna njia kadhaa za kufanya hivyo; 1. Tambua sababu za kukataliw...
null
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limethibitisha kifo cha mwanamke anayefahamika kwa jina la Marietha Bosco (32) mkazi wa kijiji cha Marungu wilaya ya Nyasa ambaye amejiua kwa dawa ya kuulia wadudu baada ya kukuta jumbe za mwanamke mwingine kwenye simu ya mumewe. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Marco Chilya ameeleza kuwa No...
null
Polisi nchini Kenya wanachunguza tukio la mwanamume mmoja aliyefariki kwa kujichoma moto baada ya mkewe kudaiwa kukataa kupika kuku nyumbani kwao Uriri, Kaunti ya Migori. Kijana huyo aliyetambulika kwa jina la John Rugala (45) alijifungia ndani ya nyumba yao kisha kujichoma moto baada ya mke wake kumtaka amwombe ruhusa...
null
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Dominata Rwechungura amedai kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Richard Lyimo akishirikiana na Naibu Katibu Mkuu, Yustino Rwamugila . Tukio hilo limetokea siku ya Alhamisi Oktoba 24, katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Magom...
null
Rais wa Rwanda, Paul Kagame anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia Aprili 27 hadi 28, mwaka huu ambapo atakutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam na kisha kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea yaliyofikiwa wakati wa mazungumzo yao. IMF yaidhini...
null
“Watu maskini hawatakwenda mbinguni kwa sabbabu wanamtusi Mungu kupitia malalamiko na shutuma zao kila siku,” amenukuliwa mwanasiasa mwandamizi wa Uganda akisema. Gazeti la New Vision la Uganda limeeleza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kahinda Otafiire ametoa matamshi hayo kwenye hafla ya shule iliyoko Magharibi mwa nch...
null
Mahusiano ya ndoa ni hatua muhimu na inayohitaji uangalifu wa hali ya juu, hasa wakati wa kuchagua mwenzi wa maisha. Moja ya masuala yanayoweza kusababisha migogoro na kuvunjika kwa ndoa ni kutokuwa na uwajibikaji. Hapa kuna dalili za mwanaume asiye mwajibikaji ambazo ni muhimu kuzitambua kabla ya kuingia kwenye ndoa: ...
null
TFF yamfungia Katibu Mkuu wa Biashara United kwa miaka mitano Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 Yaliyojiri - Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musom...
null
Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka wilayani Geita, Emmanuel Chacha (35) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake, Samwel Subi (35) akidai ni kikwazo cha maendeleo yake. Akizungumza na Swahili Times Kamanda wa Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema tukio hilo limetokea Machi 15, 2023 saa 3 asubuhi ambapo wal...
null
Ndege yetu ilikamatwa Afrika Kusini sababu ya wivu- Rais Magufuli Rais Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa sababu ya ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kumatwa nchini Afrika Kusini ni wivu, kutokana na shirika hilo kuanza kuimarika na kuteka masoko mbalimbli ndani na nje ya Afrika. Rais ameyasema hayo leo as...
null
Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Ali Abeid Karume amehojiwa na Kamati ya Maadili ya chama hicho na kuweka wazi kwamba yupo tayari kupokea uamuzi wowote utakaochukuliwa dhidi yake. Hali hiyo imefuatia baada ya kauli yake ya hivi karibuni katika moja ya mijadala kwe...
null
Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno, Irene Mwaikana, ameiambia mahakama kuwa chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe kupeleka chakula kwa mchungaji. Moses ametoa madai hayo katika Mahakama ya Mwanzo mjini Mbeya chini ya Hakimu Upendo Moshi alipoku...
null
Vielelezo vya wizi vyaibwa Kituo cha Polisi, Polisi wachangishana kulipa Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia misingi ya kutoa haki kwa kila mmoja bila upendeleo kama ambavyo wameaminiwa. Akizungumza katika uwaapisho wa viongozi wateule jijini Dar es Salaam, amesema jinsi dunia inavyobadilika kiuchumi na kisiasa ndivyo Tanzania inapaswa kubadilika,...
null
Mwanamke mwenye umri wa takribani miaka 60, mkazi wa Kitongoji cha Ipapa kilichopo Kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, amefukuzwa kutoka kijijini hapo na wananchi baada ya kuhusishwa na imani za kishirikina. Tukio hilo limejiri baada ya wananchi hao kudai kumkuta mwanamke huyo akiwa hajavaa nguo kwenye ...
null
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kusitisha huduma ya usafiri wa treni ya abiria inayotoka Dar es Salamam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mpanda na Kigoma kuanzia Machi 28, 2023. TRC imefafanua kuwa imesitisha utoaji wa huduma hiyo kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalim...
null
Benki Kuu ya Libya imesitisha shughuli zote na kutangaza kutoendelea hadi Mkurugenzi wa Idara ya Teknolojia ya Habari wa benki hiyo, Musab Msallem aliyetekwa nyara siku ya Jumapili atakaporejeshwa. Msallem alitekwa nyara akiwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambapo pia tukio hilo limehusishwa na tishio la utekaji ...
null
Msanii wa filamu kutoka nchini China, Lu Ke ambaye aliyekuwa akitafutwa na serikali ya Malawi kwa tuhuma za kuwakaririsha na kuwarekodi watoto nyimbo za ubaguzi wa rangi amekamatwa. Mshukiwa huyo, alikuwa akisakwa kwa tuhuma za ubaguzi wa rangi na unyanyasaji wa watoto baada ya kuonyeshwa kwenye kituo cha runinga cha B...
null
✕ Habari Siasa Biashara Afya Elimu Maisha Burudani Rubik - © Copyright BKNinja . All Rights Reserved. 24/7 Habari Bila Mipaka Wednesday, December 11 Home › Habari › Ajira › Nafasi 481 za Ajira Serikalini Ajira Nafasi 481 za Ajira Serikalini swahilitimes August 19, 2024 0 129 POST: TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTING AND FIN...
null
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/06/Statement-Mkataba-wa-Bandari-4.pdf” title=”Statement-Mkataba wa Bandari (4)”] [pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/06/Statement-Mkataba-wa-Bandari-4.pdf” title=”Statement-Mkataba wa Bandari (4)”]
null
Elon Musk awaambia Twitter wafanye kazi kwa saa nyingi au waache kazi Mfanyabiashara na mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk amewaambia wafanyakazi wa Twitter kuchagua kufanya kazi kwa saa nyingi na kwa hali ya juu au vinginevyo waache kazi. Katika barua pepe iliyotumwa kwa wafanyakazi, imeeleza kuwa wanapaswa kuku...
null
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa leseni kwa magazeti manne yaliyokuwa yamefungiwa, ambayo ni Mwanahalisi, Mseto, Tanzania Daima na Mawio. Ameyasema hayo katika semina na Wahariri wa vyombo vya habari leo mkoani Dar es Salaam katika mafunzo ya kuwajengea uwezo kwa ajili ya kuende...
null
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema China imekuwa ikiisaidia Zanzibar katika mambo mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya hospitali. Ameyasema hayo leo, Ikulu Zanzibar wakati akizungumza na timu ya madaktari 29 kutoka kundi la 33, walioongozwa na Kai...
null
Rubik - © Copyright BKNinja. All Rights Reserved. Tanzania iko uwanjani hivi sasa nchini India ikichuana na Colombia kuwani kufuzu nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya miaka 17.
null
Tanzania Bara leo imeadhimisha kutimiza miaka 60 tangu bendera ya mkoloni Mwingereza iliposhushwa na ile ya Tanganyika kupandishwa na hivyo kuwa nchi huru. Kupata uhuru kwa Tanganyika kulifanya Mwalimu Julius Nyerere kuwa Waziri Mkuu wa kwanza, lakini mwaka 1962 Tanganyika ilikuwa Jamhuri na Mwl. Nyerere kuwa Rais wa k...
null
Chama kinachotawala nchini Tanzania (Chama cha Mapinduzi-CCM) kimekanusha taarifa ya gazeti linalomilikiwa na chama hizo, la Uhuru yenye kichwa cha habari “Sina wazo kuwania Urais 2025 – Samia”. CCM imesema imesikitishwa na upotoshaji uliofanywa na gazeti hilo toleo la Agosti 11, 2021 na imesisitiza kuwa wahusika watac...
null
Mtaalamu mashuhuri wa mamba nchini Australia, Adam Britton amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kukiri kuwabaka na kuwatesa mbwa zaidi ya 42 na baadhi kuwasababishia kifo. Mtaalamu huyo wa elimu ya wanyama mwenye umri wa miaka 53 ambaye amewahi kufanya kazi kwenye shirika la BBC National Geographic, amekiri m...
null
Mgombea aliyekuwa Mwakilishi katika Baraza la Kaunti (MCA) ya Meru, Festus Kithinji ambaye kura alizopata hazikutosha kumpa ushindi amegeuka gumzo baada ya kuchapisha video inayomuonesha akisikitika jinsi alivyomaliza akiba yake yote wakati wa uchaguzi. Mgombea huyo alikuwa akigombea kiti cha uwakilishi wa Kata ya Mbeu...
null
Fahamu aina mbalimbali za madini yanayopatikana Afrika, na matumizi yake Kila mtu anafahamu kuwa dunia kuna madini, tena ni moja ya bidhaa zenye thamani sana, ambapo maelfu ya watu na kampuni zimeweza kupata utajiri kupitia bidhaa hizo. Lakini wengi wetu mbali na kujua uwepo wa madini, hatujui matumizi yake. Kwamba mtu...
null
Nissan kuuza magari ya umeme pekee ifikapo mwaka 2030 Kampuni ya magari ya Japan, Nissan, imeahidi kuendelea na mpango wake wa kuuza magari ya umeme pekee barani Ulaya ifikapo mwaka 2030 hatua iliyotajwa kuwa muhimu katika kupambana na uchafuzi wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi. Hii inamaanisha kuwa wateja wa Nis...
null
Krismasi ni wakati wa pekee unaoleta furaha, upendo, na ushirikiano. Ni msimu wa kujumuika, kufurahia mapambo ya kuvutia, na kujenga kumbukumbu zisizosahaulika. Kwa hivyo, ni muhimu kutenga muda wa kusherehekea likizo hii muhimu na familia yako nyumbani. Hapa chini ni vidokezo vya kufanya msimu huu wa Krismasi ili uwe ...
null
Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake. Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa alikamatwa Mei 8 mwaka huu baada y...
null
Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wahasibu Afrika Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Wahasibu Barani Afrika (African Association of Accountants General Meeting (AAAG)) utakaofanyika kwa siku tatu kuanzia Desemba 03 hadi 05, mwaka 2024 ukiwahusisha zaidi wa washiriki 2,000 kutoka takriban nc...
null
Miaka 80 kwa kosa la ubakaji Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watuhumiwa wawili ambao ni Paul Hilonga (60) mkazi wa Karatu kwa kosa la ubakaji, na Erasto Sias (24) mkazi wa Qurus Wilaya ya karatu kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 08. Akithibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao, Kamanda wa Polisi m...
null
Wakati wa ujauzito ni wakati ambao unahitaji kufanya vitu kwa uangalifu zaidi na kufuata taratibu zilizopendekezwa na wataalam, kwani makosa yoyote yanayofanyika yanaweza kumuweka mama mjamzito pamoja na mtoto kwenye hatari. Kupitia mambo, haya yafuatayo yanaeleza namna bora za kujitunza wakati wa ujauzito na kuepuka m...
null
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma December 11, 2024Hatua 5 za kukamilisha Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 December 11, 2024Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya December 10, 2024 More News - Magari 5 yenye gharama kubwa zadi duniani October 23, 2024 - NMB yazindua Hati Fungani ya Jamii Bond...
null
Rais Samia: Tamasha la Kizimkazi linachochea miradi ya maendeleo Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tamasha la Kizimkazi limeendelea kujipambanua kuwa la kimaendeleo kwa kuchochea utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akifungua Skuli ya Maandalizi Tasani iliyoko ...
null
Kwa mara ya kwanza serikali ya Tanzania imeefika azma ya miaka mingi ya kununua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Hayo yameeleezwa na Waziri wa Nishati, January Makamba ikiwa ni moja ya mafanikio ya ziara yake ya hivi karibuni katika nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani ambazo ni Saudi Arab...
null
Wakala wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) umesema kampuni zaidi ya 30 zinawania zabuni ya uendeshaji wa Mradi wa Usafiri wa Haraka (UDART) Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa. Agizo hilo lililotolewa na Machi 20 mwaka huu limetaka kuwepo umuhimu wa kushirikisha se...
null
LATRA: Nauli hazitashuka Baada ya bei ya mafuta ya petroli, dizeli kushuka, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema hawana mpango wa kushusha nauli kwa sababu uendeshwaji wa vyombo vya usafiri hautegemei gharama za mafuta pekee. Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard ...
null
NEC yakubali rufaa za wagombea Ubunge 15 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewarejesha katika orodha ya wagombea Ubunge wagombea 15 baada ya kupitia nyaraka na kukubali rufaa walizowasilisha. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Charles Mahera ambapo amesema kuwa wametoa uamuzi wa rufaa 55 za wagombe...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya sita haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake inajielekeza katika kutatua shida za wananchi zilizopo nchini. Ameyasema hayo leo Agosti 5, 2022 akiwa Mbalizi mkoani Mbeya baada ya kupokea ombi kutoka kwa mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza l...
null
Barcelona MotoGP Test: Vinales Tops the Timesheets Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divide...
null
Imeandikwa na Dr Norman Jonas kupitia mtandao wa Medium. Kwa msaada wa machapisho rasmi ya shirika la afya duniani — WHO Dhumuni ni kusaidia wazungumzaji wa kiswahili kupata taarifa sahihi Ugonjwa wa Corona COVID19. 01. VIRUSI VYA CORONA NI NINI? Virusi vya Corona ni familia kubwa ya virusi ambayo huweza kusababisha ma...
null
Baadhi ya watu wana kasumba ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi. Shinikizo la damu. Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka nchini Italia inasema baada...
null
Micro-robots build the world’s smallest house Saw subdue in, sixth yielding day our greater let land they’re there fill divided divided for that above lights own fruitful all living without tree sixth third. Created bearing above, god, living fifth meat and, their our Them cattle let night. Dry fowl they’re divided yie...
null
Francisco Sagasti ameapishwa kuwa Rais wa muda wa Peru, akiwa ni Rais wa tatu kuliongoza Taifa hilo la Amerika ya Kusini ndani ya wiki moja. Sagasti mwenye umri wa miaka 76 anatarajiwa kuliongoza Taifa hilo linaloandwamwa na misukosuko ya kisiasa hadi uchaguzi mwingine utakapofanyika mwakani. Mhandisi huyo aliyegeukia ...
null
Jeshi la Polisi Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro linawashikilia wanawake wawili kwa tuhuma za unyang’anyi wa pikipiki na fedha kwa kutumia silaha aina ya nondo pamoja na panga. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kuwa wanawake hao waliojulikana kwa majina ya Farida Charles (26) Mkulima na mkazi wa mtaa wa Uc...
null
Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameagiza wamiliki wa kumbi zote za starehe nchini kuhakikisha wanasajili kumbi hizo kabla ya Novemba 30 mwaka huu. Ameyasema hayo wakati alipolitembelea Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ambapo amefafanua kuwa usajili unaofanyika unalenga kusaidia kutambua ubora...
null
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya kikazi inayolenga kukuza ushirikiano na biashara baina ya mataifa hayo mawili. Katika hotuba yake, Rais Samia Suluhu ameeleza makubaliano yalifanyika baina ya Tanzania na Zambia; • Uhusiano wa...