name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | VIKWAZO 18 visivyo vya kikodi vimeainishwa vikielezwa kuwa vimekuwa changamoto kubwa na kuzuia kukua kwa biashara ya kuvuka mpaka kwa wafanyabiashara za mazao na nafaka nchini kwenda katika nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki. Meneja ufuatiliaji na tathmini kutoka Chama Cha Wafanyabiashara, wenye viwanda na Kilimo (TCCI... |
null | WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa mitaala inayoandaliwa ihakikishe inazingatia mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo ya kiteknolojia. Amesema hayo leo Novemba 22 alipomwakilisha Rais DkSamia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara na Uchumi linalifanyika jijini Dodoma. Amesema ... |
null | To day we are going to look for the word which start with letter CH Chache means few,another word which has the same meaning with chache is haba,sample translated sentence few people visit him these days( watu wachache wanamtembelea siku hizi ,The expectations to this rule are few(mambo yasiyo ya kawaida kwenye sheria ... |
null | TETESI za usajili zinasema Real Madrid ipo tayari kutoa Aurélien Tchouaméni kwa Chelsea kama sehemu ya makubaliano ya kumsajili kiungo Enzo Fernandez, ambaye anahitajika binafsi na kocha Carlo Ancelotti. (Fichajes – Spain) Maofisa katika klabu ya Real Madrid wamekuwa na ongezeko la wasiwasi kuhusu kiwango cha Tchouamen... |
null | KLABU ya Namungo ya mkoani Lindi leo inashuka dimba la KMC Complex, Dar es Salaam ikiwa mgeni wa KMC katika mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. KMC ipo nafasi ya 9 katika msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 11 baada ya michezo 9 wakati Namungo ni ya 12 ikiwa na pointi 9 baada ya michezo 9 pia. SOMA; KMC msimu ujao lig... |
null | NAIBU Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akiwasilisha Tamko la Serikali ya Tanzania katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Itifaki ya Montreal kuhusu Kemikali zinazomong'onyoa Tabaka la Ozoni na Mkataba wa Vienna kuhusu ulinzi wa Tabaka la Ozoni. Mkutano huo unafanyika mji mkuu wa T... |
null | TANZANIA ipo mbioni kuanza uzalishaji wa madini ya Niobium ambayo ni moja ya madini adimu yanayotumika katika mitambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya utengenezaji wa injini za Ndege na Roketi. Naibu Waziri wa Madini Dk Steven Kiruswa amesema hayo leo Oktoba 31 bungeni Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbeya Vijij... |
null | WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na Wanyamapori ya Serikali ya Marekani kujadili pendekezo la taasisi zisizokuwa za kiserikali la kupinga kuingizwa Marekani nyara zinazotokana na uwindaji wa tembo katika vitalu vya uwindaji wa ... |
null | MKONGWE wa tenisi wa Marekani, Billie Jean King amependekeza kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya sheria ili kuvutia zaidi hadhira ya vijana. King amesisitiza kuwa lazima mchezo wa tenisi uwafikie watoto kuhakikisha unabaki kuwa moja ya michezo inayopendwa zaidi duniani. SOMA: Novak Djokovic aanza kwa kishindo US Open “... |
null | Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mwenyekiti wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kutoka China, Fan Jun na ujumbe wake waliofika Ikulu Mnazi Mmoja, Zanzibar leo Novemba 15.(Picha na Ikulu Habari Zanzibar) |
null | MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Mutallah Mbillu ameongoza zoezi muhimu la kuogesha mifugo katika eneo la Lata Kata ya Oloipiri, linalolenga kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa ndigana baridi unaowaathiri mifugo mbalimbali wakiwemo ng’ombe. Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni mkakati wa kuimarisha juhudi za u... |
null | RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Kundi la G20 utakaofanyika Novemba 18 hadi 19 jijini Rio de Janeiro. Taarifa iliyotolewa Ikulu Dar es Salaam leo imesema Rais Dk. Samia amealikwa na Rais wa Jamhuri ya Shirik... |
null | DAR ES SALAAM – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshuhudia juhidi za uokozi baada ya jengo la ghorofa kuporomoka na kuua katika eneo lenye wafanyabiashara zaidi jijini Dar es Salaam – Kariakoo. Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole na kutaka utulivu. Hizi hapa ni baadhi ya picha kattika ajali hiyo. |
null | CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeainisha sababu zilizokipo ushindi wa kishindo na kusababisha anguko kwa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27, mwaka huu. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla alieleza hayo leo Novemba 29,2024 katika ... |
null | KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amewataka watu kuondokana na dhana kuwa chama tawala kikishinda kuwa sio demokrasia kwani CCM pia inachaguliwa na watu kutokana na kazi zake inazozifanya. CPA Makalla ameeleza hayo leo Novemba 29, 2024 katika mkutano alipokuwa akizungu... |
null | SERIKALI inatambua mchango wa sekta binafsi katika uwekezaji na imeendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara kupitia utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Nchini. Kamishna Msaidizi Idara ya Sera anayeshughulikia masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Masuala ya Kodi na Mwenyekiti wa Ko... |
null | TANZANIA imeahidiwa Dola za Marekani milioni 782.2, Euro milioni 26, na Dola za Canada milioni 2 kutoka kwa washirika wa maendeleo duniani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi na kuongeza ustahimilivu wa sekta mbalimbali. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian L... |
null | MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema tangu kuanza kwa matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) Julai 1, 2023 hadi Oktoba 8, 2024, jumla ya vikundi 210 vimefanikiwa kupata tuzo za zabuni zenye jumla ya thamani ya zaidi ya Sh bilioni 9. Aidha mamlaka hiyo imefafanua kuwa mwaka wa fedh... |
null | DAR ES SALAAM :BAADHI ya waombolezaji wakiwemo wabunge wakiwa Uwanja Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kwa ajili ya kupokea mwili wa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani ((WHO) Kanda ya Afrika, hayati Dk Faustine Ndugulile unaotarajiwa kuwasili nchini leo. Dk Ndugulile alifariki duni... |
null | UCHANGANUZI wa takwimu za kodi unatoa uelewa kuhusu mifumo na tofauti za mapato ya kodi. Takwimu hizo zinajumuisha kodi za bidhaa mbalimbali na mapato yake kuanzia mwaka 1996/1997 hadi 2023/2024. Zi[1]naonesha pia idadi ya bidhaa za kodi zilizorekodiwa kila mwaka pamoja na mabadiliko katika ukusanyaji wa takwimu. Hii i... |
null | KWA muda mrefu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imekuwa ikilalamikia mataifa jirani zake kuwa badala ya kusaidia katika utatuzi wa mgogoro, yanachangia katika mgogoro wake na makundi ya waasi katika eneo la Mashariki. Miongoni mwa mataifa yaliyotajwa kuwa ni wachochezi wa mgogoro huo ni pamoja na Uganda na Burund... |
null | SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na hatimaye hubadilika baada ya kukumbana na visababishi hatarishi. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Hellen Makwani anasema ni saratani ambayo huanzia kwenye utumbo mpana na kazi ya utumbo mpana ni kukusany... |
null | HAPO zamani ilikuwa ikifanywa na wachache na katika mikoa kama wa Geita kwa kificho. Lakini sasa mambo yamebadilika kipindi hiki cha utandawazi. Ni biashara inayoshamiri tena ikifanywa waziwazi. Utafiti wangu mdogo unaonesha kwamba biashara hii iliyozoeleka pia kuwa ya ‘watu wa mjini’ sasa ipo hata vijijini, ikifanyika... |
null | BURUNDI inatarajia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Pili ya Utalii kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EARTE) yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 23 hadi 30 mwaka huu na kuhusisha nchi zote za Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), maonesho hayo... |
null | TUNAISHI wakati ambao ni tete pengine kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya kuwapo kwa ulimwengu. Ninasema hivyo kwa sababu, kila uchao takwimu za matukio ya udhalilishaji, vitisho na mauaji zinaongezeka. Kwa mfano, huko visiwani Zanzibar, kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala y... |
null | BODI ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi nchini (TGDC), imekamilisha ziara ya siku tatu kutembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa na kampuni hiyo Mikoa ya Mbeya na Songwe. Bodi hiyo iliyozinduliwa Julai mwaka huu, ilifanya ziara yake ya kwanza na kujionea maendeleo ya miradi ya jotoradhi, ambayo ni c... |
null | KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema fedha zilizotolewa zaidi ya Sh bilioni 100 kwa ajili ya teknolojia ya gesi asilia katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), zitasaidia kupunguza matumizi ya fedha za kigeni zinazotumika katika mafuta. Shaka ameyasema hayo leo A... |
null | DAR ES SALAAM; Rais Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi mbalimbali wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha JNICC) Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu). |
null | DODOMA: Taasisi za umma zinazolisha watu zaidi ya 100 kwa siku kutoka katika wizara sita zimetekeleza maelekezo ya Serikali ya kuhama kutoka kwenye matumizi ya kuni na mkaa na kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa kinara kwa taasisi zake kutekeleza agizo hili... |
null | DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imesema usalama wa anga na viwanja vya ndege uliopo kwa sasa umechangia kuongeza kukua kwa kiasi kikubwa cha uchumi wa nchi kutokana na kuimarishwa kwa usalama huo. Mkuu wa Udhibiti wa Viwango Viwanja vya Ndege Tanzania, Vedastus Fabian kwenye uwan... |
null | KUANZIA Oktoba 26 hadi Novemba 1 mwaka huu wagombea wa ngazi mbalimbali za Serikali za Mitaa wanatakiwa kujitokeza kuchukua fomu ya kutimiza zoezi hilo. Hayo amesema Leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa Tamisemi Mohamed Mchengerwa alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaa... |
null | IMEELEZWA uwepo wa kambi za madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan umesaidia kuimarisha hali ya utoaji huduma za afya nchini sambamba na kuwapunguzia adha wananchi ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya za kibobezi. Hayo yamesemwa na leo Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batlida Buriani wakati wa mapokezi ya mad... |
null | MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara mkoani Kagera kutumia mashine za kielekroniki kwa usahihi (EFD) pamoja na kutunza vizuri kumbukumbu za taarifa zao za biashara zitakazowawezesha kukadiliwa kodi kwa usahihi. Akizungumza katika hafla ya utoaji semina elimu ya kodi kwa waandishi wa habari iliyofa... |
null | RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Wanawake na Samia Mkoa wa Geita ili kuwawezesha kupanua uwigo wa uwekezaji wa mradi wa chakula na mkaa mbadala. Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya Rais Samia kutembelea banda la Wanawake na Samia kabla ya kufunga Maonyesho ya Saba ya Tekn... |
null | MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Longido imetoa elimu kinga dhidi ya tatizo la dawa za kulevya kwa wanafunzi 600 wa Shule ya Msingi Longido Wengine ni wanafunzi 180 wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya... |
null | KATAVI: NAIBU Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Christina Mndeme ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Katavi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan juu ya kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Mndeme katika kuunga juhudu hizo ameanza ziara mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania kwa ajili y... |
null | WAKALA wa Maendeleo ya Wakulima Wadogo wa Chai Tanzania (TSHTDA) imejipanga ifikapo mwaka 2030 kuzalisha tani 30,000 za chai kavu iliyosindikwa ili kuwainua kiuchumi wakulima wadogo wa zao hilo. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TSHTDA, Theophord Ndunguru wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikaka... |
null | KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma za 5G ikitaja kuwa ni mapinduzi ya kwanza kufanyika nchini na yatasaidia kuongeza chachu ya uchumi wa kidigiti. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Hilda Bujiku amesema wakati wa halfa ya uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jij... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mkutano wa Bunge unaofanyika mwezi huu utapitisha muswada wa sheria kuanzisha bima ya afya kwa wote. Mkutano huo umepangwa kuanza Jumatatu jijini Dodoma. Rais Samia alisema hayo Jumapili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam wakati wa Jubilei ya miaka 50 ya Umoja wa Wanaw... |
null | GLORIA Tibaijuka na Halima Muhunzi wenye umri wa miaka 16, ni wanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaha inayomilikiwa na Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani. Hawa ndio washindi wa jumla wa Tuzo za Wanasayansi Chipukizi (YST) kwa mwaka 2022. Hawa wanasayansi chipukizi wanaonesha umuhimu... |
null | HIVI karibuni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala, walizungumza na waandishi wa habari kuhusu Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).... |
null | Lumea producției de filme porno este vastă și diversă, cu numeroase producții care acoperă diverse genuri și stiluri. Acest articol își propune să ofere o privire în profunzime asupra unei producții porno internaționale premiate, explorând crearea, impactul și recunoașterea acesteia în industrie. Producțiile porno prem... |
null | SHIRIKA la Changamoto za Mileniala Serikali ya Marekani (Millennium Challenge Corporation-MCC) limeridhishwa na mageuzi ya mifumo ya kiutendaji, yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo uimarishwaji wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Sifa hizo zimetolewa leo Oktoba 18 na Mkuru... |
null | DAR ES SALAAM: MAKOCHA wa timu za Kariakoo, Yanga na Simba, Fadlu Davida na Miguel Gamond wameweka wazi namna watakavyoingia katika mchezo wa Derby yao utakaopigwa kesho uwanja wa Benjamini Mkapa jijini, Dar es Salaam. Makocha hao wameweka mbinu zao walipozungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 18. Kocha wa Simba,Da... |
null | TIMU ya Coastal Union leo imeibuka mshindi kwa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Mabao ya Coastal katika mchezo huo wa pili kupata ushindi tangu Ligi Kuu kuanza yamefungwa na Maulid Maabad dakika ya 2 wakati la pili limefungwa na Her... |
null | TETESI za usajili zinasema Manchester United inalenga kumsajili wachezaji wawili wa Benfica, Kerem Aktürkoğlu na Orkun Kökçü lakini dili lolote lile huenda likagharimu euro milioni 70. Pia Tottenham Hotspur ina nia kuwasajili. (Caught Offside) Arsenal na Manchester City ni miongoni mwa timu zinazoonesha nia kumsajili k... |
null | WAKATI zoezi la uandikishaji la wapiga kura katika daftari la mkazi kwa ajiili ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa ukitarajia kukamilika Jumapili hii, viongozi wa vyama vyote vya siasa mkoani Kigoma wameungana kuhamasisha wananchi kujiandikisha. Viongozi hao wakiungana na msimamizi wa uchaguzi katika Halmashau... |
null | DODOMA – Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dk. Faustine Ndugulile amefariki dunia akiwa na miaka 55. Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ametangaza kifo cha kiongozi huyo aliyekuwa India kwa matibabu kupitia Taarifa kwa Umma iliyochapishwa na Ofisi ya Bunge. Ndugulil... |
null | KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven Goran Eriksson ameambiwa na madaktari kuwa amebakisha mwaka mmoja wa kuishi mara baada ya kugundulika kuwa na saratani. Eriksson, 75, amekiambia kituo kimoja cha redio cha P1 nchini Sweden kuwa: “Kila mtu amebaki anajua nina ugonjwa ambao sio mzuri. Ila natakiwa kupamba... |
null | RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron jana alimteua Gabriel Attal kuwa Waziri Mkuu mpya, na hivyo kumfanya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana (34) katika historia ya taifa hilo. Attal anachukua nafasi ya Élisabeth Borne, ambaye alijiuzulu Jumatatu baada ya kuhudumu kwa miezi 20, imeripotiwa kuwa hatua ya Macron inalenga kuu... |
null | MAREKANI: Makumi ya nchi za Magharibi zimeungana na Ukraine, Uingereza na Marekani kulaani madai ya kuwepo kwa makubaliano ya uhamishaji wa makombora ya balistiki kati ya Korea Kaskazini na Urusi, ambayo walisema ni ukiukaji wa vikwazo vya Umoja wa Mataifa kwa Korea Kaskazini. Katika taarifa ya pamoja, mkuu wa sera za ... |
null | SHAMBULIZI la kombora la Urusi lililolenga hoteli moja katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine wa Kharkiv limejeruhi takriban watu 11, wakiwemo waandishi wa habari wa Uturuki waliokuwa wakiripoti vita hivyo, maafisa wa eneo hilo walisema. “Tisa kati ya waliojeruhiwa wamepelekwa kwenye vituo vya matibabu,” Gavana w... |
null | SERIKALI ya Papua New Guinea inakusudia kurejesha utulivu baada ya takriban watu 15 kuripotiwa kuuawa katika ghasia za uporaji uliosababisha miji miwili mikubwa nchini humo kuteketea kwa moto. Machafuko hayo yalianza katika Mji Mkuu wa Port Moresby, siku ya Jumatano baada ya mamia ya maafisa wa polisi, wanajeshi, wafan... |
null | SERIKALI ya Uingereza imetangaza mipango ya kile ilichosema ni upanuzi mkubwa wa nishati ya nyuklia nchini humo kwa miaka 70 ili kuimarisha uhuru wake wa nishati na kufikia malengo ya utoaji wa hewa ya kaboni. Mpango wa Njia ya Nyuklia ya Kiraia ni pamoja na kuchunguza ujenzi wa kituo kikuu kipya cha umeme, uwekezaji w... |
null | LEO, ng’ombe 433 waliokamatwa katika eneo la ardhi oevu ya Bonde la Ihefu, ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali wanatazamiwa kupigwa mnada mkoani Mbeya. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kufanya oparesheni ili... |
null | JANA katika kikao cha mkutano wa Bunge unaoendelea jijini Dodoma, serikali imezungumzia vitendo vya mlalamikaji kulazimishwa kugharimia usafi rishaji wa watuhumiwa au mahabusu kwenda na kurudi rumande. Suala hilo liliibuliwa na Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage kupitia swali lake bungeni kabla ya kujibiwa na ... |
null | WAKULIMA 956,920 wamesajiliwa kwa ajili ya kupata mbolea ya ruzuku, ambapo jumla ya tani 60, 882 za mbolea zimenunuliwa na wakulima katika Mikoa ya Arusha, Iringa, Mbeya, Morogoro, Njombe, Rukwa, Ruvuma na Songwe. Hayo yamesemwa leo Septemba 23, 2022 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiahirisha Mkutano wa Bunge l... |
null | MBUNGE wa Viti Maalumu, Tamima Haji Abass leo amekula kiapo cha uaminifu bungeni. Aliapishwa asubuhi na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa nane. Tamima Abass aliteuliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi iliyoachwa wazi kutokana... |
null | WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi ina kiwango cha utoshelevu wa chakula kwa asilimia 115. Ametoa kauli hiyo leo Septemba 23, 2022 mjini Dodoma, wakati akiahirisha Mkutano wa Bunge la 12. “Tathmini ya awali ya uzalisha mazao ya chakula imeonesha uzalishaji umefikia tani milioni 17.4, ambapo mazao ya nafaka ni ta... |
null | #HABARI: Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, ameiagiza serikali kuchukua hatua za haraka kushughulikia vitendo vya kihalifu vinavyofanywa na vikundi vya kihalifu kama Panya Road.- Spika Dk Tulia ametoa maagizo hayo leo Septemba 15, wakati wa kikao cha Bunge kufuatia hoja ya dharura iliyowasilishwa na Mbunge wa Viti Maalum... |
null | BUNGE leo limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022. Akizungumza wakati akifanya majumuisho ya hoja mbalimbali za wabunge wakati wa mjadala wa muswada huo, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso alisema kupitishwa kwa muswaada huo kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusi... |
null | SERIKALI imetenga Sh bilioni 4 katika bajeti ya maendeleo mwaka 2022/23 kwa ajili ya kukamilisha awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa skimu ya umwagiliaji wa ekari 2,500 kikosi ya Chita JKT. Haya yamebainishwa bungeni leo na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Khamis Hamza Chillo, wakati aki... |
null | MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa Kijiji cha Inalo wilayani humo, Isacka Ngwesa (49) kwa kosa la kumnajisi mtoto wa miaka minane. Shauri la kesi hiyo ya jinai namba 29213 la mwaka 2024, lilikuwa chini ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Lucas Gambago ambapo... |
null | MBEYA; JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia mume na mke kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wao, Chloy Ramadhan (4) kwa kumpiga na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kosa la kujisaidia kwenye nguo. Tukio hilo ni la juzi saa 2 usiku katika Mtaa wa Teku viwandani baada ya baba mzazi wa mtoto huyo, Ramadhan Mwaki... |
null | DAR ES SALAAM; MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam imemhukumu aliyekuwa Ofisa Tehama wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji Kampasi ya Dar es Salaam amlipe fidia Sh milioni 10 mwanafunzi aliyemuomba rushwa ya ngono. Hakimu Mkazi Mkuu, Rehema Lyana alitoa hukumu hiyo katika shauri la uhujumu uchumi namba 16/2022... |
null | MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Samia Fashion litakalofanyika Novemba 30 mwaka huu Visiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo baada ya kutangazwa kuwa Jaji Mkuu wa tamasha hilo, Magese amesema ni heshima kubwa kwake kusimama kama Ja... |
null | MRATIBU Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Zlatan Milisic amesema umoja huo unaunga mkono ajenda ya serikali ya kuhamasisha kilimo cha umwagiliaji hivyo, watahakikisha rasilimali za maji zinapatikana kwa wale wanaohitaji kupitia programu mbalimbali. Amesema mabadiliko ya hali ya hewa, ongezeko la idadi ya watu, ukuaj... |
null | DAR ES SALAAM – Zoezi la upigaji kura limeanza rasmi nchini Tanzania ambapo wananchi waliojiandikisha wanashiriki kuchagua Wenyeviti, Wajumbe Wanawake na Wajumbe Mchanganyiko wa serikali za mitaa. Zoezi hilo lililoanza mapema saa mbili asubuhi kwa saa za afrika mashariki litaendelea hadi saa 12 jioni. Shughuli za kawai... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi waadilifu, wabunifu na wenye maono ya kuendeleza jamii. Aidha, amesema uamuzi wa wapigakura utaheshimiwa kwa kuwa demokrasia yenye nguvu hujengwa kwa misingi ya heshima na mshikamano. Alisema hayo Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma ... |
null | WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro ametangaza Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) yenye wajumbe saba kama inavyoelekezwa kwa mujibu wa Sheria na Miongozo mbalimbali ya Serikali. Taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini imesema Mwenyekiti wa Bodi hiyo aliyeteuliwa ni Prof. Martin Mha... |
null | Chaguzi Featured Tanzania CCM Iringa yajizatiti ushindi maeneo yasiyo na upinzani byNa Frank Leonard, IringaNovember 26, 2024 Featured Tanzania “Maafisa udhibiti ubora zingatieni sheria, weledi” byMwandishi WetuNovember 27, 2024 |
null | Malkia wa Uingereza, Elizabeth wa II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96. Amekalia kiti hicho kwa miaka 70 na anatajwa kuwa ndiye mtu aliyetawala Uingereza kwa muda mrefu zaidi ikilinganishwa na watangulizi wake. Kabla ya kutangazwa kwa taarifa hizo, familia yake ilikusanyika baada ya uvumi kusambaa juu ya utata ... |
null | RAIS Mteule wa Kenya, Dk William Ruto amesema amezungumza kwa simu na Rais anayemaliza muda wake, Uhuru Kenyatta. Ruto alieleza hayo Jumatano zikiwa zimepita siku kadhaa tangu aseme hajazungumza na Rais Kenyatta kwa miezi kadhaa. Mwanzoni mwa wiki hii, Mahakama Kuu ya Kenya ilithibitisha ushindi wa Ruto baada ya mpinza... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais Mteule wa Kenya kupitia muungano wa Kenya Kwanza, Dk William Ruto kwa kuthibitishwa na Mahakama Kuu ya nchi hiyo kuwa rais wa tano wa nchi hiyo. Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa twitter, Rais Samia alisema anatarajia kufanya kazi na Dk Ruto kuimarisha uhusiano ... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Liz Truss kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Conservative na Waziri Mkuu wa Uingereza. Alitoa pongezi hizo jana kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Twitter. Samia alisema Tanzania inatarajia kuendeleza urafiki wake wa muda mrefu na Uingereza katika kukuza uhusi... |
null | RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa familia ya kifalme kwa kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa Uingereza, aliyefariki juzi nyumbani kwake Balmoral, Scotland. Katika salamu zake alizotoa juzi usiku, Rais Samia alisema amesikitishwa na taarifa za kifo hicho. “Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu z... |
null | LIZ TRUSS amekutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza, huko Balmoral na sasa anakuwa rasmi Waziri Mkuu akichukua nafasi ya Boris Johnson aliyejiuzulu. Hatua hiyo inamfanya Truss kuwa Waziri Mkuu wa 56 wa Uingereza, lakini akiwa mwanamke wa tatu kushika wadhifa huo. |
null | RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inaunga mkono uwekezaji katika maeneo ya uchumi wa buluu ikiwemo usafirishaji wa baharini, mafuta na gesi, na bandari. Dk Mwinyi ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar alipotembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk Michael Ant... |
null | Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC) imezindua huduma ya NBC Connect kwa lengo la kuwafikia wateja kwa njia salama na rahisi zaidi jijini Mbeya. Huduma hiyo ya kisasa ya kidigitali inalenga kuwezesha huduma mbalimbali salama za kibenki na ambazo huweza kufanyika sehemu yoyote, muda wowote kwa kutumia simu ya mkononi na ... |
null | MASHIRIKA ya viwango vya ubora wa bidhaa kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), yamejipanga kuhakikisha masuala ya bidhaa na vipimo yanakuwa sawa, husasan upimaji na magari yanayosafirisha mafuta. Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha wakati wa mkutano wa 25 wa kujadili masuala ya viwango kwa nch... |
null | WACHUMI wametaja mambo kadhaa wanayoamini yanampa Rais Samia Suluhu Hassan uhakika wa kutekeleza ahadi ya kuboresha zaidi maslahi ya wafanyakazi. Juzi wakati wa maadhimisho Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kitaifa mjini Morogoro, Rais Samia Suluhu Hassan aliahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi kwa ... |
null | UONGOZI wa kiwanda cha kusaga na kukoboa kahawa ya unga TANICA umewasilisha maombi ya kupata mkopo wa riba nafuu Sh bilioni 51 kutoka Benki ya Kilimo (TADB) ili kukinusuru kiwanda hicho ambacho mitambo yake inaendelea kupoteza nguvu ya uzalishaji. Maombi hayo yaliwasilishwa na meneja wa kiwanda hicho, Rodness Milton ku... |
null | WACHUMI wametaja mambo kadhaa wanayoamini yanampa Rais Samia Suluhu Hassan uhakika wa kutekeleza ahadi ya kuboresha zaidi maslahi ya wafanyakazi. Juzi wakati wa maadhimisho Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kitaifa mjini Morogoro, Rais Samia Suluhu Hassan aliahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi kwa ... |
null | DAR ES SALAAM: RAIS Mstaafu, Jakaya Kikwete ametoa wito kwa mamlaka za elimu ya juu nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya wanafunzi vyuoni ziwe na manufaa kwao na jamii ili tija ya elimu yao iweze kuonekana. Mkuu huyo wa nchi wa Awamu ya Nne amesema hayo leo Julai 06, 2024 alipotembelea Banda la Chuo Kikuu cha Dar es S... |
null | DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET), imesema mitaala mipya ambayo imeanza kutekelezwa mwaka huu imezingatia watu wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na wenye ulemavu. Akizugumza na HabariLEO leo Julai 6, 2024, Mkuza mitaala kutoka TET Auguster Kayombo, amesema vitabu vinavyotumika kwenye mitaala hiyo mipya... |
null | DAR ES SALAAM: MBIO zenye hadhi ya kimataifa ya NBC Marathon zinatarajiwa kufanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma zikiwa na lengo la kukusanya fedha ili kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na kutoa ufadhili wa elimu kwa wakunga ili kuboresha afya ya mama wa mtoto. Hafl... |
null | DAR ES SALAAM; VIJANA watakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika miradi ya kilimo, ili kujitengenezea ajira ya kudumu na kuachana na kusubiri kuajiriwa. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli katika kongamano la vijana wanaojihusisha na kilimo nchini, lililoandaliwa na Shirika la Mageuzi ya Ki... |
null | DAR ES SALAAM: OFISI ya Waziri Mkuu,kazi ,Vijana, Ajira na wenye ulemavu imeanzisha programu maalumu za kukuza ujuzi kwa vijana yenye lengo la kuwapatia ajira na fursa mbalimbali Hayo amesema Yohana Madadi, Mkurugenzi Mkuzaji Tija, Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye kongamano lililoandiliwa na Taasisi ya Leberity Sparks lilil... |
null | DAR ES SALAAM: MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Dk. Eliezer Feleshi ameitaka Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kuwa na mifumo inayosomana na mahakama ili kuweza kusaidia katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mahakama kwa kushirikiana na tume hiyo. Wito huo ameutoa leo Julai 05, 2024 alipotembelea band... |
null | DODOMA: WAZIRI wa Nishati, Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi vijijini katika maeneo ambayo tayari yamefikiwa na miradi ya usambazaji umeme ili miradi hiyo iweze kuwa na tija. Amiagiza hayo akiwa jijini Dodoma wakati wa kikao chake na Uongozi wa REA... |
null | TIMU za mpira wa kikapu za wanawake, JKT Stars na Vijana Queens zinatarajiwa kucheza mchezo wa pili hatua ya nusu fainali, Ligi ya Kikapu mkoa wa Dar es Salaam leo usiku. JKT Stars tayari imeshinda mchezo wa kwanza kwa pointi 66-61 katika mchezo uliokuwa na ushindani mkali. Bado kazi ipo, iwapo JKT itashinda itaingia f... |
null | SERIKALI kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajia kukutanisha wadau zaidi ya 1000 kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika Septemba 9-10 jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, jijini Dar es Salaam, Waziri wa N... |
null | DODOMA : NAIBU Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis amesisitiza kuwa mapenzi ya jinsia moja hayaruhusiwi nchini Tanzania. Akijibu swali bungeni mjini Dodoma,Naibu Waziri Mwanaidi amesema Tanzania ni miongoni mwa baadhi ya nchi barani Afrika zinazoendelea kulind... |
null | DODOMA : WAZIRI wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba amezungumzia hali ya akiba ya fedha za kigeni iliyokuwepo nchini ambapo kwa sasa akiba ya fedha za kigeni imefikia dola za kimarekani milioni 5,345.5 ukilinganisha na mwaka 2023 ilikuwa dola milioni 5,446.1. Akiwasilisha mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na baj... |
null | KIBAHA:UONGOZI wa klabu ya Simba, umesema wana mlima mkubwa Jumapili, Septemba 22 katika mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema hayo katika uzinduzi wa hamasa kuelekea mchezo huo ambao Simba watakuwa nyumbani ... |
null | DAR ES SALAAM: Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Ripoti yake ya Uendelevu ya 2024 yenye kaulimbiu ‘Kusimamia Ujumuishwaji na Ushirikishwaji’, mnamo Oktoba 31, 2024. Ripoti hiyo iliyozinduliwa Alhamisi inaangazia dhamira ya SBL ya kuendeleza mazingira jumuishi ambapo watu wenye asili mbalimbal... |
null | TIMU ya Geita Gold ya mjini Geita imejipambanua kuwa ipo tayari kuanza mapambano ya kurudi Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na uwekezaji mkubwa ulioufanya kwenye kikosi chake. Kocha wa Geita Gold Amani Josiah amesema hayo leo wakati akizungumza kuelekea mchezo wa timu hiyo wa ligi ya Championship dhidi ya TMA ya Arusha ... |
null | PARIS Saint Germain wamempa kipaumbele mshambulizi wa Tottenham na England Harry Kane, 29, msimu huu baada ya kuondoka mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 35. (Le Parisien – Uifaransa). Beki wa Uingereza Kyle Walker, 33, yuko kwenye mazungumzo juu ya kuongezewa mkataba katika klabu ya Manchester City licha ya kutak... |
null | DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania (TCPM) na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) kutekeleza kile walichokikusudia kwa maslahi mapana ya nchini. ETDCO na TCPM ni Kampuni Tanzu za Shirika la ... |
null | PEMBA : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeongeza bajeti ya Maendeleo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kutoka Sh.bilioni 83.2 mwaka 2021/22 hadi kufikia Sh.bilioni 518 mwaka 2024/2025. Akifungua shule mpya ya sekondari ya Konde... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.