name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limesema itashirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), kukuza utalii wa ndani, baada ya kutembelea Stesheni ya Mvave iliyopo karibu na mbuga ya Saadani mkoani Pwani. Stesheni ya Mvave iko mbioni kufunguliwa baada ya kukamilika ukarabati na kwamba itakuwa kichocheo kikubwa kwa wa...
null
ASKARI wahifadhi wa wanyamapori wametakiwa kuhakikisha wanalinda na kuhifadhi vyema rasilimali kwa ajili ya vizazi vya sasa na vizazi vijavyo. Hayo yalisemwa Jumapili na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili, Profesa Eliamani Sedoyeka wakati wa mahafali ya 57 ya Chuo cha Wanyamapori Pasiansi (PWTI) mkoani hapa. ...
null
Kikundi cha wastaafu kutoka kijiji cha Kididumo, mkoani Morogoro wametembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni pamoja na Kijiji cha Makumbusho na kuwataka wastaafu kutumia muda wao vizuri kutembelea vivutio mbalimbali nchini. Mlezi wa Kikundi hicho cha Kididimo Upendo Women Group and Familiy, Dk Peter Mtakwa, amesema ...
null
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeunga mkono mchango mkubwa unaotolewa na Watanzania Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora), katika kujenga uchumi wa taifa kwa kutoa Sh milioni 50 kufadhili matengenezo ya mfumo wa kidijiti wa utunzaji wa taarifa zao. Hayo yalisemwa Ijumaa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uthaminisha...
null
SERIKALI imesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya Sh bilioni 12 kwa ajili ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ili kuongeza ufanisi katika usafirishaji wa abiria na mizigo ya ndani na nje ya nchi hususani inayopitia Bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuz...
null
SERIKALI imepanga kuanza kampeni kabambe ya kitaifa ya kupambana na matumizi ya vifungashio kuwa vibebeo iliyolenga kuanza Jumatatu ijayo nchini kote. Hatua hiyo ni katika kutekeleza agizo la Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyeagiza mikoa yote kukabiliana na matumizi yaNa Anastazia Anyimike, Dodoma Agizo hilo limeto...
null
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa ametoa maagizo kadhaa kurudisha heshima ya walimu. Bashungwa amesema ni marufuku kuwaacha walimu kupita kila ofisi ya halmashauri kutafuta huduma na ameziagiza mamlaka za serikali za mitaa kujibu barua za walimu wanaohitaj...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kujifunza mbinu mpya za kiulinzi na kiusalama ili kuendana na kasi ya mabadiliko duniani. Alitoa agizo hilo Alhamis Dar es Salaam kwenye maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC). Katika maadhimisho h...
null
SERIKALI imeongeza kasi katika vita dhidi ya mifuko ya plastiki na imekamata tani 41 za mifuko hiyo katika kiwanda kinachomilikiwa na raia wa China ambacho kimetozwa takribani Sh milioni 100 kama faini. Oparesheni hiyo inatekelezwa na mamlaka mbalimbali kupitia wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na kamati za ulinzi na usa...
null
MALALAMIKO ya utitiri wa kodi hususani za miamala ya simu na ya kibenki, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana jana Septemba 7,2022, imetoa maelekezo sita kwa serikali ikiwemo kutazama hali halisi na kuchukua hatua stahiki kuhusu utozaji wake wa Kodi Pia imetakiwa kuzingatia Ilani...
null
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah ni miongoni mwa watu saba wa walioteuliwa kuwa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo leo, Alhamisi, imetwataja wajumbe wengine wanaounda bodi hiyo kuwa ni mtangazaji wa zaman...
null
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa shilingi bilioni 36 kuwezesha wavuvi wadogo, wakulima wa mwani, wafugaji wa kaa, wafugaji wa majongoo bahari na wakoshaji wa dagaa ikiwa ni sehemu ya mikakati ya uchumi wa buluu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Dk Aboud Jumbe amesema uwezeshaji ...
null
WATOTO wanne wamefariki dunia baada ya kuungua na wengine saba kujeruhiwa kwa moto uliowashwa kwa madai ya kuondoa mkosi katika familia. Vifo hivyo vilitokea usiku wa kuamkia jumatano katika Kijiji cha Magili Juu, Kata ya Kigwa wilayani Uyui mkoani Tabora na moto huo unasadikiwa kuwa uliwashwa na mganga aliyekuwa amekw...
null
BAO pekee lililofungwa na Moses Phiri limetosha kuivusha Simba SC kutoka nafasi ya tatu hadi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu, baada ya kuifunga Namungo FC bao 1-0 katika mchezo uliopigwa leo Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Phiri amefunga bao hilo dakika ya 32 ya kipindi cha kwanza. Simba imesogea nafasi ya pili ikiw...
null
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland amehuzunishwa kuona baadhi ya wachezaji wenzake wakisafiri kwenda kushiriki michuano ya Kombe la Dunia hali yakuwa timu yake ya Norway haijafuzu mashindano hayo. Akizungumza na shirika la habari la ‘Reuters’ Haaland amesema itakuwa ni ndoto yake siku moja kucheza mashinda...
null
WINGA wa kushoto wa Simba Queens, Opah Clement ni mmoja wa wachezaji 11 wanaounda kikosi bora cha Michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika kwa upande wa wanawake, imeelezwa. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), kikosi hicho kimetangazwa baada ya kukamilika kwa mafanikio mashindano ya pili ya Ligi ya ...
null
TAARIFA kutoka katika kambi ya Ureno zinaelezakuwa mshambuliaji wa timu hiyo na Manchester United, Cristiano Ronaldo ameshindwa kufanya mazoezi na kikosi hicho kinachojiandaa na mashindano ya Kombe la Dunia kutokana na kusumbuliwa na tumbo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 alikosa mechi mbili zilizopita za Manches...
null
Mshambuliaji wa Manchester United amezidi kuingia kwenye vichwa vya habari, baada ya leo picha zake kung’olewa kwenye kuta za Uwanja wa Old Trafford wa timu hiyo uliyopo jiji la Manchester. Katika baadhi ya picha na video, zimeonekana baadhi ya wataalamu wakiwa juu ya uwanja huo wakichana na kung’oa bango kubwa lililok...
null
WAGOMBEA wa nafasi za uongozi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), wamehimizwa kuzingatia uwazi, uwajibikaji na kuheshimu haki za binadamu. Akizungumza na HabariLEO, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Idara ya Sayansi ya Siasa, Dk Richard Mbunda alisema uw...
null
UAMUZI wa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa vishikwambi kwa walimu na wadhibiti ubora nchini umeleta mchango mkubwa katika kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini. Vishikwambi hivyo takribani 300,000 vilivyotumika katika Sensa ya Watu na Makazi Agosti 23, mwaka huu, 293,400 vinagawiwa kwa walimu kwa lengo la k...
null
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Modestus Lumato, amezitaka Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini kuhakikisha zinatoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira kwa wananchi ili kushamirisha upatikanaji wa huduma endelevu kwa maendeleo ya wananchi na ta...
null
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemkamata mhasibu katika Kampuni ya Kichina ya Your Choice’, Deodatus Lubela kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ameibiwa Sh milioni 60 alizozitoa benki. Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Jumanne Muliro alisema jana ofisini kwake kuwa mtuhumiwa huyo ambaye jina lake maarufu n...
null
WATU zaidi ya 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kuvamia nyumba wakiwa na silaha za jadi na kujeruhi watu watano. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (ACP), Pius Lutumo alisema kuwa watu waliojeruhiwa walipatiwa huduma na kuruhusiwa kurudi nyumbani huku mmoja...
null
SERIKALI imeonya wanaojihusisha na uhalifu mkoani Tanga ikiwamo biashara haramu ya dawa za kulevya, biashara za magendo, uvuvi haramu, wahamiaji haramu na biashara ya binadamu. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango alitoa onyo hilo jana alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa gati mbili na uongezaji kina kutoka meta...
null
SERIKALI imeagiza watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi wasibadili bei ya vifurushi vya simu hadi serikali itapotoa bei elekezi Januari mwakani. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali ipo katika hatua za mwisho kukamilisha tathmini ya gharama za huduma za mawasilian...
null
JUKWAA la Kikanda la Wakulima, Kusini mwa Afrika limempongeza serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa ongezeko kubwa la bajeti ya sekta ya kilimo na mpango wa kukuza kilimo kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030. Wakizungumza jijini Dar es Salaam leo Novemba 24, 2022 katika Mkutano wa Jukwaa hilo, Rais wa Jukwaa hil...
null
Wizara ya Maliasili na Utalii imeeleza kuwa inathamini afya ya mama na mtoto kupitia mapato ya utalii yanayotokana na maeneo yaliyohifadhiwa ambapo kwa sasa inachangia asilimia 17 ya Pato la Taifa. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto Njiti Duniani yaliyofanyika katika kijiji cha Robanda Wilaya ya Serenge...
null
BENKI Kuu Tanzania (BOT) inaendelea kuchukua hatua mbali mbali ili kushusha riba hadi asilimia 9 . Hayo yamesema na Gavana wa BOT benki hiyo Profesa Florens Luoga kwenye kongamano la uwasilishaji wa machapisho ya wataalam wa fedha kuelekea mahafali ya kwanza ya Chuo cha Benki Kuu Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Ijuma...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa vihenge na maghala ya kuhifadhia nafaka mkoani Manyara yenye uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Uzinduzi huo umefanywa jana eneo la Makatanini na kwa mujibu wa Wizara ya Kilimo, vihenge na maghala hayo vimegharimu shilingi bilioni 19. Akizungumza kabla ya kuzinduliwa kwa maghala...
null
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeanza kupokea mabehewa yatakayotumika katika Reli ya Kisasa (SGR). Mabehewa 14 yaliyotengenezwa na kampuni ya Korea Kusini ya Sun Shin Rolling Stock Technology Limited (SSRST) yamewasili katika Bandari ya Dar es Salaam na kazi ya kuyashusha inaendelea na yatakabidhiwa kesho. Mkuu wa Ki...
null
WAKATI mashabiki, wadau na wapenda soka nchini wakihesabu saa kadhaa kuelekea dabi ya watani wa jadi Simba na Yanga, washindi wa Betika Mtoko wa Kibingwa wametua kuishuhudia dabi hiyo huku wakitambiana kuondoka na pointi tatu. Simba na Yanga zitakata mzizi wa fitina kesho kwenye uwanja wa Mkapa Dar es Salaam katika mec...
null
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza Ramadhan Kayoko kuwa refa atakayechezesha mchezo kati ya Simba na Yanga kesho. Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba, Tatu Malogo. SOMA: Ni vita ‘dabi’ nusu fainali Ngao ya Jamii leo Ratiba ya @ligikuu ya @nbc_t...
null
Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ inashuka dimbani leo katika mchezo wa pili wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) kanda ya CECAFA dhidi ya Djibouti. Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa KMC uliopo Mwenge, Dar es Salaam. SOMA: Vigezo ufunguzi, fainali Afcon 2027 vyatajwa Katika mchez...
null
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa Dar es Salaam, Mbeya na Lindi ikihusisha timu tatu zinazoshika nafasi a mwisho katika msimamo wa ligi. Ken Gold inaikaribisha Tabora kwenye uwanja wa nyumbani wa Sokoine jijini Mbeya baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 toka kwa Yanga katika mchezo uliopi...
null
MSANII wa Muziki wa Dansi kutokea nchini DR Congo, Christian Bella ameachia albamu yake inavyoitwa ‘Rhumba Volume One’ yenye nyimbo 6 alizoimba na bendi yake ya Malaika Bandi. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Christian Bella amesema albamu hiyo ameandaa kwa lengo la kurudisha na kuupa heshima...
null
TIMU ya mpira wa kikapu ya JKT imeanza vibaya michuano ya kufuzu klabu bingwa Afrika (BAL) kanda ya Mashariki baada ya kukubali kichapo cha vikapu 83-60 kutoka kwa Urunani BBC ya Burundi katika mchezo wa kwanza uliochezwa kwenye viwanja vya Filbert Bayi mkoani Pwani. Pia, Nairobi City Thunders ya Kenya imeifunga Beau V...
null
KLABU ya soka ya Yanga imeingia makubaliano ya ubia wa kimasoko na Kampuni ya Jackson Group kwa miaka miwili kwa ajili ya kutafutiwa fursa za kibiashara, wadhamini kwa maendeleo ya timu hiyo. Akizungumza jana Rais wa klabu hiyo, Hersi Said alisema kampuni hiyo inakwenda kufungua milango kwa wadau kuwasaidia kusonga mbe...
null
RAPA wa muziki wa Hip hop nchini, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema ana mpango wa kwenda Afrika Kusini kufanya wimbo mpya na mmoja wa wasanii wakubwa nchini. Akizungumza na HabariLEO, Rapa huyo alisema kuwa sababu kubwa ya kutaka kufanya hivyo ni kutaka kubadilisha ladha na kutanua wigo kwenye biashara zake za...
null
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ ametamba kuwa siri kubwa ya kukubalika kwake na mashabiki ni uwezo aliokuwa nao wa kuimba na kulitawala jukwaa. Akizungumza na HabariLEO, msanii huyo alisema wasanii wengi pamoja na uwezo mkubwa waliokuwa nao katika kuimba lakini hawawezi kulitawala jukwaa vizuri. “...
null
MWAKILISHI kutoka ubalozi wa Sweden (SIDA) Stephen Chimalo amesema wanataka uwepo mfumo mzuri kupitia wadau na serikali kuhakikisha waandishi wa habari wanakuwa kwenye mazingira salama ya utendaji kazi. Chimalo amesema hayo leo Novemba 2, 2024 katika maadhimisho ya siku ya kupinga dhuluma na ukatili dhidi ya waandishi ...
null
WAKALA wa Uhifadhi wa Misitu (TFS) wameahidi kudhibiti vikwazo kwa watumishi wenye vipaji badala yake watawapa nafasi ili kuwa wanamichezo bora ndani na nje ya nchi ikiwemo michezo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) Hayo yamesemwa na mratibu wa dawati la bonanza hilo kutoka TFS ambaye ni Ofisa Mhifadhi Mwandamizi , Ma...
null
BAADHI ya wajasiliamali wanawake wanaojishughulisha na biashara mbalimbali eneo la ghala ya kuhifadhia korosho ghafi (OLAM) Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wamesema, kitendo cha korosho kuzaa kwa wingi msimu wa kilimo wa mwaka 2024/2025 ni fursa kubwa kwa wanawake hao na wananchi kutoka ndani na nje ya mkoa ...
null
WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro imekamikisha ujenzi wa barabara ya Kisinane C yenye urefu wa Km. 0.80 kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo ni ahadi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Oktoba 2021 alipokuwa kwenye ziara mkoani humo. SOMA: Sh bilioni 755 zatekeleza miradi Kilimanjar...
null
DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimewataka wagombea wateuliwa katika nafasi ya wenyeviti uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, kutobweteka kwani uchaguzi hautapita bila kupingwa. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM- NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Mak...
null
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika usafirishaji wa kemikali mbalimbali za sumu ikiwemo ya Sianidi inayotumika kuchenjulia dhahabu migodini katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na mkemia kutoka mamlaka hiyo, Derick Masako wakati akizu...
null
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali inatekeleza mradi wa umeme Gridi ya Taifa kwa kuiunganisha mikoa ya Mtwara na Lindi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Zuberi Kuchauka, Mbunge wa...
null
BAJETI ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara za Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeongezeka kutoka Sh bilioni 275 hadi Sh bilioni 710. Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Zainabu Katimba wakati wa utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki la K...
null
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi inaendelea leo kwa michezo nane ya raundi 4 katika viwanja tofauti. Aston Villa ndio inayongoza hatua hiyo yenye timu 36 ikiwa na pointi 9 baada ya michezo mitatu huku Slovan Bratislava ikiwa mwisho wa msimamo haina pointi. SOMA: Ni hekaheka Ligi ya Mabingwa Ulaya leo Mi...
null
TIMU ya Yanga ya vijana chini ya miaka 17 imekabidhiwa kombe la ubingwa wa michuano ya U17 ililolitwaa kabla ya michuano hiyo kumalizika. Yanga U17 imekabidhiwa kombe hilo baada ya kuibamiza TDS (TFF Academy) kwa mabao 4-0 kwenye uwanja KMC, Dar es Salaam.
null
FAINALI za michuano ya Ligi ya vijana chini ya miaka 17 nane bora zinaendelea Dar es Salaam, ambapo mapema leo zimepigwa mechi mbili. Katika michezo hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa KMC,uliopo Mwenge, Yanga imeifunga TFF Academy mabao 4-0 wakati Azam imeichapa Mbeya City bao 1-0.
null
Manchester City na Arsenal leo zitashuka Uwanja wa Etihad katika mchezo wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England ‘EPL’, mchezo utakaopigwa saa 4:00 usiku. ‘The Gunners’ wanaongoza ligi hiyo kwa pointi tano, lakini wako mbele kwa michezo miwili zaidi dhidi ya mabingwa watetezi wa Pep Guardiola. Pande zote mbili zinatambua...
null
KLABU ya mpira wa kikapu ya wanawake, Vijana Queens imetangaza kukata rufaa kupinga kufutiwa matokeo ya mchezo wa nusu fainali ya pili Mkoa wa Dar es Salaam dhidi ya JKT Stars walioshinda kwa pointi 71-58. Uongozi wa timu hiyo umesema unashughulikia rufaa katika hatua zinazostahili kupata haki. Mwenyekiti wa Vijana Que...
null
DAR ES SALAAM: SHULE zinazosimamiwa na Shirika la Uzalishaji Mali Nchini (SUMA JKT) chini ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) zimetakiwa kuhakikisha zinayapa kipaumbele masomo ya sayansi Ili kuzalisha wataalamu watakaosaidia kuendesha viwanda mbalimbali vinavyoanzishwa na shirika hilo. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Tawi la...
null
BINGWA wa Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo inaanza kampeni ya kutetea taji hilo ugenini dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. SOMA: Yanga vs Simba Ngao ya Jamii Agosti 8 Katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu timu hizo kukutana Mei 8 mwaka huu kwenye uwanja wa Azam C...
null
DAR-ES-SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads), inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) – Mwenge – Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Akizungumza...
null
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ernest Sungura amesema kuanzia mwaka 2012 hadi mwaka 2024 Oktoba waandishi wa habari 316 walipatwa na madhila mbalimbali yakiwemo kukamatwa, vitisho na kutekwa. Hayo yemesemwa leo Novemba 2, 2024 katika Maadhimisho ya Kimataifa ya Kupinga Dhuluma na Ukatili dhidi ya wa...
null
BARAZA la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limesema ushiriki wa Watanzania watatu katika Tuzo za Hamad mwaka huu kwa kutafsiri kitabu cha Kiswahili kwenda kwenye Lugha ya Kiarabu kimeiongezea hadhi Kiswahili. Katibu Mtendaji wa Bakita, Consolata Mushi alisema hii ni mara ya kwanza kwa Lugha ya Kiswahili kuingizwa kwenye ush...
null
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa maelekezo manne kwa wataalamu wa afya na viongozi wa serikali wa Mkoa wa Kagera. Ummy alitoa maelekezo hayo jana jioni baada ya kukagua mpaka wa Murongo wilayani Kyerwa, ambapo jumla ya watu 11,500 wamepimwa viashiria vya ugonjwa wa Ebola katika mpaka huo. Akitoa maelekezo hayo, Wazi...
null
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekaribisha watu kutoka mataifa mbalimbali kuja Tanzania kwa kuwa ina wananchi wakarimu, wapenda amani, utulivu na ina vivutio vya utalii vinavyotambulika na kukubalika duniani. Majaliwa alisema hayo jana jijini Arusha wakati anafungua Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani (UNWTO) Kam...
null
MultiChoice Group, mtoa huduma za burudani anayeoongoza barani Afrika, na Irdeto, kampuni inayoongoza katika huduma za usalama wa majukwaa ya kidijitali mtandaoni, hivi karibuni wamepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya uharamia barani Afrika baada ya mahakama ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, kuwaadhibu watu wa...
null
BENKI ya Dunia imetoa mkopo wa Dola za Marekani milioni 200 (Sh bilioni 466.387) kugharamia mradi wa Bonde la Msimbazi ili kuepuka mafuriko na kuliwezesha Jiji la Dar es Salaam kukabili ongezeko la watu. Fedha hizo zimeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi Watendaji wa benki hiyo Septemba 30, mwaka huu. Gharama za mradi wo...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan amewaeleza wanafunzi wa Darasa la Saba kuwa serikali itahakikisha inakamilisha maandalizi ya miundombinu ya kuwapokea watakaoendelea na Kidato cha Kwanza mwakani. Rais Samia ameyasema hayo katika ujumbe aliotuma kuwatakia heri wanafunzi hao walioanza mitihani jana kuhitimu elimu ya msingi Tanza...
null
Featured Infographics Jafo awaagiza wakuu wa mikoa kutenga maeneo ya uwezekaji viwanda byLucy LyatuuJuly 9, 2024 Infographics Sayansi & Teknolojia Wanafunzi wapewa kompyuta 50 bure kukuza TEHAMA byNa Aveline KitomaryJuly 22, 2024
null
KIGOMA; TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetaka viongozi wa vyama vya siasa na wananchi kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi zilizowekwa, ili kuwasilisha malalamiko yao badala ya kufanya vurugu ambazo zitasababisha kuvuruga uchaguzi. Mwenyekiti INEC, Jaji Jacobs Mwambegele amesema hayo katika mkutano w...
null
IRINGA; BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, limetoa onyo lingine kwa watendaji wanaoisababishia hoja za ukaguzi halmashauri hiyo, likisema litaendelea kuchukua hatua kali dhidi yao, ikiwemo kuwafikisha katika vyombo vya dola na hata kuwafukuza kazi. Azimio hilo limetolewa na baraza hilo katika mkutan...
null
DAR ES SALAAM; Magwiji wa zamani wa timu ya Yanga wametembelea na kuipa mafunzo timu ya Safari Champion inayojiandaa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga Juni 29, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magwiji hao ni Edibily Lunyamila, Steven Nemes, Kenneth Mkapa, Said Maulid, Omar Hussein na Sa...
null
NEW YORK, Marekani: Marekani imetangaza mpango wake wa kupiga marufuku uuzaji wa programu ya antivirus iliyotengenezwa na kampuni ya Urusi ya Kaspersky kutokana na madai ya kuwa ina uhusiano na Kremlin. Kwa mujibu wa Waziri wa Biashara, Gina Raimondo amesema uamuzi huu umekuja baada ya kuwepo kwa ushawishi wa Moscow ku...
null
DAR ES SALAAM; SERIKALI imesema Tanzania iko salama dhidi ya vitendo vya utekaji na inachukua hatua kuhakikisha watu wote waliohusika na utekaji nyara watu wanachukuliwa hatua za kisheria. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema vyombo vyao vya ulinzi vina uwezo wa kuwapata watuhumiwa wa vitendo hivyo n...
null
RAIS Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuchochea maendeleo katika sekta ya uwekezaji na kuongeza kasi ya usimamizi wa vyanzo vya maji ili kuhakikisha rasilimali hiyo muhimu inanufaisha kizazi cha sasa na kijacho. Ameyasema hayo mjini K...
null
IDADI ya wakazi wanaohamia kwa hiyari kutoka katika Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, mpaka sasa imefikia kaya 349 ambapo ni sawa na watu 1075. Takwimu hizo zimetolewa na Mkuu wa wilaya ya Handeni Siriel Nchembe, Wakati akipokea kundi la 12 lenye kaya 61 zenye jumla ya watu 310 wal...
null
SERIKALI inatarajia kujenga hospitali kubwa yenye hadhi ya hospitali ya Mloganzila, mkoani Kagera. Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu jana katika kikao chake na wataalamu wa afya mkoani Kagera, ambako kuna kampeni kubwa ya kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. “Tumekubaliana, serikali itatoa fedha kujengwe...
null
MRADI wa ufugaji samaki wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, umefanikiwa kuzalisha ajira 729, baada ya wananchi kupewa mafunzo ya kuendeleza ujuzi yanayotolewa kupitia ruzuku ya Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF). Pia uzalishaji wa samaki umeongezeka hadi kufikia kilo 600 kwa miezi tisa kutoka kilo 100 za awali. Taarifa iliyoto...
null
WAZAZI na walezi wenye watoto waliohitimu darasa la saba mwaka huu, wametakiwa kuhakikisha wanafanya maandalizi ya kidato cha kwanza mapema kabla ya mwezi Desemba. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, alipokuwa akizungumza na Daily News Digital na kusema kuwa mwaka huu ufaulu unaweza kuonge...
null
ZAIDI ya mifugo 36000 iliyopo jijini Tanga, inatarajiwa kutambuliwa kwa kuwekewa alama ya hereni za kielektroniki. Akizungumza baada ya kuzindua uwekaji herein huo, Mkuu wa wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa, amesema kuwa hatua hiyo itasaidia serikali kujua idadi ya wanyama waliopo nchini, hivyo kurahisisha ugawaji wa d...
null
MSANII wa Bongofleva, Omar Mwanga ‘Marioo’ amesema, hakuna kitu kigumu kama kushirikiana na wasanii wakubwa kwani mara nyingi wanajiona wako sahihi na hawataki uchangie wazo kwenye kazi yao. Marioo alisema hayo baada ya msanii Elias Barnaba ‘Barnaba Classic’ kukubali ushauri wake wakati wa kurekodi wimbo wa ‘Marry Me’ ...
null
Benki ya Dunia imetoa msaada wa Sh Bil 17 kwa serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuimarisha huduma ya mama na mtoto. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati alipokutana na wadau kutoka Shirika la Global Financing Facility (GFF), kutoka Benki ya Dunia ambao wanafadhili mradi wa Kitita cha Uzazi Salama kati...
null
HUDUMA za kibingwa za Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), zitaanza kutolewa katika hospitali mpya ya kisasa ya Rufaa Kanda Mtwara, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Abbas Ahmed, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwe...
null
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60 mkazi wa kata ya Majengo manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga amefariki dunia saa chache baada ya kuhesabiwa na makarani wa sensa nyakati za usiku katika hospitali ya manispaa ya Kahama. Pia mtu mwingine aliyekuwa amelazwa wodini katika hospitali hiyo alikataa kuhesabiwa mpaka awaone v...
null
WAKATI idadi ya Watanzania ni milioni 61. 74 pia kuna jumla ya majengo milioni 14. 3 Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakati akitangaza matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi, jijini Dodoma leo Oktoba 31,2022. Rais Samia amesema, kati ya idadi hiyo ya majengo, Tanzania Bara kuna majengo milioni 13.9, wakati Zanz...
null
AMIN Salum (30) mkazi wa mtaa wa Nyamarembo, Kata ya Mtakuja mjini Geita, ambaye ni mwendesha pikipiki ya abiria (bodaboda), ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Shomary amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumuza na waandishi wa habari na kueleza lilitok...
null
MIKOA mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji. Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na miti asili kwa kiasi kikubwa, Pwani, Morogoro, Tabora, Lindi na Ruvuma. Akizungumza leo Novemba Mosi, 2022 Rais Samia Suluhu Hassa, amesema mabadiliko ya tabia nchi yana sura mbili, ambazo moja ...
null
RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo ya kuundwa kwa kikosi kazi cha taifa, ambacho kitaongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kitakuwa na kazi ya kuchakata na kutoa suluhu ya afua ya nishati safi ya kupikia. Akizungumza leo Novemba Mosi, 2022 katika uzinduzi wa Kongamano la Kitaifa la kuhusu nishati safi ya kup...
null
MKAZI wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya usafirishaji wa binadamu kinyume cha sheria. Mshtakiwa huyo alisomewa mashtaka hayo mahakamani hapo jana na Wakili wa Serikali, Caroline Matemu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Ramadhani...
null
MKAZI wa Kijiji cha Malulu, Kata ya Didia Halmashauri ya Shinyanga, Shoma Moshi (50) ameuawa na watu wasiojulikana kwa kukatwa mapanga wakati akimuogesha mjukuu wake majira ya saa mbili usiku nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi alithibitisha tukio hilo lililotokea tarehe 30/10/2022 katika...
null
SERIKALI imepongeza shule binafsi ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa ikiwemo St Anne Marie Academy. Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki na Kamishna wa Elimu, Dk Lyabwene Mtahabwa ambaye alimwakilisha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, kweny...
null
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amewataka watu wenye ulemavu kuchangamkia fursa ambazo Serikali inazitengeneza ikiwemo fursa za ajira. Profesa Ndalichako alitoa rai hiyo Jumatatu wakati wa kuzindua Baraza la Ushauri la Taifa kwa Watu wenye Ulemavu. Al...
null
SERIKALI imetakiwa kuongeza juhudi za kukabiliana na ongezeko la imani za kishirikina nchini kwa sababu imani hizo zinavuruga jitihada kubwa na muhimu za serikali kuboresha elimu nchini. Aidha, serikali imeshauriwa kuliangalia upya suala la uchezaji kamari lililozagaa nchini kwa sababu michezo hiyo ni utapeli, na inasa...
null
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imefuta hukumu ya kifungo cha miaka mitano jela iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, baada ya mahakama hiyo kumtia hatiani John Severini Chale (60) kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya ushirikina. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, Dk John Utamwa alitoa...
null
MTANDAO wa Wabunge wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (PNoWB), wameridhishwa na jinsi wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) ulivyoweza kubadilisha maisha yao. Pia wameguswa na jinsi wanufaika wa Tasaf wanavyoweza kutumia kiasi kidogo cha fedha kujikimu pamoja na gharama kubwa za maisha. ...
null
WAKAZI wa vitongoji vya Nyakahamba na Kitonga Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamehakikishiwa huduma ya maji ifikapo Desemba mwaka huu kupitia mradi wa uboreshaji huduma ya maji kutoka Bagamoyo hadi Makongo. Meneja wa Mkoa wa Kihuduma wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) Mapinga, Abrah...
null
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeielekeza ofisi ya Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tabora kwa niaba ya Kamishna wa Ustawii wa Jamii, kushirikiana na vyombo vya haki mkoani humo kuhakikisha wanafufua shauri la wazee waliochapwa viboko kwa tuhuma za kishirikina, ili mashahidi watoe ushahidi wa...
null
JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Oliver Meshack (19), mkazi wa kitongoji cha Mapinduzi, kata ya Buselesele wilayani Chato kwa tuhuma za kumzika mwanawe akiwa hai, ili apate nafasi ya kuhangaika na wanaume kwa masuala ya ngono (kudanga). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo ametoa taarifa hiyo leo alipoz...
null
BODI ya Nyama Tanzania (TMB), imesema masoko ya nyama nje ya nchi yameendelea kuongezeka kwa kasi huku ikitarajiwa China kuwemo. Msajili wa Bodi ya Nyama nchini, Dk Daniel Mushi alisema hayo hivi karibuni mjini Morogoro kuwa hivi sasa Tanzania inauza nyama kwenye nchi za Qatar, Falme za Kiarabu(UAE), Oman, Saudi Arabia...
null
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 17, 2023 kusoma hukumu ya kesi ya mauaji ya askari wa kikosi cha usalama barabarani, Sajenti Mensah inayomkabili Amani Philipo. Tarehe hiyo ilipangwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Lumuli Mbuya anayesikiliza kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kufunga ushahidi wake. Akihitimisha u...
null
WANANCHI wa Mtaa wa Magan[1]ga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maaru[1]fu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwam[1]ba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai. – Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga nyumbani kwa ji[1]ran...
null
SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna maeneo yatakayokosa chakula kwa kuwa inayo hifadhi ya kutosha huku ikisisitiza kuwa, bei ya bidhaa nyingi ikiwamo ya chakula ni nafuu Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha, imesema ni kosa la kisheria kwa wafanyabiashara kupan...
null
MFANYABIASHARA na mmiliki wa kampuni za ASAS Group, Salim Abri (ASAS) amejiunga rasmi na uanachama wa maisha wa Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania ‘Red Cross’. Rais wa Redcross ambaye pia ni Mbunge wa Mufundi, Kusini David Kihenzile, ameiambia HabariLeo kuwa Asas mbali na kujiunga rasmi kuwa mwanachama wa Red Cross, ...
null
MKUU wa Wilaya ya Ngara, Mathias Kahabi amesema mtu atakayejaribu kuhujumu mradi wa uchimbaji madini wa Tembo Nickel, atakuwa anaihujumu serikali jambo ambalo hatokubali litokee. Kahabi aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vijiji vya Rwinyana na Bugarama, alipofanya ziara ya kuzungumza na wan...
null
SERIKALI iko katika mpango wa kujenga Kituo cha Tanzanite City, kitakachojengwa Mji wa Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, lengo ikiwa ni kutaka madini hayo kuwanufaisha wafanyabiashara na wachimbaji wadogo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini ,Dk. Dotto Biteko, wakati wa hafla ya ununuzi wa madini ya Tanzanit...
null
KAMPUNI ya nishati ya Oryx Tanzania, imesema imedhamiria kufungua vituo zaidi vya mafuta kwenye mikoa mbalimbali nchini. Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania, Kalpesh Mehta, ameeleza hayo leo wakati wa uzinduzi wa mgahawa wa KFC- Thru na BAO Café katika kituo cha huduma cha Oryx Morocco jijini Dar es Salaam. “Mahi...