name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45748
null
### Katika ulimwengu wa kisasa, simu janja ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Kutoka kwa sababu za mawasiliano, urambazaji, hadi burudani, vifaa hivi tunavitumia mara kwa mara. Moja ya changamoto kubwa katika matumizi ya simu janja ni kudumisha ubora wa betri ya simu yako. *Inaweza ikawa umewahi kusikia vid...
null
### Umoja wa Ulaya umetangaza kanuni mpya itakayotaka simu zote zinazouzwa katika eneo hilo ziwe na betri linaloweza kubalishwa kwa urahisi na mtumiaji simu ifikapo 2027. Hatua hii ni sehemu ya juhudi pana za kupunguza taka za elektroniki na kukuza uchumi endelevu zaidi. Chini ya kanuni mpya, betri za simu janja lazim...
null
### Makampuni mengi yamekuwa kazini wakiboresha muda ambao simu janja inatumia kujaa chaji na yamekuwepo mabadiliko mengi kwa miaka kadhaa sasa. Xiaomi wamekuwa na kiu ya kuboresha teknolojia ya kuchaji haraka. Xiaomi imekuwa katika ushindani na kampuni nguli kwenye ulingo wa biashara ya simu janja na kampuni hiyo im...
null
## Kama utakua umeshagundua siku hizi simu janja nyingi sana betri zake huwa ni za *moja kwa moja *kwa maana ya kwamba haziwezi kutolea bila kuzipeleka kwa mtaalam Sasa tunajiuliza mbona zamani tulikua tunaweza kutoa betri za simu zetu wenyewe? yaani ilikua ni rahisi kiasi cha kwamba hata kama betri muda wake wa matu...
null
## iPhone nyingi watu wanazifurahia sana kwani zina karibia kila kitu ambacho kinahitajika kwa simu janja, lakini wengi wanasema tatizo ni betri katika simu hizo. Ni kweli chaja ni muhimu sana katika simu na simu janja nzuri ni ile amabayo chaja haaishi haraka. Kumbuka bado kampuni imeweka njia nyingi za kuhakikisha ...
null
### Samsung wapo njiani kuja na teknolojia ya mabetri ya simu yanayodumu zaidi na chaji kutokana na utumiaji wa malighafi mpya katika utengenezaji. Madini aina ya ‘graphene’ yatatumika kama malighafu katika utengenezaji wa mabetri ya aina ya lithium yanayotumika kwa sasa kwenye simu. Teknolojia hiyo mpya waliokuja n...
null
### Imefahamika toleo la Google Play Store 18.3.82 linasababisha kuisha kwa chaji kwenye simu za Android haraka kuliko kawaida. Toleo hilo ambalo limetoka hivi karibuni limeonekana kuwa na tatizo (bug) linalosababisha utendaji wake kutumia chaji nyingi ya simu. Kama una muda mrefu haujasasisha(update) toleo la app ya...
null
Google Play store ndio soko kubwa kabisa la App mbalimbali duniani kuzidi yote.... Huawei wataendelea kutengeneza simu bila huduma za Google kwenye simu zake hadi... Imefahamika toleo la Google Play Store 18.3.82 linasababisha kuisha kwa chaji... Programu wezeshi ya Ms. Office ambayo ni moja ya programu muhimu sana ...
null
### Watafiti wagundua Apple ipo njiani kufanya ubadilishaji wa betri za iPhone kwa mafundi wanaojitegemea kuwa jambo gumu, ikiwa ni njia ya kulazimisha ufundi huo kufanywa kupitia maduka yao spesheli, yaani Apple Stores. Kampuni maarufu ya utafiti wa matengenezo ya iFixit imetoa ripoti inayoonesha kwenye simu mpya za ...
null
### Kampuni ya nchini Ufaransa, ya Avenir Telecom, imetambulisha simu ya Energizer Power Max P18K Pop, simu yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu zaidi. Simu janja hii inakuja na betri la uwezo wa mAh 18,000, kwa wastani simu nyingi huwa na kiwango cha betri cha kati ya mAh 2,500 hadi mAh 4,000. mAh – ni kipimo...
null
### Katika dunia ya leo ambapo teknolojia imetawala sio lazima kusubiri mpaka bidhaa husika itoke ndio uweze kujua sifa zake bali muda inavyozidi kusogea unaweza kufahamu kitu kimoja mpaka kingine. Simu janja, Samsung Galaxy S10 Lite bado haijatoka kabisa lakini tayari kutokana na chazo cha kuaminika imeshabainika uw...
null
### Matumizi ya betri kwenye simu janja/vifaa vya kidijiti yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na kiasi cha mwanga ambao unakuwa umeweka kitu ambacho kinasabisha kuhitaji kimemeshi ili kuchaji. Makampumi mbalimbali yanakuja na kipengele ambacho kitaruhusu kuwa na muonekano wa giza kitu ambacho **tayari tumeshakiona kwenye...
null
### Hupaswi kufikiria sana pale unaposikia kwa mfano kulipuka kwa betri za simu aina ya Lithium-ion kwani ni jambo ambalo lipo tamati kumalizika. Tatizo la betri hizo zikiwamo zile zilizoleta shida wakati fulani kwenye Samsung Galaxy Note 7 limesababisha milipuko kadhaa mpaka maamuzi yakatoletewa kusitisha matumizi y...
null
BetriMotoSamsungsimuTeknolojiaUsalama Suluhu ya kulipuka kwa betri za simu Siyan August 27, 2018 Hupaswi kufikiria sana pale unaposikia kwa mfano kulipuka kwa betri za simu... MotosimuUsalama Mlipuko wa simu waripotiwa kumuua Mkurugenzi Mtendaji wa Malaysia Siyan June 26, 2018 Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Fedha l...
null
### Using’ate betri kwa sababu yeyote ile! Kuna mtu nchini China alifikiri anaweza kuangalia kama betri ni feki au la kwa njia ya kung’ata. Kilichotokea hatosahau kamwe. Mwanaume huyo alienda kwenye duka la elektroniki katika jiji la Nanjing kwa lengo la kubadili betri la simu yake ya iPhone, ila baada ya kuoneshwa be...
null
AppleBetrisimu Apple yapunguza bei ya betri ya simu zake Mato Eric January 5, 2018 Betri za simu za Apple daima zimekuwa si bei rahisi lakini mwaka unaisha huku... BetriMaujanja Tengeneza chanzo cha umeme wa kuchaji simu kwa kutumia viwembe Mato Eric December 25, 2017 Teknolojia zipo nyingi na ukuaji wake unazidi kuku...
null
### Katika ulimwengu wa sasa, simu za mkono zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Hata hivyo, sio kila mtu anaweza kumudu kununua simu mpya kabisa. Kwa bahati nzuri, kununua simu ya mkono iliyotumika inaweza kuwa suluhisho bora kutokana kutarajia unafuu wa gharama. *Kama unampango wa kununua simu iliyotumika hivi kari...
null
### Mwezi Novemba mwaka jana zilitoka taarifa kuhusu ushirikiano kati ya VISA na Halopesa na hapa ni dhahiri shahiri suala hili linahusisha masuala ya miamala ya fedha kati ya pande mbili zinazohusika. Suala hilo sasa ni rasmi baada ya wahusika kusaini hati ya makubaliano. Watanzania wanaianza wiki ya Mei 20 2019 kwa...
null
### Katika vitu ambavyo Tanzania inajivunia hasa kwa wana teknolojia na TEHAMA kwa ujumla ni kuwa na kamisheni yao ambayo inaangazia ukuaji, changamoto na kushauri nini cha kuongeza/kuboresha na hapo ndipo kongamano la pili mwaka 2018 linaendeleza gurudumu. Tangu kufanyika kwa kongamano la kwanza zaidi ya mwaka mmoja...
null
simuTanzaniateknokonaUchambuzi Vitu Muhimu vya Kuzingatia Unaponunua Simu ya Mkononi Iliyotumika(used). LanceBenson June 21, 2024 Katika ulimwengu wa sasa, simu za mkono zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu....
null
simuTanzaniateknokonaUchambuzi Vitu Muhimu vya Kuzingatia Unaponunua Simu ya Mkononi Iliyotumika(used). LanceBenson June 21, 2024 Katika ulimwengu wa sasa, simu za mkono zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu....
null
Katika ulimwengu wa sasa, simu za mkono zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu.... Huduma ya intaneti ya Starlink ndani ya Kenya 😎 . Huduma ya intaneti ya... Tanzania inaongoza kwa sasa katika uagizaji wa magari yaliyotumika nchini... Tanzania imechaguliwa kati ya nchi 48 kati ya Nchi 193 Wanachama kuwa katika... T...
null
simuTanzaniateknokonaUchambuzi Vitu Muhimu vya Kuzingatia Unaponunua Simu ya Mkononi Iliyotumika(used). LanceBenson June 21, 2024 Katika ulimwengu wa sasa, simu za mkono zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu....
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45729
null
### Katika ulimwengu wa sasa, simu za mkono zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Hata hivyo, sio kila mtu anaweza kumudu kununua simu mpya kabisa. Kwa bahati nzuri, kununua simu ya mkono iliyotumika inaweza kuwa suluhisho bora kutokana kutarajia unafuu wa gharama. *Kama unampango wa kununua simu iliyotumika hivi kari...
null
### Ukiwa na mfumo wa ulinzi wa kamera (CCTV) kwa mfano na unataka kuziangalia kamera zako kwenye simu yako ya mkononi basi ni lazima kufungua port za mtandao wako kwanza, siyo kwa CCTV bali zipo nyakati kadhaa ambazo mtu kwa namna moja au nyingine huitaji kufungua port za mtandao wake ili aliye nje ya mtandao huo awez...
null
### Je unafahamu ya kuwa kuna mambo mengine ambayo hayataenda kawaida kama ukiyajaribu kwenye kompyuta yako ya Windows? Yasome hapa kuyafahamu vizuri; **#1. Najua kila mtu anaweza tengeneza folder mpya kwenye kompyuta yake. lakini hilo sio tatizo tatizo ni kwa kuna majina kadhaa ukiya weka katika folder jipya, litagom...
null
#### Tunaposema teknolojia inavuka mipaka na kurahisisha mambo hatukosei kabisa, #### nafurahi kusema TeknoKona imepata logo mpya ya kuvutia kutoka kwa mbunifu kutoka nchini Italy anayeishi Ufaransa kwa sasa. Ni rafiki yangu wa muda mrefu na mpenzi wa kazi za TeknoKona 😉 Bado anajifunza kiswahili bila hivyo anasema...
null
#### Tulishaandika kuhusu uamuzi wa ajabu uliochukuliwa na mtandao wa kijamii wa Facebook wa kubadilisha anuani za barua pepe katika profaili za watu wote. #### Hatua hii inafanya watu mbalimbali waliokuwa wanategemea kuunganisha program zao kama simu, laptop na huduma zingine katika kupata data muhimu kama barua pepe...
null
BlackBerry ni jina lenye hishima kubwa na na kampuni mbili hadi sasa kwa... BlackBerry kama kampuni wamejiweka pembeni kuhusu biashara ya simu janja tangu... Inafahamika ulimwenguni kote kwamba BlackBerry wameachana na utengenezaji wa... Simu hizi zimepotea na kurudi mara kadhaa kwenye soko, baada ya mafanikio... B...
null
#### Mwezi wa nne niliandika kuhusu hali ngumu kimauzo iliyokuwa inaikabili kampuni ya RIM (Research In Motion) watengenezaji wa simu maarufu za Blackberry, niliandika ‘RIM; Je Kifo Cha Kampuni ya BlackBerry Kinakaribia’. #### Hali mbaya bado inaendelea na sasa imefikia hatua wamesukuma mbele muda wa kuziingiza sokoni...
null
### Najua ushawahi kujiuliza ni jinsi gani utaweza kushusha /’download’ vitu mbalimbali kama nyimbo, tamthilia flani unazofuatilia na unapata shida kuziona, makala flani (documentary), au ata filamu flani, vitu ambavyo vanaweza kuchukua muda mrefu kuvi’download kwa kawaida. Tena ukiangalia suala la mwendo (speed) mdo...
null
IntanetiPirateBayTorrent Pirate Bay Imeshika Namba Moja Tena Ktk Kutembelewa Baada Ya KAT Kufungiwa! Hashiman (@hashdough) Nuh August 17, 2016 Unajua kabla ya KickAss Torrent haijafungiwa,Pirate Bay ndio ulikua mtandao wa... IntanetiPirateBayTeknolojiaVideo Mwizi wa Mtandaoni ahitaji Video Yake Ionekane mara 200,000 i...
null
Kampuni ya EA Sports, watengenezaji wa magemu maarufu ikiwa ni pamoja na magemu... ExtraTorrent ni tovuti iliyojipatia umaarufu mkubwa zaidi kwa jamii ya... Unajua kabla ya KickAss Torrent haijafungiwa,Pirate Bay ndio ulikua mtandao wa... Baada ya zaidi ya miezi miwili ya kupotea hewani kutokana na vifaa vyake... N...
null
Katika hali ya kawaida kabisa inaweza kutokea wakati unaperuzi mtandaoni... Habari mbaya kwa mitandao inayotegemea mifumo ya matangazo ya kimtandao kuweza... Baada ya takribani miezi miwili tangu WhatsApp Web ilipowasili kwenye kivinjari... Na Brian L. Anderson Ulimwengu wa vitumi vya mkononi unakua kwa kasi kubwa n...
null
## | #### Mwanzo wa mwezi huu ulikaribishwa na toleo jipya la OperaMini, browser ya intanet kupitia simu. Hakuna ubishi ya kwamba watu wengi zaidi, hasa katika nchi zetu zinazoendelea tunaingia kwa intaneti kutumia simu zetu kupita vifaa vingine. Na hapo ndo inapokuja OperaMini, lakini si hivyo tuu kwa wale watumiaji...
null
Kwa wale wapenzi wa simu za Android na wale ambao wanafikiria kununua simu mpya na mshiko upo wa ukweli nawashauri mjipe ‘stop’, mvute pumzi kidogo na kusubiria a.k.a kutafuta kitu moto toka Samsung, nacho ni Samsung Galaxy III. Hakuna siri ya kuwa simu za Android ni nzuri sana, kwa wale wapendao simu wanayoweza kuifa...
null
### Kila mwaka, Apple hutuletea matoleo mapya ya mfumo wake wa uendeshaji wa iOS, na mwaka huu, iOS 18 inakuja na mambo mengi mapya ambayo pengine yatawafurahisha watumiaji wa iPhone. Huku tukitarajia iOS 18 kuachiliwa rasmi mwezi September,embu tuanglie baadhi ya vipengele vipya ambavyo vinaonekana kuvutia zaidi. *V...
null
## Ni wazi kwamba kuna simu janja za aina nyingi sana na pengine nchini china ndipo kunapoongoza kuzalisha simu nyingi tena za aina tofauti tofauti mfano mzuri ni simu za Meizu. Meizu ni simu ambazo zinatengenezwa huko china japokua soko lake kubwa ni nchini humo lakini bado unaweza ona matoleo yake katika mataifa me...
null
iOSsimuTeknolojia Uzinduzi wa iOS 18: Vipengele Vipya vya Kufurahisha, Je Kuboresha Matumizi ya iPhone yako! LanceBenson June 20, 2024 Kila mwaka, Apple hutuletea matoleo mapya ya mfumo wake wa uendeshaji wa iOS,...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45726
null
### Kila mwaka, Apple hutuletea matoleo mapya ya mfumo wake wa uendeshaji wa iOS, na mwaka huu, iOS 18 inakuja na mambo mengi mapya ambayo pengine yatawafurahisha watumiaji wa iPhone. Huku tukitarajia iOS 18 kuachiliwa rasmi mwezi September,embu tuanglie baadhi ya vipengele vipya ambavyo vinaonekana kuvutia zaidi. *V...
null
#### Unapokuwa na bajeti ndogo lakini unataka simu yenye ufanisi na ubora, ni muhimu kufanya uchaguzi mzuri ili kuhakikisha unapata thamani ya pesa yako. Leo, tumekutengeneza orodha ya baadhi ya simu bora ambazo unaweza kununua kwa bei chini ya au isiyozidi TZS 300,000/= katika soko la Tanzania, pamoja na bidhaa kutoka...
null
### Kampuni mashuhuri ya utengenezaji rangi nchini ya Sadolin imenunuliwa na moja ya kampuni kubwa ya utengenezaji rangi Afrika na duniani, sasa kufahamika kwa jina la Kansai Plascon Tanzania. Rangi za Sadolin zimejipatia umaarufu sana nchini, zimekuwa zikitengenezwa nchini kwa zaidi ya miaka 50. Kumbuka hadi lile nen...
null
GalaxyInfinixJinsiMaujanjaOppoOppoSamsungsimuSmartphonesTanzania Umebanwa na Bajeti! Hizi hapa Simu 5 Bora Za kununua Ukiwa na Bajeti Chini ya TZS 300,000/= (2024) LanceBenson May 11, 2024 Unapokuwa na bajeti ndogo lakini unataka simu yenye ufanisi na ubora, ni muhimu... simuTeknolojia Umoja wa Ulaya kudhibiti gharama...
null
Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya... Oppo wametangaza ujio wa simu zao mpya za matoleo ya Oppo Find N ambapo toleo... Kuna makampuni mengi ya simu ambayo yanafanya vizuri katika soko la nchini... Pengine soko la Oppo katika nchi ya ujerumani ndio limefikia tamati kabisa,...
null
GalaxyInfinixJinsiMaujanjaOppoOppoSamsungsimuSmartphonesTanzania Umebanwa na Bajeti! Hizi hapa Simu 5 Bora Za kununua Ukiwa na Bajeti Chini ya TZS 300,000/= (2024) LanceBenson May 11, 2024 Unapokuwa na bajeti ndogo lakini unataka simu yenye ufanisi na ubora, ni muhimu...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45704
null
#### Unapokuwa na bajeti ndogo lakini unataka simu yenye ufanisi na ubora, ni muhimu kufanya uchaguzi mzuri ili kuhakikisha unapata thamani ya pesa yako. Leo, tumekutengeneza orodha ya baadhi ya simu bora ambazo unaweza kununua kwa bei chini ya au isiyozidi TZS 300,000/= katika soko la Tanzania, pamoja na bidhaa kutoka...
null
## Kuna makampuni mengi ya simu ambayo yanafanya vizuri katika soko la nchini china lakini katika uuzaji wa simu za kujikunja Oppo wako kinara. Ni wazi kuna simu nyingi za kujikunja (Fold) kwa sasa na makampuni mengi yameonekana yakikimbilia katika soko hilo huku Oppo nae akiwa hajabaki nyuma kabisa. Sababu kubwa ni...
null
## Pengine soko la Oppo katika nchi ya ujerumani ndio limefikia tamati kabisa, wanachi wa nchi hiyo wamepatwa na mshangao baada ya kushangazwa ka tovuti ya Oppo—katika nchi hiyo. Ni makampuni mengi huwa yana utaratibu wa kuwa na tovuti ambayo ni spesheli kwa nchi fulani ili kuaendana na soko hilo, hata kampuni ya Opp...
null
OnePlus ni kampuni inayosifika kwa kuja na simu zenye sifa za kipekee sana,... Oppo na OnePlus ni makampuni nguli kabisa katika teknolojia ya kutengeneza na... OnePlus kwa sasa ni kampuni ambayo inasifika vikubwa kwa simu janja zake ambazo... Katika miaka ya karibuni kwenye soko la ushindani simu janja za OnePlus......
null
Oppo na OnePlus ni makampuni nguli kabisa katika teknolojia ya kutengeneza na... Ni wazi kuwa kampuni ya OnePlus imejiongeza zaidi na kuwa ina bidhaa nyingi... OnePlus wanazidi kujitanua na kwa sasa kampuni haijajikita katika kutengeneza... OnePlus ina bidhaa mpya kwa mtu yeyote ambaye tayari anatafuta kuboresha sim...
null
## Oppo ni chapa kubwa sana ya kutengeneza na kuuza simu, ni moja kati ya washindani wazuri sana katika soko la simu janja. Mara nyingi kampuni hii iko katika kumi bora ya uuzaji wa simu janja. Kwa mwaka jana ilikuja na simu ya kujikunja (fold) na simu hiyo –Oppo Find N– iliingia sokoni na kuanza kuchuana na matoleo ...
null
## CEO wa OnePlus bwana Pete Lau** **alisema kuwa OnePlus na Oppo kwa pamoja makumpuni hayo mawili yanakua pamoja bega kwa bega ili kuhakikisha kwamba yanaleta bidhaa nzuri sokoni. Sasa ikishakua hivi unaweza ukajiuliza nani ni nani hapa? maana makampuni yote mawili yanafanya kazi na kuzalisha bidhaa zinazofanana kar...
null
### Tukitaka kujua makampuni ambayo yanafanya vizuri kwenye tano bora basi Oppo haiwezi kukosekana kwenye orodha na hivi karibuni wamesheherekea mafanikio waliyoyapata yaliyoambatana na uzinduzi wa bidhaa. Bidhaa za Oppo si haba zimefika Afrika na kwa hakika hata sehemu nyingine duniani vitu vyao vinauzika. Kampuni h...
null
### Makampuni mengi tuu ambayo yanajishughulisha na biashara ya bidhaa za kidjiti wana tabiti sokoni. Oppo nao wanaonekana wapo karibu tuu kujitosa kwenye biashara hiyo ambayo inawavutia wateja wengi sehemu nyingi duniani. Ukiongelea Tecno, Samsung, Huawei na wengineo wote hawa wana tabiti toleo tofauti tofauti kwenye...
null
### Makali ya Oppo kwenye simu janja bado yanaendelea kuonekana kwenye simu janja hii Oppo Reno6 Pro+ 5G ambayo imetoka sambamba na nduguze wawili. Simu hii ndio kubwa kabisa kwa maana ya uwezo pamoja na sababu nnyingine ambazo wazijua wenyewe Oppo. Kiujumla nguvu nyingi zimewekwa kwenye simu janja hii hivyo kuifanya ...
null
OppoRenosimuTeknolojia Ifahamu vyema simu janja Oppo Reno6 Pro+ 5G Andrew Komba June 16, 2021 Makali ya Oppo kwenye simu janja bado yanaendelea kuonekana kwenye simu janja... RenosimuTeknolojia Hili ndio toleo la simu janja Oppo Reno6 Pro 5G Andrew Komba June 15, 2021 Kwenye dunia ya 5G unaweza kusema Oppo wanasogea k...
null
### Kwenye dunia ya 5G unaweza kusema Oppo wanasogea kwa kasi kwa sababu ni kampuni ambayo haina miaka mingi kwenye biashara hii ya simu janja lakini tayari ulimwengu unaijua bila kusahau simu janja kama Oppo Reno6 Pro 5G. Katika mwendelezo wa kuzichambua simu tatu ambazo zimezinduliwa hivi karibuni leo hii pata nafas...
null
### Katka ulimwengu wa teknolojia ya 5G Oppo wamekuwa wakijitahidi kutoa simu janja ambazo zina mashiko kutokana na kwendana na kile ambacho soko linataka. Simu janja Oppo Reno6 5G ni miongoni mwa rununu ambazo zinavutia. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri tuu wa simu janja ambazo zinatoka zikiwa na 5G na Oppo wamekuwa waking...
null
### Hivi karibuni Oppo wamezindua simu janja za familia moja-Reno6 5G na nyinginezo halikadhalika wakatambulisha spika za masikioni-Enco Free2 ambazo hii leo zinaingia sokoni huko Uchina. Oppo Enco Free2 zimenivutia kwa sababu kadhaa hasa ukizingatia mimi ni mtuu ninayependa kuburudika lakini kwa njia ambayo haitakuwa...
null
### Oppo ndio kampuni inayobeba simu janja zenye jina “Realme” ambazo zimeshatoka nyingi tuu sokoni na si kama wamekomea hapo kwani mnamo Mei 26 ya mwaka huu imezinduliwa Realme Narzo 30 5G. Makampuni mengi yameendelea kutoa simu janja za 5G ambazo kwa idadi zipo nyingi sokoni na washindani kibiashara wanajitahidi kui...
null
### Unaweza kufikiria kuwa makampuni yameweka kando kuhusu simu janja ambzo zinaweza kukunjika halikadhalika kukunjuka lakini la hasha! Kuna rununu nyingi tuu zitatoka katika kipindi cha majira ya joto mwaka huu. Makampuni mbalimbali yamerudisha upya teknolojia ya simu ambazo zinakunjika nakukunjuka. Kampuni kama Oppo...
null
### Apple washika namba moja kimauzo katika sekta ya simu janja katika robo ya mwisho ya mwaka 2020. Hii ni kutokana na data mpya za kimasoko kutoka shirika la Gartner. Hii ni mara ya kwanza tokeo mwaka 2016 kwa kampuni ya Apple kuweza kushika nafasi ya kwanza kwa kuipiku Samsung, kwa muda mrefu Samsung amekuwa akikam...
null
Kama wewe ni shabiki kindakindaki wa timu ya FC Barcelona ya nchini Uhispania,... KWa miaka ya karibuni kuona simu janja inatoka kwa toleo la peke yake tu sio... Imepita miezi miwili sasa tangu toleo la kwanza la simu janja kutoka Oppo... Katika moja ya makampuni ambayo yanaleta ushindani dhidi ya wakongwe ni Oppo.....
null
### Jambo! Leo tujadili jinsi ya kupiga picha kwa ustadi kama mtaalamu hata kwa kutumia simu yako ya mkononi. Teknolojia imebadilisha sana jinsi tunavyotumia na kufurahia picha, na sasa, hata simu zetu za mkononi zinaweza kupiga picha nzuri sana. #### Kwanza kabisa, ili kupiga picha kama mtaalamu, unahitaji kuelewa ma...
null
### Google (ama Alphabet) inajiandaa kutangaza kuungana na kampuni kongwe ya magari ya Marekani, Ford Motor Company kwenye maonesho ya CES mwaka huu. ### Muunganiko huu ni kwa ajili ya kutengeneza magari yanayojiendesha kwa kutumia teknolojia iliyovumbuliwa na Google. ### Teknolojia ya magari yanayojiendesha inazid...
null
Kampuni ya RIM {Research In Motion} watengenezaji wa simu za BlackBerrys ipo katika wakati mgumu. Hii ni kutokana na kuingiza faida ndogo zaidi iliyovunja rekodi ya miaka 9 nyuma! Hii ni kutokana na kuporomoka kwa mauzo ya simu za BlackBerrys hali inayochangiwa na kupanda kwa chati kwa simu za Apple [IPhones] na zile z...
null
### Sasa tunakaribia kuelewa kwanini Facebook waliifanya App yao ya kuchati, Messenger, kujitegemea na kuwalazimisha watu kuipakua (download) katika simu zao ili waweze kuandika na kujibu meseji zao za Facebook. #### Facebook wana mpango wa kuifanya Messenger iwe App inayojitegemea kabisa. Messenger itavuka zaidi mipa...
null
Facebook Email or phone Password Forgotten account? Sign Up Notice You must log in to continue. Log in to Facebook Log in Forgotten account? Create new account English (UK) Polski Español Français (France) Italiano Lietuvių Română 中文(简体) Português (Brasil) Deutsch العربية Sign Up Log in Messenger Facebook Lite Video Pl...
null
End-to-end encryption and privacy controls. Message and call for free* around the world. Group conversations made simple. Say it with stickers, voice, GIFs and more. Reach your customers from anywhere. https://teknolojia.co.tz/?p=45699
null
### Jambo! Leo tujadili jinsi ya kupiga picha kwa ustadi kama mtaalamu hata kwa kutumia simu yako ya mkononi. Teknolojia imebadilisha sana jinsi tunavyotumia na kufurahia picha, na sasa, hata simu zetu za mkononi zinaweza kupiga picha nzuri sana. #### Kwanza kabisa, ili kupiga picha kama mtaalamu, unahitaji kuelewa ma...
null
## iPhone ni moja kati ya simu janja zenye kamera nzuri sana, licha ya kamera zake kusifika kwa kupiga picha *kali* bado inasemekana kuanzia toleo la iPhone 15 Pro na kuendelea watakuja na teknolojia ya periscope. Teknolojia ya Periscope katika lensi ya kamera huwa inakua imejikita kabisa katika swala zimu la kuvuta ...
null
### Vyanzo mbalimbali vimedai kuwa kampuni ya Snapchat imezalisha Drone zake za Pixy kwa uchache sana maana hata wateja wake wa mwanzo kabisa wameembiwa wasubiri ili kuweza kupata kifaa hiko Hapa lakini kuna mawili, labda imeuza sana kiasi cha kwamba mzigo umewaishia au hawana mzigo wa kutosha hivyo wanatumia hiyo mi...
null
### Serikali ya Marekani itaweka kampuni nane za China ikiwa ni pamoja na mtengenezaji wa ndege zisizo na rubani DJI kwenye orodha ya kampuni zilizozuiliwa kufanyiwa uwekezaji kwa madai ya kuhusika katika ufuatiliaji wa Waislamu wa Uyghur, gazeti la Financial Times limeripoti. Makampuni hayo yataripotiwa kuwekwa kwen...
null
### Katika mipango ambayo Huawei ipo nayo kwa sasa ni kutoa simu janja yenye kamera ya mbele iliyojificha jambo ambalo linadhihirika kutokana na kwenda kupata idhibati ya mchoro wao unaoonyesha muonekano mzima wa simu janja. Mpaka sasa ni ZTE tu ndio ambao wameshatoa simu janja ambayo kamera ya mbele imejificha ambap...
null
## Tangia iPhone 12 Pro ilivyotoka ndio simu ya kwanza kutoka Apple ambayo imekuja na teknolojia ya LiDAR, tumeona vipengele vingi vipya kuja na hii ikiwa ni kama sehemu ya Apple kuboresha zaidi simu zao. Kwa ulimwengu wa simu ilikua ni kitu kipya, na maswali yamekuwa ni mengi sana juu ya teknolojia hiyo na ufanyaji ...
null
### Kamera za Huawei P30 Pro zinafanya simu hiyo kuwa moja ya simu zenye uwezo mkubwa zaidi wa picha/video zenye ubora wa hali ya juu. Kamera za Huawei P30 Pro zina uwezo wa kuzoom kwa mfumo wa ‘optical’ mara 5 (5x Optical zoom – yaani zoom inayohusishwa usogeaji wa lense kwenye kamera). Wakati katika mfumo wa kuzoom ...
null
### Tulianza na kamera za ubora wa lai ya nchini lakini katika miaka ya karibuni kamera za kwenye simu janjazimekuwa zikionekana kuwa bora na hivyo basi kutoa picha zenye muonekano wa hali ya juu. Rununu za namna hiyo zipo nyingi katika miaka ya hivi karibuni na kwa mwaka 2019 tutegemee kuona MP 64 na MP 100 kwenye kam...
null
### Makampuni mbalimbali duniani ambayo yanajishuguhlisha na biashara ya simu janja katika moja ya vipengele ambavyo wanahakikisha vitawavutia watu mara moja ni kwenye ubora wa kamera. Samsung wameonyesha nia ya kufanya bidhaa zao zijazo kuwa na nguvu zzaidi upande wa kamera baada ya kuzindua vipuri viwili tofauti am...
null
### Kufuatia tukio la utekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji, Mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amesema sasa wana mpango wa kufunga kamera za CCTV katika jiji hilo. Umefika wakati wa Mkoa wa Dar es Salaam wote kufungwa kamera za CCTV kwani hilo litaongezea weledi kwa jeshi la Polisi katika kufanya kazi z...
null
### Kwa hakika katika teknolojia ya leo makampuni mengi yanayotoa simu janja yanaweka nguvu nyingi sana kwenye ubora wa kamera/picha ang’avu kabisa kutokana na kile kilichowekwa kwenye kamera ya simu husika. Sony ambao wametaka kuwa mbali kabisa katika suala zima la ubora wa simu zao hasa kwenye upande wa kamera, ime...
null
### Watumiaji wengi wa simu rununu moja sifa za ni uwepo wa kamera nzuri ndani ya simu wanayotaka kununua halafu mengine ndio yaangaliwe. Kuwepo kwa kamera kwenye simu za mkononi kumeongeza thamani sana na kuifanya kuwa moja ya kitu muhimu zaidi katika simu za mkononi. Aidha, uwepo wa kamera ndani ya simu kumepunguza...
null
### Msichana (Jina limehifadhiwa) wa Urusi katika jiji la Moscow mwenye umri wa miaka 13 amenusurika kifo alipoangukia waya za umeme kutoka kwenye daraja la reli wakati alipokuwa akijipiga selfie. Picha zilizochapishwa na mashirika ya habari zilionyesha msichana huyo akining’inia kwenye waya za umeme. Maafisa wa ser...
null
### Serikali ya China kupitia jeshi lake la Polisi wamefunga zaidi ya kamera milioni 176 kwenye maeneo mbalimbali nchini humo ili kuweza kukabiliana na matukio ya kihalifu kabla hayajatokea. Kamera hizo pamoja na kompyuta zenye **weledi wa hali ya juu (Artificial Intelligence)** zitaweza kutambua sura za watu na kitu...
null
### Kamera ni mlinzi namba moja au mbili kwa wengi baada ya askari anayelinda eneo husika lakini kadri miaka inavyosogea nayo teknolojia inazidi kupanuka. Kamera ya EverCam huenda ikavutia makampuni/mashirika mengi tu kuzinunua. Ukweli ni kwamba matumizi ya kamera za kiusalama siku hizi yameendelea kuongezeka kwani w...
null
Wakati simu janja zikiendelea kurahisisha maisha na kuongeza teknolojia ya juu... Siyo mara ya kwanza kuzungumzia Dash Cam na umuhimu wake kwa waendesha magari... Unsane ni filamu tamu inayohusu mdada anayedhania amefungiwa kwenye hospitali... Fahamu kuhusu Google Clips. Google wanakuletea kikamera kiduchu kwa ukubw...
null
## TECNO ni moja kati ya makampuni makubwa sana katika maswala mazima ya kutengeneza na kuuza simu. Kwa afrika TECNO inashikilia namba za juu kabisa kwa wale ambao wanaongoza kuuza simu kwa wingi, hii inamaanisha kidunia iko katika namba nzuri tuu. Mara kwa mara kampuni imekua ikitoa simu kadha wa kadha ambazo kwa n...
null
### Tecno Spark 10 ni simu mpya kutoka Tecno Mobile inayokuja na kamera ya selfie iliyoshiba kwa megapixels za kutosha. ### Tecno Spark 10 Pro inakuja na kamera ya selfie inayong’aa ya 32 MP ambayo inakuwezesha kuongeza mwanga unaonaswa na kila pixel, hivyo kuwezesha upigaji picha angavu zaidi, hata kwenye mwanga hafi...
null
## TECNO nao bado hawalali, imetangaza kuja na App ya huduma za kifedha ambayo inaitwa TECNO Wallet. App hii kwa mara ya kwanza kabisa itaanza kufanya kazi katika toleo jipya la Tecno Camon 19 ambalolitatoka hivi karibuni. Kazi kubwa ya app hii ni kusaidia watumiaji wa simu za TECNO kuweza kufanya miamala, kulipia b...
null
## Kuelekea mwisho wa mwaka 2021 kampuni ya simu za mkononi TECNO yenye mashabiki wengi hasa upande wa simu janja inatarajiwa kuzindua …. …toleo jipya la mfululizo wa simu zake aina ya TECNO Camon 18 yenye ubora ulioboreshwa hasa upande wa picha na video. Matoleo ya CAMON imekuwa ikiaminika kuwa na simu zenye kamera...
null
### Familia ya simu janja ya Tecno imeendelea kukua baada ya mwanafamilia mpya kuzinduliwa huko Nigeria. Tukiongelea simu janja za Tecno Spark hivi sasa imefikia toleo la 8. Simu janja za Tecno Spark kwa mwaka huu pekee zimeshazinduliwa takribani 3 ikiwemo na hii ya sasa ambayo imezinduliwa huko Nigeria. Simu hii ipo ...
null
### Tecno Phantom X ni simu janja ambayo amabayo imeweza kuteka soko kubwa na hata kufikia hatua ya kuweza kwenda mbali zaidi kwenye masoko nyingi nyingi la bara la Ulaya. Kwa lugha rahisi Tecno wameweza kufurahisha watu hasa kwa maboresho amabayo simu husika imeweza kuja katika hali ya ubora wa hali ya juu. Moja ya ...
null
## TECNO ni moja kati ya makampuni makubwa ya kuuza na kutengeneza simu. Ni wazi kwa china bado kampuni ipo katika nafasi za juu kabisa katika makampuni ambayo yanazalisha simu janja Ni sawa soko lake kubwa kabisa ni Afrika, na bado wigo huo unazidi kutanuka maana walivyoanza walianza na Afrika tuu ndio hapo baadae w...
null
### Kampuni ya Tecno inasifika kwa kutoa simu zenye thamani nzuri kwa pesa ya mnunuaji, zikiwa na faida kubwa kama kukaa na chaji kwa muda mrefu wa matumizi na pia kamera zenye ubora mzuri kwa matumizi mbalimbali ya upigaji picha. Simu hii ya Tecno Camon 15 inaendelea kuwa katika sifa hiyo ya thamani nzuri. Simu hii ...