text stringlengths 1k 17.3k | label int64 0 5 |
|---|---|
KLABU ya Liverpool imeomba kuvaa beji zao mpya za dhahabu walizopata baada ya kutwaa Kombe la Dunia la Klabu la FIFA kwenye mechi za Ligi Kuu England.Sheria za Ligi Kuu England zinasema kuwa, ujumbe wa hisani tu ndio unaweza kuongezwa kwenye jezi katikati ya msimu wa Ligi Kuu na kitu chochote tofauti na hicho lazima k... | 4 |
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Othman Dunga juzi, alipokuwa akitoa maelezo ya utoaji wa mikopo ya power tiller wilayani humo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Omar Kwaang’ aliyemwakilisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu.Akizungumza katika hafla hiyo iliyo... | 5 |
Alisema wastaafu hao wamefaidika na mfuko huo hivyo kwa hivi sasa wamejipanga kutoa elimu zaidi ili mpango huo uweze kueleweka kwa wastaafu na wastaafu waajiriwa.Ofisa huyo alisema mikopo hiyo ambayo imekuwa ikitolewa kupitia Benki ya Posta imelenga kuwawezesha wastaafu kukidhi mahitaji halisi ya kifedha.“Mahitaji hay... | 5 |
WANARIADHA kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wamefanikiwa kushinda katika Mashindano ya wazi ya riadha ya kilomita 10’The Greath Health Arusha Run’ yaliyofanyika jana hapa.Wanaume waliokimbia kilomita 10 Faraja Lazaro aliibuka mshindi kwa kutumia muda wa dadika 28:56:77 akifuatiwa na Joseph Panga wote kutoka JW... | 4 |
Ofisa habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa mechi za raundi hiyo zitachezwa kuanzia Februari 26 mpaka Machi mosi mwaka huu kwenye viwanja mbalimbali nchini.“Michuano ilishirikisha timu 64 kutoka Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili, inai... | 4 |
MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi ameahidi kutoa raha katika tamasha la Simba linalotarajiwa kufanyika Agosti 8 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Simba hufanya tamasha lao Agosti 8 ya kila mwaka ambapo hucheza hutambulisha jezi watakazotumia msimu mzima, wachezaji na mwisho hucheza mechi ya kirafiki na timu kut... | 4 |
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza ametoa ahadi hiyo wakati wa hafla ya kuikaribisha timu hiyo Australia iliyoandaliwa Dar es Salaam na Balozi wa nchi hiyo nchini Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda.Shonza alisema kuwa Serikali ya Tanzania iko nyuma ya wachezaji hao, hivyo wasiwe na wasi... | 4 |
Na ELIYA MBONEA-ARUSHA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, amewaomba radhi akina mama kwa kutozingatia uwiano wa uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa alipokuwa akizindua rasmi shughuli za bodi hiyo mpya iliyot... | 3 |
NA TUNU NASSOR
SHAHIDI katika kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu ‘Scopion’, Daktari wa Kitengo cha Upasuaji cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Amin Abdulrahman ameiambia mahakama kuwa Saidi Mrisho alitobolewa utumbo mwembamba.
Akitoa ushahidi mbele ya hakimu Flora Haule Dk. Abdulrahm... | 3 |
Staa wa muziki nchini Tanzania Rajab Abdul Kahali ameonesha mabadiliko ya kuondoa utambulisho wake wa kusainiwa chini ya lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) Tofauti hiyo ilionekana kwenye ukurasa wa staa huyo wa wimbo wa Kwangwaru aliomshirikisha Diamond Platnumz, ambapo kilichoondolewa ni maelezo ya awali ya kuwa chi... | 1 |
Na AGATHA CHARLES
WATUMISHI wawili wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), wamekamatwa katika operesheni iliyofanywa na Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kusaidia kupitisha kemikali bashirifu za ephedrine zinazotumika kutengenezea dawa za kulevya aina ya heroine.
Akizungumza na waandishi wa hab... | 3 |
Akizungumza na gazeti hili jana, Katibu Mkuu wa Magongo mkoa wa Dar es Salaam (DRHA), Mnonda Magani alisema mashindano hayo yatashirikisha timu za kiraia na wanafunzi wa shule za sekondari na msingi ambazo zilipatiwa elimu ya mchezo huo tangu mwaka uliopita.Alisema tayari timu kadhaa zimethibitisha ushiriki wao kwenye... | 4 |
JESHI la Polisi limejipanga vizuri katika ulinzi kipindi cha Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambao utahudhuriwa na wakuu wa nchi 16 Afrika.Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, msemaji wa jeshi hilo, David Misime alisema kuwa jeshi hilo limejiandaa kika... | 3 |
NA KULWA MZEE-DAR ES SALAAM ELIZABETH Balali ambaye ni dada wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu, marehemu Daudi Balali, amekwamisha kesi inayomkabili kuendelea baada ya mshtakiwa pamoja na mdhamini wake kushindwa kufika mahakamani. Kesi hiyo ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, iliyokuja jana katika Mahakama ya Ha... | 3 |
Na FLORENCE SANAWA-MTWARA WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameagiza watumishi wa Serikali wanaokataa vyeti vya kuzaliwa vilivyoandikwa kwa mkono waanze kuvitambua. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano, Dk. M... | 3 |
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha harambee ya kuichangia klabu ya Yanga itakayofanyika kwenye ukumbi wa Daimond Jubilee Dare es salaam.Mbali na mgeni rasmi huyo harambee hiyo pia inatarajiwa kuhudhuriwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, J... | 4 |
Viwango hivyo vimetangazwa siku moja baada ya Tanzania kupangwa katika Kundi G pamoja na timu za Misri, Nigeria na Chad katika kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 nchini Gabon.Kwa mujibu wa viwango hivyo vya jana vya Fifa, Tanzania imeshuka kwa nafasi saba baada ya hivi karibuni kulazimishwa ... | 4 |
LONDON, ENGLAND KOCHA wa zamani wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa, anatarajia kurudi uwanjani mwanzoni mwa msimu wa 2019. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 69, amekuwa nje ya uwanja tangu alipoachana na Arsenal mwishoni mwa msimu uliopita, baada ya kuwa ndani ya klabu hiyo k... | 4 |
.Dar es Salaam, Jumanne 17 Agosti 2019… Benki ya BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara leo imeendelea kudhihirisha ubunifu wake katika huduma zinazowanufaisha wateja wake baada ya kutangaza kuzindua akaunti mpya ya IZZE ambayo ni rahisi kufungua na haina makato yeyote ya mwezi.Kwa kupitia akaunti ya IZ... | 5 |
Uwepo wa Salum Telela, Patto Ngonyani na Thabani Kamusoko, kumemfanya kocha Hans Pluijm, kumuweka benchi kiungo huyo mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi za ulinzi.Akizungumza na gazeti hili, Twite alisema hajajua kama msimu ujao atasalimika na janga la kutemwa kutokana na nafasi ndogo anayoipata ya kucheza kwenye me... | 4 |
NA CHRISTOPHER MSEKENA
UNAWEZA kumpeleka ng’ombe mtoni kwa kutumia nguvu nyingi, ila ukashindwa kutumia nguvu hiyo hiyo kumfanya anywe maji ya mto, kwa kuwa uamuzi wa kunywa au kutokunywa ni wake.
Mapema wiki hii jijini Dar es Salaam baadhi ya wasanii wa filamu walifanya maandamano ya kupinga uuzwaji wa fila... | 1 |
Na LEONARD MANG’OHA -DAR ES SALAAM Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Amiri Manento, amesema haki ya kupata taarifa ni kiashiria kimojawapo cha serikali yenye uwazi ambayo inathamini mchango na ushiriki wa wananchi katika ujenzi wa taifa. Alikuwa akizungumza Dar es Salaam jana wakati... | 3 |
DHAMIRA ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kuinua uchumi kupitia sekta ya viwanda, inazidi kupata nguvu na kuungwa mkono na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.Mwekezaji mzawa ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Group, Mohammed Kiluwa ametangaza dhamira ya kuwekeza katika miundombinu ya usafirishaji kwa kujenga kiwa... | 3 |
Mwandishi wetu, Tanga MKUU wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itawasaidia wafanyabiashara wanaokwepa kodi kuacha vitendo hivyo vya kuikosesha Serikali mapato. Shigela ameyasema hayo ofisini kwake alipotembelewa na maafisa wa TRAwana... | 5 |
['Inter Milan wako tayari kulipa £11m na ada zingine ili kumsajili kiungo wa kati Christian Eriksen kutoka Tottenham mwezi huu. (Sky Sports)', 'Manchester United inaandaa ofa ya £43m kumnunua mshambuliaji wa Lyon Mfaransa Moussa Dembele, baada ya Marcus Rashford kuumia mgongo. (Foot Mercato, via Manchester Evening N... | 4 |
NA BADI MCHOMOLO ZIMEBAKI siku 12 kuelekea kwenye kivumbi cha michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi ambayo inatarajia kuanza kutimua vumbi Juni 14. Jumla ya miji 11 itatumika kwa ajili ya michuano hiyo ambayo itafanyika kwa kipindi cha mwezi mmoja hadi Julai 15. Timu 32 kutoka mataifa mbalimbali zinaendelea kufanya ... | 4 |
MANCHESTER, ENGLAND KOCHA mpya wa klabu ya Crystal Palace, Roy Hodgson, amesema ubora wa klabu ya Manchester United ni sawa na bondia mwenye uwezo wa hali ya juu. Manchester United juzi ilishuka dimbani kwenye Uwanja wa nyumbani wa Old Trafford na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Crystal Palace, hiv... | 4 |
Na VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM
KATI ya Novemba 25 hadi Desemba mosi, 2017 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), ilifanya upasuaji mkubwa wa moyo wa kihistoria nchini.
Madaktari Bingwa wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Open Heart International kutoka nchini Austraria waliwafanyia upasuaji wagonjwa ... | 0 |
KLABU ya Yanga imesema ili kupata saini za wachezaji inaowahitaji na wanatumikia timu zao za taifa kwa ajili ya maandalizi ya fainali za Afrika (Afcon) watamtumia Kocha wao Mwinyi Zahera (pichani) kumaliza kazi.Timu hiyo imekuwa ikiendelea kujiimarisha katika usajili wa wachezaji wa kimataifa na ndani kwa maandalizi y... | 4 |
Mwandishi Wetu -Katavi KAYA nne za Mtaa wa Rungwa Kata ya Kawajense, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi zimeiomba serikali kuwasaidia fedha na mabati kwa ajili ya kujenga nyumba zao zilizobomolewa na mvua wiki moja iliyopita Wakizungumza jana waathirika hao walisema kuwa kwa sasa wanaishi kwa jamaa zao wakati wakijipang... | 0 |
Amina Omari -Tanga MKOA wa Tanga umesogeza huduma ya upimaji
wa ugonjwa wa dengue kutoka vituo vitatu hadi kufikia 11 kwa lengo la kuongeza
kasi ya upimaji ugonjwa huo. Hayo yamesemwa juzi na mratibu wa magonjwa
yanayopewa kipaumbele mkoani hapa, Josephine Kapinga wakati akitoa taarifa ya
udhibiti wa ugonjwa huo kwa w... | 0 |
WATOTO wenye umri wa kati ya miaka minne na 16 wanaoishi na kufanya kazi katika Mitaa ya Mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa wamekuwa tishio kwa wakazi wa mji huo wakituhumiwa kwa uhalifu.Inadaiwa kuwa watoto hao wa kike na kiume katika umri huo mdogo ambao baadhi yao wameishi na kufanya kazi katika mitaa ya mji huo ambao ... | 3 |
Je wewe ni right hand? Kama ni right hand najua kabisa kidole cha kwanza na cha pili baada ya kidole gumba ndo vinaweza kuwa vinafanya kazi kubwa sana kwenye mkono wako! Kwa vidole hivi kwangu mimi naweza kutype hii stori, Kutumia simu na hata kazi zingine, ha ha ha! Sasa bana asubuhi asubuhi mtandao kidogo umechafuka... | 1 |
MWANDISHI WETU -TABORA MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amesimamisha kwa muda likizo za watumishi wakiwemo wa idara za afya ili waendelee kuunganisha nguvu katika kusaidia jamii kampeni za mapambano dhidi ya virusi vya Covid-19. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwakuwepo na wataalamu wa kutosha katika maeneo y... | 3 |
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM USAJILI wa klabu ya Simba sasa umeziingilia timu za Azam FC na JKT Ruvu, baada ya juzi kunasa mabeki wawili wakitokea klabu hizo ili kuongeza uimara wa ukuta wa timu yao. Mabeki hao ni Samih Hajji Nuhu aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Azam msimu wa 2013/2014 anayecheza beki ya kushoto amb... | 4 |
Na Tobias Nsungwe MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Vincent Mashinji, ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo na Makamu wake, Dk. Alhaji Mahamudu Bawumia. Sherehe za kuapishwa rais huy... | 3 |
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazotarajiwa kunufaika na dola za Marekani milioni 120 zilizotengwa na Serikali ya Marekani kwa ajili ya utafi ti wa kupambana na ugonjwa wa selimundu (sickle cell). Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Brett Giroir alisema hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya ... | 3 |
UJUMBE wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukiongozwa na Katibu Mkuu Taifa, Dk. Bashiru Ally umeondoka kwenda China kwa ziara ya kimkakati.Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM, ziara hiyo imelenga kuongeza uhusiano kati ya CCM na Chama cha Kikomunis... | 3 |
Mwandishi Wetu -Dodoma MRADI wa kuendeleza zao la mtama nchini wa kampuni ya Bia ya TBL Plc, unaendelea kunufaisha wakulima wa zao hilo mkoani Dodoma, ambapo wanapatiwa mbegu za kisasa, mbinu za kuendesha kilimo cha kisasa kinachofanikisha kuongezeka kwa mavuno pia wanakuwa na uhakika wa kuuza mavuno yao kwa kampuni hi... | 5 |
MANCHESTER, ENGLAND KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Manchester City, Kevin de Bruyne, huenda akaukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Celtic, baada ya kupata jeraha katika mchezo dhidi ya Swansea ambapo timu yake ilipata ushindi wa mabao 3-1. Mbelgiji huyo mwenye thamani ya pauni milioni 56, jana ... | 4 |
Aveline Kitomary Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya corona 196 nchini, Tanzania Bara ikiwa na wagonjwa 174 na Zanzibar wagonjwa 22 ambao walitolewa taarifa na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid na kufanya idadi ya wagonjwa wa corona nchini kufikia 480.Majaliwa amesema... | 0 |
RAIS John Magufuli ameungana na Watanzania kumkumbuka hayati Abeid Amani Karume kwa kutaka vijana kusoma historia waelewe mchango wa waasisi wa taifa na mapinduzi ya kweli waliyofanya.Katika hatua nyingine; mamia ya wananchi wakiongozwa na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein wamehudhuria katika ibada ya kumuombea d... | 3 |
Hayo yalisemwa na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui wakati alipozungumza na wajasiriamali walioshiriki katika Maonesho ya Siku ya Wafanyakazi duniani Mei Mosi yaliyofanyika katika viwanja vya Amaan.Alisema miongoni mwa njia zitakazowawezesha wajasiriamali kuonesha bidhaa zao na kuziuza ni kufan... | 5 |
TEKNOLOJIA ya Habari na Mawasiliano (Tehema) imeelezwa kuwa ni muhimu kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ikiwemo afya, elimu na usawa wa kijinsia.Kutokana na umuhimu huo, serikali, wafanyabiashara na asasi za kiraia zinapaswa kufanya kazi kwa pamoja kutokana na maendeleo ya Tehama. Akizungumza wakati wa Mkutano ... | 5 |
NAIROBI, KENYA
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ameomba radhi kwa kutojiandaa na mwitikio mkubwa wa wapiga kura uliolazimisha kufutwa kwa uchaguzi wa mchujo wa chama chake nchi nzima.
Kenyatta alisema chama cha Jubilee kitafanya uchaguzi mpya wa mchujo leo na kesho.
“Viongozi hawakutarajia mwitikio mkubwa w... | 2 |
MOHAMED KASSARA-DAR ES SALAAM KIKOSI
cha Wekundu wa Msimbazi, Simba leo kitashuka dimbani kumenyana na Mbeya City, katika
mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba
itashuka dimbani ikiwa na jeraha ililolipata baada ya kupoteza mchezo wake
uliopita dhidi ya Mwadui ya Shinyanga, ... | 4 |
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru jalada la kesi ya vigogo wa Chadema, akiwamo Mwenyekiti Freeman Mbowe, waliokata rufaa kupinga kutiwa hatiani na adhabu lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kukusanya mwenendo mzima wa kesi hiyo. Uamuzi wa mahakama hiyo ulitolewa jana m... | 3 |
Kulwa Mzee, Dar es Salaam Mhasibu Mkuu wa Klabu ya Simba, Amos Juma amedai aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange (Kaburu) walihamishia Dola za Marekani 300,000 zilizotokana na kumuuza mchezaji Emmanuel Okwi katika Klabu ya Tunisia kwenye akaunti ya Aveva. Juma amedai hayo leo as... | 4 |
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imezindua tovuti ya kampuni hiyo inayotoa fursa kwa wateja wake kupata huduma kwa urahisi na kutangaza safari zake katika nchi za Zimbabwe na Zambia.Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hayo jana jijini Dar es Salaan wakati wa uzinduzi tovuti hiyo ya mauzo ya masoko y... | 3 |
KAMPUNI ya ndege Tanzania (ATCL) imesema haijaajiri wazee kutoa huduma kwenye ndege na pia wote wanaofana kazi hiyo wana sifa za kitaaluma kwa kuwa utaratibu wa kuwapata, umezingatia matakwa ya kimataifa yanayohusiana na kazi hiyo na si urembo wao.Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi amesema jijini Dar es Sa... | 5 |
Na WAANDISHI WETU-DAR
VYAMA vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa masuala ya haki za binadamu nchini, wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kutafuta kiini cha mauaji ya askari polisi ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, walisema shambulio dhidi ya askari wanane l... | 3 |
Viongozi hao wakiwa katika eneo la Busia, wamezindua kituo cha Forodha kitakachotumiwa kwa pamoja na nchi zote mbili (OSBP) chenye thamani ya Sh bilioni 1.2, kilichojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Uingereza.Katika mazungumzo yao, pamoja na kukubaliana kuongeza ushirikiano zaidi kwenye maeneo ya mipaka kwa kufungua ... | 5 |
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustin Mahiga amekitaka Chuo cha Diplomasia nchini kutoa mafunzo mtambuka ili kukiwezesha chuo hicho kuzalisha wahitimu wanaoendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano.Mahiga aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mahafali ya 28 ya chuo hicho na... | 3 |
NCHI Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na nchi za Bara la Afrika kwa ujumla hazitafi kia mageuzi ya kiuchumi kupitia mapinduzi ya viwanda kama zitaendelea kuwa tegemezi kwa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Hayo yalibainishwa na Rais John Magufuli wakati akifungua Wiki ya Maonesho ya Nne ya V... | 3 |
MVUA iliyonyesha jana katika baadhi ya mikoa iliitikisa Dar es Salaam kwa kuvuruga usafiri huku baadhi ya maeneo ya mabondeni wakazi wake wakihaha kutokana na maji kuongezeka kwa kasi kwa muda mfupi Mvua hiyo ilifikia milimita 42.0 wakati Dodoma ikiwa ni milimita 42.7, Kanda ya Ziwa Victoria, Mkoa wa Musoma ikiwa ni m... | 3 |
['Japo wenyewe hawasemi, ama yawezekana hawataki kunukuliwa wakisema, miaka 30 ya kushindwa kuchukua taji la Ligi ya Primia kwa Liverpool hatimaye inaelekea kufika kikomo. ', 'Hawawezi kusema hadharani, ama kuonesha furaha yao kwa sasa, kwa kuwa katika miaka hiyo 30 kumekuwa na vipindi ambavyo walikaribia kunyakua komb... | 4 |
KAMPALA, UGANDA ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Forum for Democratic Change (FDC), Dk. Kizza Besigye, amewaambia wafuasi wake kuwa Rais Yoweri Museveni anatumia kodi zao kuwahonga wapigakura. Akimpigia kampeni mgombea wa FDC, Robert Onega, kuwania ubunge katika uchaguzi mdogo wa Manispaa ya Nebbi, Besigye alidai ... | 2 |
VERONICA ROMWALD -DAR ES SALAAM KUIMARIKA kwa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo
katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kumewezesha wagonjwa wote
kutibiwa nchini na hakuna aliyepewa rufaa kwenda kutibiwa nje ya nchi. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam juzi na Mkurugenzi wa
Idara ya Magonjwa ya Moyo wa JKC... | 0 |
['Mwanariadha wa Kenya Conselsius Kipruto alimshinda Lamecha Girma wa Ethiopia katika fainali ya kusisimua ya mbio za mita 3,000 kuruka vizuizi na maji katika mashindano ya Dunia ya riadha yanayondelea mjini Doha Qatar.', 'Girma aliongoza mbio hizo hadi sekunde ya mwisho lakini Kipruto, ambaye alionekana kama alifaniki... | 4 |
SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli imevunja rekodi kwa kuunganishia umeme wananchi 949,000 kwa kipindi cha miaka mitatu, ikilinganishwa na idadi ya wananchi milioni 1.3 waliounganishiwa huduma hiyo miaka 50 iliyopita baada ya Uhuru. Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, ali... | 3 |
THE
HAGUE, UHOLANZI WAENDESHA Mashitaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa
ya Jinai, ICC, wamekubali ombi la kuachiwa huru rais wa zamani wa Ivory Coast,
Laurent Gbagbo, lakini kwa sharti kwamba asirejee katika nchi yake kama
anavyotaka. Kwa mujibu wa Mwendesha Mashitaka Mwandamizi wa Mahakama
hiyo, Helen Brady amewaam... | 2 |
JUMLA ya miradi 39 yenye thamani ya Sh bilioni 16.09 iliyotekelezwa katika halmashauri nane za mkoa wa Tabora inatarajiwa kuzinduliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru unaowasili mkoani humo leo.Hayo yalisemwa jana na mkuu wa mkoa huo, Agrey Mwanri, wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wa Mwenge huo.Alisema ... | 3 |
Mwadui inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Simba Jumamosi hii katika mchezo wa Ligi Kuu utakaochezwa kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga. Mwadui FC iko nyuma ya Simba kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 21 zikitofautiana kwa pointi mbili hivyo kila moja itapambana kuhakikisha inashinda na kumpita mwenzake.Akizungumza na ... | 4 |
['Manchester United wameweka wazi kuwa kumsajili mshambuliaji ni kipaumbele katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari na wameelekeza macho yao kwa mshambuliaji wao wa zamani Zlatan Ibrahimovic, 38. (Daily Express)', 'Timu hiyo ya Old Trafford pia inampa nafasi ya juu kumsajili kiungo wa West Ham Declan Rice 20, ifik... | 4 |
SAKATA la malumbano makali yaliyodumu kwa zaidi ya wiki mbili baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kudai Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, amelidhalilisha Bunge kwa kuliita dhaifu, limechukua sura mpya baada ya CAG kukubali kuitikia mwito huo wa Spika.Katika hatua nyingine, Spi... | 3 |
CAPE TOWN -AFRIKA KUSINI MLINZI wa zamani wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Camille Nkurunziza, ameuawa na watu wenye silaha katika Jiji la Cape Town nchini hapa. Nkurunziza ni mtu wa pili mwenye hadhi ya juu kuuawa nchini hapa baada ya mauaji ya aliyekuwa Mkuu wa Ujasusi nchini Rwanda, Kanali Patrick Karegeya mwaka 20... | 3 |
KUNA maudhi mengi kwenye uhusiano, lakini kubwa zaidi ni ile ya kupotezewa muda kisha kuachwa. Hili huwatokea zaidi wasichana.
Anakuwa na penzi la dhati kwa mwanaume, anawekeza muda na mapenzi yake ya dhati lakini mwisho wa siku, kumbe jamaa hana time naye.
Amemfanya demu wa kuzugia. Wanawake wanapenda kuwaj... | 3 |
["Kinyang'anyiro cha kuwania kombe la klabu bingwa duniani kimeanza Jumatano huku kila mechi ikirushwa hewani moja kwa moja katika BBC. ", 'Bingwa wa kila bara na waandaaji wa michuano hiyo Qatar wanakutana katika siku 10 katika mechi za muondoano ili kuamua ni nani ambaye atatawazwa bingwa wa dunia huku Liverpool iki... | 4 |
MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), imeweka mfumo katika mipaka mbalimbali ya nchi ili wafanyabiashara wa nchi za nje wakiwemo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kuzifi kia bidhaa katika mfumo ulio bora nchini.Imesema wafanyabiashara wengi wa nje, wamekuwa wakinunua bidhaa mashambani na kwa mfumo ... | 3 |
URA iliyoifungisha virago Yanga kwa mikwaju ya penalti, inacheza na Mtibwa Sugar iliyoifunga Simba bao 1-0 na kuwavua taji hilo, katika mchezo huo wa fainali ambao mgeni rasmi ni rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.Akizungumza mjini hapa nahodha wa URA, Simeon Massa alisema kuwa, kama hakutakuwa na mizengwe, basi t... | 4 |
TANZANIA imeweka rekodi ya dunia kwa ukusanyaji wa mapato, yatokanayo na sekta ya uchimbaji wa madini, hatua inayotokana na usimamizi mzuri wa rasilimali hiyo, ikichangiwa na mabadiliko ya sheria yaliyofanywa na serikali katika sekta hiyo hivi karibuni.Hayo yalielezwa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa ... | 3 |
MSANII wa muziki nchini Richard Mavoko amekanusha taarifa kuwa aliwahi kwenda kupiga magoti ili kupata nafasi ya kurejea katika kundi WCB lililo chini ya msanii Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mavoko aliachana na kundi hilo Julai mwaka jana kutokana na sababu ambazo hakuziweka wazi, licha ya Diamond kuwahi kusema kuwa... | 3 |
NA TWALAD SALUM, MISUNGWI MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, imemhukumu msanii wa ngoma za asili, Mng’ahwa Kazanza (42), kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kumiliki fisi wawili na kuwatumia kwenye sanaa zake bila kibali. Awali akisomewa mashtaka katika mahakama hiyo na Mwendesha Mashtaka wa... | 1 |
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo jana Dar es Salaam, msimamizi mzalishaji wa Chaneli ya sinema zetu, Zamaradi Nzowa alisema Kiwanda cha Filamu ni mchakato wa kutafuta wasanii chipukizi kwa upande wa waigizaji na wapigapicha za video.“Mradi huu ulianza tangu mwanzoni mwa Machi mwaka huu tulipowakaribisha wad... | 4 |
Dk Mukangara alisema hayo jana katika hotuba yake iliyosomwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante ole Gabriel wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Star kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.Alisema ni jukumu la kila mtu kuendeleza michezo kwa nafasi yake na kuongeza kuwa seri... | 4 |
WATU watatu akiwemo mwanamke mmoja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kutokana na tuhuma za kupatikana na vipande 20 vya meno ya tembo vyenye thamani ya Sh milioni 87.Kwa mujibu wa jeshi hilo kupitia kwa Kamanda wa Kanda hiyo Lazaro Mambosasa, kukamatwa kwa watu hao wanaotajwa kujishughuli... | 3 |
Mohamed Hamad Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Kiteto kuwakamata wanachimbaji wa madini aina ya rubi, Kijiji cha Orgine kwa kufanya shughuli hiyo kinyume cha sheria. Mnyeti ametoa agizo hilo baada ya lalamikiwa na wananchi
hao kuwa hawanufaiki na shughuli ya uchimbaji wa madin... | 3 |
NA RHOBI CHACHA AKIWA na wapambe 15 msanii wa Bongo Fleva, Nurdin Bilali ‘Shetta’, alilazimika kutumia nguvu za ziada ili kuingia na wapambe wake hao katika shoo ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Shetta ilimlazimu kufany... | 1 |
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen amesema Sh bilioni 5.5 zimepokelewa kutoka serikali kuu kwa ajili ya ukarabati na ujenzi mpya wa miundombinu ya kutolea huduma za dharura kwa wajawazito na watoto wachanga (CeMONC) katika vituo vya afya 13. Dk Kebwe alisema hayo mjini Ifakara jana katika taarifa yake kwa Wazi... | 3 |
Kwa pointi hizo, Yanga imeiivua ubingwa Azam FC, kwani timu hiyo ya Chamazi inao uwezo wa kufikisha pointi 54 tu katika mechi zake tatu zilizobaki kukamilisha msimu huu.Yanga imetangaza ubingwa jana baada ya kuibugiza Polisi Morogoro kwa mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, huku mshambuliaji wa zamani wa S... | 4 |
KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema bado yupo kwa wekundu hao na leo anatarajiwa kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Ruvu shooting.Aussems aliomba ruhusa kwa mabosi wake Simba kuwa anatoka kidogo na atarejea baada ya siku mbili kitendo kilichotafsiriwa tofauti na baadhi ya watu wak... | 4 |
TIMU tatu za vikosi vya SMZ juzi vilitoka kidedea katika michezo yao ya Ligi Kuu ya Zanzibar iliyopigwa kwenye viwanja tofauti.Timu hizo ni KVZ ambayo iliifunga Mwenge mabao 2-1, JKU iliyoisambaratisha Jamhuri kwa bao 1-0 na Mafunzo iliyoipeleka puta Mbuyuni kwa kuikandika mabao 3-0.KVZ na JKU zilishuka katika Uwanja ... | 4 |
Na MWANDISHI WETU, WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amezindua mradi wa maji safi na salama katika Kijiji cha Jobaj, Wilaya ya Karatu mkoani Manyara, unaotekelezwa na Shirika la World Vision Tanzania. Mradi huo wenye thamani ya Sh milioni 285, ulizinduliwa juzi wakati wa ziara ya kiongozi huyo mkoani hapa na utahudumia vij... | 3 |
['Aston Villa kumsajili mshambuliaji wa Genk na Tanzania kwa dau la £10m', 'Aston Villa inatumai kukamilisha makubaliano ya dau la £10m kumsajili mshambuliaji wa Genk Mbwana Samatta huku mkufunzi Dean Smith akilenga kuimarisha safu yake ya mashambulizi.', 'Dean anahitaji kuimarisha safu hiyo baada ya kumpoteza mshamb... | 4 |
KATIBU Mkuu Kiongozi, ambaye pia ni Mkuu wa Utumishi wa Umma, Balozi John Kijazi amewaagiza Makatibu Wakuu kuhimiza michezo mahala pa kazi kwa vitendo ili kuwa na watumishi wa Umma wenye afya njema.Kauli hiyo iliwakilishwa jana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Maimuna Tarishi aliyemwakilisha Balozi Kijazi ... | 4 |
Mwandishi wetu –Tanga MENEJIMENTI ya uongozi wa hoteli yenye
hadhi ya nyota tano ya Tanga Beach Resort iliyoko jijini Tanga, imelazimika
kufunga hoteli hiyo ili kuunga mkono jitihada za Serikali za kuzuia mikusanyiko
ili kujikinga na ugonjwa wa corona unaotokisa dunia kwa sasa. Akizungumza na waandishi wa habari juzi
j... | 3 |
RAMADHAN HASSAN -DODOMA WAZIRI wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika, amezitaka
wizara pamoja na taasisi zote kuhakikisha zinawalipa mishahara pamoja na
stahili zote watumishi ambao wamepandishwa madaraja kulingana na nafasi walizo
nazo sasa. Pia ameagiza
upandishaji wa madaraja kwa watumish... | 3 |
WANAFUNZI sita, kati ya 25, waliopigwa na radi katika Shule ya Msingi Emaco Vision English Medium mkoani Geita, wamekufa katika hospitali ya mkoa walikolazwa kwa ajili ya matibabu.Wakati tukio hilo likitokea, Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST), wametoa mwito kwa jamii na wajenzi wa majengo nchini, kuhakikisha wanaweka ... | 3 |
MKUU wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ametembelea Taasisi ya Utafi ti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Uyole kilichopo Mbeya, kuona uzalishaji wa miche ya parachichi, kujifunza kilimo hicho na kuagiza miche bora 3,000 ili akapande mkoani humo.Ziara hiyo ni kutokana na taarifa zilizokuwa zikiripotiwa na vyombo vya ... | 3 |
Mbunge wa CCM jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi ameishauri Serikali kuchukua hatua sawa na zinazochukuliwa na nchi nyingine sanjari na kujiweka karibu na marafiki wanaoinufaisha nchini. Chumi alikuwa akizungumzi suala la baadhi ya nchi kufunga mipaka yake lakini Tanzania kuendelea kuruhusu watu kutoka nchi hizo kuen... | 5 |
*Safari ya Azam, Yanga yanukia * Tippo adai watafanya biashara na timu yoyote NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM RAFU mbaya aliyoicheza beki mahiri wa Simba, Hassan Kessy dhidi ya mchezaji wa Toto African, Edward Christopher, imemsababishia kutemwa kuitumikia timu yake hiyo hadi mwisho wa msimu huu. Kessy alimchezea rafu ... | 4 |
['Wachezaji wa Barcelona wako tayari kuchelewa kulipwa mshahara ikiwa hatua hiyo itasaidia klabu klabu hiyo kumsajili tena mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Neymar msimu wa joto, anasema beki, Gerard Pique.', "Barcelona ilifanya kila ''liwezekanalo katika uwezo wake'' kumsajili nyota huyo wa kimataifa lakini juhudi ... | 4 |
JESHI la Magereza nchini limetakiwa kuleta mabadiliko ya kiutendaji, yatakayozingatia ubunifu na weledi wa kutumia rasilimali zao ili kuongeza uzalishaji mali, ukiwemo wa chakula kitakachojitosheleza kwa wafungwa na kupata ziada ili liondokane na kunyooshewa kidole.Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mam... | 3 |
NCHI wanachama Jumuiya wa Afrika Mashariki (EAC) zimethibitisha kushiriki kwa pamoja kwenye mradi wa wanawake wajasiriamali milioni 50 wa Afrika, unaolenga kuwawezesha wanawake kiuchumi.Mradi huo unaotarajiwa kumalizika Desemba 2020, utafadhiliwa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) na utakuwa unapatikana kupitia mifum... | 5 |
JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma amewataka majaji na mahakimu kuepuka kuruhusu ndugu na marafi ki zao kuwatumia kama milango ya kuvunja sheria kwa namna yoyote au kujinufaisha.Aidha, aliwataka kulegeza masharti ya dhamana kwa raia wa Tanzania, kwa sababu wana haki ya kupata dhamana na kwamba wanapaswa kuwa... | 3 |
VINARA wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, Azam FC wamepata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo dhidi ya maafande wa JKT Tanzania uliochezwa kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo,jana.Bao la Azam lilifungwa dakika ya 52 na Yahya Zayd baada ya kupata krosi nzuri ya mshambuliaji Donald Ngoma. Azam FC ilicheza pungufu ikiwa na... | 4 |
JANETH MUSHI-ARUSHA KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shanna, amesema jeshi hilo kwa kushirikiana na kikosi kazi cha ujangili Kanda ya Ziwa, wamekamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na bunduki ya kivita aina ya AK 47 na risasi 12. Alisema watuhumiwa hao ambao majina yao yamehifadhiwa walikamatwa Mei 10 mw... | 3 |
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekanusha taarifa zisizo rasmi kuhusu kuwepo kwa viwango vipya vya michango ya uanachama katika kupatiwa huduma za afya.Hata hivyo ilibainishwa jana kuwa upo mchakato wa kuunda vifurushi tofauti vya uchangiaji kwa makundi tofauti ya uanachama ili kuwezesha watu kujiunga kulingana... | 3 |
KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imeongeza ushiriki wa wasichana katika masuala ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM), kupitia mafunzo ya teknolojia ya ku-code yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo.Awamu ya pili ya mafunzo hayo ilichukua siku tano na kushuhudia wanafunzi 59 wakihitimu mafunzo yaliyofanyika katika T... | 3 |
BALOZI wa Tanzania nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Luten Jenerali Mstaafu Paul Mella amesema licha ya kikosi cha Simba kupoteza mchezo wa dhidi ya As Vita, bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye michezo iliyobaki ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika Kundi D.Alisema kitendo cha kupoteza mchezo huo wa ugenin... | 4 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.