text stringlengths 1k 17.3k | label int64 0 5 |
|---|---|
KATIKA kuboresha huduma za maji, Benki ya Dunia (WB) imeipa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Sh milioni 77 ikiwa ni malipo ya miradi ya ufanisi.Hayo yalisemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Rebman Ganshonga wakati wa kikao cha baraza la Madiwani kupitia taarifa za Kata. Alisema kuwa kwenye baje... | 3 |
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kutoka Idara ya Sayansi ya bahari na teknolojia ya uvuvi, Samwel Limbu kwa miaka miwili ya masomo nchini China, amekuwa mwanafunzi bora wa kimataifa katika Chuo cha East China Normal University (ECNU).Limbu amekuwa mwanafunzi bora wa kimataifa kwa mwaka wa masomo 2015/16... | 3 |
Na AVELINE KITOMARY – DAR ES SALAAM SAFI wa vyoo ni muhimu kulinda afya ya binadamu na kuweka mazingira salama ambayo yanafanya jamii iweze kuepukana na magonjwa ya lipuko. Wapo watu ambao wanajihusisha kufanya kazi za usafi wa vyoo ‘maarufu kama vyura’ ikiwemo kuzi- bua vyoo vilivyoziba na kuhamisha majitaka kwa vyo... | 0 |
BARCELONA, HISPANIA WASHAMBULIAJI hatari wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar, wamefanikiwa kufikisha mabao 300 tangu watatu hao walipoanza kucheza pamoja ndani ya klabu hiyo. Juzi klabu hiyo ilishuka dimbani katika mchezo wa Copa del Rey dhidi ya wapinzani wao Athletic Bilbao, ambapo Barcelona ... | 4 |
MAOFISA wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamefanikiwa kumkamata muagizaji wa jumla wa nguo za ndani za mitumba zilizopigwa marufuku kutumika nchini kwa mujibu wa Sheria ya Viwango namba 2 ya mwaka 2009. Kukamatwa kwake ni mafanikio makubwa kwa maofisa wa TBS kwani kupitia msako huo, wengi waliokamatwa ni wachuuzi ... | 3 |
MANCHESTER, England KIUNGO wa Manchester United, Nemanja Matic, amesisitiza kwamba wapo tayari kupambana na presha ya ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu. Kauli hiyo inatokana na mwanzo mzuri wa timu hiyo katika ligi hiyo. Ushindi wa mabao 4-0 mfululizo katika michezo miwili ya West Ham na Swansea, inakifanya kikos... | 4 |
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru), inatarajia kuwafikisha mahakamani askari sita wa Jeshi la Polisi na watendaji watatu wa vijiji wilayani Igunga, baada ya kuomba rushwa ya Sh milioni nane.Akizungumza na vyombo mballimbali vya habari ofisini kwake, Kaimu Kamanda wa Takukuru mkoani Tabora, Musa Chaulo ... | 3 |
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk Edwin Mhede amesema mamlaka za mapato kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zina tatizo la uadilifu.Amezitaka ziwe na uadilifu na kuongeza kiwango cha ukusanyaji mapato akisisitiza kuwa zinapaswa pia kutekeleza majukumu yake kwa uaminifu na weledi, ili kuzi... | 3 |
Na AVELINE KITOMARY
“SITASAHAU siku ambayo nilijifungua mtoto wangu wa kwanza katika hospitali moja hapa jijini Dar es Salaam. Baada ya kujifungua mtoto yule, wahudumu walinitelekeza wakaniacha nisijue la kufanya. “Kwa sababu ya uchovu wa kujifungua, nilijikuta napitiwa na usingizi, ilipofika saa tisa usiku nilishtuk... | 0 |
KITENDAWILI cha mrithi wa Gadiel Michael ambaye anatajwa kutua Simba akitokea Yanga kimejibiwa kwa Yanga kumsainisha beki wa kushoto wa Malindi ya Zanzibar, Muharami Salum ‘Marcelo’.Marcelo alisaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Yanga juzi usiku ikiwa ni siku chache baada ya beki huyo mwenye umri wa miaka 24 kusai... | 4 |
TOKYO, Japan WAZIRI Mkuu wa nchi
hii, Shinzo Abe amesema kwamba mkataba
wa amani kati ya Serikali ya hapa na ya Urusi utaleta matokeo mazuri juu ya usalama katika Ukanda wa Asia na Pacific na pia utakuwa na manufaa kwa
Marekani ambao walisaini makubaliano ya
usalama na Tokyo. Waziri Mkuu huyo Abe
alitoa kauli hiyo ... | 2 |
NAIBU Waziri wa Madini, Dotto Biteko amemwagiza Ofi sa Madini Mkazi wa Kanda ya Mirerani kuhakikisha anaufungua Mgodi wa Gem and Rock Venture na kuanza kufanya kazi mara moja, lakini kwa kufuata masharti ya leseni, kanuni, mipaka na sheria za uchimbaji na sio vinginevyo.Biteko alitoa agizo hilo juzi katika mji mdogo w... | 3 |
NA VERONICA ROMWALD– DAR ES SALAAM SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA), wameipa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto magari 58. Who imetoa msaada wa magari 50 ya kubebea wagonjwa (Ambulance) na UNFPA imetoa magari manane amb... | 3 |
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezindua mpango mkakati wa taifa wa miaka minne wa masikio na usikivu na kuahidi kuwa serikali itahakikisha huduma hizo zinatolewa hadi ngazi ya chini.Akizungumza wakati wa kuzindua mkakati huo uliokwenda sambamba na kambi ya wazi ya kutolewa h... | 3 |
Onesho hilo lililoanza saa sita mchana na kumalizika saa nne usiku lilihusisha pia wasanii wengine wa hapa nchini kama akina Feza Kessy na Ali Kiba.Kundi la Sauti Sol la Kenya, ambapo tangu mwanzo hadi wanamaliza mashabiki walishindwa kujizuia na kushangilia wakati wote.Katika onesho hilo ambalo lilikuwa ni la muziki ... | 4 |
SERIKALI imekabidhi vipima ulevi kwa ajili ya wasimamizi na madereva wa treni za abiria na mizigo ambavyo vitasaidia kubaini kiwango cha ulevi.Vifaa hivyo vimetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) kwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) na Shirika la Reli Tanzania (TRC).M... | 3 |
Na ALLY BADI
-LINDI
MKE wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Salma Kikwete, amemshukuru Rais Dk. John Magufuli kwa kumwona na kumteua kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Salma ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM akitokea Wilaya ya Lindi Mjini, alitoa shukr... | 3 |
Aveline Kitomary -Dar es salaam MWENYEKITI
wa Chama cha Lupus Awareness and Support Foundation (LASF), Hajrrath Mohamed, ameitaka
jamii ibadilishe mtazamo hasi kuhusu ugonjwa wa Lupus ambao unahusishwa na Ukimwi
huku akikemea matukio ya unyanyapaa kwa wanaougua. Akizungumza
na MTANZANIA Dar es Salaam juzi, Hajrrath al... | 0 |
Kulwa Mzee -Dar es
Salaam MAHAKAMA
ya Rufaa imetupilia mbali maombi ya marejeo yaliyowasilishwa na aliyekuwa Mkuu
wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, SP Christopher Bageni na kubariki adhabu ya
kunyongwa hadi kufa iliyotolewa na mahakama hiyo kwa sababu haikukosea kufikia
uamuzi huo. Hukumu hiyo imetolewa jana na kusomwa... | 3 |
Na TUNU NASSOR -DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA), imewataka wadau wa bandari nchini kuanza utumaji wa nyaraka kwa njia za kielektroniki ili kurahisisha uondoshaji wa mizigo. Akizungumza na wadau hao juzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra, Gilliard Ngewe alisema baadh... | 3 |
Timu hiyo ilishindwa kucheza mechi zake dhidi ya Prisons na Mwadui ya Shinyanga za Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili kuipisha timu hiyo kushiriki mechi za kimataifa za kujipima nguvu zilizoshirikisha timu nne kutoka Zambia, Zimbabwe na Tanzania.Katika michuano hiyo iliyoshirikisha pia timu za wenyeji, Zanaco FC na Zesco U... | 4 |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amevitaka vyuo vikuu kutumia nafasi zilizonazo za kitaaluma, kushirikiana na serikali katika kufanya utafiti wa kutosha dhidi ya ukatili wa wanawake na watoto ili kumaliza tatizo hilo linalolikabili Taifa na dunia kwa ujumla.Aidha, amezitaka halmashauri zote nchini, kukamilisha uundaji wa ... | 3 |
RAIS John Magufuli amebainisha kuwa fedha zote zinazorejeshwa kutoka kwa wahujumu uchumi aliowaita mafisadi, zitatumika katika kutekeleza miradi ya maendeleo, ikiwemo barabara na afya.Aidha, amewataka viongozi walioko madarakani wakiwemo mawaziri na viongozi wa chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM), kutangaza mafanik... | 3 |
KAMERA 10 kati ya 16 zinazotakiwa kufungwa kwenye Daraja la Juu la Mfugale eneo la Tazara jijini Dar es Salaam, zimeshafungwa hadi sasa. Kamera sita zilizobaki, zitafungwa wakati wowote, baada ya nguzo kubwa inayosubiriwa kuletwa.Akizungumzia na gazeti hili kwa simu, Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Mikataba cha Wakala... | 3 |
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC, leo watakuwa katika Uwanja wa Uhuru kumenyana na Ndanda FC, mchezo ambao kama watashinda watazidi kujitengenezea nafasi nzuri ya kuutetea ubingwa wao kwani watabakiza pointi moja kuutwaa.Ili Simba ijihakikishie ubingwa inatakiwa kufikisha pointi 89 ambazo hata iki... | 4 |
Na AGATHA CHARLES
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema matukio yaliyotokea hivi karibuni likiwamo la aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kutolewa bastola, yanaweza kubadili upepo wa Bunge linalotarajiwa kuketi siku chache zijazo.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema,... | 3 |
Kamishna Mkuu wa TRA nchini, Charles Kichere amesema katika taarifa yake kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara atakayebainika kusafirisha bidhaa kwa magendo na kukwepa kodi nchini.Amewataka wafanyabiashara hao kuacha mara moja vitendo hivyo vinginevyo mali zao zote zitakazokamatwa na chombo... | 5 |
Mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Amaan usiku wa kuamkia jana, ulianza kwa Black Sailor kushinda bao la mapema lililofungwa na Ali Khalifa katika dakika ya nane.Kuingia kwa bao hilo kulizidisha kasi ya mashambulizi kwa timu hiyo huku wakikosa nafasi nyingi za wazi, lakini baadaye Black Sailor walionekana kudorora... | 4 |
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma iko katika mkakati kupata vyumba 52 vya madarasa kabla ya Februari 2, mwaka huu ili wanafunzi 2,610 waliofaulu na kukosa nafasi za kujiunga kidato cha kwanza wapate nafasi hiyo kusoma haraka.Akisoma ripoti mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge kabla ya kuanza ziara kukagua ... | 3 |
TAASISI ya Kuzuia na Kapambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Ruvuma imemfi kisha katika Mahakama ya Wilaya ya Mbinga Ofisa Mtendaji wa Kata ya Linda, Cosmas Nyoni akituhumiwa na makosa ya kuomba na kupokea fedha kwa njia ya rushwa.Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Ruvuma, Owen ... | 3 |
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amesema ataendelea kutekeleza majukumu yake ya ofi sini kwani halmashauri hiyo imerejesha nywila (password) zilizokuwa zikitumika.Baada ya ofisi hizo kufungwa na kubadilishwa nywila na kuweka mpya, Mwita alisema halmashauri hiyo imerejesha nywila za zamani hivyo, ataendelea n... | 3 |
SERIKALI ya Finland inatarajia kutoa Euro 9.5 sawa na Sh bilioni 24/- kwa ajili ya mradi wa awamu ya pili wa Panda Miti Kibiashara.Mradi huo utakaodumu kwa miaka minne ni kwa ajili ya wakulima wadogo wa miti wa mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu aliagiza Idara y... | 5 |
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa alitoa rai hiyo jana alipowatembelea wafanyabiashara hao maarufu kama wamachinga, kwenye soko la Rehema Nchimbi Complex lililopo mjini hapa kwa lengo la kukagua mazingira ya kufanyia biashara sokoni hapo.Galawa alisema biashara ya uchuuzi haiwaletei faida na mafanikio yanayohitajik... | 5 |
Lipuli itaikaribisha Simba kwenye uwanja wake wa nyumbani Samora ikiwa imetoka kuifunga Singida United bao 1-0 ambapo Matola anasema ushindi huo umewapa morali ya mechi dhidi ya Simba.Matola, ambaye aliwahi kuichezea Simba na kuwa kocha wa timu hiyo pamoja na zile za vijana, amesema wanataka kuwa timu ya kwanza kuifun... | 4 |
TIMU ya taifa ya Soka ya Wanawake ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Queens’ jana ilimaliza kwa kishindo hatua ya makundi ya Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kuifunga Zanzibar mabao 7-0.Mchezo huo wa kukamilisha ratiba baada ya Zanzibar kuwa tayari ilishatolewa kutokana na kufungwa mabao yote, Kili... | 4 |
Mwandishi wetu, Tanga WAFANYABIASHARA wa Mkoa wa Tanga, wamesema hawaoni shidakulipa kodi baada ya kuona utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleoinayofanywa na Rais Dk. John Magufuli kupitia kodi zao. Hayo yalizungumzwa na wafanyabiashara wakati wa kampeni ya elimukwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo ambako maafisa... | 5 |
Na RENATHA KIPAKA – BUKOBA MIRADI tisa ya vyanzo vya maji katika wilaya nne za Mkoa wa Kagera, vimepungukiwa maji kwa asilimia kubwa hali inayofanya wananchi wa wilaya hizo kupata maji kwa mgawo na wengine kuyafuata umbali mrefu. Akizungumza na MTANZANIA juzi, Mhandisi wa Mkoa wa Kagera, Vitus Exsavery, alisema vyanz... | 3 |
Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Chama alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.Alisema makandarasi walianza kazi jana kuweka nyasi hizo bandia na kuongeza kuwa baada ya... | 4 |
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Simba leo watakuwa wenyeji wa Mbao ya Mwanza katika mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro.Mchezo huo ni wa kisasi kwa Simba baada ya raundi ya kwanza kupoteza kwa bao 1-0 kwenye uwanja wa CCM, Kirumba, timu pekee iliyowafunga wekundu hao msimu huu. Timu... | 4 |
Alisema mradi huo wa nyumba unajengwa katika eneo la Iyumbu, karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma. Alisema hatua hiyo itapunguza uhaba wa nyumba za makazi na biashara katika manispaa ya Dodoma, kwa kuwa miradi mingine ya nyumba za biashara itajengwa katika eneo Meledeli.Akifafanua, Gambalagi alisema NHC itatekeleza miradi ... | 5 |
BAADA ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kufi ka mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kujibu tuhuma za kulidhalilisha Bunge kuwa ni dhaifu, wanasheria na wasomi wamefunguka kuhusu suala hilo.Ndugai alivieleza ... | 3 |
VIONGOZI wa mila ya jamii ya kifugaji ya kimasai maarufu kwa jina la Laigwanani kutoka katika wilaya nane za mikoa ya kanda ya kaskazini na wafugaji zaidi ya 150, wamemzawadia Rais John Magufuli ngo’mbe dume ikiwa ni ishara ya kuongoza nchi kizalendo na kusimamia haki kwa wanyonge.Viongozi hao wamejitokeza katika ofis... | 3 |
KAMATI ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeipa miezi mitatu Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalumu wa upotevu wa zaidi ya Sh bilioni 3, fedha za miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyangh’wale mkoani Geita.Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Abdallah Ch... | 3 |
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dk Arnold Kihaule ametua mkoani Morogoro akiwa na vitambulisho vya taifa 24,010.Alitua Morogoro jana ili kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kufika mkoani humo na kukaa siku tatu, ili aweze kutatua tatizo la upatikanaji wa vitambulisho hivyo kwa wananc... | 3 |
Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali, kocha huyo golini atamweka Ally Mustafa, akidhani kuwa ndiye aliyecheza vizuri zaidi katika nafasi hiyo wakati beki wa kulia ni pamoja Juma Abdul wakati mabeki wa katikati ni Paschal Wawa na Nadir Haroub.Mabeki wa kushoto ni Tshabalala kutoka Simba, ambaye alisema hajui jina lake hal... | 4 |
ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM WAWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Ligi ya
Mabingwa Afrika, Simba, leo watajitupa kwenye Uwanja wa Mazembe mjini
Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na TP Mazembe. Mchezo huo wa marudiano katika hatua ya robo fainali,
unaonekana ni mgumu kwa Simba baada ya kutoka suluh... | 4 |
Katika mchezo huo ambao ulikuwa mgumu kwa pande zote, Mbeya City ilionekana kuanza vyema baada ya kuhimili dakika 10 za mwanzo ikipeleka mashambulizi mfululizo langoni mwa Yanga.Pamoja na mashambulizi hayo, timu hiyo ilikosa baadhi ya nafasi za wazi, ambapo mshambuliaji Eliud Ambokile alikosa nafasi mbili za wazi huku... | 4 |
Mwandishi
Wetu Kampuni
ya Agri-Ajira imewapa changamoto ya kujitosa kwenye kilimo cha biashara Kampuni
ya KCL Ltd. kutokana na mafanikio waliyopata ikiwamo kujiajiri. Kampuni
hiyo inayoundwa na vijana wawili, Ibrahim Charles na Samwel Jonathan, imekuwa
chachu kwa Kampuni ya KCL Ltd na vijana wengine nchini kutokana na ... | 3 |
Na ASHA BANI
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) itaanza operesheni ya kuimarisha utekelezaji wa sheria za usafirishaji wa mazao ya misitu hususan mkaa wiki ijayo, kwa lengo la kuwahimiza wananchi wafuate kanuni na sheria hizo.
Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi endelevu ya misitu na nyuki nchini, Moham... | 3 |
FORTALEZA, Brazil WENYEJI wa fainali za Kombe la Dunia, Timu ya Taifa ya Brazil, wataingia uwanjani kesho katika mchezo wa robo fainali ya michuano hiyo dhidi ya wababe wa Amerika Kusini, Colombia. Colombia itajitupa kwenye Uwanja wa Estadio Castelao mjini Fortaleza, ikiwa ni baada ya kufanikiwa kuitupa nje Uruguay kwa... | 4 |
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM WINGA wa timu ya Azam FC, Farid Mussa ambaye yuko katika majaribio nchini Hispania, ameweka wazi kuwa malengo yake ni kucheza katika klabu ya Malaga aliyowahi kuitumikia beki wa Arsenal, Nacho Monreal. Farid alianza majaribio rasmi Hispania Jumatatu iliyopita akiwa na kikosi cha timu ya CD... | 4 |
WASHINGTON, MAREKANI SIKU chache baada ya Umoja wa Mataifa (UN) kupiga kura kulaani ujenzi wa makazi ya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi na Yerusalem Mashariki, Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amehoji ufanisi wa chombo hicho, akisema ni ‘genge la watu wakusanyikao na kupiga soga’. Alitoa kauli hiy... | 2 |
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kutokuwa na uzoefu wa kutosha kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni chanzo cha kupoteza mchezo wa marudiano wa robo fainali dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo.Mchezo huo wa marudiano ulipigwa mjini Lubumbashi ambapo Simba walipoteza mechi hiyo ya ugenini kwa kufungwa m... | 4 |
Mwandishi Wetu -Dodoma MRADI wa kuendeleza zao la mtama nchini wa kampuni ya Bia ya TBL Plc, unaendelea kunufaisha wakulima wa zao hilo mkoani Dodoma, ambapo wanapatiwa mbegu za kisasa, mbinu za kuendesha kilimo cha kisasa kinachofanikisha kuongezeka kwa mavuno pia wanakuwa na uhakika wa kuuza mavuno yao kwa kampuni hi... | 5 |
Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa jana wakati benki hiyo ikisherehekea miaka mitatu ya utoaji wa huduma kwa wateja.Akizungumza na Wakurugenzi wa Bodi, Wafanyakazi na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kusherehekea mafanikio hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja alisema wamepata mafanikio... | 5 |
Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM SERIKALI imelizuia Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) kuzindua ripoti inayoelezea namna wafanyakazi wa ndani wa kitanzania wanavyonyanyaswa katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Utafiti huo ulifanywa na shirika hilo hapa nchini kwa kuwahoji wasi... | 3 |
WAKAZI watatu wa kijiji cha Pangawe, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wanashikiliwa na Polisi kutokana na tuhuma za kukutwa wakiuza nyama ya ng’ombe waliokufa na kufukiwa baada ya kubainika kuwa na ugonjwa wa kimeta.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa alisema jana mjini hapa kuwa, tukio hilo li... | 3 |
SERIKALI imeanzisha kanzidata ya kuorodhesha wataalamu wa Kiswahili kwa lengo la kuwatumia kufundisha lugha hiyo kwa wageni na mataifa mbalimbali ulimwenguni.Akifunga mafunzo ya wiki moja ya walimu wa kufundisha Kiswahili kwa wageni, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema hivi sas... | 3 |
NA ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limepitisha panga kwa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kulitaka kupunguza idadi ya wajumbe wake kutoka 23 hadi 13. Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidau, alisema wamepokea mapendekezo kutoka... | 4 |
Na Waanidishi Wetu,
SUALA la uhakiki wa vyeti feki limezidi kuitikisa sekta ya afya ambapo maelfu ya watumishi wamejikuta wakipoteza kazi na zahanati na vituo vya afya vikifungwa.
Hatua hiyo inatokana na ripoti ya uhakiki wa watumishi wa umma nchini iliyokabidhiwa hivi karibuni na Waziri wa Nchi, Ofisi y... | 0 |
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema walicheza vibaya kwenye mechi yao na Kagera Sugar na ndio sababu ya kufungwa.Amesema pamoja na matokeo mabaya waliyoyapata ya kufungwa mabao 2-1 na Kagera Sugar, wameshasahau na sasa wanajipanga kuikabili Alliance kesho.Kagera Sugar ilimaliza ushindi wa mechi 11 mfululizo w... | 4 |
RAIS John Magufuli amekonga nyoyo za Watanzania kwa uamuzi wake wa kutekeleza mradi wa kufua umeme wa maji wa Rufiji.Juzi Ijumaa, Rais Magufuli aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kufua umeme utakaozalisha megawati 2,115. Mradi huo unatekelezwa katika Pori la Akiba la Selous wilayani Rufiji mkoani ... | 3 |
Na VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM
KUZIBA kwa mishipa ya damu kumetajwa kuwa chanzo kikuu kinachosababisha vifo vingi vya ghafla ambavyo mara nyingi hutokea mtu akiwa usingizini.
Akizungumza na MTANZANIA Jumapili juzi, daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk... | 3 |
NA JOHANES RESPICHIUS MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Juma Musa ‘Jux’, amesema alianza kupata umaarufu kabla ya mpenzi wake, Vanessa Mdee, hivyo si sahihi kudai kwamba anatembelea nyota ya mrembo huyo kwenye sanaa ya muziki. Akizungumza na MTANZANIA, Jux alisema kama alikuwa anataka kufahamika kupitia Vanessa ... | 1 |
NORA DAMIAN Na LEONARD MANG’OA-DAR ES SALAAM MAGWIJI wa siasa wamejitokeza kumzika mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru, huku wakimsifu kuwa alikuwa mtu mashuhuri. Kingunge aliyefariki dunia Februari 2, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akitibiwa, baada ya kushambuliwa na mbwa wake Desemba... | 3 |
MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM BENKI ya I&M Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, lakini inang’ara kwa kutoa bidhaa na huduma za kipekee ambazo zinakidhi mahitaji yote ya mteja katika soko. I&M Tanzania ilitambulisha akaunti mpya ya wanawake ya Tunaweza inayotoa sulu... | 5 |
Kinana alisema hayo kwenye mikutano tofauti ya hadhara iliyofanyika katika Makao Makuu ya Tarafa ya Nshamba na Kamachumu, katika ziara yake ya siku mbili wilayani Muleba kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na pia kuhamasisha uhai wa chama.“Ukiona mtu anauza kahawa yake kwingine, ni kwa sababu ya bei. Kwa ... | 5 |
KAMPUNI ya Kuhifadhi Mafuta ya Tanzania (Tiper) imesema gawio la Sh bilioni sita iliyotoa kwa wanahisa wake, ambao ni serikali na Kampuni ya ADDAX-ORYX GROUP ya Uswisi, ni ongezeko kutoka kiwango cha Sh bilioni moja iliyotoa katika miaka ya mwisho ya 2000.Akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi hisa kwa serikali ambayo ... | 5 |
NA AZIZA MASOUD -DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wamiliki wa vituo vya mafuta kutekeleza agizo la kununua na kufunga mashine za kielektroniki za risiti (EFP’s) na si kutafuta visingizio vya bei. Kauli hiyo imetolewa wakati TRA ikiwa imevifungia vituo vya mafuta ambavyo havina mashine hizo, huk... | 3 |
SHILINGI milioni 334 zimetumiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kununua gari la kubeba taka na makontena 20 ya kuweka taka.Kauli hiyo imetolewa jana na Fundi Mkuu wa Manispaa ya Tabora, Gaitan Mkweng’e wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani wa Manispaa hiyo wa bajeti.Amesema gari jimpya lililonunuliwa Ch... | 3 |
Akizungumza katika mkutano wa wadau kuhusu utekelezaji wa mradi huo Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) mkoa Kigoma, Shaban Mtonda, sekta za kilimo na uvuvi zitanufaika katika utekelezaji wa mradi huo.Mtonda alisema wakati wa utekelezaji wa mradi huo wakulima wa zao la chikichi na s... | 5 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amewataka watanzania kuendelea kuishi katika umoja na mshikamano kama nguzo kuu ya maendeleo nchini.Rais ametoa wito huo leo Jijini Dar es Salaam katika hafla ya mashindano maalumu ya usomaji wa Quran barani Afrika yanayoandaliwa na taasisi ya Al-Hikma yaliyo... | 3 |
KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City Idd Selemani (pichani) amesema timu yoyote iwe Simba au Yanga ikimuhitaji ijitokeze kufanya naye mazungumzo. Mchezaji huyo mkataba wake unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu ambapo alisema hakuna timu yoyote aliyofanya nayo mazungumzo mpaka sasa.Akizungumza juzi, Selemani alisema ... | 4 |
MABINGWA wa kihistoria Yanga wanatarajiwa kucheza mchezo wa kirafi ki na AS Vita ya DR. Congo katika kilele cha wiki ya wananchi ‘Kubwa kuliko’ Agosti 4, mwaka huu kwenye uwanja wa taifa, Dar es Salaam.Akizungumzia wiki hiyo ya wananchi Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela alisema wataanza rasmi Julai 28 kw... | 4 |
Erick Mugisha -Dar es salaam MKAZI wa Mwananyamala B, Mustafa Mohamed (36) amepandishwa kizimbani Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa kosa la ubakaji wa mtoto wa miaka saba. Mwendesha Mashtaka wa Jamhuri, Benson Mwaitenda, akimsomea hati ya
mashtaka mtuhumiwa mbele ya Hakimu Simon Swai, alidai kati y... | 3 |
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangala amewaita wawekezaji kuja nchini kwa ajili ya kuwekeza katika sekta ya utalii, wakati aliposhiriki Kongamano la 10 la Uwekezaji na Biashara katika Sekta ya Utalii Afrika.Kongamano hilo limefanyika katika Jiji la Madrid nchini Hispania, likiwa limeandaliwa na Shirika l... | 5 |
Wakati Simba wakipania kushinda kwenye uwanja huo wa ugenini, watu wanajiuliza maisha ya Mbeya City yatakuwaje bila ya kocha wao Juma Mwambusi aliyeipatia timu hiyo mafanikio makubwa. Mwambusi kwa sasa ni kocha msaidizi wa Yanga aliyechukua mikoba ya Charles Mkwasa aliyepewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu wa kuifundis... | 4 |
Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA
HATIMAYE Baraza la Madiwani la Manispaa ya Dodoma limemng’oa Meya wa Manispaa hiyo, Japhari Mwanyemba (CCM), kwa tuhuma za kutafuna Sh milioni 30 za mradi wa maji katika eneo la Zuzu katika manispaa hiyo.
Fedha hizo zilizotolewa na Ubalozi wa Japani kwa aliyekuwa Mke wa Waziri Mk... | 3 |
Na TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM HOFU ya kuenea magonjwa ya mlipuko ikiwemo Dengue na Kipindupindu imetanda kwa wakazi wa mtaa wa Mtambani A Kata ya Jangwani Manispaa ya Ilala kutokana na kukithiri kwa uchafu katika mazingira ya eneo lao. MTANZANIA JUMAPILI lilifika katika mtaa huo na kubaini kuwapo kwa uchafu uliokithiri... | 0 |
RAIS John Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, kuwasaidia wawekezaji wazawa ili waweze kujenga viwanda. Pia amewataka wakazi wa Ukerewe mkoani Mwanza, kushirikiana na serikali ili kuijenga Tanzania mpya yenye uchumi imara. Aliyasema hayo katika mikutano aliyoifanya... | 3 |
Juzi Tiboroha alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo hali ambayo imezua mtafaruku mkubwa kwa wanachama wa klabu hiyo, ambao baadhi yao hawataki ajiuzulu. Manji jana alizungumza na waandishi wa habari na kuweka wazi suala hilo la kuondoka kwa Tiboroha.Alisema kuwa hali ya kutokuelewana na katibu huyo ilitokana na sakata la m... | 4 |
KUALA LUMPUR,
Malaysia MFALME wa hapa,
Muhammad V ametangaza kujiuzulu
wadhifa wake ikiwa ni mara ya kwanza tukio hilo kutokea kwa kiongozi kama huyo
kuachia madaraka kabla hajamaliza kipindi cha miaka mitano ya utawala wake. Taarifa ya mfalme huyo kujiuzulu ilitolewa
jana na kasri ya kiongozi huyo, lakini haikutaj... | 2 |
MONROVIA: Liberia WANANCHI wa Liberia walipiga kura jana kuchagua rais ambaye atakuwa badala ya rais wa sasa mwanamke na mshindi wa Nishani ya Amani ya Nobel, Ellen Johnson Sirleaf. Mwanasoka wa zamani, George Weah (51) na Makamu wa Rais, Joseph Boakai ndiyo washindani wakubwa wa urais katika uchaguzi huo. Liberi... | 2 |
NA LAMECK KUMBUKA, Geneva, Uswisi KITENDO cha wananchi wa Taifa la Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya kimeleta madhara makubwa. Kama wasemavyo vijana wa siku hizi muziki wa ‘Brexit’ sasa si wa kitoto na hakika umeleta dhahama huko Uingereza. Tunaweza kuazima msemo uliopo kwenye wimbo wa CCM ‘wataisoma namba’ ndicho amba... | 2 |
NA HASTIN LIUMBA
-NZEGA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amemuomba Mke wa Rais Mstaafu, Mama Salma Kikwete kuutafakari kwa makini uteuzi wa ubunge alioteuliwa jana na Rais John Magufuli.
Mgeja ambaye pia ni Mwenyekiti wa taasisi inayoshughulika na utawala ... | 3 |
Na Walter Mguluchuma-Katavi WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, inatarajia kutoa ajira kwa watumishi wa kada mbalimbali za afya. Imesema watakaopewa kipaumbele ni wale wakataoomba kufanya kazi mikoa ya pembezoni ambayo ina upungufu mkubwa wa watumishi wa sekta hiyo. Kauli hiyo ilitol... | 0 |
NAZI zinauzwa hadi Sh 100! Inashangaza lakini hii ndiyo hali halisi katika wilaya ya Mafia ambacho ni kisiwa kilichopo karibu na mlango wa Mto Rufiji. Kulingana na sensa ya mwaka 2012, wilaya hii ilikuwa na wakazi 46,438. Wakazi wa kisiwa hiki ambao wengi wanajishughulisha na uvuvi pamoja na kilimo hususani cha nazi, ... | 3 |
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili -Mlonganzila jijini Dar es Salaam, imewahakikishia Watanzania kuwa huduma zinazotolewa hospitalini hapo, zimeboreshwa. Pia imesema wagonjwa wanaotibiwa hapo, wameongezeka katika makundi yote.Imesema wagonjwa wa nje, wameongezeka kutoka 17,115 katika kipindi cha robo mwaka cha Julai hadi Se... | 3 |
Mwandishi wetu, Tanga WAFANYABIASHARA wa Mkoa wa Tanga, wamesema hawaoni shidakulipa kodi baada ya kuona utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleoinayofanywa na Rais Dk. John Magufuli kupitia kodi zao. Hayo yalizungumzwa na wafanyabiashara wakati wa kampeni ya elimukwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo ambako maafisa... | 5 |
Na WINFRIDA NGONYANI-DAR ES SALAAM MWANARIADHA wa Tanzania aliyeibuka shujaa kwa kushika nafasi ya tano katika mbio ndefu (marathon) kwenye michezo ya Olimpiki mwaka huu, Alphonce Simbu, ameitaka Serikali kuanza mara moja harakati za kusaka medali mwaka 2020 michezo hiyo itakapofanyika jijini Tokyo, Japan. Simbu alitoa... | 4 |
NA MICHAEL MAURUS, ZANZIBAR KOCHA msaidizi wa Simba, Mganda Jackson Mayanja, amesema kuwa amekuja katika timu hiyo ili kurejesha soka lao la asili ambalo ni la kitabuni la pasi fupi fupi na za haraka, lakini pia kuwawezesha wachezaji kuwa na stamina ya kutosha pamoja na umakini wa hali ya juu. Wachezaji wa Simba jana w... | 4 |
Miongoni mwa vifaa hivyo ni mashine ya kukaushia nywele, vifaa vya kuoshea nywele, viti na masinki. Vitendea kazi hivyo mbalimbali vitamuwezesha kupanua wigo wa huduma zinazopatikana katika saluni yake.Akikabidhi vifaa hivyo Meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel , Hawa Bayumi alisema sambamba na kuongeza idadi ya hudum... | 5 |
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM TIMU ya Simba imerudisha matumaini ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani baada ya kuwachapa wapinzani wao, Azam FC mabao 2-1 mchezo uliofanyika jana Uwanja wa Taifa jijini hapa. Simba na Azam zipo kwenye vita kali ya kuwania nafasi ya pili ili kushiriki michuano ya Kombe la Shirikish... | 4 |
SERIKALI imeombwa kuweka udhibiti wa uingizaji wa vigae kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kulinda soko la viwanda vya ndani. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja Biashara na Uhusiano wa kampuni ya Good Will, Msafiri Figa, inayoendesha kiwanda kinachozalisha vigae Will kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani. Aki... | 3 |
Stars inayofundishwa na Charles Boniface Mkwasa, inaingia uwanjani ikiwa inajivunia ushindi wa mabao 2-0 iliyoupata katika mechi ya kwanza Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha Stars kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kiliwasili salama katika mji wa Blantyre juzi jioni tayari kw... | 4 |
['Meneja wa Tottenham, Mauricio Pochettino, anasema kuwa anahofia kufutwa kazi kutokana na matokeo mabaya ya klabu hiyo (Mirror)', 'Juventus na Atletico Madrid zinamfuatilia beki wa West Brom wa miaka 19, Nathan Ferguson.(Sun)', 'Mshambuliaji wa Chelsea na Ufaransa Olivier Giroud, 33, anatakiwa na Crystal Palace na hue... | 4 |
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema kurejea kikosini kwa kiungo, Haruna Niyonzima, ni jambo la furaha kwani timu hiyo inahitaji mchezaji wa aina yake mwenye uwezo wa kuwatetemesha wapinzani. Ijumaa ya wiki iliyopita uongozi wa klabu ya Yanga ulimaliza tofauti zilizokuwepo k... | 4 |
KULWA MZEE -DAR ES SALAAM VIGOGO sita wa Kampuni ya Viettel Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Halotel, Son Nguyen (46), wanaokabiliwa na mashtaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78, wanaendelea kusota rumande wakisubiri majibu kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nc... | 5 |
Na MWANDISHI WETU-SINGIDA WANANCHI wa Kata ya Kinampanda, Wilaya ya Iramba mkoani Singida, wataondokana na kero ya huduma bora za afya baada ya ujenzi wa kituo cha afya katika kata hiyo kukamilika. Hayo yalisemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), alipozungumza na... | 3 |
KAHAWA ya Uganda imepata bahati ya kupigiwa chapuo katika soko kubwa lenye watumiaji wengi wa kahawa nchini Urusi.Baada ya kufanya vizuri katika masoko ya nchi za Ulaya Magharibi kwa muda mrefu, Uganda imeanza kutangaza kahawa yake katika nchi za Ulaya Mashariki na sasa iko katika soko kubwa duniani la kahawa nchini U... | 3 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.