text
stringlengths
1k
17.3k
label
int64
0
5
Mei 5, mwaka huu Tanzania iliungana na mataifa mengine duniani kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambayo kwa mwaka huu yalipewa Kauli mbiu isemayo ‘Wakunga ni Chachu katika Utoaji Huduma bora kwa mama na mtoto’. Tanzania iliadhimisha siku hii ya pekee, maadhimisho hayo yalifanyika huko mkoani Morogoro ...
0
WAZALISHAJI na wasambazaji wa taulo za kike wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali na wadau wengine kuwamkomboa wasichana dhidi ya vikwazo mbalimbali vya kielimu kwa kutopandisha bei ya bidhaa hizo.Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa Chama Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa), Joyce Shebe alieleza kusik...
3
Mwandishi wetu, Tanga MKUU wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itawasaidia wafanyabiashara wanaokwepa kodi kuacha vitendo hivyo vya kuikosesha Serikali mapato. Shigela ameyasema hayo ofisini kwake alipotembelewa na maafisa wa TRAwana...
5
MAELFU ya watu waliojitokeza kushiriki kuaga na maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba (49), yameelezwa kuwa ni kielelezo tosha cha matendo mema na ushuhuda wa maisha ya Ruge aliyoishi hapa duniani.Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Method Kilaini amesema maish...
3
WAENDESHA bodaboda nchini wametakiwa kutochukua sheria mkononi inapotokea watu wamesababisha ajali wakiendesha barabarani.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni alisema hayo mjini hapa jana wakati akijibu swali la Nyongeza la Mbunge wa Kuteuliwa, Salma Kikwete (CCM). Salma alitaka kujua serikali i...
3
\ Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM MAISHA ya duniani huwa ni ya muda na yanapotoweka matokeo yake mtu huzikwa kaburini. Kiimani watu huamini kwamba mtu anapokufa na kuzikwa roho yake haizikwi bali mwili wake tu. Ndio maana watu wengi walio hai wamejijengea utaratibu wa kufuata mila na desturi fulani ili kuwahes...
3
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ...
5
SERIKALI imeamua kusitisha mikataba ya wakandarasi wawili wa miradi ya maji kutokana na ucheleweshaji wa kazi uliokithiri.Akizungumza na vyombo vya habari jijini hapa jana, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, alisema serikali imeamua kusitisha mikataba ya wakandarasi hao waliokuwa wakitekeleza mirad...
3
Derick Milton, Simiyu Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Mtemi Andrew Chenge amekabidhi Kompyuta tano na Mashine ya kuchapisha kwa shule ya sekondari Simiyu iliyoko mjini Bariadi. Kompyuta hizo zimetolewa na mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) kwa ajili ya kuunga mkono utekelezaji wa mkakati wa kufundisha wanafunzi kwa nji...
3
THERESIA GASPER-GASPER-DAR ES SALAAM BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, Kocha Msaidizi wa Azam, Iddy Nassor ‘Cheche’,  ameitaka  Simba ijiandae kukutana na maumivu na kipigo kutoka kwao. Azam na Simba zitashuka dimbani kuumana, katika pambao la Ligi Kuu Tanzania Bara, litakalopigwa Marchi 4 mwaka...
4
Na TUNU NASSOR -DAR ES SALAAM SUALA la Meya wa Ubungo, Boniface Jacob na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, limechukua sura mpya baada ya meya huyo kuitwa  Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma na kutakiwa kujibu shauri lililofunguliwa la matumizi ya ofisi ya umma kwa shughuli za chama chake. Machi 22,...
3
BAADA ya kutoka suluhu katika mechi ya kwan- za ya mtoano kati ya Pamba na Kagera Sugar, makocha wa timu hizo wamesema wanajipanga kumaliza mechi mwis- honi mwa wiki iliyopita.Pamba ilicheza na Kagera kwenye uwanja wa Nyamagana mjini hapa juzi na kutoka suluhu na hivyo kujiweka kwenye mazin- gira magumu katika mechi y...
4
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema mchango wa sekta ya utalii katika Pato la Taifa kwa sasa ni zaidi ya asilimia 17 na inaongoza katika kuliingizia Taifa fedha za kigeni, ikichangia takribani asilimia 25.Akiwasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2015/16 jana bungeni, Nyalandu alisema mwaka 2014, ...
5
['Real Madrid itataka kumsaini kiungo wa kati wa Denmark Christian Eriksen mwezi Januari.(Marca)', 'Real Madrid pia wanaisaka saini ya mshambuliaji wa Red Bull Salzburg, 19 raia wa Norway Erling Haaland, ambaye amehusishwa na uhamisho wa kuelekea Manchester United. (AS)', 'Beki wa kulia wa Tottenham na Ivory Coast Se...
4
Katika mchezo wa kwanza, Yanga wakiwa nyumbani walipata ushindi mwembamba wa bao 1-0, hivyo katika mchezo huo wawakilishi hao wa Tanzania Bara, wanahitaji sare au ushindi wa namna yoyote ili kusonga mbele hatua inayofuata.Akizungumza na gazeti hili kabla ya timu kuondoka, msemaji wa Yanga Dismas Ten, alisema wamekwend...
4
RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amewataka wahitimu wa shahada za ualimu, kujiandaa kisaikolojia kufundisha shule za msingi, badala ya sekondari kama walivyotarajia.Alisema hayo juzi kwenye mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es S...
3
NAIROBI, KENYA KINARA mwenza wa muungano wa upinzani wa NASA Kalonzo Musyoka, ameyashambulia mataifa ya magharibi hasa Marekani ambayo alisema inasambaratika na hivyo haina uwezo wa kuisaidia Kenya. Akizungumza pamoja na vinara wenzake wa muungano huo kwenye Bustani ya Uhuru mjini hapa juzi, Kalonzo alisema Kenya haih...
2
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda ameutaka uongozi wa Kiwanda cha Kutengeneza Magunia ya Mkonge cha TPM (1998 LTD ) mkoani Morogoro, kutotekeleza mpango wake wa kusitisha uzalishaji kutokana na ukosefu wa soko la bidhaa zao, kwa kuwa tayari serikali imeshaanza kuzitatua changamoto hizo.Waziri Kakunda amese...
5
Lechantre raia wa Ufaransa alisema kuwa alipomuona Mkude ameumia akilalamika na kuwahishwa hospitali alianza kukuna kichwa juu ya majaliwa ya timu hiyo kwenye eneo la kiungo kuelekea katika michezo iliyosalia.“Haikuwa kitu rahisi kukishuhudia, Mkude ni moja ya wachezaji muhimu hapa kikosini, anacheza vizuri eneo la ki...
4
Na Aziza Masoud, HIMOFILIA ni ugonjwa wa damu kukosa uwezo wa kuganda ambao unasababishwa  ukosefu wa kiwango cha kutosha cha chembechembe za protini zinazotakiwa kugandisha damu na  kusababisha damu kuvuja kwa muda mrefu. Ugonjwa  huu ambao  asilimia 30  ya wagonjwa huzaliwa nao kutokana na mabadiliko ya vin...
0
Hata hivyo, mamlaka hiyo imeonya kuwa bei hiyo ya mafuta nchini haitaweza kupungua kwa kiasi kikubwa, kutokana na kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya dola ya Marekani pamoja na kutokubadilika kwa ushuru mbalimbali wa ndani wa mafuta.Pamoja na hayo, Kampuni ya Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PICL) imeiomba Kamati y...
5
KLABU ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imeweka wazi suala la kuwapa wachezaji wake mikataba wa mwaka mmoja mmoja.Akizungumza na gazeti hili Meneja wa Klabu hiyo, Walter Harrison alisema, “Mkataba wa mwaka mmoja unamfanya mchezaji ajitume ili kujihakikishia kuongezewa mkataba kwa msimu mwingine.Mara nyingi mchezaji akipe...
4
NEW YORK, MAREKANI RAIS wa Marekani, Donald Trump, amedaiwa kuwashutumu wahamiaji wanaoingia nchini humo kutoka Haiti, El Salvador na Bara la Afrika kwa kuwafananisha na uchafu kwa madai wanaharibu nchi hiyo hivyo wanapaswa kuzuiliwa. Kwa mujibu wa gazeti la The Washington Post, limesema Trump alizungumza hayo juzi wa...
2
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ...
5
Ushindi huo umefuta ubabe wa Lipuli iliyowasumbua katika mchezo wa raundi ya kwanza uliochezwa Dar es Salaam, ambapo walitoka sare ya bao 1-1 lakini pia, iliondoa ile dhana ya kutokufungwa kwenye Uwanja wa Samora.Mabao ya Yanga yalifungwa na Papy Kabamba Tshishimbi na Pius Buswita. Ushindi huo wa Yanga unafikisha juml...
4
Habari zilizopatikana jana kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya Yanga vilieleza kuwa, tayari Tiboroha ameandika barua kuelezea uamuzi wake huo.“Ni kweli Katibu ameandika barua ya kuacha kazi, amesema ametingwa na majukumu ya kikazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), hivyo kuomba asitishe ajira yake Yanga. “Mkimpata mwe...
4
Alisema hayo juzi wakati wakati akifungua Maonesho ya 13 ya Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido) Kanda ya Kaskazini, yanayofanyika katika viwanja wa Mashujaa Mjini hapa.Mwijage alisema Serikali ya Awamu ya Tano, imedhamiria kujenga viwanda vingi zaidi hasa mahali ambapo pana malighafi za kutosha.“Serikali ya Magufu...
5
Na Ahmed Makongo-BUNDA KUANZIA mwaka 2008 hadi mwaka 2018 jumla ya majangili 4,337 yamekamatwa na askari wa wanyama pori wa kampuni ya Grumeti Reserves, katika mapori ya akiba ya Grumeti na Ikorongo, pamoja na pori la wananchi la Ikona, yaliyoko pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara. Hayo yameelezwa m...
3
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu wa BMT, Mohammed Kiganja alisema kamati hiyo imetokana na mapendekezo yaliyotolewa na wadau wa ngumi katika kikao cha pamoja kilichofanyika Aprili 6, mwaka huu.Aliitaja kamati hiyo ya muda kuwa inaundwa na Rais wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO...
4
MFANYABIASHARA Mustapha Kambangwa (34), mkazi wa Kongowe Mbagala, amefi kishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka manne likiwemo la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya Sh bilioni 188.9 kwa kupitia mashine ya kilekroniki ya EFD.Kambangwa alifikishwa mahakamani hapo jan...
3
MANCHESTER, ENGLAND BAADA ya klabu ya Tottenham kukubali kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya vinara wa Ligi Kuu England, Man City, kocha wa timu hiyo, Mauricio Pochettino, ameweka wazi kuwa hakuna wa kuuzima moto wa wapinzani hao. Hata hivyo, kocha huyo amewatupia lawama wachezaji wake kwa kuruhusu bao la mapema katika daki...
4
SAN ANTONIO, Marekani MCHEZAJI wa timu ya mpira wa kikapu ya San Antonio Spurs, Pau Gasol, ameelezwa kuwa atacheza kwa muda nafasi ya katikati ambayo itamfanya kuwa mbali na mshambuliaji mwenzake, LaMarcus Aldridge. Nyota huyo kwa sasa anatimiza miaka 15 ya kucheza mchezO huo katika Ligi ya NBA nchini Marekani. Kwa muj...
4
Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam KOCHA wa timu ya Yanga Mbrazil, Marcio Maximo, ni kama amesikia ubora wa washambuliaji wa Simba SC, Paul Kiongera na Amisi Tambwe, hivi sasa ameanza kuwapa programu maalumu mabeki wake wa kati, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kelvin Yondani, kuhakikisha wanakabiliana na mashambulizi yoyo...
4
MUNICH, UJERUMANI KOCHA wa Bayern Munich, Carlo Ancelotti, amedai kuwa ameachiwa kazi nyepesi na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pep Guardiola ambaye amejiunga na klabu ya Manchester City. Ancelotti amesema kuwa anaamini atafanikiwa katika klabu hiyo ya Bayern Munich kutokana na Guardiola kuweka njia ya mafanikio ya klab...
4
MWANAIDI MZIRAY (TSJ) NA TUNU NASSOR-DAR ES SALAAM WATUMISHI saba kati ya 134 wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ambao waliondolewa kazini baada ya kubainika na vyeti vya kughushi, wamerudishwa kazini. Hatua hiyo imefikiwa  siku chache baada ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Lau...
3
Na JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM WAKAZI wa Mtaa wa Kunguru, Kata ya Goba, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam wameomba mamlaka kuwabadilishia jina la mtaa wao kwani lililopo haliwafai. Wakizungumza mwishoni mwa wiki wakati wa mkutano wa wananchi na Kampuni ya Upangaji na Upimaji Makazi (HUSEA), uliofanyika Shule ya Upili ya...
3
WAPINZANI wa Yanga kwenye mechi ya mtoano ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika wanatarajiwa kujulikana leo itakapochezeshwa droo mjini Cairo, Misri.Mbali na droo hiyo, pia itachezeshwa droo ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kutupwa nje ya ...
4
MIAMI, MAREKANI KLABU ya Manchester City imejaa hofu juu ya mshambuliaji wake mpya Riyad Mahrez, kuwa anaweza kuukosa mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utapigwa Jumapili ijayo dhidi ya wapinzani wao Chelsea. Mchezo huo ni dalili ya kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu nchini England, lakini Mahrez anaweza kuukosa kutokana na...
4
ALIYEKUWA Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hakuwahi kujaza fomu ya kudai fedha alizokuwa akiikopesha TFF na kwamba alikuwa akilipwa kulingana na utaratibu waliojiwekea kwenye shirikisho hilo. Alidai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Maira ...
4
  Na Mwandishi Wetu-ZANZIBAR HATUA ya Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Maudline Cyrus Castico, kutangaza mabadiliko ya kima cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi bila kushirikisha wawekezaji wa sekta ya utalii, sasa hatima yake ipo mikononi mwa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein....
3
Na RAMADHANI MASENGA BADO unasikia watu wakitaka kushindanisha muziki wa Singeli na Bongo Fleva? Bado unahisi Singeli una msisimko kwa watu wa kariba zote kama ilivyotaka kutokea miezi michache iliyopita? Muziki wa Singeli umedumaa. Wasanii wake wameshindwa kuwaza kiubunifu na matokeo yake bado wanaufanya kuwa muziki ...
1
Alitoa kauli hiyo juzi usiku wakati akizungumza na mabalozi na wageni mbalimbali waliohudhuria maadhimisho ya miaka 70 ya Uhuru wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam na miaka 50 ya kuanzishwa kwa mahusiano ya kidiplomasia baina ya Tanzania na Vietnam, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.“Huu ni wakati muafaka kwa nchi ...
5
Na Mwandishi Wetu-Zanzibar  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania washirikiane katika kuulinda na kuutetea Muungano wa Tanzania na Mapinduzi ya Zanzibar na kamwe wasiruhusu watu kuingiza sumu ya kutaka kuwagawa. Aliyasema hayo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi katika mikutano iliyofanyika Wi...
3
Waandishi Wetu- mikoani, Dar  na mikoa  VIONGOZI mbalimbali wametoa kauli nzito juu ya kushamiri kwa matukio ya ukatili wa kingono ambayo yamezidi kushamiri siku hadi siku Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema matukio ya ukatili wa kingono yanayoendelea kutokea kwa kasi nchini ambayo wanayofanyiwa wanawake na wat...
3
Zawadi hizo zitatolewa katika promosheni ya Kampuni ya Coca Cola kupitia Kiwanda cha Bonite Bottlers. Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Bonite Bottlers, Chris Loiruk alisema jana kuwa kampuni ya Coca Cola ni mdhamini mkuu wa mashindano yajayo ya Kombe la Dunia, ambayo yanakaribia kuanza.“Tumewaandalia promosheni hii wakazi w...
4
SIMBA tayari imemaliza kazi moja na inatarajia kuanza nyingine mpya kabisa. Ndiyo, wamemaliza vyema safari ya kupambana na kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika! Simba imeingia hatua hiyo baada ya kucheza mechi nne za kimataifa na sasa inatembea kifua mbele ikitamba kila kona, si wachezaji wala viongozi....
4
Hayo yalisemwa na Rais wa Bodi ya Ursus, Karol Zarajczyk wakati akitoa maelezo ya kampuni yake mwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipokutana na wafanyabiashara wenye nia ya kuwekeza Tanzania jana kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland.Zarajczyk alisema wanataka kujenga kiwanda hicho nchini Tanzania kwa kutambua ...
5
['Manchester United wamepata pigo baada ya mshambuliaji wa Red Bull Salzburg na Norway Erling Braut Haaland, 19, kukubali kujiunga na mabingwa wa Itali Juventus. (Tuttosport, via Express)', 'Arsenal, Newcastle United na Paris St-Germain wameshindwa kumsaini mshambuliaji wa Brazil Everton Soares, 23, kutoka Gremio. (N...
4
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye aliwaambia hayo waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumzia ripoti ya sasa ya Benki ya Dunia inayoionesha Tanzania kuporomoka kwa nafasi 11.Sasa Tanzania ni ya 145 duniani na ya mwisho katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki. “Serikali haina budi k...
5
SERIKALI imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Rombo, Joseph ...
3
Ales Mbilinyi – JKCI TAFITI saba za magonjwa ya moyo zilizofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), zinatarajiwa kuwasilishwa  katika mkutano wa wanasayansi, madaktari bingwa na wahudumu wa afya wanaotoka nchi za ukanda wa Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika utakaofanyika wiki ijayo nchini Zambia. Tafiti hizo ...
3
Brighiter Masaki, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wamiliki wa nyumba jijini humo kuwapunguzia kodi ya miezi mitatu wapangaji wao kwa asilimia 50 kutokana na hali ya uchumi ilivyo katika kipindi hiki cha mlipuko wa janga la virusi vya corona. Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumatano Apr...
0
CHRISTINA GAULUHANGA -DAR ES SALAAM JAMII imeshauriwa kuepuka matumizi ya dawa za kulevya kwakuwa zina madhara mengi ikiwamo wanawake watumiaji kuharibu mfumo wa hedhi na kuharibika kwa mimba. Akizungumza na MTANZANIA jana jijini Dar es Salaam katika Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa,  Ofisa kutoka Ofisi ya Mkuu...
0
GRACE SHITUNDU -DAR ES SALAAM MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vinavyohofia kufutwa kutokana na uhakiki wa vyama unaotarajiwa kufanywa na ofisi hiyo kuanzia Machi 17, viondoe hofu kwani lengo ni kuondoa vyama vya mfukoni. Akizungumza na viongozi wa vyama hivyo Dar es Salaam jana,...
3
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM INATIA shaka! Ndivyo unavyoweza kuielezea hatima ya mshambuliaji Msenegali, Papa Niang kusajiliwa na timu ya Simba, kufuatia kuonyesha kiwango kisichoridhisha kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya timu hiyo dhidi ya Mwadui katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Niang aliyewasili nchin...
4
Serikali ya Misri kupitia Wizara ya Nishati imetangaza fursa kwa Watanzania 50 kwenda nchini humo kwa ajili ya mafunzo mbalimbali yahusuyo nishati.Akizungumza leo (Julai, 26, 2019) kabla ya tukio la kuweka jiwe la msingi katika mradi wa umeme Rufiji, Waziri wa Nishati wa Misri, Dk Mohamed Shaker amesema kuwa serikali ...
3
Na KULWA MZEE-DAR ES SALAAM MSAMAHA uliotolewa kwa watuhumiwa wa kesi za uhujumu uchumi na kutakatisha fedha unaonekana kugubikwa na changamoto zinazopunguza kasi ya utekelezaji wake. Wakati siku saba nyingine ukiacha zile za mwanzo zilizotolewa na Rais Dk. John Magufuli zikielekea kufikia ukingoni Jumatano, imebainika...
3
Akizungumza na waandishi wa habari jana Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa alisema kuwa katika kikao chake Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imebatilisha uamuzi uliochukuliwa na Kamati ya Saa 72, kutokana na kuwa upungufu mwingi.Kamati ya Saa 72 iliwapa Simba pointi tatu baada ya timu hiyo kukata rufaa ikidai...
4
Ashura Kazinja-Morogoro KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema ni vyema Serikali ikaona umuhimu wa kutenganisha barabara za kupita magari ya mizigo na ya kawaida ili kuepusha hatari kwa wananchi. Dk. Bashiru aliyasema hayo jana wakati alipotembelea majeruhi waliopata ajali ya moto wa lori la ma...
3
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika hafla ya kumpongeza Samatta iliyoandaliwa na Kampuni ya Propel Global.Alisema tatizo lililopo kwa viongozi wengi huwatumia vijana hao katika mambo yao binafsi na sio kuwasaidia kutimiza ndoto zao.“Mimi ninaamini mkiacha ...
4
Na Aziza Masoud ASILIMIA kubwa ya watoto wanaoharibika kitabia huchangiwa na mazingira pamoja na aina ya malezi anayopatiwa na mzazi au mlezi. Wapo baadhi ya watoto wanaharibika kitabia kwa sababu ya mzazi kutokuwa makini, hasa wale wanaofanya shughuli za kujitafutia kipato mbali na maeneo wanayoishi, hivyo wanakosa m...
0
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Maromboso jijini Arusha,Theresia Sidoyeka ameshindwa kusoma hukumu katika shauri la mirathi iliyokuwa isomwe jana kwa maelezo kuwa hukumu hiyo iliibwa ofi sini kwake.“Jamani hukumu yenu niliyokuwa nimeiandika kwa kuichapa imeibwa ofisini kwangu naomba niian...
3
*Alitaka Waislamu, Wakristo wahasiwe ANAFAHAMIKA kama mungu wa kike wa Kihindu, lakini alijikuta akisakwa na polisi nchini India baada ya kwenda mafichoni kufuatia kitendo chake cha kufyatua risasi harusini. Risasi hizo zilizolenga kusherehekea tukio hilo walilokuwa wamealikwa katika hekalu la maharusi la Savitrii wil...
2
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilianza vizuri mbio zakusaka nafasi ya kucheza kwa mara ya pili mfululizo fainali za Michunao ya Kombe la Mataifa ya Afrika, Afcon 2021 baada ya kuifunga Guinea ya Ikweta kwa mabao 2-1.Mchezo huo wa Kundi J ulipigwa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, huku wageni w...
4
['Manchester United inafikiria kumuongezea dau kiungo wa Ureno Bruno Fernandes, 25, kabla ya Ijumaa ambayo ndiyo siku ya mwisho ya dirisha la usajili. (Guardian)', 'Ingawa Fernandes amejumuishwa katika kikosi cha Sporting kitakachominyana na Maritimo Jumanne jioni, hali inayoonesha kuwa uhamisho huo unaweza kuwa mgumu ...
4
VINARA wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Yanga leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa CCM, Kambarage Shinyanga kusaka pointi tatu katika mchezo dhidi ya Stand United. Yanga na Stand United mara ya mwisho kukutana ilikuwa raundi ya kwanza zilipofungana mabao 4-3 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa.Kipa Klaus K...
4
    Na JUSTIN DAMIAN, SEHEMU nyingi duniani, watu wanapenda kunywa kahawa ingawa kwa hapa Tanzania wanywaji ni wachache. Kahawa husaidia kumfanya mnywaji kujisikia vizuri baada ya muda mwingi wa kufanya kazi. Hata hivyo, wapo baadhi ya watu ambao hufikiri kuwa kahawa ni mbaya kwa afya. Lakini utafiti mp...
0
Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Klabu ya Simba, Patrick Kahemele, amesema ubingwa walioupata juzi katika mashindano ya ligi ya vijana chini ya miaka 20, umewafungulia njia ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Kikosi cha Simba B kilifanikiwa kunyakua ubingwa baada ya ku...
4
['Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Arsenal inamtaka nahodha wa zamani wa klabu hiyo Mikel Arteta kuchukua mikoba ya kocha aliyetimuliwa Unai Emery. Kwa sasa Arteta ni kocha msaidizi wa Pep Guardiola katika klabu ya Manchester City. (Mirror)', 'Arsenal ipo tayari, ikibidi, kupitia rekodi na kufanyia usaili mpaka wakuf...
4
Benjamin Masese, Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema hakuna  viongozi wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wala wasaidizi wa Katibu Mkuu wa chama hicho. John Mnyika waliotekwa mkoani humo isipokuwa walishikiliwa kwa mahojiano. Amesema hatua hiyo ilikuja baada ya wananchi wa Kata ya Mahina kutoa taa...
3
Na Mwandishi Wetu – Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema amebaini kuwa kero nyingi za wananchi hazitatuliwi na viongozi wa ngazi ya chini kwa sababu mikutano ya vijiji, kata na mitaa imekuwa haifanyiki kama inavyotakiwa kisheria. Kauli hiyo aliitoa mjini hapa bungeni juzi wakati akitoa hoja ya kuahiri...
3
Meneja wa wachezaji hao Jamal Kasongo alisema jana kuwa wachezaji hao walijaribiwa katika baadhi ya michezo ya kirafiki iliyochezwa huko na kuonekana kufanya vizuri.Wachezaji hao walikwenda TP Mazembe kwa majaribio ya siku 10 ambapo Kasongo alisema yeye kama Meneja alielezwa kuwa wamefanya vizuri na timu hiyo imepelek...
4
MACHAKOS, KENYA Muigizaji maarufu nchini Kenya, Jamal Nasoor maarufu (Baba Junior) aliyejipatia umaarufu kupitia mchezo wa kuigiza runingani wa Vioja Mahakamani akicheza kama Hakimu, ameuwawa na mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Grace Kanamu. Kifo cha Jamal ambaye ametamba pia katika tamthilia ya Junior iliyokuwa ...
2
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kuandaa Ilani bora ya Uchaguzi 2020-2025, itakayotoa kipaumbele na kuwanusuru wakulima, hasa wadogo na watanzania wote kutoka katika lindi la umasikini.Akizungumza na waandishi wa habari juzi mjini Iringa, Mwenyekiti wa Chadema wa Kanda ya Nyasa inayojumuisha mikoa...
3
Na JANETH MUSHI-ARUSHA UAMUZI wa kuongezewa muda wa kuwasilisha notisi ya nia ya kukata rufaa dhidi ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, unatarajiwa kutolewa Desemba 20, mwaka huu na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Uamuzi huo utatolewa baada ya Lema jana kufanikiwa kuwasilisha maombi yake ya kuo...
3
GYM ya kisasa nchini ya Bodystreet imempatia ofa ya masomo nchini Ujerumani mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Cosafa 2019 kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 20 iliyomalizika wiki iliyopita nchini Afrika Kusini.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu na mwanzilishi wa Bodystree...
4
TAASISI ya Teknolojia ya Dar es Dar es Salaam (DIT) imeendesha mafunzo ya  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa walimu 540 wa shule mbalimbali za serikali nchini.Taarifa iliyotolewa na DIT inaeleza kuwa mafunzo hayo ya siku tano (Oktoba 21- 25, 2019) yalikuwa na lengo la kuwapa uwezo watumishi hao wa utunz...
3
Na FERDINDA MBAMILA-DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini, Inmi Patterson, wamezindua kampeni ya maadhimisho ya miaka 15 ya ubia kati ya Marekani na Tanzania katika kupambana na janga la VVU/Ukimwi, chini ya Mpango wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Ukimwi (PEPFAR). Hafla ...
2
Mwadui imekuwa ya kwanza kuitibulia Simba kwa kupata sare hiyo baada ya wekundu hao wa Msimbazi kushinda mfululizo takriban mechi tano. Mabao yote hayo Simba ndio ilianza kufunga kabla Mwadui haijachomoa.Mwadui walionekana kucheza mpira wa kasi na kujituma muda wote huku ikionekana kuhitaji kupata matokeo ya ushindi k...
4
JUMLA ya watoto 47 wamezaliwa katika Halmashauri ya Jiji la Arusha katika siku ya mkesha wa kuzaliwa kwake Yesu Kristo usiku wa kuamkia jana, Desemba 25, mwaka huu.Akizungumza na gazeti hili, Daktari Mfawidhi wa Hospital ya Rufaa ya Mount Meru mkoani Arusha, Dk Shafii Msechu alisema katika hospitali hiyo jumla ya wato...
3
KUALA LUMPUR, MALAYSIA BINGWA wa mbio za magari Lewis Hamilton ‘Langalanga’, juzi usiku alijikuta akipoteza matumaini ya ubingwa wa Malaysia Grand Prix, baada ya mashine ya gari lake la Kampuni ya Mercedes kuharibika na kushindwa kuendelea na mashindano  hayo. Daniel Ricciardo ndiye aliyekuwa  bingwa wa michuano hiyo, ...
4
Alitoa mwito huo jana wakati akifungua semina ya siku tano juu ya mafunzo ya kuingia makubaliano na mikataba kwenye sekta ya madini kwa wanasheria wa sekta ya umma kutoka nchi wanachama wa Jumuiya hiyo.Katika mkutano huo ulioanza jana jijini Dar es Salaam, Pinda alisema wanasheria wanapaswa kujali wananchi walio masik...
5
MWANDISHI WETU-Dar es Salaam RAIS Dk. John Magufuli ametembelea na kuweka shada la maua katika eneo la mashujaa (Heroes Acre) waliopigania ukombozi wa Namibia, lililopo nje kidogo ya Jiji la Windhoek nchini humo. Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msingwa, ilieleza kuwa katika ...
3
OFISA Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Magori Wambura, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mbalimbali ya uhujumu uchumi.Moja ya mashitaka anayoshitakiwa nayo ni kughushi sahihi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu w...
3
Mashabiki wa timu hiyo walionekana kuchukizwa na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Yanga katika pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara lililopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Akizungumza na gazeti hili, Mayanja alisema yeye binafsi ameumizwa na matokeo hayo, lakini hakuna namna ya kuyabadilisha na kitu muhimu kwao ni kuji...
4
Mke wa Tito Machibya Maarufu kwa jina la Nabii Tito, Agnes Miri (36), leo ameweka kambi  Kituo Kikuu cha Polisi mkoani Dodoma, akishinikiza mume wake atolewe kwani amekuwa akiishi maisha magumu. Nabii huyo ambaye jana alijaribu kujiua kwa kujikata na wembe tumboni na kushonwa nyuzi 25, akiwa chini ya Jeshi la Polisi b...
3
WADAU wa utalii wametabiri kuwa Wilaya ya Kisarawe itakua kimapato na kupata umaarufu kitaifa na kimataifa kutokana na utalii baada ya kufunguka kwa Barabara ya Dar es Salaam-Kisarawe hadi Hifadhi ya Taifa ya Mwalimu Julius Nyerere.Chama cha Watembeza Watalii Kusini mwa Tanzania (STTGS) kupitia kwa katibu wake, Dioniz...
5
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika mkoa wa Dodoma imevitaka vyuo vikuu vyote mkoani humo kuhakikisha huduma zinazotolewa ndani ya vyuo ziwe zimesajiliwa, zinalipiwa kodi na zinatumia Mashine za Kielektroniki (EDF).Akitoa taarifa ya utendaji wa TRA katika Mkoa wa Dodoma kwenye kikao cha wajumbe wa Jukwaa la Wadau ...
5
POLISI mkoani Morogoro imefanikiwa kuwatia mbaroni watu watatu akiwemo Filbert Katabazi (35) dalali wa magari mkazi wa Makongo Dar es Salaam, aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu na Polisi kwa tuhuma za wizi wa mitandao na utapeli.Mtuhumiwa huyo anadaiwa kufunguliwa kesi mbalimbali za tuhuma za wizi wa mitandao na utapel...
3
SERIKALI imeyataka mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na taasisi mbalimbali, zinazojihusisha na utetezi wa haki ya mtoto, kuongeza jitihada za mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji, vinavyozidi kuongezeka mkoani Arusha.Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Hargeney Chitukuro alisema hayo jana ...
3
Na ARODIA PETER-DAR ES SALAAM JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema lina matumaini makubwa kwamba Waziri mpya wa Sheria na Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi atawezesha kukamilishwa kwa mchakato wa Katiba mpya ambao umekwama.  Jukwaa hilo limesema kupitia kwa Profesa Kabudi, Watanzania watapata Katib...
3
KATIKA kipindi cha miaka minne tangu kuanzishwa kwake, mpango wa elimu bure nchini umezaaa matunda baada ya wanafunzi milioni tatu kusajiliwa. Kati ya hao, kwa upande wa shule za msingi waliosajiliwa ni wanafunzi milioni 2.4 na sekondari 600,000.Pia, serikali imeanza kuifanyia mapitio Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka...
3
NORA DAMIAN Na AZIZA MASOUD -DAR ES SALAAM JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilikwenda kufanya upekuzi ofisini kwa mfanyabiashara maarufu, Yusuph Manji, baada ya kufanya zoezi kama hilo juzi nyumbani kwake. Manji pamoja na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, juzi wal...
3
ELIYA MBONEA-ARUSHA MIILI ya watu watatu waliofukiwa na gema katika machimbo ya moram yaliyopo Moshono Kata ya Moivaro jijini Arusha, imeipolewa huku ikiwa imeharibika kwa kutoboka macho na kukatika mikono. Gema hilo lilianguka jana asubuhi na juhudi za uokoaji zilianza saa 2 asubuhi ambapo hadi majira ya mchana kwa v...
3
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameeleza kuridhishwa na mafanikio makubwa yaliopatikana Zanzibar chini ya uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Saba, ambao umetimiza miaka tisa.Ameyasema hayo jana Ikulu mjini Zanzibar alipofanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utan...
3
CHRISTIAN BWAYA TULISHAWAHI kujadali nafasi ya dada wa kazi katika malezi. Tuliona kuwa pamoja na unafuu wa huduma zao, wamekuwa wakikabiliana na uhusiano hafifu na waajiri wao.  Kwa kuwa huduma za malezi kupitia wadada hawa zinaweza zisikwepeke, ni muhimu kujadili namna gani tunaweza kupunguza uwezekano wa kumfanya ...
0
Patricia Kimelemeta SERIKALI imefuta diploma maalumu ya ualimu ambayo ilianzishwa kwa ajili ya kuongeza idadi ya walimu. Itakumbukwa wakati Serikali inaanzisha diploma hiyo, ilikuwa inakabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu wa somo la sayansi. Diploma hiyo ilianzishwa na Serikali ya awamu ya nne, baada ya kujitokeza upu...
3
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM NAHODHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema kuwa wamepania kupata ushindi dhidi ya Malawi ‘The Flames’ kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam keshokutwa ili kuondoa mdudu wa sare tangu Charles Mkwasa apewe kibarua cha kuinoa timu hiyo. Stars itamenyana ...
4
KUNDI la watalii 330 wakiwemo wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Jimbo la Zhejiang, China, wameahidi kuwa watakuwa mabalozi wazuri wa Tanzania na hifadhi zake kwa wenzao.Watalii hao ambao waliwasili nchini Mei 12, mwaka huu kwa ziara ya kitalii, waliondoka jana. Wakihojiwa na gazeti hili, walisema watawashawishi wen...
3
BARAZA la Mawaziri nchini hapa limetangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa shule za msingi na sekondari kwa asilimia 10 katika shule za serikali na binafsi kuanzia Machi mwaka huu.Hatua hiyo imefikiwa na kikao cha mawaziri kilichoongozwa na rais wa nchi hiyo, Paul Kagame. Walimu nchini humo wamefurahishwa na ongezeko...
3