text
stringlengths
1k
17.3k
label
int64
0
5
Na Leah Mushi, Afrika Kusini Mwanaharakati wa Masuala ya Wanawake na Watoto wa Afrika, Mama Graca Machel amesema ni wakati sasa kwa taifa la Afrika Kusini kuwaita mashujaa wa taifa, kuwashukuru na kuwaenzi wakiwa hai kwa kuwa hakuna ajuaye kama wanasikia na kuona vile wanavyosifiwa wakati wa misiba yao. Aidha, amekeme...
2
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Mbinga kwenda Mbamba Bay, yenye urefu wa kilomita 69 itakayogharimu sh. bilioni 129.3.Majaliwa alikagua barabara hiyo jana wakati akielekea wilayani Mbinga kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne mkoani Ruvuma. Waziri Mkuu alisema ameridh...
3
RIO DE JANEIRO, BRAZIL WENYEJI wa michuano ya Olimpiki, Brazil, tayari wameyaaga mashindano hayo kwa upande wa timu ya taifa ya mpira wa miguu. Timu hiyo ya wanawake ilikuwa na ndoto ya kufanya vizuri kwenye viwanja vya nyumbani na kutwaa medali za dhahabu, lakini ndoto hizo zimefutwa baada ya kupokea kichapo cha maba...
4
TP Mazembe iliyocheza nusu fainali mwaka jana, iliepuka kipigo cha mechi ya kwanza cha bao 1-0 ugenini Tshwane na juzi kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 nyumbani kwake mjini Lubumbashi.Lakini mabao ya Rainford Kalaba, Samata na Roger Assale yalihakikisha kuwa bao la Percy Tau halikuwa na maana kwa wageni hao na hivyo ki...
4
Simba ililazimishwa sare ya mabao 2-2 na Mbao FC kwenye mchezo wa mzunguko wa nne wa ligi hiyo uliopigwa Alhamisi iliyopita Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza matokeo yaliyowashusha hadi nafasi ya nne kwenye msimamo.Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Mayanja alisema kuelekea kwenye mchezo huo moja ya mikakati...
4
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeshawalipa wastaafu 10,000 Sh bilioni 880 tangu ulipoanzishwa baada ya serikali kuunganisha mifuko kadhaa ya hifadhi ya jamii.Meneja Kiongozi wa Uhusiano wa mfuko huo, Eunice Chiume alisema hiyo ni hatua kubwa ya mafanikio akiwataka wastaafu hao kuendelea kutoa...
3
UGANDA imeanza kutimiza ndoto ya kutengeneza magari yake yenyewe, badala ya kuagiza kutoka nje ya nchi na sasa yapo katika majaribio.Hatua hiyo ya kupigiwa mfano, inadhihirisha nia ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kutaka kupunguza uagizaji wa magari kutoka nje. Uganda, kupitia kampuni yake umm...
3
Mwandishi wetu-Dar es Salaam Mkazi wa Ifakara, mkoani Morogoro, Gadi Mwajeka (37) ambaye pia shabiki wa timu ya Real Madrid ameshinda kiasi cha Sh 208, 574, 790 baada ya kubashiri kwa usahihi mchezo wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi,  Mwajeka  amesema kuwa hakuamini...
4
ZAIDI ya ekari 200,000 za ardhi kwa ajili ya malisho ya mifugo zimetengwa kwa wafugaji mbalimbali kupitia mpango wa matumizi ya ardhi, unaotekelezwa kwa pamoja kati ya taasisi za serikali na asasi za kijamii katika vijiji vya Alolle na Olengapa vilivyopo Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.Taasisi zinazotarajia kutekeleza...
3
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesema hatua ya serikali ya kurudisha kazi zote za chakula chini ya shirika hilo, limefanywa kwa wakati na tayari wameshaanza kupokea maombi mapya ya leseni na vibali vya chakula, kutoka kwa wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa hizo.Akizungumza kwenye Maonesho ya 43 ya Kimataifa...
5
Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo juzi, Ibenge alisema kuwa wao hawatoibeza Mafunzo kwa kuwa wameifunga kwao mabao matatu bali wanachokitaka ni kuhakikisha mchezo wa marudiano wiki mbili zijazo wakiwa nyumbani wanashinda.Alisema kuwa ushindi wao kwa mafunzo haukuwa rahisi hasa ukiangalia na mazingira ya m...
4
    Na Upendo Mosha – Moshi SIKU chache baada ya familia na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kufanya shughuli ya kuuaga mwili wa kiongozi wa chama hicho, marehemu Philemon Ndesamburo katika viwanja vya Mashujaa mjini hapa, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imezuia. Badala yake, halma...
3
SIMBA inatarajia kutumia jezi za rangi ya kijivu kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Crescentius Magori alisema wamelazimika kutangaza rangi ya jezi hiyo mpya kutimiza matakwa waliyopewa na Shirikisho la Soka Afrika, CAF, kuwataka kuwa na jezi za ain...
4
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Amiri Jeshi Mkuu  Rais Dk. John Magufuli, amepiga marufuku uuza uuzwaji wa sare za majeshi nchini na watu binafsi na kutaka wale wote wanaouza wazikabidhi kwa majeshi husika mara moja. Taarifa iliyotolea kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, ...
3
Baraka juu ya baraka ehe! Ebwana eh! Mambo yanaizdi kumnyookea kijana wa Sultan na hasa baada ya kutoa series yake ya “Nakupenda mpaka kufa” na kinachotrend hivi sasa ni komenti ya  Madame Wema Sepetu akimtaka Idris  kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Siku ya leo Idris Sultan alipost picha akiwa yeye na Wema Sepetu na k...
1
KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imesema itafanya usajili wa kishindo kwa ajili ya msimu wa Ligi Kuu Bara 2018/19.Akizungumza kwenye tuzo za Mo Simba Dar es Salaam, Kaimu rais wa Simba, Salim Abdallah ‘Tray Again’ alisema mwekezaji wao amemwambia yuko tayari kumsajili mchezaji yeyote Afrika.“Simba inakwenda kusajili kw...
4
KLABU ya Real Madrid imeipiku Manchester United kwa thamani katika klabu za soka barani Ulaya, ikiwa na thamani ya karibu kiasi cha pauni bilioni 2.9 (sawa na Sh 8.706 trilioni),imeeleza Kampuni ya ukaguzi wa hesabu ya KPMG.Klabu hiyo ya Hispania licha ya kumaliza ya tatu katika msimu huu wa Ligi Kuu ya La Liga, tafit...
4
MIMBA katika umri mdogo ni miongoni mwa sababu zinazofi fi sha jitihada za kupunguza vifo vya akinamama na watoto hapa nchini.Kwa mujibu wa Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, Rhobi Maro alisema wilaya hiyo ni miongoni mwa wilaya zinazokabiliwa na tatizo la mimba katika umri mdogo na ndoa za utotoni unaowe...
3
Katika mitandao ya kijamii huko kumechafuka baada ya mwanamuziki wa bongo fleva Dullahmakabila kuposti picha katika mitandao ya kijamii akijigeuza kuwa mwanamke. Katika picha hizo Dulla ambaye mwonekano wake halisi ni huo hapo juu amejiremba misiri ya mwanamke na wale wazee wa kuzama DM wanaweza wakajichanganya wasipou...
1
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu (pichani) alisema hayo jana wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu athari za umeme katika sekta ya viwanda. Alisema wizara yake haifurahishwi na tatizo la nishati nchini na imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha tatizo hilo linapatiwa ufumbuzi, hali ambayo...
5
KHARTOUM, SUDAN RAIS wa Sudan Omar al-Bashir amekiri kuwa madai ya waandamanaji wanaoipinga serikali ni halali isipokuwa tu yalifanyika kinyume cha sheria na kusababisha vifo vya watu kadhaa. Akizungumza katika hotuba yake ya kwanza Bungeni tangu kutangazwa kwa hali ya dharura Februari 22 mwaka huu, Bashir amesema mgog...
2
BAADA ya kukabidhiwa rasmi na serikali ndege aina ya Fokker 50, Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) imesema itaiingiza ndege hiyo katika ratiba yake ya safari za ndani ya nchi. Miongoni mwa safari hizo za ndani ni pamoja na ya Mtwara ambayo itaanza Machi 15 mwaka huu pamoja na ya Iringa, inayotarajiwa kuanza hivi karibuni....
3
RAIS John Magufuli amesema serikali itachukua hatua madhubuti ili kuhakikisha kuwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) haifi wala haifanyi kazi chini ya kiwango.Alisema Mamlaka hiyo ni maono ya waasisi wa mataifa ya Tanzania na Zambia, Mwalimu Julius Nyerere na Kenneth Kaunda na walikuwa wameona mbali katik...
3
WASHINGTON, MAREKANI RAIS wa Marekani Donald Trump, ametangaza kuweka zuio kwa raia wa nchi za Ulaya kuingia nchini Marekani ili kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona. Katika hotuba yake kwa njia ya Televisheni siku ya Jumatano, alisema safari zote za kutoka Ulaya zitazuiwa kwa siku 30 zijazo. Lakini amesema ”hatua ka...
2
Matawi hayo yamefanya sasa benki hiyo kuwa na matawi 24 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambayo ni Mara, Mwanza, Geita na Kagera. Kwa upande wa nchi nzima, benki hiyo sasa imefikisha matawi 176 na mashine za kutolea fedha (ATM) zaidi ya 600.Matawi hayo mapya ya Nyamongo na Katoro kwa pamoja yanahudumia Watanzania zaidi y...
5
Mwandishi Wetu – Dar es Salaam TANZANIA imewaahidi wajumbe wa kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UN), kuwa itafanya uchaguzi huru na haki kwa mujibu wa sheria. Pamoja na hali hiyo, imesema kuwa hatua zote ambazo zimechukuliwa na Bunge kwa kufanya mabadiliko katika sheria za vyama vya siasa...
3
NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kusitisha mpango wake wa kurasimisha bandari bubu zilizopo Mkoa wa Dar es Salaam.Nditiye aliyasema hayo wakati wa ziara yake wilayani Bagamoyo ya kukagua bandari bubu zilizopo. Alisema amebaini uwepo wa ...
3
  Na Tobias Nsungwe – Dar es Salaam BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeotoa ripoti ya hali ya uchumi inayoishia mwezi Machi, mwaka huu huku ikionyesha ongezeko kubwa la bei ya vyakula. Ripoti hiyo imeonyesha kupanda kwa mfumuko wa bei za vyakula kutoka asilimia 5.2 mwezi Januari hadi asilimia 5.5 Februari, mwaka ...
3
WATU 19 kati ya 27 waliokuwa wakishikiliwa na Polisi wakihusishwa na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara bilionea nchini, Mohammed Dewji maarufu MO, wameachiwa kwa dhamana huku likiahidi mfanyabiashara huyo atapatikana.Akizungumza na gazeti hili, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa alise...
3
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limeanza operesheni ya kuwaondoa wakazi wanaoishi mabondeni ili kuepukana na adha ya mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Hatua hiyo inatokana na kutokea kwa maafa ya vifo yaliyosababishwa na mvua zilizoanza kunyesh...
3
SERIKALI imewataka wananchi walio- athirika na milipuko ya mabomu ya Mbagala mwaka 2009 na Gongo- lamboto mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, kufika kwenye ofisi za wakuu wa wilaya ya Temeke na Ilala kwa uhakiki wa malipo ya fidia. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa jana na Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar K...
3
    Na OMARI MLEKWA-HAI SERIKALI wilayani Hai  Mkoa wa Kilimanjaro, imeondoa miundombinu ya uzalishaji katika shamba la Kilimanjaro Veggies linalomikiwa na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe  (Chadema). Miundombinu hiyo iliondolewa jana kwa vile shamba hilo liko ndani ya chanzo cha maji ya Mto Weruweru. Pamoja na kuondoa mi...
3
Akizungumza jana kuhusu taarifa ya soko katika mauzo yaliyofanyika wiki iliyopita, Meneja Miradi na Biashara wa DSE, Patrick Mususa, alisema idadi ya mtaji wa soko imeshuka kutoka Sh trilioni 21.0 hadi Sh trilioni 20.2.“Kiasi hicho kinaonesha kuwa bei za hisa za makampuni zimepungua kwa asilimia 3.9,” alisema Mususa w...
5
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Mtwara kukaa chini na kutafakari namna wanavyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo hususani ujenzi wa vituo vya afya mkoani humo.Alitoa agizo hilo mjini hapa jana baada ya kutembelea ujenz...
3
WATU wengi wanahofiwa kufa maji kutokana na kuzama kwa Kivuko cha Mv Nyerere kilichokuwa kikifanya safari yake kutoka Kisiwa cha Bugolora kwenda Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza katika Ziwa Victoria jana.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo mchana na k...
3
NA EVANS MAGEGE – DAR ES SALAAM BENKI ya NBC imetangaza kuvipiga mnada shule na vyuo vya Eckernforde vya mkoani Tanga. Kwa mujibu wa tangazo la benki hiyo lililotolewa katikati ya wiki hii na Kampuni ya udalali ya Bani Investment Limited, Debt Collectors/Auctioneers na kuchapishwa katika magazeti mawili ya kila ...
3
WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo ameagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafungua akaunti maalumu kwa ajili ya asilimia 10 ya fedha za mapato ya ndani, kwa ajili ya mikopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.Aidha, aliahidi kuangalia namna wiz...
3
NA MASYENENE DAMIAN MAKAMU wa Rais, Samia Hassan Suluhu ameahidi kuchangia mifuko 200 ya saruji na mabati 100 kwa ajili ya ujenzi wa bweni katika shule ya sekondari ya Askofu Anthony Mayalla wilayani Kwimba. Aliahidi mchango huo wakati akiweka jiwe la msingi katika   mabweni ya wasichana katika shule hiyo  kuunga mkono...
3
THARAKA NITHI, KENYA MGOMBEA urais kupitia muungano wa upinzani wa NASA, Raila Odinga atahudumu urais kwa muhula mmoja iwapo atashinda, Kiongozi wa Chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka amesisitiza. Kalonzo ambaye ni mgombea mwenza wa Raila, amewahakikishia wafuasi wake kauntini hapa juzi kuwa hakuna mgombea mwingine wa up...
2
NA MWALI IBRAHIM NA JULIET MORI (TUDARCO) MWAMUZI Israel Nkongo anayetambulika na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), anatarajiwa kuamua mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga, utakaochezwa Jumamosi hii, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Nkongo ana historia kubwa na mechi hiyo kwani aliwahi kuchezesha mechi ya ligi ...
4
KATIBU Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka la Kenya (KFF), Hussein Swaleh ni miongoni mwa watu 157 waliokufa katika ajali ya ndege ya Ethiopia iliyoanguka juzi asubuhi ikitoka Addis Ababa kwenda Nairobi.Swaleh alikuwa akirejea kutoka katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Ismail ya Misri na TP Mazembe ya Co...
4
MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia Septemba, mwaka huu, umepungua hadi asilimia 3.4 kutoka asilimia 3.6 kwa mwaka ulioishia Agosti, mwaka huu.Kupungua huko kunatokana na bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia Septemba, mwaka huu kupungua ikilinganishwa na kasi iliyokuwapo kwa mwaka ulioishia Agosti mwaka...
5
Na ASHA  BANI-DAR ES SALAAM NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema kuanzishwa kwa mradi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kutasaidia kukuza uchumi wa nchi. Ulega ambaye pia ni Mbunge wa Mkuranga, amesema mradi huo ambao ulianzishwa na Kampuni ya Raddy Fibre Solution (LTD) unatarajiwa k...
3
MOSCOW, URUSI SERIKALI ya Urusi imetoa kaul dhidi ya matamshi ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki aliyesema kuwa nchi hiyo inaingilia vita nchini Libya na kueleza kuwa, matamshi hayo hayana ukweli wowote. Msemaji wa Ikulu ya Kremlin, Dmitry Peskov, alisema jana kuwa, matamshi ya Rais wa Uturuki kwamba Urusi imekuwa...
2
Na ASHA BANI, WANACHAMA wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, wametakiwa kutomjadili  Mwenyekiti wa Chama hicho anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Profesa Ibrahimu Lipumba. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa Habari,...
3
CHUO Kikuu Huria nchini (OUT) kimeshika nafasi ya 13 kati ya vyuo vikuu huria 102 kwa ubora duniani na kwa Afrika kimeshika nafasi ya pili. Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Elifas Bisanda alisema hayo alipokuwa akizungumza na HabariLeo chuoni hapo juzi.Profesa Bisanda alisema Februari, mwaka huu ilitolewa taarifa ya...
3
RAIS John Magufuli amekutana na ujumbe wa Urusi ulioongozwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Urusi masuala ya Afrika, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mikhail Bogdanov, Ikulu, Dar es Salaam.Taarifa iliyotolewa na Ikulu, Dar es Salaam jana ilisema Rais Magufuli amemshukuru Rais wa Urusi, Vladimir Putin kwa ushirikiano na uhusi...
3
Kamusoko na Ngoma ni msimu wao wa kwanza Yanga wakitokea FC Platinums ya Zimbabwe, ambapo Ngoma hadi sasa amecheza mechi 45 na kufunga mabao 24 na Kamusoko amecheza mechi 46 na kufunga mabao tisa katika Ligi Kuu Tanzania Bara.Ngoma mwenye mabao matatu aliyofunga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika alioneshwa kadi ya p...
4
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, Simba leo wanashuka dimbani kuwakabili Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa ligi hiyo utakaochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Mchezo huo ni muhimu kwa Simba kama itashinda itafikisha pointi 81 katika michezo 31 na kuishusha Yanga iliyokaa kwa muda mrefu k...
4
Walter Mguluchuma -Katavi WAKAZI wa Mtaa wa Kilimahewa, Manispaa ya Mpanda, jana walikumbwa na taharuki baada ya kuvamiwa na nyati na kulazimika kujifungia ndani  ya nyumba zao. Mwenyekiti wa mtaa huo, Cristophar Masumo,   alisema tukio hilo lilionekana kuwapa mshtuko wananchi, huku wanafunzi wakishindwa kwenda shule. ...
3
  CHRISTINA GAULUHANGA NA VERONICA ROMWALD-DAR ES SALAAM   SAMAKI wanaovuliwa katika Bahari ya Hindi sasa kuuzwa katika mabucha maalumu ya asamaki badala ya mitaani kama ilivyo sasa. Akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uvuvi wa Soko hilo, Victoria Mwandike alisema uongozi wa soko hi...
3
 PENNSYLVANIA, MAREKANI MAUAJI ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani, yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake.  Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Pittsburgh, Marekani alikutwa amefarik...
2
Azam ilikuwa na uwezo wa kuongoza ligi kama ingeshinda mchezo wa jana, lakini sare imeifanya ilingane pointi na Yanga na izidiwe idadi ya mabao ya kufunga ambapo Yanga imefunga sita na Azam matano.Mabao ya Yanga jana yalifungwa na Obrey Chirwa dakika ya 39 na Ibrahim Ajibu dakika ya 47 huku kila mmoja akimchangia mwen...
4
MECHI ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2019) kati ya Tanzania na Uganda imesogeza mbele Mkutano Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Pwani Corefa na sasa utafanyika Machi 31.Akizungumza na jana Mwenyekiti wa Corefa, Hassan Hassanoo alisema wameamua kupeleka mbele mkutano huo wa mwaka uliopangwa kufanyika Jumapili...
4
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imesema, Jukwaa la Fursa za Biashara litakalofanyika mjini Tabora ni fursa nzuri ya kukuza uchumi wa wananchi kwenye wilaya hiyo.Mkurugenzi Mtendaj wa Halmashauri hiyo, Martha Luleka amesema ofisini kwake kuwa, jukwaa hilo litakalofanyika Nvemba 21 hadi 23 litawezesha wat...
5
MABALOZI wa Tanzania wanaowakilisha nchi katika mataifa mbali mbali duniani, wamempongeza Rais John Magufuli kwa kuamua na kutekeleza mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere katika maporomoko ya mto Rufiji, huku wakiwakemea wanaopotosha mradi huo.Mabalozi hao zaidi ya 40 wametembelea mradi huo juzi ndani...
3
SERIKALI imetaka wakuu wa shule za sekondari na vyuo vikuu mkoani Kilimanjaro, kuandaa utaratibu maalumu ambapo wahitimu wa taaluma mbalimbali, hawatatunukiwa vyeti vyao bila kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro.Mpango huo umelenga kuhamasisha utalii wa ndani lakini pia kuongeza mapato, jambo ambalo litasaidia uimarishwaj...
3
Wamesema hatua hiyo itaongeza mitaji, pia kutoa hamasa kwa wanachama kupata mikopo mingi zaidi itakayowasaidia katika shughuli za kiuchumi.Meneja wa Saccos hiyo, Abbas Rajab akisoma taarifa ya Saccos kwa Rais Jakaya Kikwete, jana kabla ya kuizindua, alisema Saccos hiyo yenye wanachama 1,779 kati ya hao wanawake wakiwa...
5
KATIBU Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) Godfrey Mngereza ame- sema Tamasha la Utama- duni la Afrika Mashariki (JAMEFEST) limetoa elimu na kuwanufaisha watu wengi kiuchumi na kisiasa. Akizungumza na gazeti hili Mngereza alisema mbali na wajasiriamali waliotumia fursa kuuza bidhaa zao pia, kuna hoteli na watu w...
4
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa onyo kali kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Geoffrey Mwangulumbi na Mweka Hazina wa manispaa hiyo, Pascal Makoye kuwa anawataka wabadilike na waache kugombana na badala yake watekeleze majukumu yao ipasavyo.Pia, amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack azisimamishe...
3
Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA MBUNGE wa Chemba, Juma Nkamia (CCM), amemshambulia Mkuu wa Wilaya hiyo, Simon  Odunga, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,  Jordan Rugimbana kwa madai kuwa anafanya kazi kwa ubabe. Wiki iiyopita,   Odunga alinusurika kupigwa na wananchi wa Kijiji cha Mlongia Kata ya Jangalo Tarafa ya M...
3
Kessy aliyesajiliwa na Simba kwenye dirisha dogo la usajili Desemba mwaka jana akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, alisema makubaliano yake na Simba yalikuwa ni kupewa nyumba lakini tangu aanze kuichezea timu hiyo mambo yamekuwa tofauti na amekuwa akiishi kwa jamaa jambo ambalo linamkera.“Moja ya makubaliano yetu kweny...
4
['Huenda Manchester United ikasubiri ukaguzi wa mchezaji wa kiungo cha mbele raia wa Ufaransa Anthony Martial, mwenye umri wa miaka 23, kabla ya kuruhusu uhamisho wa mkopo wa mchezaji wa kimataifa wa Chile Alexis Sanchez, mwenye umri wa miaka 30, kwenda Inter Milan. (Guardian)', 'Paris St-Germain imeambia Real Madrid i...
4
['Kocha wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger anajiandaa kupata ofa ya kuwa kocha wa Bayern Munich mpaka mwisho wa msimu (Sun)', 'Kiungo wa Bayer Leverkusen Kai Havertz yuko tayari kuondoka kutoka Bundesliga.Mchezaji huyo mwenye miaka 20 anatolewa macho na Manchester United.(Marca, via Metro)', 'Kocha wa Manchester United...
4
KHARTOUM, SUDAN RAIS wa Sudan, Omar al-Bashir amesema sheria kandamizi yenye utata na hali ngumu ya uchumi ndiyo vimechochea hasira miongoni mwa vijana wanaoongoza maandamano ya kumtaka aachie madaraka. Matamshi hayo ya al Bashir anayekabiliwa na maandamano ya kila mara dhidi ya utawala wake, yameonyesha mabadiliko. Aw...
2
Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu ujao, imeonekana kuzibana timu za Simba na Yanga ambazo zitacheza mechi nyingi ugenini kwenye mzunguko wa pili tofauti na mabingwa watetezi, Azam FC. Kwa mujibu wa ratiba hiyo iliyotolewa juzi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF...
4
RAMADHAN HASSAN -DODOMA MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni 2020, umebaki kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia Mei 2020. Hayo yalielezwa jana jijini hapa na Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu na Sensa ya Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ruth Minja alipokuwa akizungumza na waandishi w...
5
NI shabiki gani wa kweli wa Bongo Fleva asiyemjua msanii Darassa? Ni mdau gani asiyeijua ngoma yake ya Muziki? Bila shaka wengi wanamuelewa vema huyu jamaa. Darassa mwishoni mwa mwaka jana alionyesha kuwa msanii anayeweza asifurukete kwa mwaka mzima, lakini mwishoni akamaliza vizuri. Alidhihirisha kuwa muziki p...
1
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu mstaafu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovic Utouh amesema ripoti ya CAG ndio jicho la wananchi hasa linapokuja suala la usimamizi wa rasilimali.Alisema hayo jana mjini Dodoma wakati wa warsha ya Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia (Azaki) Kanda ya Kati inayojadili ripoti ya CAG kwa mwaka 2017/ 201...
3
  Na ASHA BANI-KIBAHA WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza mikakati yake ya kuendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wenye malengo ya kukuza Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) itakayosaidia kuzalisha wataalamu bora zaidi. Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Leonard Akwilapo alitoa kauli hiyo   Kibah...
3
MSEMAJI wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dk Hassan Abbas amesema waandishi wa habari wanahaki ya kuikosoa serikali lakini hawapaswi kuandika habari za kuzusha na kupotosha.Amesema Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifungu cha 32 (2) kinatoa haki hiyo ya kila mwandishi kuikosoa serikali na k...
3
Katika kipindi cha zaidi ya miongo mitano, mdada huyo amecheza zaidi ya filamu 150, zikiwemo zile kali kama Mr India, Chandni, ChaalBaaz na Sadma.Alikuwa akichukuliwa kama mmoja wa wanawake wachache wa Kihindi ambao wamepata mafanikio makubwa katika filamu bila kuwategemea mashujaa wakiume.Tangu akiwa na umri wa miaka...
4
WAKATI michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikiendelea kupamba moto, huku tukishuhudia mtifuano mkubwa wa mbio za marathon kwa mafahali wawili Simba na Yanga, kila mmoja wao akijinasibu kushinda michezo iliyobaki kuhakikisha anatwaa taji hilo msimu huu.Lakini vita nyingine ni kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Aza...
3
Mechi kati ya Tanzanite dhidi ya Young She-Polopolo kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya miaka 20, itachezwa katika uwanja wa Azam Complex - Chamazi kuanzia saa 10:00 jioni.Kikosi cha timu ya Tanzanite chini ya kocha wake mkuu Rogasian Kaijage iliyoweka kambi eneo la Mbande na kufanya maz...
4
KINSHASA, DRC              |               MAKAMU wa rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na mbabe wa kivita, Jean-Pierre Bemba, ameshindwa kupata vigezo ambavyo vingemwezesha kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu. Kwa mujibu wa majina ya awali yaliyotolewa...
2
Rubani Nelson Mabeyo, ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo ambaye alifariki jana, Jumatatu kwenye ajali ya ndege huko Serengeti, alikuwa mwajiriwa mpya wa Shirika la Ndege la Tanzania ATCL. Rubani Mabeyo na rubani mwanafunzi Nelson Orutu walipata ajali kwenye ndege ya kam...
3
Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema mabadiliko yaliyofanyika katika kanuni ya kikokotoo ya mafao ya uzeeni, yamelenga kumuongezea mstaafu mafao zaidi, kinyume na inavyodaiwa.Akizungumza na vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Dk Irene Isaka alisema mabadiliko ya kanuni kuhusu k...
3
KAULI ya Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mwanaasha Tumbo kuwa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Wilaya hiyo haina mtendaji wa sekta ya ardhi anayeweza kuvaa viatu vya ukuu wa idara iwapo anayeshikilia nafasi hiyo, Salehe Kang’e ataondolewa, imemwokoa mkuu huyo wa idara kutumbuliwa.Kauli hiyo ilikuja baada ya Naibu Waziri...
3
ZAIDI ya shule 300 za Serikali zilizopo vijijini zitapata kompyuta na kuunganishiwa mtandao intaneti kupitia programu ya pamoja kati ya Kampuni ya Vodacom na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).Lengo la programu hiyo ni kuwezesha shule hizo kuunganishwa na mfumo wa kidigitali wa shule Tanzania, katika juhudi za kuku...
3
MADRID, HISPANIA NYOTA wa Chelsea, Eden Hazard, anataka kuandika historia katika timu ya Real Madrid ya kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa kwa kiasi kikubwa cha fedha kuliko mchezaji mwingine katika historia ya timu hiyo. Wababe hao wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, wanadaiwa kutenga kiasi cha pauni milioni 130...
4
Na WAANDISHI WETU-DAR ES SALAAM/MWANZA RAIS Dk. John Magufuli ameagiza wafanyabiashara ndogo ndogo, maarufu machinga, wasibughudhiwe na wasiondolewe katika maeneo ya katikati ya miji wanayofanyia biashara kwani hakuna sheria inayowazuia. Rais Magufuli alimwagiza Waziri na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na...
3
Na ASHA BANI-DAR ES SALAM WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) umewataka wananchi wanaofika katika ofisi ya wakala hiyo kupata huduma kuzingatia maelekezo yanayotolewa na viongozi na wataalamu wa afya kuhusu kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa corona. Kwa mujibu wa Meneja Masoko na Mawasiliano Rita, Josephat...
3
Alisema hayo jana bungeni, alipokuwa akijibu hoja ya Mbunge wa Viti Maalumu, Susan Lyimo (Chadema), aliyedai katika swali lake la nyongeza kuwa, fedha hizo zinatolewa kwa kufuata itikadi za chama.Akifafanua jibu hilo, Chiza alisema mifuko ni mingi na mingineiko katika sekta, na suala muhimu ni kwa wajasiriamali kufaha...
5
Akitoa mada kwenye mkutano unaohusu matumizi ya sayansi na teknolojia katika kukuza uchumi wa nchi jana jijini Dar es Salaam, Mhadhari wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Juma Kitima alisema vivutio hivyo vinaweza kuwa hasi au chanya.Alisema maji yanayotumika viwandani yakichujwa yanaweza kuhifadhiwa na yakatumiwa...
5
Na Ester Mbussi – Dodoma SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma wa mwaka 2017, ambao una takribani mapendekezo 17 yanayouma na kupuliza. Mapendekezo hayo, ni pamoja na kuunganisha mifuko ya LAPF, PPF, GEPF na PSPF na kuanzisha mfuko mmoja kwa watumishi wa umm...
3
Na LEONARD MANG’OHA-DAR ES SALAAM MOTO unaodaiwa kusababishwa na kutoboka   bomba la gesi umeteketeza baadhi ya nyumba na vibanda katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani,  Dar es Salaam. Taarifa za   tukio hilo zilianza kuenea katika mitandao ya jamii saa 11:00 na kuzua taharuki kwa wananchi. Iilielezwa kuwa  nyumba zaid...
3
LONDON, ENGLAND KIUNGO mpya wa klabu ya Liverpool, Alex Oxlade-Chamberlain, amedai maamuzi yake ya kuondoka katika klabu ya Arsenal na kujiunga na kikosi cha kocha Jurgen Klopp, yalikuwa magumu kwake, lakini hawezi kuwaomba radhi mashabiki kuondoka kwake. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24, alijiunga na kikosi cha Ars...
4
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema ipo tayari kupitisha fedha kwa ajili ya kuendeleza Mradi wa Kuwezesha Umilikishaji Ardhi (LTSP) katika mikoa yote nchini, baada ya kuridhishwa na majaribio ya mradi huo kwenye wilaya tatu za Kilombero, Malinyi na Ulanga mkoani Morogoro.Mwenyekiti wa Kamat...
3
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kuhitimisha Ligi ya soka la Watu wenye ulemavu itakayofanyika leo katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Dar es Salaam.Pamoja na Dk Mwakyembe pia atakuwepo Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Ajira na Wenye ...
4
SAKATA la tishio la mgomo wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani umetinga bungeni ambapo serikali imeombwa kukaa na wafanyabiashara wa vyombo vya usafi ri ili kutafuta suluhu ya tozo na adhabu mbalimbali zinazolalamikiwa. Suala hilo lilitinga bungeni jana baada ya Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga (CCM)...
3
WIZARA ya Maji imewasilisha makisio ya bajeti ya wizara hiyo, ambayo ni zaidi ya Sh bilioni 634.196. Fedha zilizotengwa kwa ajili ya maendeleo ni Sh bilioni 610.469, zitakazotumika kukamilisha miradi mbalimbali ya maji nchini.Aidha, upatikanaji wa maji katika maeneo ya vijijini, umeongezeka mwaka mmoja uliopita kutoka...
3
Tunu Nassor na Christina Gauluhuanga, Dar es salaam MWILI wa Mwandishi wa Habari Eliya Mbonea, umeagwa jana Hospitali ya Taifa Muhimbili na unatarajiwa kuzikwa leo jijini Arusha huku mtu wa mwisho kuwa naye wodini akieleza kauli yake ya mwisho kabla ya kukata roho. Mbonea hadi anafikwa na umauti alikuwa akiandikia ma...
0
UKIMWULIZA msanii wa kike anakutana na changamoto gani kwenye kazi yake ya sanaa, pamoja na nyingine wengi watakutajia kusumbuliwa kimapenzi. Naomba niweke wazi mapema, kuna tofauti kati ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na kutakiwa kutoa rushwa ya ngono. Hapa nazungumzia usumbufu wa rushwa ya ngono. Hiyo imekuwa k...
1
NA MOHAMED KASSARA-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Alliance FC, Athumani Bilal ‘Bilo’ amesema licha ya kuridhishwa na kiwango kilichooneshwa na vijana wake katika michezo ya kirafiki waliocheza, atatumia muda mchache uliobaki kuongezea makali safu ya ushambulaji kabla ya kuivaa Mbao FC. Alliance inatarajia kucheza mchezo w...
4
KULWA MZEE -DAR ES SALAAM VIGOGO sita wa Kampuni ya Viettel Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Halotel, Son Nguyen (46), wanaokabiliwa na mashtaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78, wanaendelea kusota rumande wakisubiri majibu kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nc...
5
Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza jamaa zao katika ajali ya barabarani iliyotokea jana (Februari 21, 2019 Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe na kuua abiria 19. Taarifa kutoka Ikulu iliyosambazwa kwa vyombo vya habari leo Ijumaa (Februari 22, 2019) imeeleza kuwa ajali hiyo ilitokea ja...
3
["Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2019 si mwingine bali ni Lionel Messi, ambaye amejichukulia kinyang'anyiro cha kuwa mchezaji bora zaidi kwa mara ya sita.", 'Mchezaji huyo wa Argentina mwenye miaka 32 amenyakua tuzo hiyo baada ya kuikosa toka mwaka 2015 na hii ni kutokana na kuweza kufunga mara 54 katika kl...
4
Na CHRISTOPHER MSEKENA STAA wa filamu za Kibongo Irene Uwoya, ameendelea kugonga vichwa vya habari za burudani baada ya mume wake, Hamad Ndikumana aliyefunga naye ndoa ya Kikristo kufariki dunia mapema wiki hii akiwa nyumbani kwake, Kigali nchini Rwanda. Kwa wiki tatu mfululizo Uwoya amekuwa hakuauki kwenye vyombo vya...
1
MAHAKAMA ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara, imewahukumu raia watatu wa China kulipa faini ya Sh milioni 105 kila mmoja au kwenda jela miaka sita baada ya kukiri makosa mawili ya kusafi risha madini kwa nia ya kuyapeleka nje ya nchi bila ya kibali. Watuhumiwa hao walilipa faini na kuikwepa jela. Chini ya Hakimu Mkazi Vero...
3
Ramadhani Hassan -Dodoma SERIKALI imewataka wamiliki wa shule wote kutumia busara kutowarudisha wanafunzi nyumbani pindi shule zitakapofunguliwa kwa wazazi wao kutokuwa na ada. Ushauri huo ulitolewa jana jijini Dodoma na Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati akizungumza na waandishi ...
3