text
stringlengths
1k
17.3k
label
int64
0
5
Na Mwandishi Wetu-ZANZIBAR MAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi na walezi wa Tanzania Zanzibar waache tabia ya kuwaoza wasichana wa kike wakiwa na umri wadogo bali wawasomeshe kwa ajili ya manufaa yao ya jamii kwa ujumla. Kauli hiyo aliitoa juzi kwa nyakati tofauti wakati akizindua madrasa ya kisasa iliy...
3
Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam ALIYEKUWA Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Kipenka Mussa amestaafu kazi ya utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.   Akizungumza na gazeti juzi, Jaji  Mussa alisema kwa mujibu wa Ibara  ya  120(1) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatamka Jaji wa Mahakama ya Rufani kustaafu ...
3
Djuma aliliambia gazeti hili juzi kuwa hajawahi kuona aina hiyo ya upinzani ambayo ameeleza kuwa ni moja kati ya njia ya kulidhoofisha soka la nchi, kwani inaifanya timu kuhisi kama ipo ugenini.Simba na Yanga zilitupwa nje ya michuano iliyokuwa ikishiriki, lakini Yanga iliyokuwa ikishiriki Ligi ya Mabingwa Afrika imea...
4
.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa, malipo yote ya korosho kwa msimu uliopita yamekamilika, na sasa serikali inamalizia malipo ya Tani Elfu 25 pekee zilizobaki huku kazi ya kuzisomba korosho hizo kutoka katika maghala mkoani Lindi na Mtwara ikiendelea.Hata hivyo Waziri Mkuu amesema kuwa, Bodi ya Mazao Mchangan...
5
Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mtani wake Simba katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi Kuu bara iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa juzi.Mabao ya Yanga katika mechi hiyo yaliyovuta hisia za mashabiki wengi yalifungwa na Donald Ngoma na Amisi Tambwe katika kila kipindi.Ushindi huo umeirejesha Yanga kile...
4
['Mshambuliaji wa LA Galaxy Zlatan Ibrahimovic amesema yupo tayari kurejea klabu yake ya zamani ya Manchester United mwezi Novemba.', 'Mshambuliaji huyo mkongwe mwenye miaka 37 amepachika magoli 46 katika michezo 49 toka alipohamia kwenye ligi ya Marekani (MLS) mwezi Machi 2018. ', '"Ninaweza kucheza kwa urahisi kabis...
4
LONDON, ENGLAND MSHAMBULIAJI wa klabu ya Chelsea, Tammy Abraham, ameweka wazi kuwa, hadi sasa hajafanya maamuzi juu ya kulitumikia taifa gani kwenye michuano mikubwa kati ya England na Nigeria ambapo kila taifa linamuhitaji. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, amekuwa na mchango mkubwa ndani ya klabu ya Chelsea msim...
4
BENKI ya Standard Chartered Group imekubali kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Dola za Marekani bilioni 1.46 sawa na zaidi ya Sh trilioni 3.3 kwa ajili ya kujenga kipande cha Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR) kuanzia Morogoro hadi Makutupora, mkoani Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ameyasema hayo ...
3
NA KULWA MZEE-DAR ES SALAAM SUALA la mfanyabiashara Yusuf Manji kuwa chini ya ulinzi kwa siku 28 katika Hospitali ya Agha Khan limechukua sura mpya baada ya Jamhuri kukana kwa kiapo kwamba haimshikilii mfanyabiashara huyo. Hayo yalidaiwa jana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam mbele ya Jaji Ama–Isario...
3
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kushirikiana na Jeshi la Polisi kumkamata na kumweka ndani Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Tumaini Godfrey a.k.a. Dudu Baya kwa kukejeli na kumdhihaki hayati, Ruge Mutahaba.Msanii Dudubaya jana alijireko...
4
Na RAPHAEL OKELLO MKUU wa Wilaya ya Bunda, Lydia Bupilipili, ameliagiza jeshi la polisi kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi ambao watoto wao wanajihusisha na ajira   migodini. Alisema lengo ni  kukomesha uvunjaji wa haki za watoto. Akizungumza na wachimbaji wa Kijiji cha Kamkenga jana, B...
3
NA CHRISTINA GAULUHANGA -DAR ES SALAAM WAAJIRI nchini wametakiwa kuhakikisha wanalipa malimbikizo ya michango ya wafanyakazi wao kabla ya Juni 30, mwaka huu ili kuepuka kufikishwa mahakamani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa  Shirika la Taifa ...
3
KWA mara ya mwisho Tanzania ilishiriki fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani (Chan) mwaka 2009, ikiwa ni miaka 10 sasa tangu wakati huo.Fainali hizo za Chan zilikuwa za kwanza kufanyika tangu kuanzishwa na Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) zikiwa na lengo la kuwawezesha wachezaji wa bara hili...
3
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeelezea masikitiko yake kutokana na kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, ikisema ameacha pengo kubwa katika tasnia ya habari.Hayo yalisemwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mihayo Juma N’hunga wakati akizungumza katika maadhimisho ...
3
TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika soko la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutokana na bidhaa zake mbalimbali kufanya vyema huku ikijipanga kutambulisha nyingine mpya.Wakati chai, kahawa, pamba, vigae, saruji na dhahabu ni miongoni mwa bidhaa zinazouzwa katika soko, bidhaa mpya zinazotarajiwa kuta...
3
Na Mwandishi Wetu-DAR ES SALAAM SIKU moja baada ya kuuawa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma,  Amedeus Malenge, watu wanaodaiwa kuhusika na tukio hilo wametiwa mbaroni. Watuhumiwa hao walikamatwa usiku wa kuamkia jana, Kinyezi Kanga   Dar es Salaam, baada ya msako mkali uliohusiha askari wa kikosi ...
3
NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM JOPO la madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) waliomfanyia vipimo vya uchunguzi motto, Shukuru Kisonga (16), leo litatoa ripoti kueleza kile walichokibaini. Mtoto huyo amekuwa akilazimika kula mafuta ya kula lita moja, maziwa lita mbili na robo tatu ya kilo ya su...
3
Akizungumza jijini hapa, Mwenyekiti wa Kamati ya Madini ya Vito Tanzania, Gregory Kibusi, alisema: “Wachimbaji wa madini ya vito na usonara, watarajie kupata masoko ya madini yao nje.“Wanunuzi wa bidhaa zetu wapo na wana imani kubwa na madini yetu. Jambo kubwa tulilolihitaji ilikuwa kujua masoko na namna ya kupata taa...
5
Ni ushindi wa tatu mfululizo kwa timu hiyo katika ligi hiyo, lakini ukiwa ni ushindi wa pili tangu Simba imuondoe Kocha Mkuu wa timu hiyo, Dylan Kerr raia wa Uingereza na nafasi yake kukaimiwa na Mganda, Jackson Mayanja.Jumamosi Simba ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja huohuo, ikiwa ni mche...
4
Kaimu Katibu Mkuu wa Riadha Tanzania (RT), Ombeni Zavalla alisema jana kuwa, timu hiyo yenye wachezaji 27, wakiwemo 16 wa kiume itaweka kambi Shule ya Filbert Bayi, Kibaha mkoani Pwani. Alisema kambi hiyo ambayo awali ilitakiwa kuanza Aprili Mosi, imechelewa kuanza kutokana na ukata unaoiandama RT.Aliongeza kuwa, kwa ...
4
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wazalishaji wa vinywaji, vileo na mvinyo mkoani hapa kufunga mfumo wa stempu kodi za kielektroniki ifi kapo mwishoni wa mwezi huu vinginevyo hatua zitachukuliwa dhidi yao.Akizungumza na gazeti hili wakati wa ziara ya ukaguzi kuangalia utekelezaji wa agizo la serikali juu ya u...
3
RAMADHAN HASSAN -DODOMA MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni 2020, umebaki kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia Mei 2020. Hayo yalielezwa jana jijini hapa na Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu na Sensa ya Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ruth Minja alipokuwa akizungumza na waandishi w...
5
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewakumbusha wananchi kudai risiti sahihi kila wanapofanya manunuzi ya bidhaa, la sivyo haitasita kuwatoza faini na hata kuwashitaki mahakamani.Meneja wa TRA Mkoa wa Mwanza, Ernest Dundee alisisitiza hilo alipozungumza na HabariLeo jijini hapa juzi kuhusu wajibu wa mnunuzi wa bidhaa k...
5
WANAWAKE wanane wa Kitanzania na wengine 16 kutoka nje ya nchi, wameokolewa kufanya biashara ya ukahaba, baada ya kudanganywa kuwa wanapelekwa nje ya nchi kwa lengo la kupatiwa kazi nzuri.Aidha, kati ya wanawake hao wanane wa Kitanzania, wawili wanawasili leo saa saba mchana wakitokea Thailand, ambako walikuwa wakifan...
3
NA WINFRIDA NGONYANI, DAR ES SALAAM KATIKA kile kinachodaiwa kutaka kuisuka upya timu ya Simba, kocha mkuu wa timu hiyo Mcameroon, Joseph Omog, ametaja mambo saba atakayoyazingatia kurudisha timu hiyo katika hadhi yake, MTANZANIA limegundua. Simba imejichimbia mkoani Morogoro ilikoweka kambi ya kujiandaa na michuano ya...
4
Kerr aliyasema hayo baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kulakiwa na wajumbe wa Kamati ya Simba, Collin Frisch na Said Tully.“Nimefurahi kuja Tanzania na nawaahidi viongozi na mashabiki kuwa nitahakikisha naendeleza wachezaji chipukizi ili Simba iweze kutamba sasa na baadaye,” alisema Ke...
4
Winfrida Mtoi KAMA ulifikiri Simba imewekeza nguvu Ligi Kuu Tanzania Bara pekee utakuwa unakosea sana kwani, Wekundu hao wamepania kufanya vizuri pia Kombe la Shirikisho(ASFC), baada ya jana kuilaza Stand United mikwaju ya penalti 3-2 na kutinga robo fainali ya michuano hiyo. Kwakukukumbusha Simba ndiye kinara wa msima...
4
Mwandishi wetu, Tanga MKUU wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itawasaidia wafanyabiashara wanaokwepa kodi kuacha vitendo hivyo vya kuikosesha Serikali mapato. Shigela ameyasema hayo ofisini kwake alipotembelewa na maafisa wa TRAwana...
5
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mahusiano kati ya Serikali na wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, kimila ni muhimu yakaimarishwa. Aliyasema hayo juzi wakati akipokea taarifa ya mkoa wa Iringa alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa kwa ajili ya ziara ya kikazi.Waziri Mkuu alisema ni lazima uhusiano...
3
NA BENJAMIN MASESE – MWANZA ASKARI wa jeshi la magereza, Kibemba Warioba (27) mwenye namba B.9205 WDR amekamatwa na jeshi la polisi mkoa wa Mwanza  kwa kosa la kuanzisha Chama cha Ushirika cha Akiba cha na Mikopo (Saccos) cha info tell CCM na kuwatapeli wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM). Akizungumza na waandis...
3
WASHINGTON, MAREKANI   BUNGE la Marekani linatarajia kupiga kura makubaliano yanayounga mkono bajeti itakayobakisha sehemu kubwa ya programu za misaada kwa Afrika na kutoa dola bilioni moja kukabiliana na tishio la njaa. Makubaliano hayo yalitangazwa jumatatu wiki hii baada ya wabunge kukataa mpango wa ku...
2
NA MARKUS MPANGALA ABEID Karume na Julius Nyerere wanafahamika kama marais waliopendelea kucheza mchezo wa bao. Nelson Mandela alipendelea mchezo wa masumbwi, na alihusudu kukutanisha wanandondi kama Mike Tyson, Evander Holyfield na Lennox Lewis. Kwa maana hiyo, kila kiongozi anakuwa na mchezo mmoja au miwili na pengin...
4
KIU ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliyokuwa nayo wakati wa utawala wake ya kutaka utoaji wa elimu bila malipo kwa wanafunzi, kwa angalau ngazi ya elimu ya msingi, imekatwa na Rais John Magufuli ambaye ameanzisha mpango wa elimu ya msingi hadi sekondari bure.Kiu ya Rais Mkapa ya kutaka utolewaji wa elimu ya msingi bur...
3
MAKUNDI manne ya vyombo vya moto aina ya pikipiki zikiwemo za waendeshaji pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ ndio vinaruhusiwa kushikiliwa katika vituo vya polisi.Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Mambo ya Nje, Kange Lugola wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa viti maalumu, Rehema Migila (CUF). Katika swali ...
3
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, wiki iliyopita ilikata tiketi ya kucheza hatua ya pili ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Qatar 2022 baada ya kuifunga Burundi kwa penalti 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mchezo huo ilibidi kuamriwa kwa mikwaju ya penalti tano tano baada ya t...
4
MWENYEKITI wa Kijiji cha Ewor ndeke katika kata ya Kimokokua Wilaya ya Longido, Moses Lesikar Leng’ese Ole Nasuaku, anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo kwa amri ya mkuu wa wilaya hiyo akituhumiwa kujipatia kiasi cha zaidi ya Sh milioni 135 zilizolipwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kama fidia ya kupisha u...
3
VIETNAM ni moja ya nchi zilizopiga hatua kubwa ya maendeleo barani Asia. Mwaka 1986 Serikali ya Vietnam ilianzisha mageuzi makubwa ya uchumi yaliyowezesha kuitoa nchi hiyo kwenye kundi la nchi masikini yenye wastani wa kipato cha Dola za Marekani 100 kwa kila mtu hadi kufi kia kuwa nchi yenye uchumi wa kati yenye kipa...
3
Na Mwandishi Wetu, Rukwa NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, ameonya watu wakiwamo wanasiasa wanaoeneza taarifa za uongo za kuwapo baa la njaa, ni kosa na wachukuliwe hatua ikiwamo kukamatwa. Masauni amesema bado kuna watu wanajichukulia mamlaka ambayo si yao na kueneza uongo kuwa kuna njaa nchini, h...
3
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ...
5
    Na MAREGESI PAUL-DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameendelea na utaratibu wa kuhariri hotuba za Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni baada ya kufanya hivyo katika hotuba iliyosomwa jana na Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Godbless Lema. Kutokana na hali hiyo, Lema alizuiwa kusoma maeneo ...
3
Mchezo huo ambao ni mwendelezo wa ligi hiyo ulichezwa juzi kwenye uwanja wa Amaan mjini hapa. Polisi katika mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo ilifungwa na Black Sailor mabao 2-1.Licha ya Polisi kuanza kwa kusuasua katika ligi hiyo, lakini katika mzunguko wa pili imeonekana kubadilika tangu kurudi ulingoni kwa aliyekuwa ...
4
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM UPINZANI wa watani wa jadi, Simba na Yanga umehamia mahakamani baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji, kumpandisha kizimbani Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Musleh Al Rawah, akidaiwa kumpiga mwanaye. Mjumbe huyo wa Simba alipandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
4
SAMARA ARENA, URUSI   MSHAMBULIAJI wa Brazil, Neymar Jr, ameivusha timu ya Taifa ya nchi hiyo hatua ya robo fainali baada ya jana kufunga bao moja kwenye ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mexico, mchezo wa hatua ya 16 ya michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi. Mabao ya Brazil yalifungwa na Neymar  dakika ya ...
4
RAIS John Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu zaidi ya 60 na majeruhi takribani 70 walioungua kwa moto baada ya lori lililokuwa na shehena ya mafuta kupata ajali na kisha kulipuka moto Mjini Morogoro.Ajali hiyo imetokea jana saa 2 asubuhi ambako lori hilo lililokuwa linatoka Da...
3
MPELELEZI wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, John Maruru ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa watu wanne waliodaiwa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuwa waliuawa na askari polisi mkoani Kigoma, wapo hai.Alidai kuwa watu hao wanne pamoja na Mganga wa Kituo cha Afya Nguruka, wa...
3
SERIKALI imejipanga kuweka eneo maalumu kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda vya mifuko mbadala ya plastiki. Lengo la hatua hiyo ni kukamata fursa iliyopo nchini, baada ya katazo la mifuko hiyo ya plastiki katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).Kupatikana kwa eneo hilo, kutawezesha nchi kuzalisha bidhaa hizo kw...
5
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda amesema pamoja na umuhimu wa nyuki katika kujikomboa kiuchumi, bado sekta hiyo haijatiliwa mkazo ipasavyo.Pinda aliyasema hayo jijini hapa wakati wa uzinduzi wa warsha iliyowakutanisha wadau wa ufugaji wa nyuki na wataalamu wa sekta hiyo, kutathmini ya utekelezaji sera ya taifa ya uf...
3
NA WINFRIDA NGONYANI, DAR ES SALAAM ZOEZI la uchukuaji fomu za kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga, limeonekana kusuasua baada ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kutojitokeza kuchukua fomu hizo. Mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Yanga ulianza rasmi jana kwa wagombea kutakiwa ...
4
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imeamua kurudia kuchunguza jinsi halisi ya mtoto wa mkazi wa Mbeya, Elizabeth Chengula (22) baada ya vipimo vya awali kuja na majibu ya kutatanisha.Daktari Bingwa wa Upasuaji kwa Watoto wa MNH, Zaituni Bokhary akizungumza na gazeti hili, alisema vipimo walivyopima MNH vimetoa majibu ...
3
WANANCHI wa Jimbo la Kondoa Mjini mkoani hapa, wamemwomba mbunge wao, Edwin Sannda awasaidie wapate umeme wa Mradi wa Nishati Vijijini (REA) unaopita katika maeneo yao ili kuboresha maisha yao.Maombi hayo waliyatoa mwishoni mwa wiki katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika maeneo mbalimbali wakati wa ziara ya mb...
3
Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM BEKI wa Azam FC raia wa Ghana, Yakubu Mohamed, amesema anafahamu mshambuliaji wa Simba, John Bocco, ni hatari hivyo alilazimika kuwa makini naye ili asiwaletee madhara. Azam ililazimishwa suluhu na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Azam Compl...
4
Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM TIMU ya Ruvu Shooting imeifunga Yanga bao 1-0, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Ruvu Shooting walipata bao hilo katika dakika ya 22, kutokana na beki wa Yanga, Abdallah Hajji, kujifunga kwa kichwa wakati akio...
4
 MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamepitisha Sh bilioni 64.1 kama mapendekezo ya bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/20.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Judith Mahende amesema mapendekezo ya mwaka huu yamepungua kwa Sh bilioni 1.7 sawa na asilimia 2.6 ukilin...
3
Ramadhan Hassan -Dodoma BUNGE limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2020, kikiwemo kifungu cha viongozi wakuu wa mihimili ya dola kutoshtakiwa wakiwa madarakani. Akiwasilisha muswada huo bungeni jana, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, alisema katika Sheria ya Masuala ya...
3
SERIKALI imeweka mkakati ifikapo mwakani kila Mtanzania awe amepima virusi vya Ukimwi. Chini ya mkakati huo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ipo kampeni ya upimaji na kila wanapokutana wananchi zaidi ya 100, lazima liwepo eneo la kupimia kutoa fursa ya Watanzania kupima.Alisema hayo jana wakati akijibu swali la mbunge wa...
3
Hadi sasa Tanzania imewekeza katika ukanda huo kwa asilimia 45, huku India ikiwekeza kwa asilimia 21, China asilimia tisa na nchi nyingine mbalimbali kwa asilimia 25. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Uwekezaji, Uhamasishaji na Uwezeshaji wa EPZA, Zawadia Nanyaro jana Dar es Salaam wakati akitoa mafunzo kwa wanahabari k...
5
APRILI 26, 2018. Ni siku ya historia kwa wakazi wa mkoa wa Dodoma na Watanzania kwa jumla. Hii ni baada ya Rais John Magufuli kuitangaza Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji la Dodoma.“Nimejaribu kuangalia majiji yaliyopo nikaona kuna Jiji la Dar es Salaam, Jiji la Tanga, Jiji la Mbeya, Jiji la Mwanza, na kwa mamlaka niliyona...
3
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amekunwa na bao alilofunga mshambuliaji, Donald Ngoma, wakati timu hiyo ilipolazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) juzi. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaa...
4
KWA miezi sita ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/19, Serikali imekusanya Sh trilioni 12.839 ambayo ni sawa na asilimia 80 ya lengo la nusu mwaka.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, George Simbachawene amesema, kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2018, serikali imekusanya kiasi hicho ambacho ni asilimi...
3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira George Simbachawene ameanza kutekeleza majukumu yake kwa kuzungumza na kiongozi wake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kwenye ofisi ndogo ya Makamu wa Rais, Dar es Salaam.Simbachawene aliteuliwa jana kuiongoza Wizara hiyo kuchukua nafasi ya January Makamb...
3
Na BENJAMIN MASESE, MWANZA ENEO la Shule ya Msingi Kanindo, iliyopo Kata ya Kishili, limevamiwa na wakazi ambao wamejenga nyumba huku waking’oa vigingi  vya mipaka vilivyowekwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012. Uvamizi wa eneo hilo umeonekana kuanza  kufuta ndoto za mpango uliopo wa kujengwa shule ya sekond...
3
NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM UONGOZI wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), umemfukuza kazi mtumishi wake, ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, Benadetha Kemilembe kwa kosa la utovu wa nidhamu. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohamed Janabi, alisema hayo jana alipozungumza wakati alipokuwa ‘aki...
0
Na MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Bia ya Tanzania Breweries (TBL), imepunguza watumishi wake takribani 100 ndani ya saa 24. Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka kwa watumishi wa TBL, zinadai kwamba watumishi waliopunguzwa ni wale wa kitengo cha masoko. Mtoa taarifa mmoja kutoka kwenye duru za uongozi w...
3
Muingereza huyo alisema katika nafasi hizo tano, tatu watakuwa ni washambuliaji ambao kazi yao itakuwa ni kusaidiana na washambuliaji waliopo huku wawili wakiwa ni mabeki.Akizungumza na gazeti hili, Kerr alisema pamoja na kufurahishwa na mwenendo wa kikosi chake kubadilika katika kila mchezo, lakini amegundua kina upu...
4
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi ameibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) kwa kipindi cha miaka minne 2019-2022.Dk Kijazi ambaye ni mwakilishi wa kudumu Tanzania katika Shirika hilo anakuwa mwanamke wa kwanza na mju...
3
NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kusitisha mpango wake wa kurasimisha bandari bubu zilizopo Mkoa wa Dar es Salaam.Nditiye aliyasema hayo wakati wa ziara yake wilayani Bagamoyo ya kukagua bandari bubu zilizopo. Alisema amebaini uwepo wa ...
3
.Wizara ya Viwanda na Biashara imeweka utaratibu maalumu utakaowawezesha Wafanyabiashara katika maeneo ya mipakani kutoa taarifa juu ya vikwazo, changamoto au kero za kibiashara hasa zile zisizokuwa za kikodi wanazokutana nazo. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi S...
5
MFANYABIASHARA Maiko Mrina na wenzake wawili, dereva Ally Athumani na Shabani Rashidi ambaye ni mlinzi, wamepandishwa kortini kujibu mashtaka matatu likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh milioni 30.Mrina alisomewa mashitaka hayo akiwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) jijini ...
3
UAMUZI wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina kudhibiti uingizaji holela wa maziwa kutoka nje ya nchi kupitia ‘Operesheni Nzagamba’ umewezesha viwanda vipya 15 vya maziwa kuanzishwa mwaka wa fedha 2018/ 2019 vinavyosindika lita 90, 400 kwa siku.Hatua hiyo imeelezwa kuwa itaongeza soko la maziwa kwa wafugaji sambam...
5
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalumu ya SMZ, Haji Omar Kheir alisema hayo wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi kwa tiketi ya CUF, Saleh Nassor Juma aliyetaka kujua lini Serikali itajenga soko la kisasa ili kuepuka wafanyabiashara wa mnada wa samaki kufanya shughuli zao katika ma...
5
RAMADHAN HASSAN -DODOMA MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni 2020, umebaki kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia Mei 2020. Hayo yalielezwa jana jijini hapa na Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu na Sensa ya Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ruth Minja alipokuwa akizungumza na waandishi w...
5
Na MWANDISHI WETU -ZANZIBAR SERIKALI imesema Shirika la Ndege nchini (ATCL), litaendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuhakikisha inaboresha huduma za usafiri wa anga katika visiwa vya Unguja na Pemba. Akizungumza katika kikao kilichokutanisha Kamati ya Mawasiliano na Ardhi ya Baraza la Waw...
3
Wametoa kilio chao wakati wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti walipotembelewa katika mashamba yao, ambako waliangua kilio kutokana na kutumia fedha nyingi katika uzalishaji, lakini sasa wakibaki njiapanda kutokana na kutojua pa kuuzia tumbaku yao.Mwenyekiti wa Kaliua Farmers Associations, Morris Rubundi al...
5
Na FLORENCE SANAWA-MTWARA ULAJI wa panya umekuwa ukiwashangaza wengi huku wengine wakistaajabu juu ya ulaji wa mbwa, konokono, vyura, kenge na chatu. Viumbe hivi huliwa katika maeneo mengi duniani na hata kwa baadhi ya makabila nchini huvitumia kama kitoweo hali ambayo hufanya wengine kustaajabu pale wanapoona makabil...
0
RAMADHAN HASSAN-DODOMA KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humprey Polepole, amesema idadi kubwa ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGOs) yamepoteza mwelekeo wa kuwahudumia wananchi, hivyo nafasi hiyo inapaswa kuchukuliwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kusemea na kutatua kero za wananchi. Kauli hiyo ...
3
SERIKALI imezungumzia kupanda kwa bei ya vyakula nchini hususani nafaka. Imesema hali hiyo imetokana na serikali kuondoa ukiritimba, kwa kuruhusu ushindani katika uuzaji mazao ya kilimo.Hata hivyo, imetoa matumaini kwamba pamoja na ongezeko la mahitaji hususani ya mahindi ndani na nje ya nchi kuchangia bei kupanda, mi...
3
TAASISI ya Mashauriano ya Kisheria ya Nchi za Asia na Afrika (AALCO), imetakiwa kusimama kidete katika kulinda maslahi ya nchi zinazoendelea, kwa kuweka utaratibu mzuri na sheria za kimataifa dhidi ya mataifa yanayochochea migogoro katika nchi hizo, kwa maslahi yao binafsi.Pia, taasisi hiyo imeombwa kuonesha mchango w...
3
RAIS John Magufuli amesema serikali imefanya kila liwezekano, kuboresha jiji la Dodoma ili liwe la mfano na kutimiza ndoto za Baba wa Taifa, hayati Julius Nyerere za mwaka 1972 kuwa za ukweli.Aliwataka pia wakazi wa Dodoma, kufanya kazi na wasichague kazi ili mradi inawapa riziki. Aliwataka watumie fursa ya kunyesha m...
4
Hatua hiyo ya kutenga ekari 160 katika eneo la Jitegemee, upande wa barabara ya Mandela inayolenga kuongeza ufanisi wa bandari hiyo kubwa hapa nchini na kuifanya kuwa shindani.Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alitangaza hatua hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam katika mkutano wa kuhitimisha ziara ya u...
5
WASHINGTON, MAREKANI HATUA ya kuongezeka kwa uhifadhi na usimamizi wa maeneo ya pekee ya Kusini mwa Tanzania na kukuza viumbe mbadala kwa jamii   vijijini na maendeleo ya miundombinu, kunatajwa kama sababu za kuwa sehemu salama kwa utalii nchini. Pia inaelezwa kwamba hali hiyo itachangia kuweapo   fursa za  uchumi kwa...
3
Mwandishi Wetu -Dodoma MRADI wa kuendeleza zao la mtama nchini wa kampuni ya Bia ya TBL Plc, unaendelea kunufaisha wakulima wa zao hilo mkoani Dodoma, ambapo wanapatiwa mbegu za kisasa, mbinu za kuendesha kilimo cha kisasa kinachofanikisha kuongezeka kwa mavuno pia wanakuwa na uhakika wa kuuza mavuno yao kwa kampuni hi...
5
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ...
5
LIGI Kuu ya soka ya wanawake msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza leo ambapo Simba Queens na Yanga Princess zitakuwa kwenye viwanja tofauti kuanza kampeni zake. Timu 12 zinashiriki ligi hiyo ambayo taji lake linashikiliwa na JKT Queens.Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Simba itakuwa...
4
TIMU ya taifa ya waendesha baiskeli ya Rwanda iko katika maandalizi makali kwa ajili ya mashindano ya Afrika yaliyopangwa kufanyika katika mji wa Bahir Dar, Ethiopia, imeelezwa.Hayo ni mashindano ya 14 ya kila mwaka tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005. Wapanda baiskeli bora Afrika wiki hii watakuwa njiani kuelekea katik...
4
Na JANETH MUSHI, ARUSHA MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, leo inatarajia kusikiliza rufaa ya maombi ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), anayeshikiliwa katika mahabusu ya Gereza Kuu la Kisongo, jijini hapa. Kusikilizwa kwa rufaa hiyo kunatokana na uamuzi wa mahakama hiyo uliotolewa Desemba 20, mwa...
3
Na RAMADHAN HASSAN -DODOMA KATIBU Mkuu wa Chama  Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema kwa sasa viongozi madalali  wanaouza viongozi ndani ya chama hicho hawatakiwi, huku akiwataka watafute kazi nyingine za kufanya. Kutokana na hali hiyo amesema sasa wamejipanga kuhakikisha CCM inaendelea kutaw...
3
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amehimiza mashabiki wa soka nchini kuiunga mkono timu ya taifa kuelekea katika michezo ya kufuzu Kombe la Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) na Kombe la Dunia kwa kuhakikisha wanajaza uwanja.Majaliwa ameyasema hayo Dar es Salaam kwenye tamasha la kilele cha wiki ya Simba, ambapo aliwaele...
4
Simba juzi ilitumia dakika 120, kupata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho msimu ujao, baada ya kuifunga Mbao FC mabao 2-1, katika mchezo wa fainali ya michuano ya FA kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.Akizungumza na gazeti hili Omog, alisema wachezaji wake walicheza kwa juhudi kubwa muda wote wa mchezo n...
4
RAYMOND MINJA IRINGA Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim ametoa onyo kali kwa madereva wa mabasi  kuacha tabia ya kukimbiza magari  kwa spindi kubwa hali  inayohatarisha usalama wa abiria na kwamba wakishindwa kufanya hivyo leseni zao zitafungiwa au kufutwa. Onyo hilo limekuja ikiwa ni si...
3
WADAU mbalimbali wa soka nchini wamesema Tanzania inaweza kufuzu fainali zijazo za Afrika, Afcon iwapo hakutakuwa na ubabaishaji wa maandalizi ya kikosi hicho mapema.Katika ratiba iliyotolewa juzi na Shirikisho la soka Afrika (CAF), Tanzania imepangwa kundi J, lenye timu za Tunisia, Libya na Guinea ya Ikweta. Wakizung...
4
Na HAMISA MAGANGA, UTAFITI uliofanyika hivi majuzi umebaini kuwa kumaliza tatizo la ndoa za utotoni kunaweza kusaidia nchi zinazoendelea kukuza uchumi kwa kuongeza mabilioni ya dola za Marekani. Hii ni kwa kupunguza kasi ya ukuaji wa idadi ya watu waliotegemezi, kuboresha elimu na afya kwa wasichana wadogo na watoto w...
0
MWANDISHI chipukizi wa miswada (script) anayeandika kwa kutumia ulimi, Wakonta Kapunda, amesema baada ya kumaliza mafunzo ya uandishi wa script, Bodi ya Filamu nchini imeahidi kumpa kazi ya kuandika script za filamu mbalimbali. “Watendaji wa Bodi ya Filamu na Chama cha Wasanii wa Filamu (Taff), walikuja kunijulia hali ...
1
WIKI hii, Julai 1, Benki ya Dunia iliingiza Tanzania katika kundi la nchi zenye kipato cha kati. Hizi ni habari njema hata pamoja na kwamba wapo wanaoona kuna mapungufu fulani fulani katika utendaji. Hatua ya kutoka katika umaskini na kupanda kwenda katika hatua nyingine ya juu huusisha suala zima la uchumi au maendele...
5
Zainab Iddy, Dar es Salaam BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ligi zitachezwa bila mashabiki kutokana na tishio la virusi vya Corona, Serikali kupitia Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusuph Singo, amelitaka shirikisho hilo kutokurupuka na badala yake kufuata ma...
4
Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA SHIRIKA la Viwango Nchini (TBS) limeomba msaada kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Kilimo, Maji na Mifugo wa jinsi ya kukabiliana na uingizwaji wa nguo za ndani za mitumba nchini. Ombi hilo lilitolewa jijini hapa na Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dk. Yusuph Ngenya alipokuwa akitoa taarifa ya utekelezaji ...
3
WAKIMBIZI wa Sudan Kusini wanaoishi katika kambi ya Nyumanzi iliyopo katika mpaka wa Uganda na nchi hiyo, wamemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli na Watanzania wote kusaidia kurejesha amani nchini mwao.Ombi hilo walilitoa hivi karibuni kupitia kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Emmaus Mwamakula alipofa...
3
OSCAR ASSENGA-TANGA ALIYEKUWA Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano katika Serikali ya Awamu ya Nne, Omari Nundu ametangaza nia ya kuwania ubunge Jimbo la Tanga Mjini, mwaka 2020 pindi CCM itakapotangaza utaratibu rasmi. Amesema baada ya chama hicho tawala kutangaza utaratibu rasmi atachukua fomu na kuirudisha ili kuomba r...
3
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 44 kwa kufanya makosa mbalimbali ya uhalifu, wakiwemo 10 waliochoma moto nguzo 82 za Mradi wa Umeme Vijijini (REA) na kati yake 55 kuteketeza kabisa.Watuhumiwa wa kuchoma nguzo hizo zenye thamani ya Sh milioni 15.125, walikamatwa Oktoba 2 mwaka huu, katika kijiji...
3
Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM KAMA ulikuwa unafikiri Simba ni timu ya mchezo, basi utakuwa umekosea, kwani hivi sasa Wekundu hao wa Msimbazi hawataki mzaha kabisa, baada ya kubainisha kuwa wanahitaji mafanikio kama ya klabu ya TP Mazembe ya Congo. Hadi mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu unamalizika,...
4
Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Beng’i Issa amesema waratibu hao wana wajibu wa kuhakikisha wanatumia ujuzi walioupata kwa faida ya wananchi katika mikoa yao. Jumla ya waratibu 41 wa madawati ya uwezeshaji kutoka katika mikoa ya Ruvuma, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe na Mbeya walipatiwa mafunzo ya siku tatu jijini Mbey...
5