text
stringlengths
1k
17.3k
label
int64
0
5
BANGKOK, Thailand NYOTA wa muziki nchini Marekani, Jay Z, amempeleka mwanawe nchini Thailand kwa ajili ya kuangalia makumbusho nchini humo. Jay Z aliungana na mke wake, Beyonce na mtoto wao, Blue Ivy kwa ajili ya kumuonesha makumbusho mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuufurahia mwaka 2015. Baada ya kuwasili katika makumb...
1
MWENYEKITI wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla amekiri wachezaji wa timu hiyo hawajalipwa mishahara ya miezi miwili na kwamba walitarajiwa kuwaingizia kwenye akaunti zao jana.Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Jwangani na Twiga jana, Msolla alisema hicho ndio chanzo cha baadhi ya nyota wa...
4
Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini, Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Maofisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madi...
5
    Na Christian Bwaya, MARA nyingi tumesikia watu wakilaumu mtalaa wetu kwamba unafunga fahamu za wanafunzi wetu. Wenye madai haya wanafikiri bila mtalaa kufanyiwa marekebisho makubwa, haiwezekani elimu yetu ikamnufaisha mwanafunzi. Hata hivyo, tulisema wiki iliyopita, kazi ya mtalaa ni kutoa dira ya jumla y...
3
Akizungumza na gazeti hili Kabange alisema katu haamini kama ushirikina unaweza kuinua soka la Tanzania, bali uwezo wa wachezaji pekee ndio ambao unahitaji kuangaliwa.“Mimi siamini ushirikina kama ndio unaobeba soka, kama wapo wanaotumia kujiinua ni sawa na bure, waonyeshe kiwango chao ndipo tutaona uwezo wao,” alisem...
4
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeahidi kutatua changamoto zinazokabili vyama vya ushirika ikiwemo kushughulikia viongozi wabadhirifu, hali inayopelekea vyama vya ushirika kutoaminiwa na wananchi. Akizungumza bungeni leo Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza kuwa serikali imekuwa ikitekeleza mikakati mbalimbali y...
3
WASHINGTON, MAREKANI RAIS Donald Trump amesema mashambulizi ya sumu nchini Syria yamebadili mtazamo wake kuhusu utawala wa Rais Bashir al Assad. Kabla na baada ya kuingia madarakani, Rais Trump aliahidi kuimarisha ushirikiano na Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye ni mshirika wa karibu wa Rais al-Assad. ...
2
Na JUDITH NYANGE-MWANZA JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kukutwa na kete 32 za dawa za kulevya zinazodhaniwa kuwa ni heroine, kilo mbili na nusu za bangi na misokoto 75. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi, alisema watuhu...
3
Na GLORY MLAY-DAR ES SALAAM BINGWA wa mashindano ya soka ya makampuni yaliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered, TBL FC, inatarajiwa kuondoka Septemba mwaka huu kuelekea nchini Uingereza, kutembelea klabu maarufu ya Liverpool pamoja na  kukutana na wachezaji mashuhuri wanaoichezea klabu hiyo. Timu hiyo itakuwa nch...
4
GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM MWAKILISHI wa Jimbo la Shaurimoyo (CCM) Hamza Hassan Juma amewasilisha hoja binafsi  katika Baraza la Wawakilishi itakayowabana wanachama wapya kupewa nafasi ya kuwania  nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo urais. Hoja hiyo ambayo iliwasilishwa jana mbali na urais pia inaweka kikwazo kwa w...
3
MANISPAA ya Kigamboni imetoa mkopo yenye jumla ya Sh Milioni 300 kwa vikundi 88 vya wanawake, vijana pamoja na watu wenye ulemavu kwa ajili ya kujiendeleza katika shughuli mbalimbali za ujasiriamali.Fedha hizo ambazo zimekabidhiwa kwa vikundi hivyo juzi, kiasi cha Sh Milioni 200 zimetokana na marejesho ya mikopo iliyo...
3
Iman Mketema Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amewaita Watanzania kujitokeza kwa wingi kuhudhuria tamasha Tanzania la Jamafest linalotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 21 hadi 28, mwaka huu jijini Dar es Salaam . Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Septemba 18, Dk. Mwa...
3
BUNGE linaangalia uwezekano wa kuja na taratibu mpya za kutowadhamini wabunge kukopa benki hasa kutokana na wabunge wengi wa sasa kuwa na mzigo wa madeni na huwenda fedha hizo zikalipwa na fedha za umma.Aidha, wabunge wanane wa viti maalumu waliofukuzwa uwanachama na Chama cha Wananchi (CUF) na kupoteza sifa za kuwa w...
3
KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema hajaridhishwa na maendeleo ya safu yake ya ulinzi baada ya kufungwa bao kwenye michezo minne mfululizo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Akizungumza juzi kocha huyo alisema licha ya kufanikiwa kutinga kwenye hatua ya 16 bora ya Kombe la FA baada ...
4
Mwandishi Wetu -Dodoma MRADI wa kuendeleza zao la mtama nchini wa kampuni ya Bia ya TBL Plc, unaendelea kunufaisha wakulima wa zao hilo mkoani Dodoma, ambapo wanapatiwa mbegu za kisasa, mbinu za kuendesha kilimo cha kisasa kinachofanikisha kuongezeka kwa mavuno pia wanakuwa na uhakika wa kuuza mavuno yao kwa kampuni hi...
5
MLINDA mlango wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kaseja amefunguka kuwa kutokana na hamasa ya wachezaji iliyopo ndani ya timu hiyo kuna uhakika mkubwa wa kuibuka na ushindi katika mchezo dhidi ya Kenya.Tanzania na Kenya zinakutana leo Dar es Salaam kusaka tiketi ya kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afr...
4
KILO 300 za mbegu za korosho zimekabidhiwa kwa wananchi kata ya Miyombweni wilayani Mbarali mkoani Mbeya kuzalisha miche 55,000 msimu ujao wa kilimo kwa kata hiyo pekee.Akikabidhi mbegu hizo jana, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune aliwataka wakazi wilayani hapa kuchangamkia kilimo cha zao hilo kwa kupanda miche ...
3
0768670620 NA SHEILA KATIKULA-MWANZA UVUVI  haramu umeelezwa kuwa tatizo sugu  ndani ya Ziwa Victoria kutokana na vijana wengi  kutumia zana haramu katika shughuli hiyo, kitendo kinachosababisha samaki  wachanga na mazalia kuharibiwa. Kutokana na hali hiyo, Serikali imekuwa ikifanya operesheni ya kukamata nyavu na mak...
3
Na MWANDISHI WETU TIMU ya soka ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Queens’, jana ilifanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Kombe la Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Chalenji) kwa wanawake baada ya kuwachapa wenyeji Uganda mabao 4-1. Kilimanjaro Queens sasa itacheza mchezo wa fainali dhidi ya Kenya Juman...
4
Bethsheba Wambura Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano na Tanzania bila kujali maneno ya wanasiasa yanayotaka kuuvuruga. Kenyatta ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Julai 5, wakati akihutubia wananchi na viongozi waliojitokeza kumlaki alipotua katika Uwanja wa Ndege Chato mkoani Gei...
3
MFANYABIASHARA maarufu mkoani hapa, Hans Paul amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa kwa kosa la kuajiri raia watatu wa kigeni bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini.Mfanyabiashara huyo anamiliki kampuni tatu jijini hapa ambazo ni Dharam Singh Hans Paul & Sons LTD, Hans Paul Ltd na ...
3
KOCHA wa mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Simba, Masoud Djuma amesema timu anayotaka msimu ujao ni kila mmoja awe na uwezo wa kugombea nafasi kwenye kikosi cha kwanza.Akizungumza na gazeti hili jana, Djuma alisema ligi ijayo huenda ikawa ngumu kwa sababu watakuwa na Simba tofauti kwani wanadhamiria kuwatengenez...
4
MTENDAJI Mkuu wa timu ya soka ya Arusha United (CEOI), Elias Fikiri na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Fred Minziro 'Baba Ubaya' wametupiwa virago na uongozi wa timu hiyo baada ya timu hiyo kuwa na mwenendo mbovu katika Ligi Daraja la Kwanza inayoendelea.Kutimuliwa kwa Kocha na Ceo kumethibitishwa na viongozi wa timu hiyo na...
4
Mwandishi Wetu -Singida BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 katika wilaya kadhaa nchini. Misaada iliyotolewa na benki hiyo inayoongoza kwa kutengeneza faida kati ya benki zote zinazofanya biashara humu nchini ndani ya miezi mitano mwaka huu, inahusisha vifaa vya ujen...
5
MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM BENKI ya I&M Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, lakini inang’ara kwa kutoa bidhaa na huduma za kipekee ambazo zinakidhi mahitaji yote ya mteja katika soko. I&M Tanzania ilitambulisha akaunti mpya ya wanawake ya Tunaweza inayotoa sulu...
5
ROBERTO Oliveira amewapongeza wachezaji wake wa Rayon Sports baada ya kuifunga Kirehe mabao 4-0 na kutwaa taji la Ligi Kuu ya Rwanda ya Azam msimu wa mwaka 2018-19.Rayon Sports ambayo imeivua ubingwa APR, imetwaa taji hilo huku ikiwa na mchezo mmoja mkononi kabla ya kumalizika kwa ligi hiyo inayoshirikisha timu 16. Hi...
4
AGATHA CHARLES NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM VIONGOZI wawili, aliyekuwa Katibu wa Kwanza wa Rais (Ikulu- Habari ) wa Rais wa Awamu ya Kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Paul Sozigwa (84) na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, wamefariki dunia jana, nyakati tofauti wakiwa wanapatiwa ma...
3
STRASBOURG, UFARANSA BUNGE la Ulaya jana lilitarajia kuijadili Kenya, siku chache tu baada ya jopo lake la waangalizi wa uchaguzi kuchapisha ripoti iliyounanga uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo mwaka jana. Bunge linakutana mjini hapa na mjadala kuhusu Kenya ulitarajia kuanza jana saa 11 jioni za Afrika Mashariki. ...
2
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela ameomba Wizara ya Mifugo na Uvuvi kusaidia uzalishaji wa mitamba 1,000 kwa ubia na sekta binafsi (PPP) ili kuwezesha kuwepo mpango mkakati wa kuinua zao la maziwa mkoani humo.Pia aliomba wizara kusaidia upatikanaji wa madume bora ya asili ya Bomani na Sahiwah ya India, Gir na Cer...
3
SERIKALI imesema uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ya kuzuia Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri (DEDs) kusimamia uchaguzi, hayawezi kuathiri uchaguzi wowote wa marudio wala uchaguzi zijazo.Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Ki...
3
RAMADHAN HASSAN -DODOMA MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni 2020, umebaki kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia Mei 2020. Hayo yalielezwa jana jijini hapa na Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu na Sensa ya Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ruth Minja alipokuwa akizungumza na waandishi w...
5
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ...
5
WATOTO 150 nchini wamefanyiwa upasuaji wa moyo ambapo kati yao 95 wamefanyiwa upasuaji kwa njia ya kufungua kifua huku 60 wakifanyiwa bila ya kufunguliwa vifua katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dar es Salaam.Upasuaji huu umefanyika katika kipindi cha kati ya Januari hadi Oktoba, mwaka huu. Kutokana na k...
3
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesisitiza utawala bora katika utoaji wa huduma za kibenki. Ameeleza kuwa mwaka jana serikali ilifungia benki tano zilizofilisika na kusababisha hasara kwa wanahisa pamoja na wananchi waliofungua akaunti katika mabenki hayo, kutokana na ukosefu wa utawala bora na tamaa kwa watumishi.Pia, ...
3
KOCHA msaidizi wa timu ya Yanga Noel Mwandila baada ya kupata pointi tatu dhidi ya Coastal Union mwishoni mwa wiki iliyopita, amsema rasmi sasa wamefungua mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2019/20.Yanga iliibuka na ushindi huo kwenye uwanja wa Uhuru Dar es Salaam baada ya kufanya vibaya ...
4
JESHI la Polisi mkoani Njombe limesema mpaka sasa linawashikilia watu 27 wanaotuhumiwa kujihusisha na mauaji ya watoto mkoani humo.Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Renatha Mzinga, alipozungumza na Habarileo kwa njia ya simu.Kamanda Mzinga amesema, watu hao 27 wanashikiliwa kutokana na kuhusishwa...
3
MANCHESTER, ENGLAND MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo kwa baadhi ya michezo kwa kuzitafuta timu ambazo zitaingia hatua ya 16 bora. Kuna klabu ambazo tayari zimetangulia katika hatua hiyo kama vile Real Madrid, Barcelona, PSG, Juventus, Man City, Bayern Munich na Zenit. Kivumbi ni leo kw...
4
Na RASI INNO NGANYANGWA KAMA kuna wengi wanaofahamu kuhusu ‘Back’ yake katika kuzimikia muziki nina hakika ni wachache sana kutokana na hulka yake ya ‘non nosense’ tangu kitambo akiwa katika nafasi mbalimbali za uwaziri. Lakini hiyo sio ishu ninayotaka tuisanukie hapa leo kwani politiki siyo mahala pake katika safu hi...
1
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema, Mbunge wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto anampa taabu sana na ameomba ushauri amfanye nini.Ndugai amesema jijini Dar es Salaam kuwa, Zitto anampa taabu kwa sababu chama cha ACT Wazalendo kina Mbunge mmoja tu kwenye Bunge la Tanzania hivyo akimfukuza chama hicho kitakosa uwaki...
3
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza awamu ya kwanza ya wanufaika wa mikopo yenye waombaji 25,532, waliopangiwa mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 88.36 kwa mwaka wa masomo 2018/2019.Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo, Abdul- Razaq Badru al...
3
UJIO wa Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck, umezidisha matumaini ya mafanikio kutokana na mbinu na mifumo anayowafundisha wachezaji wake ikiwa ni siku nne tangu alipoanza kuifundisha timu hiyo.Vandenbroeck amezungumza na gazeti hili na kukiri Simba ina wachezaji wenyeji vipaji isipokuwa anachokifanya ni kuwajenga katik...
4
ASASI za kiraia ni taasisi huru zilizoundwa kwa mujibu wa sheria mbali mbali nchini. Zinatekeleza majukumu yake katika kuhakikisha ustawi wa taifa. Serikali inatambua kuwa asasi za kiraia ni muhimili muhimu kwenye kuhimiza maendeleo ya jamii na kubuni miradi mbali mbali kwa ajili ya kuwezesha jamii hasa vijana na wana...
3
WACHIMBAJI, wafanyabiashara na wadau wa sekta ya madini nchini, wamemkabidhi Rais John Magufuli mapendekezo 22, yatakayosaidia kudhibiti utoroshaji wa madini na kuongeza mapato ya serikali.Mapendekezo hayo yaliyokabidhiwa juzi jijini Dar es Salaam kwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya rais katika Mkutan...
3
Diamond ambaye nyota yake imekuwa iking’ara kila kukicha, alitwaa tuzo tatu ambazo ni Tuzo ya Msanii Bora wa Afrika, Tuzo ya Wimbo Bora Unaochezwa kupitia kibao chake cha Nana na nyingine ikiwa Tuzo ya Msanii Bora wa Afrika Mashariki.Alipowasili katika Uwanja huo jana, msanii huyo alikutana na maelfu ya mashabiki uwan...
4
Katika fainali ya wasichana, Dar es Salaam walitawazwa mabingwa baada ya kuwatandika bila huruma Mashariki kwa mabao 7-1 kwenye mchezo uliokuwa na msisimko mkubwa kwa Dar es Salaam kuonesha uwezo mkubwa.Dar es Salaam ilitinga fainali baada ya kuisukumiza nje Kanda ya Ziwa mabao 4-1 huku Mashariki ikitinga katika faina...
4
MICHUANO ya mabenki kwa mpira wa kikapu (Bankers Basketball League – BBL 2018), imezidi kushika kasi, ambako mwishoni mwa wiki kikosi cha NMB kiliichapa CRDB kwa pointi 52-42.NMB chini ya Kocha Mkuu Evarist Mapunda, ilitawala kwa kiasi kikubwa pambano hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam...
4
  NA CHRISTOPHER MSEKENA VIDEO zimekuwa chanzo kipya cha mapato kwa wasanii wa Bongo Fleva na sasa hawategemei kuuza audio pekee kama ilivyokuwa hapo awali. Zamani msanii alitoa video ili kukamilisha utaratibu, lakini sasa imekuwa tofauti kwani msanii anapotoa wimbo analenga kuingiza fedha kwenye audio na video kwa pa...
1
MCHUNGUZI Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Frank Mkilanya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia Hanspoppe, alimueleza kuwa alitumia Dola za Marekani 32,316.64 kulipia malipo ya awali wakati wa ununuzi w...
4
MSIMU wa 2019/2020 unaweza kusema ni furaha kwa wekundu wa Msimbazi, Simba kwa sababu wametimiza baadhi ya mambo yao huku Yanga ikiendelea kutaabika kwa kila kitu.Ukiachilia mbali kuongoza katika msimamo wa ligi, Simba imemaliza ujenzi wa awamu ya kwanza ya uwanja wao wa mazoezi uliopo Bunju unaofahamika kwa jina la M...
4
MAOMBI ya marejeo ya kupinga adhabu ya kunyongwa hadi kufa ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, Christopher Bageni yamegonga mwamba baada ya Mahakama ya Rufaa kuyatupitia mbali.Kutokana na hali hiyo, mahakama hiyo imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa, iliyotolewa na Maha...
3
BAADHI ya wachambuzi na makocha wa soka nchini wametaja timu tano zinazoweza kufika mbali kwenye fainali za Mataifa ya Afrika zinazoendelea nchini Misri, huku wenyeji wakipewa asilimia 100.Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti jana, wachambuzi hao Ally Mayai, Dominick Salamba na Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ kila ...
4
Matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Kenya yameingia shubiri baada ya Mahakama Kuu nchini humo, kubatilisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya mpinzani wake mkuu Raila Odinga na kuamuru uchaguzi huo urudiwe ndani ya siku 60. Uamuzi huo umefikiwa leo Septemba 1, kutokana na maombi ya Odinga ambaye ni mgombea wa Muu...
2
  Na CHRISTOPHER MSEKENA, WIKI hii uongozi wa kituo cha runinga cha MTV Base kinachoandaa Tuzo za MTV Africa Music Awards (MTV MAMA 2016) kilitangaza majina ya mastaa wa muziki Afrika ambao wameingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo hizo mwaka huu. Tuzo hizo kubwa zenye heshima ya aina yake Afrika huwa zinavuka mipaka ya...
1
Mbali na kutozwa faini pia TRA imepanga kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara ambao hawatafika katika ofisi za Mamlaka hiyo kuandikisha biashara zao.Meneja wa TRA Wilaya za Hai na Siha, Sylver Rutagwelera, alisema hayo hivi karibuni na kufafanua kuwa Sheria ya kodi ya mapato ya 2004, imeitaka Serikali kutoa s...
5
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeutaka upande wa utetezi kufuatilia taarifa za ugonjwa wa mshitakiwa wa tatu ambaye ni Ofi sa Usafi rishaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), George Ntalima kwa maofi sa Magereza kutokana na kutofi ka mahakamani mara ya pili.Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili...
3
NA PETER FABIAN, MWANZA KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro, amesema mfungwa mmoja na mahabusu wawili wameuawa baada ya kutoroka gereza kuu la Butimba jijini Mwanza. Alisema mahabusu hao, walifariki dunia wakiwa hospitali baada ya kipigo cha wananchi waliowakamata huku mfungwa akifariki baada ya kupigwa ri...
3
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba leo watakuwa ugenini jijini Arusha dhidi ya African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema, atawapumzisha baadhi ya wachezaji waliocheza dhidi ya Yanga ili wawe fiti kwa mechi ijayo dhidi ya Azam FC.Simba ita...
4
Sasa ni rasmi kuwa aliyekuwa kiungo wa ulinzi wa Simba James Kotei, amesajiliwa na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka mitatu. Msimu uliopita Kaizer Chiefs wamemaliza katika nafasi ya 9, hivyo wameamua kusajili wachezaji wenye uzoefu wa mechi za kimataifa ili kurudi katika ubora wao msimu uja...
4
THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Azam, Aristica Cioaba, ameendelea kukiweka fiti kikosi chake kuhakikisha kinakuwa na moto wa kuotea mbali katika mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United katika mchezo wao wa mwisho wa ligi hiyo kwenye Uwanja wa Azam...
4
MENEJA wa Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Diana Masalla, amesema mwananchi yeyote atakayefi chua wakwepa kodi na TRA ikafuatilia na ikagundulika ni kweli na ikakusanywa, atalipwa asilimia tatu ya kodi iliyokusanywa lakini haitazidi Sh milioni 20.Aliyasema hayo wakati wa Jukwaa la Biashara na U...
3
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewapokea watalii 330 wakiwemo wafanyabiashara na wawekezaji kutoka jimbo la Zhejiang, China ambao waliwasili juzi usiku kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).Watalii hao ni kundi la kwanza miongoni mwa watalii 10,000 ambao wanatarajiwa kutembelea Tanzania mwaka huu, ch...
5
Mwandishi Wetu -Dodoma MRADI wa kuendeleza zao la mtama nchini wa kampuni ya Bia ya TBL Plc, unaendelea kunufaisha wakulima wa zao hilo mkoani Dodoma, ambapo wanapatiwa mbegu za kisasa, mbinu za kuendesha kilimo cha kisasa kinachofanikisha kuongezeka kwa mavuno pia wanakuwa na uhakika wa kuuza mavuno yao kwa kampuni hi...
5
Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeandika barua kwa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kudai pointi tatu za mchezo wa marudiano kati ya Serengeti Boys na Congo Brazzaville. TFF inadai pointi hizo baada ya Congo kumchezesha mchezaji Langa Lesse Bercy anayedaiwa kuzidi umri katika ki...
4
NA OSCAR ASSENGA-TANGA WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage,  amefichua siri ya kufa kwa viwanda nchini mkoani Tanga, kutokana na ushindani usio sawa hasa kwa bidhaa zinazoingizwa kwa njia ya magendo hali iliyosababisha kukosa masoko. Amesema kitendo hicho cha kuingiza bidhaa kwa njia za...
3
WATU wawili wanaodaiwa kuwa majambazi wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na wenzao, baada ya kutaka kuwatoroka askari wakati wa operesheni ya kuwasaka majambazi mkoani Shinyanga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Saimon Haule alithibitisha hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari. Alieleza kuwa mauaji hayo ya...
3
Na VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM FAMILIA ya Buhela na Hilda mwaka 2013 ilijaliwa kupata mtoto wa kiume waliyemuita Apulihe. Apulihe ni jina la asili la watu wa Mkoa wa Njombe likimaanisha ‘Mungu amesikia’ au kwa kiingereza ‘Godlisten’. Kuzaliwa kwa mtoto huyo kuliongeza furaha na upendo ndani ya familia hiyo kama am...
3
Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Emmanuel Amunike amewatema katika kikosi chake hicho kinachojiandaa na fainali za mataifa ya Afrika, wachezaji saba wakiwemo Jonas Mkude na Ibrahim Ajib. Kikosi cha Stars kiliondoka nchini jana kikiwa na wachezaji 32, kwenda Misri a...
3
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM MMILIKI wa klabu ya TP Mazembe, Moise Katumbi, ameipa siri ya ushindi timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, itakayosaidia kuwaua vinara wa soka barani Afrika, Algeria, ili kukata tiketi ya kusonga mbele kwenye michuano ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi. Juma...
4
KOCHA Mkuu wa Simba, Patric Aussems amedai kutoridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar, ambapo Simba walishinda kwa mabao 2-1.Simba ilitwaa taji hilo ikiwa ni mara yake ya nne, wakati wapinzani wao Yanga wakilitwaa mara tano tangu kuanzishwa kwa mashin...
4
Rais Kikwete alisema kuwa kiwango hicho kinaufanya uwekezaji wa China katika Tanzania kushika nafasi ya tano kwa thamani ya fedha, na kuwa uwekezaji huo utaiwezesha Tanzania kupata ajira 77,335 baada ya kukamilika kwa miradi yote kukamilika ambayo ujenzi wake unaendelea.Aidha, Rais Kikwete alisema uzuri wa uwekezaji h...
5
Hakuna mwanamke asiyependa kuwa na umbo la kupendeza na umbo bila tako si umbo. Wengi wanawake hufanya kila nia kuhakikisha kuwa wanapata umbo wanalotaka, wengine wakienda kiasi cha kufanyiwa upasuaji na wengine kutumia matembe almuradi wawe na makali mazito. Si hayo tu wapo baadhi ambao huvalia nguo kadhaa ama kutumi...
4
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule kuu ya Sheria imeanzisha kituo cha msaada wa kisheria kitakachotoa huduma ya kisheria bure kwa wakazi wenye changamoto za kipato.Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Utafiti na Majarida, Ubunifu, Ushauri na Ushirikiano wa UDOM, Profesa Flora Fabian wakati akifungua mafunzo ya ...
3
NA MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM SIKU chache baada ya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kutangaza kujiuzulu kwa shinikizo la jeshi la nchi hiyo, ambalo lilidai kuwa amezungukwa na wahalifu, gumzo limetanda kuhusu hatma ya viongozi wengine katika nchi kadhaa barani Afrika ambao wametawala muda mrefu zaidi. Mugabe alitang...
2
Raymond Minja -Iringa MEYA wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe (Chadema), amekalia kuti kavu linalohatarisha nafasi yake kabla ya muda wake kumalizika miezi mitatu ijayo. Zikiwa zimesalia siku 90, madiwani wa halmashauri hiyo wamemtuhumu kwa makosa kadha katika makundi manne ambayo yanaweza kusababisha apigiwe kura ya ku...
3
KOCHA wa Lipuli FC, Suleiman Matola amesema kucheza kwa kujituma na kutanguliza malengo ni mbinu itakayokisaidia kikosi cha Simba kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao kimataifa dhidi ya Nkana FC ya Zambia na kutinga hatua ya makundi.Mchezo huo wa raundi ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika, unatarajiwa kupigwa kesho kwe...
4
NEW YORK, MAREKANI RAIS Donald Trump, jana ameyaonya mataifa kutothubutu kufanya biashara na Iran, huku akisifu vikwazo vipya dhidi ya taifa hilo kuwa vikali zaidi kuwahi kuwekwa, hatua iliyoibua mchanganyiko wa ghadhabu, hofu na uasi nchini humo. Kupitia ukurasa wake wa twitter, Trump aliandika kuwa vikwazo dhidi ya ...
2
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge (pichani) amewaagiza maofi sa mipango miji na wapima ardhi kutumia ujuzi na utaalamu wao kulisaidia taifa, badala ya kusubiri majengo yasimame ndipo wawavunjie watu.Dk Mahenge alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mafunzo ya siku tatu kwa maofisa mipango miji na wataalamu ...
3
MARGRETH MWANGAMBAKU(TUDARCO) Na TUNU NASSOR DAR ES SALAAM WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi amewaongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Emmanuel Mwambulukutu. Balozi Mwambulukutu alifariki dunia Agosti 13, mwaka huu nyumbani kwake M...
3
Morocco Sheria mpya ya kupambana na unyanyasaji wa kingono na udhalilishaji wa mwanamke nchini Morocco, itaanza kutekelezwa hivi karibuni. Sheria hiyo ambayo inafanya suala hilo lionekane ni uhalifu inajumuisha upigaji marufuku wa ndoa za kulazimishwa. Sheria hiyo imefikiwa kutokana na kuongezeka kwa hali ya wasiwasi ...
2
KIUNGO wa klabu ya Juventus, Paul Pogba, ameanza safari yake kutoka jijini Los Angeles nchini Marekani na kuelekea jijini Manchester kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na mashetani wekundu, Manchester United. Mchezaji huyo amekuwa akisubiriwa kwa muda mrefu kuweza kukamilisha usajili huo ambao unadaiwa ...
4
    Na JANETH MUSHI-ARUSHA MEYA wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro (Chadema), amesema Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amewataka wazazi na walezi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliofariki dunia kwa ajali, wakubali sehemu ya rambirambi zao zikarabati Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru...
3
SAKATA la uuzwaji wa Kampuni ya Simu ya Airtel iliyokuwa ikiendeshwa kwa ubia na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) limezidi kuchukua sura mpya, huku kigogo aliyeuza kampuni hiyo akiwekwa hadharani. Kutokana na hali hiyo TTCL imetoa msimamo ikiwataka waliouza kampuni hiyo kwa ‘dili’ kuirejesha mikononi mwao kwa hiari bada...
3
MBUNGE wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu (pichani) amepongeza dhamira ya dhati na utashi wa Rais John Magufuli wa kuwaletea wananchi maendeleo, kumewafanya wabunge na serikali kuwa ‘jeuri’.Akichangia mjadala wa mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa...
3
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harison Mwakyembe amewaalika wajasiriamali wadogo na wakubwa wanaojishughulisha na kazi za utamaduni na sanaa katika tamasha kubwa la bidhaa zitokanazo na Utamaduni na Sanaa la Afrika Mashariki litakalofanyika nchini Septemba 2019, jijini Dar es Salaam.Dk Mwakyembe ame...
3
SERIKALI imesema upo usalama wa kutosha katika vivuko hasa baada ya kuimarishwa kwa mifumo ya kiusalama na ukaguzi.Aidha, imewasisitiza watendaji wake juu ya umuhimu wa ukusanyaji wa mapato katika vivuko hivyo na kuyataka mashirika na taasisi zote zenye madeni ya zaidi ya Sh bilioni 15 kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (T...
3
MIPANGO madhubuti inayoendana na utendaji bora, utoaji huduma bora kwa wananchi, na ukusanyaji mapato umeifanya serikali ya awamu ya tano kufufua na kuimarisha mashirika ya umma ambayo yalikuwa goigoi na sasa yanatoa gawio kwa serikali.Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan...
5
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limekutana na wateja wake wakubwa na wenye viwanda Kanda ya Kati na kutakiwa kutetekeleza ahadi ya serikali kwa Watanzania ya kusambaza huduma ya umeme iliyo bora nchini kote.Mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma jana, ulihusisha wawekezaji wenye viwanda katika mikoa ya Morogoro, Do...
5
Na MWANDISHI WETU MSANII wa Bongo Fleva, Gigy Money, anayetamba na wimbo wake wa ‘Nampa Papa’, ni miongoni mwa wasanii watakaopanda jukwaani katika tamasha la Tigo Fiesta, litakalofanyika Ijumaa katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Msanii huyo, ambaye alikuwa ‘Video Queen’, kwa mara ya kwanza ametajwa kuwa miongoni mwa ...
1
Na WAANDISHI WETUN -ARUSHA/MANYARA MVUA zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha madhara katika Mikoa ya Arusha na Manyara. Katika Mkoa wa Arusha, mvua hizo jana zilisababisha shughuli za maendeleo katika Barabara Kuu ya Arusha kwenda Karatu, kusimama kwa muda, baada ya kingo za daraja linalounganisha Mji wa Mto wa...
3
UONGOZI wa timu ya soka ya Yanga umesema kuwa malengo yao katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi ni kutwaa taji hilo.Meneja wa timu hiyo, Abeid Mziba aliyasema hayo jana katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi za Shirikisho la Soka la Zanzibar, ZFF, Amaan mjini hapa.Alisema kuwa wamekuja vizuri na kik...
4
SEKRETARIETI ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), imekutana kujadili namna wanavyoweza kuboresha usimamizi wa sheria, kufanya utafi ti na namna ya kutoa elimu itakayosaidia kuzuia biashara haramu ya usafi rishaji wa binadamu.Katika warsha ya siku nne iliyoanza jana jijini Dar es Salaam na kukut...
3
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema magari yanayobeba kemikali za kulipuka yanatakiwa kupata kibali cha Mkemia Mkuu wa Serikali na si kibali kutoka kwa Wakala wa Barabara (Tanroads).Kamwelwe amesema hayo mwishoni mwa wiki mjini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa w...
3
Na LEONARD MANG’OHA -DAR ES SALAAM WATU sita, akiwamo Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi, ambaye ni Imamu wa Msikiti wa Huda Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam, wametiwa mbaroni baada ya kukamatwa na meno 28 ya tembo, yenye uzito wa kilogramu 377. Akizungumza na waandishi wa habari jijini jana, Waziri wa Maliasili na Utalii, ...
3
“Hatujapata taarifa rasmi hivyo siwezi kuzungumzia suala hilo, nasubiri watakapotuletea taarifa, basi tutafuatilia suala zima na kushauriana nao kwanza,” alisema Mwesigwa. Mwesigwa alisema kimsingi pande mbili zinapoingia mkataba, inapofika hatua ya kuvunja upande mmoja hauwezi kuamua wenyewe, lazima upatikane upande ...
4
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam itaanza kutoa elimu kwa jamii kuhusu athari za mifuko ya plastiki kwa kutumia mfumo wa matangazo ya umma katika Manispaa zake zote kuanzia Ijumaa.Mkuu wa Idara ya Udhibiti Taka na Hifadhi ya Mazingira wa Jiji la Dar es Salaa, Shedrack Maximilian alieleza hayo alipozungumza na gazet...
3
Na Said Salim –  dar es salaam SHIRIKA la Afya la Kimataifa (WHO) limeitaja Tanzania kushika nafasi ya 14 katika orodha ya nchi zinazoongoza kwa unywaji pombe barani Afrika kati ya nchi 46 zilizofanyiwa utafiti mwaka 2016. Kwa mujibu wa ripoti ya WHO ya hali ya kiafya kulingana na viashiria vya malengo endelevu ya mil...
3
UPANDE wa utetezi katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na wenzake umepinga mahakama kupokea nyaraka zilizotumika kuingiza nyasi bandia na nyaraka za kuomba msamaha wa kodi zilizopelekwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na klabu hiyo.Wakili wa Utetezi, Nehemiah N...
4
KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema walilazimika kubadili mbinu za uchezaji ili kupata matokeo mazuri katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya African Lyon, ambao walishinda 3-0 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.Akizungumza baada ya mchezo huo, Aussems alisema uwanja haukuwa rafiki ndio maana walikuja na mbinu ...
4
Na Dennis Luambano – Same WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba, amesema anakusudia kulitangaza eneo la Ndolwa lililopo Kata ya Mamba Myamba, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, kuwa ni hatarishi na kuwataka wananchi wanaoishi kuhama na kuacha shughuli za kibinadamu. ...
3
KUTOKANA na umeme wa maji (Hydro power) kuwa wa gharama nafuu zaidi ikilinganishwa na unaotokana na vyanzo vingine, Serikali imepongezwa kwa kulinda vyanzo vya maji. Akizungumza hivi karibuni, Naibu Mkurugenzi wa Tanesco anayeshughulikia uzalishaji, Mhandisi Abdallah Ikwasa, alisema matumizi ya juu ya umeme nchini kwa ...
3