text
stringlengths
1k
17.3k
label
int64
0
5
BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limesema jumla ya wanahabari 81 watachuana katika kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) mwaka huu.Katika kinyang’anyiro hicho, waliojitokeza ni pamoja na waandishi wanawake 34, ikiwa ni ongezeko kubwa tofauti na mwaka jana ambako walikuwa 24, huku walio...
3
RIBEIRA, PORTO MLINDA mlango wa klabu ya Porto, Iker Casillas, amesema amekuwa na furaha kubwa ya kuifunga Chelsea na si kumfunga kocha wake wa zamani Jose Mourinho. Awali wawili hao waliwahi kufanya kazi pamoja katika klabu ya Real Madrid, lakini Casillas anaamini kuwa kiwango chake kilishuka kutokana na tabia ya koch...
4
Ajira ni moja ya changamoto kubwa inayowakumba vijana sehemu ya Afrika Mashariki , barani Afrika na dunia kwa ujiumla wake, ambapo changamoto hii kwa sasa inakabiliwa kwa vijana kujiajiri wenyewe.Mradi wa uwajibikaji Zanzibar unaosimamiwa kwa mashirkiano ya jumuiya tatu imejikita katika kuhakikisha vijana wanajiajiri ...
3
Na THERESIA GASPAR-DAR ES SALAAM   MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga jana walirejesha furaha kwa mashabiki wao baada ya kuifanyia mauaji timu ya Ndanda FC ya Mtwara na kuchomoza na ushindi mnono wa mabao 4-0. Yanga waliokuwa wenyeji wa mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, walipa...
4
Habari kutoka kambi ya mazoezi ya Harambee Stars nchini Misri zinadai kuwa beki wa kati ambae ni tegemezi Josh Onyango hatocheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Algeria leo. Mlinzi huyo wa club ya Gor Mahia anaugulia maumivu ya kifundo cha mguu  aliyopata wakati wa mazoezi. Na bado haijwekwa wazi ni mechi gani mchezaji huy...
4
Derick Milton, Meatu Bodi ya pamba nchini imewatoa hofu wakulima wa zao hilo wilayani Meatu mkoani Simiyu, kuhusu upatikanaji wa mbegu za zao hilo katika kuelekea msimu mpya wa kilimo ambao tayari umeanza. Akiongea na wakulima wa pamba katika vijiji vya Isengwa na Mwandoya wilayani humo, pamoja na kamati ya mazao ya Wi...
3
NYOTA ya uwekezaji katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imeendelea kung’aa na itazidi kung’aa mwaka 2019.Ripoti ya Benki ya Biashara ya Rand (RMB) ya Afrika Kusini, imeonesha kuwa Afrika Mashariki itakuwa kitovu cha uwekezaji barani Afrika mwaka huu. Hii ni kutokana na juhudi za nchi wanachama wa jumuiya ...
3
TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, jana ilipoteza mchezo wa nusu fainali wa Michuano ya Kombe la Chalenji dhidi ya Uganda kwa bao 1-0 na sasa itacheza kuwania nafasi ya tatu dhidi ya Kenya kesho.Michuano hiyo inayoshirikisha timu za nchi za Afrika Mashariki na Kati chini ya Cecafa, inafanyika m...
4
['Mkenya Eliud Kipchoge ameweka jina lake katika vitabu vya historia , akimaliza kilomita 42 za mbio za marathon kwa saa moja dakika 59 na sekunde 40 katika shindano la Ineos siku ya Jumamosi nchini Austria Vienna. ', 'Hatahivyo muda huo bora uliowekwa na bingwa huyo hautatambulika kama rekodi ya dunia.', 'Kulingana...
4
Msanii wa Bongo fleva Ommy Dimpoz amemkataa Mwana FA ambaye jana alitangazwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona na sasa yupo karantini akiendelea kuwa chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya. Dimpoz alionyesha kumkataa Mwana FA kupitia video aliyopost katika ukurasa wake wa instagramu ambapo mtu alimpiga simu kuum...
1
FRANCIS  GODWIN, IRINGA WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya  Waziri Mkuu (Sera  ,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu  wenye  Ulemavu, Jenista Mhagama  ameagiza  ujenzi  wa  vituo  20 vitakavyotoa  huduma  za ugonjwa   Ukimwi kwa   wasafiri wa  masafa marefu vinavyojengwa chini ya Programu  ya Sattf   barabara kuu ya Dar es Salaam ...
3
Na Lilian Justice, KIJIJI cha Kisimaguru  wilayani Mvomero katika Kata ya Hembeti kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa zahanati, imefahamika Hali hiyo husababisha wagonjwa kubebwa kwa machela zaidi ya kilomita 20 milimani kusaka huduma ya afya katika zahanati ya Hembeti. Hayo yalielezwa jana na Diwani wa ...
3
Na VERONICA ROMWALD- DAR ES SALAAM KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, imeshangazwa na kitendo cha serikali kutozipatia fedha za miradi ya maendeleo Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) kama walivyoomba na kuidhinishwa na Bunge. Katika mwaka wa f...
3
Na Mwandishi Wetu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema umepania kukifufua na kukiendeleza Chuo cha Siasa , Uongozi na Ujasiriamali kilichopo Ihemi mkoani Iringa. Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM,  Shaka Hamdu Shaka amesema    lengo ni kuwapika , kuwafundisha na kuwaandaa katika saikolojoa vijana ili kuwapa...
3
Mwandishi Wetu -Singida BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 katika wilaya kadhaa nchini. Misaada iliyotolewa na benki hiyo inayoongoza kwa kutengeneza faida kati ya benki zote zinazofanya biashara humu nchini ndani ya miezi mitano mwaka huu, inahusisha vifaa vya ujen...
5
Na AVELINE KITOMARY TAASISI ya Mifupa Muhimbili (MOI) imewahimiza watu mbalimbali, kampuni na taasisi kujitokeza kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa wa dharura wanaofikishwa katika taasisi hiyo. Akizungumza jana na MTANZANIA Jumapili, Ofisa Habari wa taasisi hiyo, Patrick Mvungi, alisema tangu kuingia kwa ugon...
0
TAMASHA maalumu la kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, linatarajiwa kufanyika Oktoba 13 mwaka huu katika kijiji cha Butiama, Mara na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 1,000 kutoka mikoa mbalimbali. Kwa mujibu wa waandaaji wa tamasha hilo, Kampuni ya Miranda, linatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
4
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda aliyasema hayo jana bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/16.Dk Kigoda alisema ujenzi wa kiwanda hicho eneo la Tamco wilayani Kibaha, umekamilika na kwamba Rais Kikwete anatarajiwa kuwa atakizindua.Alisema teknolojia itakayotumika ku...
5
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kusimamia ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu ya Chuo cha Ualimu Mpuguso mkoani Mbeya ili majengo hayo yaweze kutumiwa na walimu tarajali.Ametoa agizo hilo kutokana na kusuasua kwa ujenzi wa miundombinu yake unaote...
3
NA MWANDISHI WETU WASANII nguli wa muziki nchini, Ben Pol, Ali Kiba, Fid Q na Vanessa Mdee, wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya  burudani ya muziki, maarufu kama Coke Studio Africa litakaloanza mapema wiki ijayo. Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa lita...
1
WATUMISHI wa serikali walioshindwa kukamilisha malipo ya nyumba za serikali walizouziwa mwaka 2002, wapo hatarini kunyang’anywa nyumba hizo. Mwaka 2002 Serikali ya Awamu ya Tatu ilitangaza kuuza nyumba zake kwa watumishi wa umma sehemu mbalimbali nchini, ambako ilitoa muda wa miaka 10 wawe wameshakamilisha malipo hayo...
3
Azam iliyokuwa ikishiriki michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF CC), juzi ilitupwa nje ya michuano hiyo baada ya kufungwa mabao 3-0 na Esperance ya Tunisia katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili iliyochezwa mjini Tunis.Matokeo hayo yanaifanya Azam itolewe kwa jumla ya mabao 4-2 baada ya kushinda mab...
4
VINARA wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Yanga leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa CCM, Kambarage Shinyanga kusaka pointi tatu katika mchezo dhidi ya Stand United. Yanga na Stand United mara ya mwisho kukutana ilikuwa raundi ya kwanza zilipofungana mabao 4-3 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa.Kipa Klaus K...
4
NA KULWA MZEE DAR ES SALAAM MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeombwa kuamuru Mchungaji Joseph Mwingira wa Kanisa la Efatha, mke wa mtu anayedaiwa kuzaa naye, mtoto na mume halali wakapime DNA ili kujua mtoto ni wa nani. Maombi hayo yametokana na kesi dhidi ya Mwingira, anadaiwa kuzini na kuzaa na  Dk. Phillis Nyimbi a...
3
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hatua ya kudhibiti upotevu wa mapato na matumizi ya fedha za serikali, uboreshwaji wa mazingira ya biashara na uwekezaji na kusimamia uwajibikaji kwa watumishi wa umma, vimewezesha kukua uchumi.Amesema Tanzania ni nchi yenye amani na utulivu na serikali imeendelea kuongeza nguvu ka...
5
BAADA ya kutokea tafsiri na uelewa tofauti kuhusu wagombea wanaopaswa kushiriki uchaguzi mkuu wa Novemba 24, mwaka huu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amesema watakaowania nafasi za uongozi ni wale walioteuliwa na pingamizi na rufaa zao zimekubaliwa.Wakati hayo yakij...
3
Anna Potinus – Dar es Saalam Rais Dk John Magufuli amekemea vikali vitendo vya ubakaji vinavyoendelea Mkoani Mbeya, amewataka viongozi na wananchi kushirikiana kwa pamoja kutokomeza tatizo hilo kwa kuwachukulia hatua wanaohusika na vitendo hivyo. Ametoa kauli hiyo Jumamosi Aprili 27, wakati akizungumza na Wananchi wa w...
3
BAADA ya Simba kuvurunda katika michezo miwili mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezaji nguli wa zamani wa timu hiyo, Abdallah Kibadeni amejitokeza na kuitaka timu yake hiyo ijitafakari huku akieleza wazi inachokifanya kwa sasa hakipendezi na kinahuzunisha.Kibadeni aliyewahi pia kuwa kocha wa timu hiyo, amezungu...
4
WAJUMBE wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar imekiri kujifunza mambo makubwa katika ujenzi wa jengo la Tatu la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TB3).Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mohammed Said amesema ujenzi wa jengo hilo ni fundisho tosha kutokana na kwenda kwa kasi ...
3
Pia Lwandamina alisema jana Dar es Salaam wiki moja inamtosha kuandaa kikosi chake kwa msimu mpya wa ligi na Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambayo imepangwa kuanza Agosti 26 mwaka huu.Programu ya Lwandamina ilianza kwa mazoezi ya wachezaji kutanua misuli ya miili kwa wiki moja katika Gym City Mall. Juzi wachezaji waliingia...
4
KOCHA wa timu ya Azam FC, Mholanzi Hans van Pluijm (pichani), amesema kuwa wachezaji wake walitengeneza nafasi nyingi za kufunga, lakini walishindwa kuzitumia.Pluijm aliyasema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati yake na timu ya Jamhuri, ambapo walilazimishwa sare ya kufungana bao 1-1. Alisem...
3
ALIYEKUWA Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Makerere, Dk Dan Okello aliyeishtaki serikali kwa madai ya kushindwa kuongeza ufadhili katika sekta ya kilimo, ametangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi ujao.Okello aliliambia gazeti la Daily Monitor kuwa anajiandaa kushindana na Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi mkuu wa ...
3
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mhandisi Mshamu Munde anajivunia namna alivyojenga umoja wa watumishi unaowezesha kuongezeka kwa kasi ya kuvuta wawekezaji.Amesema ofisini kwake mjini Mkuranga kuwa, ameratibu watumishi, wanafanya kazi kama timu na hawategemei ujuzi au umahiri wa mtu mmoja kufan...
3
JUMLA ya wanawake 50,000 hapa nchini kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), hupata maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi na hivyo kusababisha asilimia 37 ya wanawake wanaogundulika na ugonjwa huo kufariki dunia kila mwaka.Hayo yalisemwa juzi jijini hapa na Ofisa Mpango wa Chanjo kutoka Wizara ya Afya, Maend...
3
PARIS, UFARANSA MATIBABU dhidi ya virusi vya Ukimwi (VVU) yanatarajiwa kutolewa kupitia sindano. Kwa mujibu wa wanasayansi, dawa hiyo itakuwa ikitolewa mara sita kwa mwaka. Wamesema kuwa kubuniwa kwa muundo huo mpya wa dawa ya VVU kutolewa kwa sindano, kunaweza kutoa tiba fanisi zaidi iwapo itapitishwa. Tiba hiyo ya s...
2
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeagizwa kufanya ukaguzi wa kushitukiza kwenye mabasi ya abiria, kubaini yanayoendela kusafi risha barua, vifurushi na vipeto bila kuwa na leseni.Agizo limetolewa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye. Alisema bado kuna baadhi ya mabasi yanayotoa ...
3
Aliongeza kuwa mbali ya kutekeleza dhamira hiyo Mfuko huo pia unakwenda sambamba na utekelezaji wa lengo la nne la Mpango wa Kukuza Uchumi Zanzibar (MKUZA II) la kuimarisha Sekta Binafsi lenye shabaha ya kuongeza upatikanaji wa mikopo kutoka asilimia 43.2 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 86.9 ifikapo mwaka 2015.Mfuko ...
5
Wito huo ulitolewa jana na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu wakati wa droo ya 45 ya Promosheni ya Jaymillions, ambayo imemwezesha mmoja wa wateja wa kampuni hiyo kujishindia kitita cha Sh milioni 100.Hata hivyo, mtu huyo alipopigiwa simu na maofisa wa kampuni hiyo mbele ya waandishi wa habari na Msim...
5
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Walei, Parokia ya Kipawa, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Patrick Kiting’ati amevunjika mkono baada ya ajali ya kugonga treni eneo la Vingunguti, jijini humo.Kiting’ati ambaye upekuzi uliofanywa katika gari aliyokuwa akiendesha, ulionesha pia ni Mhandisi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataif...
3
['Mshambuliaji wa PSG Neymar jnr hataichezea timu hiyo katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Nimes katika ligi ya daraja la kwanza nchini Ufaransa, huku mabingwa hao wa Ufaransa wakidai kwamba mchezaji huyo huenda akaihama klabu hiyo. ', 'Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya PSG Leonardo amesema kuwa mazungumzo ya uhamisho wa...
4
TAASISI ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeunda jopo la madaktari na wauguzi saba, kumhudumia Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwai’chi (pichani) aliyefanyiwa upasuaji wa kuondoa damu kwenye ubongo, huku ikifafanua kwa kina tatizo lake. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini D...
3
  NAIROBI, KENYA Mahakama Kuu ya Kenya imesimamisha uendeshaji wa kesi ya ufisadi dhidi ya Naibu Jaji Mkuu, Philomena Mwilu. Hatua hiyo, inafuatia ombi la Mwilu katika mahakama hiyo kuwa asijibu mashtaka ya ulaghai, utumiaji mbaya wa madaraka na kukwepa kulipa kodi, kesi iliyowasilishwa dhidi yake juzi na Mkurugenzi M...
2
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linaendelea kumshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Bangata, wilayani Arumeru, Michael Silamoi kwa tuhuma za kumshambulia hadi kumsababishia kifo mmoja wa wanakijiji wa kijiji hicho.Mbali na Mwenyekiti huyo, wengine wanaoshikiliwa ni askari mgambo wawili wa kijiji hicho waliofahamika kwa ma...
3
Mwenyekiti wa Chama hicho Joseph Kidando alisema wamefanikiwa kukusanya tani 800 kutoka tani 300 zilizokusudiwa kukusanywa kutoka kwa wanachama wake.Akizungumza na wanachama wa Chama hicho kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa Chama uliofanyika kwenye ukumbi wa Mision Ndanda mjini hapa alisema hali hiyo imesaidia kukuza pat...
5
Na Adam Mbwana NAIANGALIA klabu kama Real Madrid ambayo ina jumla ya wafuasi takribani Milioni 194 kwenye mitandao yake ya kijamii ya Facebook, Twitter na Instagram ambao miongoni mwao ni mimi na wewe, na hapo ndipo napata majibu kwanini klabu hiyo ni klabu tajiri zaidi duniani. Nahama jiji la Madrid moja kwa moja hadi...
4
Alitoa ombi hilo jana mjini Songea kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofanya ziara katika Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kituo cha Songea kukagua kazi ya ununuzi wa mahindi akiwa katika siku ya pili ya ziara yake mkoani Ruvuma.Alisema wananchi wa Songea wana imani kubwa na serikali, hata hivyo bado wan...
5
HUKUMU katika kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya wafanyabiashara watatu ikiwemo raia wa China, Yang Feng Glan (66) Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kutolewa Februari 19, 2019.Glan ambaye ni maarufu kama Malkia wa Tembo na wenzake wanakabiliwa na mashitaka ya jinai ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya t...
3
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager imezindua shindano la uchoraji nchi nzima linalojulikana kama ‘Jiachie na Kili Canvas Competition 2020’ linalotarajiwa kufanyika Januari 22, Golden Tulip, Dar es Salaaam.Akizungumza jana Dar es Salaam, Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli, a...
4
Mwamuzi wa mechi hiyo Erick Onoka wa Arusha na Kamisaa Omar Juma walifikia uamuzi wa kuahirisha mechi hiyo kutokana na mvua kubwa iliyonyesha kutwa nzima ya jana na kuharibu uwanja.Taarifa hizo zilisema kuwa uwanja ulijaa maji na kwamba mechi isingewezekana kuchezwa na kwa vile leo uwanja huo utatumika katika mechi ny...
4
Na WINFRIDA MTOI, DAR ES SALAAM  BAADA ya kupanga kukutana katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), timu ya Simba na Azam, kila mmoja ameonekana kuweka mikakati ya kusonga mbele. Michezo ya robo fainali inatarajia kuchezwa mwishoni mwa mwezi ujao na timu zote zimeanza mazoezi. Timu nyingine z...
4
WAANDISHI WETU TIMU ya Simba na Yanga, zimeshindwa kutamba baada ya kulazimishwa suluhu katika michezo yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa jana katika viwanja tofauti. Simba ilishindwa kuvuna pointi tatu mbele ya  Ndanda, katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Nagwanda Sijaona, Mtwara. Yanga nayo ilishindwa kufurukut...
4
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Jakline Woiso alisema juzi kuwa mapato ya benki hiyo yametokana na kuongezeka kwa mikopo iliyotolewa kwa wateja ambayo imeongezeka kufikia Sh bilioni 670.8 Desemba mwaka jana kutoka Sh bilioni 644.19 iliyofikiwa katika robo ya tatu ya mwaka jana.Alisema sehemu kubwa ya mikopo i...
5
HADIJA OMARY, LINDI Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemuhukumu mkazi wa kata ya Rutamba, Issa Mpanyanje (51) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka 10. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu wa mahakama hiyo, Liliani Rugalabamo, baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa ma...
3
KULWA MZEE -DAR ES SALAAM VIGOGO sita wa Kampuni ya Viettel Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Halotel, Son Nguyen (46), wanaokabiliwa na mashtaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78, wanaendelea kusota rumande wakisubiri majibu kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nc...
5
Mwandishi Wetu SHIRIKA la Afya Duaniani (WHO), limekubaliana na hoja za Rais Dk. John Magufuli kuhusu mapambano dhidi ya corona ikiwamo suala la ugonjwa huo kuishi kama ilivyo kwa maradhi mengine kama Virusi vya Ukimwi. Mei 3, mwaka huu Rais Magufuli, wakati akihutubia taifa, alisema kuwa uzoefu unaonesha ni kawaida k...
0
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumchukua mshitakiwa ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power (IPTL), Harbinder Sethi kwa ajili ya kukamilisha kuchukua maelezo yake.Wakili wa Takukuru, Leonard Swai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma ...
3
SUNING, CHINA ALIYEKUWA nyota wa klabu ya Chelsea, Ramires, ameanza kufanya vizuri katika klabu yake mpya ya Jiangsu Suning ya nchini China kwa kuipa bao juzi dhidi ya Anzhi Makhachkala. Mchezo huo ulikuwa wa kirafiki, huku Ramires ukiwa ni wa kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo katika dirisha dogo la usajili Januari, ...
4
KAMPUNI ya simu ya Bharti Airtel imeongeza hisa, zinazomilikiwa na serikali kwenye kampuni hiyo kutokea asilimia 40 hadi 49.Uamuzi huo umekuja kutokana na agizo lililotolewa na Rais John Magufuli, kuitaka kampuni hiyo kujadiliana na serikali kuhusu umiliki wa serikali kwenye kampuni hiyo. Akizungumza na Rais Magufuli,...
3
Promosheni hiyo ijulikananyo kama “ Jiongeze na Mshiko” ni ya kipekee kwani inampatia mteja kujiunga na kushiriki bure kwa kujibu maswali na kujishinda Sh milioni 1 kila wiki na mwisho wa promosheni kujishindia Sh milioni 2.Na ikiwa mteja atapenda kujishindia zawadi kubwa zaidi ataweza kujiunga na ngazi ya Premium kwa...
5
Na Amina Omari -TANGA VITAMBULISHO vya wajasiriamali vilivyotolewa na Rais John Magufuli vimesababisha Halmashauri ya Jiji la Tanga kukosa mapato huku vyanzo vyake vya mapato 15 kufutika na hivyo kushindwa kutekeleza miradi ya maendeleo. Hayo yamesemwa jana na Meya wa Jiji la Tanga, Seleboss Mustafa wakati wa kikao cha...
3
Na Ramadhan Hassan, Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuwa biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi haitafanyika kwenye uongozi wake. Akizungumza bungeni leo Mei 24, wakati akihitimisha hotuba ya bajeti yake katika mwaka wa fedha 2019/20 na kujibu hoja mbalimbali zilizot...
3
Na PATRICIA KIMELEMETA – DAR ES SALAAM BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte), limefuta vyuo 26 vilivyokuwa vinatoa masomo ya ufundi, huku vingine 20 vikisimamishiwa programu zisizosajiliwa na baraza hilo. Pia baraza hilo limesimamisha vyuo viwili baada ya kubainika havijasajiliwa. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vy...
3
MATOKEO ya Uchaguzi wa Serikali ya Mitaa yaliyotangazwa juzi na Waziri wa Nchi, Ofi si ya Rais (TAMISEMI) Selemani Jafo, yameibua maoni tofauti kutoka vyama vya siasa.Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Wananchi (CUF), ambacho kimewapongeza wanachama wake walioibuka na ushindi katika maeneo mbalimbali.Kingine ni Chama ...
3
TANZANIA imepongezwa kutokana na uamuzi wa kuunda mabaraza ya kiswahili ambayo ni Bakita kwa Tanzania Bara na Bakiza kwa Zanzibar ambayo kimsingi yanasaidia katika masuala ya sera ya lugha ya Kiswahili.Pongezi hizo zilitolewa na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (EACK) Profesa Kenneth Simal...
3
['Kocha aliyetimuliwa na Tottenham Mauricio Pochettino anataka kumrithi Ole Gunnar Solskjaer kama kocha wa Manchester United. (Manchester Evening News)', 'Tottenham wapo tayari kupokea ofa za usajili za chini ya pauni milioni 40 kwa kiungo wa Denmark Christian Eriksen, 27. (Evening Standard)', 'Spurs haina mpango wa k...
4
Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, miradi mingi utekelezaji wake ulianza mwaka 2016/17 hivyo inaendelea. Aliitaja miradi hiyo kuwa ni ujenzi wa reli ya Kati kwa kiwango cha standard gauge, kuhuisha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) hususan kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege nne, miradi ya c...
5
NICHUKUE nafasi hii kumshukuru Rais John Magufuli kwa maagizo yake ya kuzihamisha halmashauri mbalimbali za wilaya kwenda katika maeneo yao ya utawala. JPM, Mungu ataendelea kukupatia neema na maisha marefu kwa uamuzi mzuri, wa busara.Kwa takribani miaka minne nimeongoza halmashauri mbili za wilaya zenye mahitaji tofa...
3
Akizungumza jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Sam Mapande alisema jana kuwa wamechukua uamuzi huo kwa sababu hawana uhakika kama hao waliochukua fomu TFF ni wanachama halali wa Yanga.“Hao waliochukua fomu TFF sisi hatuna uhakika kama ni wanachama wa Yanga au la, kwa hiyo wanachotakiwa ni kuomba upya, wa...
4
NA RAMADHAN HASSAN-DODOMA NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina, amekitoza faini ya Sh milioni 10  Kiwanda cha Nyama cha Tanzania Meet Compay cha mkoani Dodoma, kwa kosa la kutokuwa na cheti cha mazingira pamoja na mfumo mzuri wa kutolea  majitaka kiwandani hapo. Mpina alichukua uamuz...
3
MICHUANO ya mabenki kwa mpira wa kikapu (Bankers Basketball League – BBL 2018), imezidi kushika kasi, ambako mwishoni mwa wiki kikosi cha NMB kiliichapa CRDB kwa pointi 52-42.NMB chini ya Kocha Mkuu Evarist Mapunda, ilitawala kwa kiasi kikubwa pambano hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam...
4
NA SALMA MPELI NI mwaka wa majaribu kwa mrembo wa Kiganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’. Hivi ndivyo unavyoweza kusema kutokana na  majanga matatu yaliyotikisa maisha ya mlimbwende huyo kwa mwaka huu. Majanga hayo yalianza kumwandama Mei 25, mwaka huu baada ya mumewe wa zamani, Ivan Semwanga maarufu kama Ivan Don...
1
MIKOA ya Kusini imetakiwa kutangaza na kuendeleza vivutio vya asili vinavyopatikana kwenye mikoa yao kuvutia watalii wengi na kuziongezea kipato halmashauri za mikoa.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa agizo hilo kwenye hotuba iliyosomwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga jana kwenye maadhimisho ya...
3
UWEKEZAJI wa mamilioni ya dola uliokuwa moja ya vipaumbele vya Rais John Magufuli alipoingia madarakani mwaka 2015, umewezesha kuanzishwa kwa miradi mikubwa mitano ya kimkakati iliyowezesha ajira zaidi ya 30,000 kwa Watanzania.Alipohutubia Bunge Novemba 25 mwaka 2015 baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa Rais wa Awam...
3
BOMBAY, India JITIHADA za ukoaji bado zinaendelea katika Jimbo la Kerala  Kusini  Magharibi mwa nchi hii, baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua ya masika inayoendelea kunyesha eneo hilo. Taarifa zilizopatikana mjini hapa zinaeleza kuwa kwa sasa helikopta za kikosi cha anga na cha wanamaji zinafanya ka...
2
Taarifa iliyotolewa na TIC jana, ilisema kituo hicho kimewataka wawekezaji hao kuiangalia Tanzania kama eneo muhimu kwao kufanya uwekezaji katika bara la Afrika kutokana na kuwa na mazingira na sera rafiki ya kufanyia biashara.TIC imebainisha kuwa Tanzania ina wananchi wapatao milioni 48, hivyo kuwa na soko zuri kwa b...
5
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Urambo mkoani Tabora, Adam Malunkwi amesema, Urambo inahitaji mwekezaji ajenge kiwanda cha asali il wafugaji nyuki wapate soko la bidhaa hiyo.Amesema kuna vyama 18 warina asali, vimeandikishwa na vimesajiliwa hivyo warina asali wakiunganishwa na akipatikana mwekezaji wa kununua asali utaku...
5
Akifunga Maadhimisho ya Saba ya Siku ya Mlipakodi jana jijini Dar es Salaam, Dk Bilal alisema TRA inatakiwa kuwachukulia hatua kwani inafahamika kwamba wanaharibu mashine hizo kwa lengo la kukwepa kodi kwa kutoingiza taarifa za kodi pale manunuzi yanapofanyika.Alisema, Serikali itasimamia kikamilifu sheria inayomtaka ...
5
VATICAN CITY KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ametumia hotuba yake ya Krismasi kukemea matukio ya kigaidi na siasa kali Magharibi mwa Afrika, ikiwa ni siku moja baada ya wanamgambo kuwauwa watu 35 nchini Burkina Faso. Akitoa ujumbe wake mjini Vatican hivi jana, Papa Francis alilaani mashambulizi dhidi...
2
RAIS John Magufuli ametoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa, kuondoa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Zimbabwe.Pia, amempongeza Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa kwa hatua madhubuti za kufanya mageuzi ya kiuchumi katika nchi hiyo, Aidha, amesema Tanzania itaiuzia Zimbabwe tani 700,000 za mahindi kutokana na nchi hiyo kuk...
3
MLINDA mlango wa klabu ya Manchester United, David De Gea, ametangaza kuiuza nyumba yake iliyopo jijini Manchester, kwa kitita cha pauni milioni 3.85 ambazo ni zaidi ya Sh bilioni 8 za Tanzania. Tangazo la biashara hiyo ya nyumba imewashtua mashabiki wengi wa Manchester na kuwafanya waamini kuwa kipa huyo anata...
4
NEW YORK, Marekani TAMASHA la wanamuziki mahiri,  Beyonce na mumewe Jay-Z, limemalizika kwa vurugu baada ya kijana mmoja kuvamia jukwaani wakati mastaa hao wakitumbuiza. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki mjini Atlanta nchini Marekani wakati vinara hao wakitumbuiza, ambapo ghafla kijana huyo akapanda jukwaani na k...
1
MREMBO na mfanyabiashara wa Uganda, Zari Hassan ‘The Boss Lady’, amejinunulia zawadi ya nyumba nchini Afrika Kusini anakoendesha maisha yake kwa sasa katika kumbukizi ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zari ambaye ni mama wa watoto watano, wawili akiwa amezaa na mwanamuziki wa Bon...
4
MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM BENKI ya I&M Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, lakini inang’ara kwa kutoa bidhaa na huduma za kipekee ambazo zinakidhi mahitaji yote ya mteja katika soko. I&M Tanzania ilitambulisha akaunti mpya ya wanawake ya Tunaweza inayotoa sulu...
5
Akizungumza na wakulima na wananchi, Dk Shein alisema karafuu ndio alama ya Zanzibar, hivyo ni wajibu wa wananchi kutunza na kuenzi zao hilo kwa manufaa ya nchi na wananchi wake.Alisema serikali imefanya mabadiliko makubwa ya maendeleo ya zao hilo, ikiwemo kufanya mabadiliko katika Shirika la Biashara la Taifa Zanziba...
5
Alisema hayo juzi mjini hapa wakati wa mahojiano na mwandishi wa habari hizi na kusema kuwa ekari hizo hazijawahi kutumiwa kwa kilimo au ufugaji. “Eneo hilo halitumiki na linafaa kwa kilimo, halijawahi kuguswa kwa ajili ya kilimo na ufugaji,” alisema.Alisema lengo la uwekezaji huo ni kuona mapato ya wilaya yanaongezek...
5
MAREKEBISHO ya Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Sura ya 230 yanayojumuisha mapendekezo ya kuzirasimisha kumbi au vibanda vinavyotumika kuoneshea video na hivyo kuratibiwa na sheria hiyo ya filamu, yamepitishwa rasmi na Bunge.Aidha, marekebisho hayo yameweka masharti kwa mtu au kampuni ya kigeni inayotaka kutumia...
4
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Dk Adelardus Kilangi amesema kwa sasa ofi si imeweka mikakati ya kutafsiri sheria zote ili zisomeke kwa lugha ya Kiswahili. Aliitoa kauli hiyo jijini hapa jana alipokuwa akitoa ufafanuzi kufuatia swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, F aida Bakari (CCM) aliyehoji kama serikali ina ...
3
Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM BEKI wa Yanga, Lamine Moro amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo, baada ya kurejea nchini na kusema amerudi kufanya kazi, akipania kuwaonyesha kazi watani wao wa jadi, Simba. Yanga wanatarajiwa kukipiga na Simba Januari 4, mwaka huu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaoche...
4
WAWAKILISHI pekee wa Afrika Mashariki katika Ligi ya Mabingwa wa Afrika, Simba SC wamewatanguliza mashushushu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kuwachunguza wapinzani wao AS Vita Club watakayokutana nao Jumamosi katika mchezo wa Kundi D.Simba inaongoza katika kundi lake, inatarajia kuondoka kesho Alha...
4
KINSHASA, Congo DRC WATU 25 wameuawa katika mashambulizi mawili yanayoaminika kutekelezwa na kundi la waasi la Allied Democratic Forces, ADF, katika Mji  wa Beni,uliopo Mashariki mwa nchi hii. Mwandishi wa Sauti ya Amerika (VOA) aliripoti juzi kuwa  idadi ya waliouawa eneo la Mangolikene, nje kidogo ya mji wa Beni, Kiv...
2
NA RAMADHAN HASSAN, Dodoma   SERIKALI imekiri kukabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa wafungwa nchini. Imesema wakati wafungwa waliopo magerezani ni  40,000 uwezo wake ni wafungwa  wasiozidi 30,000 hivyo kuzidiwa na wafungwa 10,000. Hayo yalielezwa  bungeni jana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
3
CHRISTOPHER MSEKENA GUMZO kubwa kwenye ulimwengu wa filamu za Kibongo ni waigizaji wapya Flora Kihombo na Rashid Msigala maarufu kama ‘Watoto wa Kamwene’ kushinda tuzo za Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF 2019) katika vipengele vilivyo wakutanisha na mastaa wakubwa. Mtoto Flora Kihombo, aliyeigiza katika f...
1
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amegeuka ‘mbogo’ baada ya kubaini kuwa kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu, Morogoro hakijakabidhiwa kwa Manispaa ya Morogoro kama alivyoagiza Rais John Magufuli.Kituo hicho kilitakiwa kukabidhiwa kwa uongozi wa manispaa h...
3
TANZANIA imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata ngazi ya tatu ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa mifumo bora ya udhibiti wa dawa kupitia Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA).Kwa hali hiyo, TFDA imeingia miongoni kwa asilimia 30 ya taasisi zote za udhibiti wa dawa duniani na imebakiza ngazi moja ya juu inayotolewa ...
3
KATIKA jitihada ya kukwepa panga la Rais John Magufuli chini ya saa 24, Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limemtia nguvuni Mkandarasi ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Ujenzi ya Fally Enterprises, Felix Lyowa anayedaiwa kuhujumu miradi ya maji yenye thamani ya Sh bilioni 20 .Kati ya miradi hiyo upo mradi wa maji wenye th...
3
Tanasha alijawa hasira baada ya madai ya Lokole kuwa hana ujuzi kitandani Alipuzilia madai hayo na kumshauri rakiye Mondi kumjaribu ili kuthibitisha ukweli Tanasha Donna ameamua kutoa mishale yake na kuimarisha kinga huku marafiki wa karibu wa Diamond wakujitokeza kuanza kumpaka tope. Donna alikasirika si haba baada y...
1
RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na wanasiasa wakongwe John Cheyo, James Mbatia, John Shibuda na mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz.Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Rais Magufuli amekutana na kufanya nao mazungumzo jana Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo, Rostam...
3
  KINSHASA, DRC PAMOJA na fomu ya kuwania urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuuzwa bei ya juu ya Dola za Marekani 100,000 sawa na Sh milioni 224, wagombea 26 wamejitokeza kuwania wadhifa huo. Hilo limefahamika siku moja baada ya Rais Joseph Kabila kutangaza kuachia ngazi, huku Tume Huru ya Uchaguzi D...
2
Mchezaji huyo pia jana alionekana kwenye mazoezi ya Simba yanayofanyika kwenye uwanja wa Sigara ingawa alikuwa akijificha ndani ya gari bila kujitokeza kwa mashabiki waliozingira gari hilo.Kiiza, ambaye aliachwa msimu uliopita na Yanga na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji wa Liberia Kpah Sherman, amesajiliwa kama mc...
4
MVUA iliyonyesha kwa vipindi tofauti juzi na jana katika maeneo mbali mbali ya Jiji la Dar es Salaam, imekatisha kwa muda mawasiliano katika baadhi ya maeneo ikiwamo Barabara ya Morogoro hususani eneo la Jangwani.Hali hiyo imesababisha magari yanayotumia barabara hiyo, kutumia barabara mbadala ili kuendelea na safari....
3