text stringlengths 1k 17.3k | label int64 0 5 |
|---|---|
Mbali na kutowasikiliza makocha, mwanariadha Failuna Abdi alionesha utovu mkubwa wa nidhamu timu hiyo ilipokuwa ikirejea nchini kwenye Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere mbele ya viongozi wa Riadha Tanzania (RT) pamoja na wale wa Kamati ya Olimpiki (TOC) baada ya kugoma kwenda kambini Kibaha na kutokomea kusikojulik... | 4 |
MBUNGE wa Makambako, Deo Sanga maarufu Jah People (CCM), ameshauri Rais John Magufuli kuongezewa kipindi kimoja cha uongozi ambacho badala ya kumaliza urais mwaka 2025, akae hadi mwaka 2030.“Rais wetu (Magufuli) ana maono makubwa ya kuifikisha mbali nchi yetu, hivyo aombewe awe rais wa kudumu, aongezewe kipindi kimoja... | 3 |
Na JOHANES RESPICHIUS STAA wa Bongo anayetesa kwenye filamu, Kajala Masanja amevunja ukimya na kufunguka kuhusu maneno yanayozagaa mitaani yakimtaja kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa nyakati tofauti na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Msamy Baby. Kwa muda mrefu sasa, minon... | 1 |
NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM WAZAZI ambao watoto wao watapotea katika kipindi cha sikukuu watalisaidia Jeshi la Polisi, ikiwamo kutoa maelezo ni kwa nini wamepotea. Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi, Advera Bulimba, alisema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari. “Tutawaita... | 3 |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote inayolima korosho nchini, wahakikishe wanasimamia vizuri zao hilo na wasiruhusu kuingizwa kwa mfumo mpya wa ununuzi ambao haujaeleweka kwa wadau na wanunuzi.“Mabadiliko ya mifumo yalitolewa na baadhi ya viongozi ambao sio waaminifu, serikali iko macho itawach... | 3 |
KAMPUNI ya Usambazaji wa Mbolea ya Petrobena East Africa Ltd imepongeza makubaliano kati ya Kampuni ya Mbolea ya YARA Tanzania, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Taasisi ya Utafi ti wa Kilimo Uyole kufanya utafi ti ya afya ya udongo kuongeza uzalishaji na mageuzi ya kilimo.Akizungumza na waandishi wa hab... | 3 |
NA WAANDISHI WETU TIMU za Yanga, Simba na Azam zimeendeleza wimbi la ushindi na kukabana koo kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya jana kushinda mechi zao za pili mfululizo. Timu hizo zote zina pointi sita, lakini zinatofautiana kwa idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa. Yanga ambao wanatetea ubingwa hadi sasa ... | 4 |
NIMESHAKUTANA na wazazi wengi wanaolalamikia tabia ya ukorofi wa watoto wao. Hawa ni watoto wepesi kurusha rusha mikono na miguu kama namna ya kupinga unachowaelekeza kufanya. Huwa wana ushindani, wagomvi wanapokuwa na wenzao. Ukorofi unakwenda sambamba na tabia ya kupenda kujiona ni mtawala anapokuwa na wenzake. Matok... | 0 |
['Paris St-Germain imesema kuwa itachukua hatua kali baada ya mshambuliaji wa Brazil Neymar kufeli kuhudhuria mazoezi ya kwanza ya timu hiyo.', 'Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alitarajiwa kurudi katika mazoezi siku ya Jumatatu.', 'Mshambuliaji huyo amehusishwa na uhamisho kurudi klabu yake ya zamani ya Barcelona... | 4 |
KOCHA msaidizi wa timu ya Yanga Noel Mwandila baada ya kupata pointi tatu dhidi ya Coastal Union mwishoni mwa wiki iliyopita, amsema rasmi sasa wamefungua mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2019/20.Yanga iliibuka na ushindi huo kwenye uwanja wa Uhuru Dar es Salaam baada ya kufanya vibaya ... | 4 |
TIMU ya taifa ya soka ya wanawake ya Uganda, Crested Cranes, imetolewa katika mbio za kufuzu kwa michezo ya Olimpiki itakayofanyika Tokyo 2020 baada ya kufungwa jumla ya mabao 4-2 dhidi ya Ethiopia.Katika mchezo wa juzi uliofanyika jijini hapa kwenye Uwanja wa Lugogo, Uganda ilipoteza mchezo huo wa pili baada ya kufun... | 4 |
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imejizatiti kuimarisha ubora wa bidhaa zinazozalishwa nchini kwa kuwa na maabara bora zitakazochunguza bidhaa hizo kwa ajili ya kuwalinda walaji.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Hassan Hafidh Khamis katika sherehe za uwekaji msingi jengo la maabara ya bidha... | 5 |
KOCHA mkuu wa timu ya Soka ya taifa ya wanawake Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens ,Bakari Shime amesema morali ya kikosi hicho ipo juu tayari kwa kuwakabili Sudan Kusini kwenye mchezo wao wa kwanza wa kundi A katika michuano ya kombe la Chalenji.Michuano hiyo inayofanyika chini ya usimamizi wa Baraza la vyama vya soka... | 4 |
Mkurugenzi Mkuu wa ATCl, Ladislaus Matindi amesema wamejipanga vizuri ili kujitanua kibiashara na kurudi katika mfumo wa kimataifa wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Ndege (IATA).Amesema ATCL iliondolewa katika mfumo wa kimataifa wa utoaji wa huduma na ununuzi wa tiketi kwa kukabiliwa na madeni makubwa.Kwa mujibu w... | 5 |
UONGOZI wa Halmashauri ya Itigi mkoani Singida umesema utawachukulia hatua kali wakusanyaji ushuru wote watakaobanika kushindwa kuwasilisha benki kwa wakati makusanyo yao yote ya mapato kama ambavyo sheria na kanuni za fedha zinawataka kufanya.Hatua hizo zimetajwa kuwa ni pamoja na kuwafukuza kazi mara moja wote watak... | 3 |
WANAFUNZI watatu wa Chuo Kikuu Mzumbe (MU) kilichopo mkoani Morogoro wamejinyakulia kitita cha Sh 1,000,000 kila mmoja baada ya kuwashinda wenzao kwenye shindano la kushindanisha mawazo bora zaidi ya ubunifu.Shindano hilo lilifanyika hivi karibuni na kushuhudiwa na Waziri wa Elimu , Sayansi na Tenkolojia , Profesa Joy... | 3 |
Hivi karibuni Mkwasa alimpa unahodha mchezaji wa TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta na kusema Haroub atabaki kuwa nahodha kwenye timu inayoshiriki michuano ya ndani ya Afrika (Chan).Uamuzi huo ulimfanya Haroub kutangaza kujiuzulu kucheza timu ya taifa, akisema moja ya sababu ni kupokwa nafasi hiyo.Akizungumza na g... | 4 |
Kocha wa Derby Frank Lampard anajiandaa kukutana na mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich kujadiliana kuhusu uwezekano wake kuchukua nafasi ilioachwa wazi na Maurizio Sarri. (Sun) Bayern Munich haijawasiliana na winga wa Real Madrid Gareth Bale,29, anasema ajenti wa nyota huyo wa kimataifa wa Wales. (ESPN) Kocha wa Derb... | 4 |
Klabu ya Simba imelazimishwa suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa ligi kuu bara dhidi ya wagosi wa kaya klabu ya Coastal Union kwenye mchezo wa 37 wa ligi kuu bara ndnai ya uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Mchezo huo ulioisaidia Coastal Union kupanda mpaka nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi kuu bara uliisha kwa... | 4 |
Katika hafla ya kukabidhi nyumba hizo jana, Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema mpango wa ujenzi wa nyumba hizo ni endelevu mpaka hapo ekari 300 zilizotengwa kwa ujenzi zitakapojengwa nyumba kwa mpango wa kuchangiana.Taalib alisema aina za nyumba zinazojengwa kwa sasa ni za matofali ya saruji ya chumba kimoja... | 4 |
UBALOZI wa China nchini umetoa msaada wa vyerehani 330 kwa vikundi vya wanawake katika mikoa sita, na vifaa 380 vya watu wenye ulemavu vyote vikiwa na thamani ya Dola za Marekani 51,617 (takribani Sh milioni 121.3).Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Balozi wa China nchini, Wang Ke alisema misaada hiyo ambayo... | 3 |
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Agosti 23, mwaka huu kuanza kusikiliza ombi lililowasilishwa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), la kuzuia kuapishwa kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Miraji Mtaturu (CCM).Lissu amefungua ombi hiloo dhidi ya Spika wa Bunge na Mwanasheria Mkuu wa ... | 3 |
NAIROBI, KENYA KATIBU binafsi wa Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki amekanusha
taarifa kwamba kiongozi huyo amelazwa katika Hospitali ya Nairobi. Katibu huyo, Ngari Gituku amesema kuwa Kibaki mwenye miaka 88 alifika
katika hospitali ya Nairobi Jumatatu kwa ajili ya utaratibu wa kawaida wa kuangalia afya yake. “Ilik... | 2 |
ZAIDI ya mabasi 2,840 yanayokwenda mikoa mbalimbali nchini yamefungwa mfumo maalumu wa ufuatiliaji wa mwenendo wake (VTS) na umeanza kutumika rasmi jana.Mfumo huo ulioanza Januari mwaka juzi kwa majaribio kwa baadhi ya njia, ni maalumu kubaini madereva wanaoendesha zaidi ya kasi ya mwendo wa 80 kwa saa ili kuepusha aj... | 3 |
JUMUIYA ya Afrika Mashariki imetajwa kuwa ni jumuiya inayoongoza kwa ubora barani Afrika, ikilinganishwa na jumuiya nyingine ndani ya bara hilo. Jumuiya nyingine Afrika ni pamoja na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Afrika ya Kati (COMESA) na Afrika Magharibi (ECOWAS).Baada ya Jumuiya ya Ulaya (EU), Af... | 3 |
WATU wawili, mmoja mkazi wa Ifakara, Morogoro na mwingine Buza, Dar es Salaam wamekamatwa wilayani Temeke kwa tuhuma za kukutwa na gunia la bangi.Polisi katika Mkoa wa Temeke walilazimika kupiga risasi juu kuwadhibiti watuhumiwa hao, ambao baada ya kubaini wamekamatwa, walitaka kutoroka. Kamanda wa Polisi wa Temeke, A... | 3 |
MKAZI wa Mhunze wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga, Raphael Martine (34), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumuua Shija Mahoiga (45), kwa kumpiga kwa chuma kichwani, mikononi, na sehemu za mbavu.Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Richard Abwao amethibitisha mauaji hayo ya juzi saa tisa usiku, akisema mtuhumiwa alidai kwend... | 3 |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi aunde timu ya wataalamu kufuatilia Sh milioni 700 zilizotolewa na serikali ili kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea ambazo hadi sasa hazijatumika.Kadhalika, Waziri Mkuu ameagiza timu hiyo ikague matumizi ya Sh milioni 400 zilizotolewa... | 3 |
TANZANIA imetaka wakulima wapatiwe pembejeo kwa ajili ya kukabiliana na uhaba wa chakula kwa kuzalisha mazao kwa kutumia utalaamu wa kisasa pamoja na kuwapatia masoko ya uhakika ya chakula cha ziada.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Augustine Mahiga kwenye Mkutano wa J... | 5 |
Na Mwandishi Wetu-MOROGORO KIONGOZI Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Joshua Aram Mwantyala, amewataka Watanzania kuendelea kujinyenyekeza kwa Mungu kwa kuwa anaenda kuachilia uponyaji kwa taifa muda wowote. Wito huo aliutoa Kihonda mjini Morogoro, muda mfupi baada ya kuongoza maombi mfululizo ya kuli... | 3 |
MFUPA uliowashinda vigogo wawili wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Yanga na Azam hatimaye Simba imedhihirisha ni mnyama mkali baada ya kuwapapasa Ruvu Shooting kwa mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Ruvu kama ambavyo alikuwa ikitamba na neno lake la kupapasa kwa maana ya kutoa k... | 4 |
JOSEPH HIZA NA MASHIRIKA RAIS Donald Trump anayefahamika kwa ubilionea, ufahari, majivuno aliwahi kukana kutamka hilo, lakini ushahidi sasa umefichuka kuwa hali ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House ilistahili kile alichokana kukitamka. Mapema wiki hii utata uliibuka wakati Jarida la Golf Magazine lilimtuhumu... | 2 |
Na Markus Mpangala,
WOTE hawajui kitu gani kitafanywa na Rais mpya wa Marekani, Donald Trump. Jumuiya ya Ulaya imehoji mwelekeo wa siasa za Trump, lakini haijapata jibu. Umoja wa Afrika bado unamsoma Trump, kwa kuwa haujamwelewa.
Bara la Asia nao wanaendelea kumsoma Trump, hawajui atafanya nini. Hayo ni sehem... | 2 |
KOCHA Mkuu wa timu ya Soka ya Taifa, Taifa Stars, Etienne Ndayi- ragije, ametangaza kikosi cha wachezaji 20 watakaoingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Sudan inayaotarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii. Katika kikosi hicho, kocha huyo wa muda amemwita Mzamiru Yas- sin wa Si... | 4 |
SERIKALI imezitaka hospitali na vituo vya afya nchini kutumia runinga zao kutoa elimu ya afya tu huku ikisema kuwa elimu hiyo itaanza kutolewa pia katika mabasi yaendayo mikoani.Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile mwishoni mwa wiki.Ametoa ag... | 3 |
SHERIA mpya ya uwezeshaji wa biashara inaandaliwa ikitarajiwa kuja na majibu kuhusu utekelezaji wa maboresho ya mfumo wa udhibiti wa biashara.Aidha, mikoa yote na mamlaka na taasisi za serikali kutenga muda maalumu wa kutatua kero na changamoto zinazokabili wawekezaji wakati mawaziri kadhaa wakifanya ziara kwa kazi hi... | 3 |
*Kadi huenda zikaigharimu kukosa wachezaji tegemeo *Wakacha kambi ya Uturuki, kutua leo Dar NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM WAWAKILISHI wa kimataifa klabu ya soka ya Yanga, wanaweza kujikuta katika wakati mgumu kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, kama watashindwa kufanyia kazi suala la nidhamu ndani ya uwanja.... | 4 |
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM BABA mzazi wa kipa namba moja wa timu ya Mbeya City, Abdallah David, amemzuia mwanaye David Burhani, kuichezea timu hiyo kwa kile alichodai kupotezewa muda na timu hiyo. Burhani alisimamishwa kwa muda usiojulikana na uongozi wa timu hiyo, siku chache baada ya kudaiwa kuihujumu timu hiyo ka... | 4 |
KIUNGO wa Manchester United, Nemanja Matic, ameweka
wazi kuwa, wana wachezaji wazuri vijana, lakini kutokana na kukosa uzoefu ubingwa
wa Ligi Kuu msimu ujao watausikia kwa wengine. Mchezaji huyo anaamini kikosi hicho cha kocha Ole
Gunnar Solskjaer, kinahitaji wachezaji wenye uzoefi mkubwa ili kuleta ushindani
katika mb... | 4 |
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema hakuna Mtanzania yeyote ambaye simu yake itazuiwa kutumika, kwa sababu hajasajili, kwa kigezo cha kutokuwa na Kitambulisho cha Taifa.Kwa maana hiyo, ikifika Desemba 31 mwaka huu, ambayo ni mwisho wa kusajili laini za simu kama mtu hajapata kitambulisho cha taifa, ... | 3 |
['Timu ya kandanda ya taifa Stars kutoka tanzania imeiondoa timu ya harambee Stars kutoka kenya katika mashindano ya CHAN 2020', 'Timu ya Kenya Harambee Stars ilidondoka katika michuano ya kufuzu kombe la CHAN 2020 baada ya kupoteza kwa Tanzania taifa Stars 4-1 kupitia mikwaju ya penalti katika uwanja wa Kasarani jijin... | 4 |
KATIKA kuunga mkono sera ya serikali ya kukuza viwanda sambamba na kuwawezesha wananchi kiuchumi, kampuni inayozalisha vinywaji jamii ya soda ya Watercom imetoa ajira kwa wananchi zaidi ya 3000 wanaofanya kazi ya uzalishaji na usambazaji wa bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo.Aidha, pamoja na ajira hizo, kampuni hiy... | 3 |
Na AZIZA MASOUD- DAR ES SALAAM TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa kufuata taratibu za kisheria endapo ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi utatokea katika kampeni za uchaguzi mdogo zinazoendelea nchini ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Uc... | 3 |
JESSCA NANGAWE– DAR ES SALAAM MABINGWA wa michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), maarufu kwa Kombe la FA, timu ya Azam wanatarajiwa kukutana na Simba katika mchezo wa robo fainali. Katika droo iliyochezeshwa jana, jijini Dar es Salaam, Yanga watavaana Kagera Sugar, wakati Sahare All Stars wakimenyana na Ndanda... | 4 |
RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda (pichani), Ikulu jijini Dar es Salaam.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jana ilisema baada ya mazungumzo hayo Mwang’onda alimshukuru Rais Magufuli kwa kukubali ombi l... | 3 |
MAAFANDE wa Kikosi Cha Kuzuia Magendo (KMKM) wanashuka dimbani leo kucheza mchezo wa Ngao ya Hisani na timu ya Malindi. Mchezo huo ambao unaashiria kuanza kwa Ligi Kuu ya Zanzibar, utapigwa kwenye Uwanja wa Amaan na umekuwa na hisia kali kutokana na makocha wa pande zote kujiandaa kwa ushindi. Kocha wa KMKM, Ame Msimu... | 4 |
WASHINGTON, MAREKANI
MWANAMITINDO, Ivanka Trump, amejiunga rasmi na Serikali ya baba yake ambapo atahudumu kama mfanyakazi asiyelipwa, kwa mujibu wa Ikulu ya Marekani, White House jana.
Hatua hiyo inakuja baada ya wataalamu wa maadili kuhoji na kukosoa mpango wa awali wa binti huyo wa Rais Donald Trump wa ku... | 2 |
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imewafi kisha mahakamani raia wawili wa China na Mtanzania mmoja, kwa tuhuma nne tofauti zikiwemo kujenga mtambo wa kusafi sha mafuta ya dizeli bila kuwa na kibali pamoja na kughushi cheti cha ukaguzi wa mazingira.Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Sala... | 3 |
*Vijana wa miaka 20 hadi 40, waathirika wakubwa *Utafiti wa Ocean Road 2008, alisema 90 kansa ya koo wanaume, asilimia 10 wanawake. *Ocean Road kuna ongezeko la wagonjwa wa saratani ya koo 511 ndani ya kipindi cha miaka 12. *Mama mwenye virusi vinavyosababisha saratani hiyo akijifungua anaweza kumuweka mtoto kwenye hat... | 0 |
WAWAKILISHI pekee wa Afrika Mashariki katika Ligi ya Mabingwa wa Afrika, Simba SC wamewatanguliza mashushushu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kuwachunguza wapinzani wao AS Vita Club watakayokutana nao Jumamosi katika mchezo wa Kundi D.Simba inaongoza katika kundi lake, inatarajia kuondoka kesho Alha... | 4 |
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepoteza askari wake watatu waliokuwa wakishiriki kwenye ulinzi wa amani nje ya nchi. Kwa mujibu wa taarifa ya JWTZ iliyotumwa kwa vyombo vya habari jana, askari hao waliokufa ni Koplo Mohamed Mussa, Koplo Erick John na Praiveti Musa Machibya.Taarifa hiyo ya jeshi ilifa... | 3 |
VYAMA viwili vyenye ushindani wa karibu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana vilizindua kampeni za uchaguzi wa marudio kwa vijembe katika Jimbo la Kinondoni, Dar es Salaam. CCM ambayo ilizindua kampeni zake katika viwanja vya Biafra Kinondoni na Chadema viwanja vya Ali Mapilau... | 3 |
BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania limemsimamisha Martin Chama kutoa huduma za uuguzi na ukunga kwa muda wa mwaka mmoja kwa tuhuma za kufi ka kazini akiwa amelewa na kutaka kuhatarisha usalama wa wagonjwa na ndugu zao kwa kushindwa kutoa huduma kwa umakini na weledi.Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga, Agnes Mtawa ... | 3 |
KOCHA mpya wa Tottenham, Jose Mourinho anasema kuwa katika klabu yake mpya ya Spurs kamwe hatafanya makosa aliyoyafanya huko nyuma katika majukumu yake ya ukocha.Mreno huyo amechukua nafasi ya Mauricio Pochettin Jumatano, akihitimisha miezi 11 ya kutofanya kazi ya ukocha tangu alipotimuliwa Manchester United. Mourinho... | 4 |
Zainab Iddy, Dar es Salaam BAADA ya Serikali kusimamisha Ligi Kuu Tanzania Bara sambamba na michezo
mingine yote kwa siku 30 , baadhi ya wachambuzi wa soka nchini wamesema
kuwa suala la ukata halitokwepeka pale mashindano yatakapoendelea. Juzi Serikali kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ,
alitangaza kusitisha shu... | 4 |
Juhudi za kocha Ole Gunnar Solskjaer kuimarisha kikosi chake huenda zikagonga mwamba kwa sababu Manchester United ni klabu ambayo hutoa ofa ya chini kwa wachezaji wanaotaka kuwasajili. (Evening Standard) Solskjaer anataka kumuuza kiungo wa kati wa Man Utd Mfaransa Paul Pogba, 26, bada ya kufahamishwa kuwa ana pauni mil... | 4 |
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Simba na wawakilishi wa nchi katika Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga leo watashuka kwenye viwanja viwili tofauti kujipima nguvu. Simba itachuana na Bandari ya Kenya kwenye Uwanja wa Taifa huku Yanga ikicheza na timu ya Daraja la Kwanza ya Friends Rangers kwenye mazoe... | 4 |
NAIROBI, KENYA MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Kenya, Profesa Githu Muigai, amemuonya Kiongozi wa Muungano wa Upinzani wa National Super Alliane (NASA), Raila Odinga kwamba anakabiliwa na adhabu ya kifo iwapo ataapishwa kuwa ‘rais wa wananchi.’ Katika hilo, Profesa Muigai aliwashutumu mawakili wa upinzani kwa kuwapoto... | 2 |
Na KULWA MZEE-DODOMA MBUNGE wa Mbozi, Pascal Haonga (Chadema), amemwomba Rais Dk. John Magufuli kujaza nafasi za aliyekuwa Naibu Waziri (Ofisi ya Waziri Mkuu), Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dk. Abdallah Possi na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ili wabunge wa CCM watulie.... | 3 |
BADI MCHOMOLO KILA Ufalme una mwisho wake, hakuna
kitu kizuri kama kumaliza Ufalme wako huku watu wakiwa bado wanakuhitaji. Eldrick
Tont, maarufu kwa jina la Tiger Woods ni nyota wa mchezo wa
Gofu duniani akiwa raia wa nchini Marekani, mbali na kuwa hodari kwenye mchezo
huo, lakini anatajwa kuwa mmoja kati ya wanamich... | 4 |
ZIKIWA zimepita siku tano tangu ilipoanza operesheni kali ya kukamata wanaoghushi risiti za kielektroniki (EFD) Kariakoo jijini Dar es Salaam, sasa imeanza kufanyika nchi nzima.Maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) wanafanya msako mkali kubaini wanaoiibia Serikali.Hatua hii inakuja siku chache tu tangu gazeti hili lilipo... | 5 |
MWAKA 2018 unaoeleka ukingoni, umetawaliwa na mijadala mingi kuhusu sekta ya elimu nchini, hasa hoja ya ubora wa elimu, hatma ya elimu bila malipo, uhaba wa miundombinu, vifaa na walimu.Hii ni kwa kuwa elimu ndicho chombo pekee anachoweza kukitumia mwanadamu katika kumtii Mungu kwa kujua halali na haramu na akapambanu... | 3 |
NAIROBI, KENYA NAIBU Rais wa Kenya, William Ruto, amemtaja Raila Odinga kama mwanasiasa asiye na demokrasia na mshamba kutokana na vurugu na ghasia zilizoshuhudiwa jijini alipopokelewa na wafuasi wake waliofurika katika barabara za jijini hapa kumkaribisha kiongozi wao, lakini wakakabiliana na polisi waliokuwa wakiwa... | 2 |
Ramadhan Hassan -Dodoma RAIS Dk. John Magufuli amesema Serikali itaendelea kulipa mishahara ya walimu licha ya janga la ugonjwa wa corona huku akimwaga ajira mpya 13526 katika kada hiyo. Kauli hiyo aliitoa jana Jijini hapa wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambapo R... | 3 |
TIMU ya Taifa ya Soka ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kushuka dimbani leo ugenini kuikabili Sudan katika mchezo wa kufuzu fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan 2020).Mchezo huo utachezwa ugenini kuanzia saa 1:00 usiku, huku Stars ikiwa imetoka kupoteza mchezo wa kwanza bao 1-0 uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar... | 3 |
WIZARA ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi ya Zanzibar imesema njia pekee ya wakulima kupiga hatua kubwa ya uzalishaji wa mpunga ni kutumia kilimo cha umwagiliaji.Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Rashid Ali Juma alisema kilimo cha umwagiliaji ndio mkombozi wa wakulima ambao kwa sasa wanaweza kulima muda... | 3 |
KINSHASA, DRC UPINZANI umepanga kutumia nguvu ya umma baada ya Taume ya Uchaguzi nchini hapa kusema uchaguzi wa rais atakayechukua nafasi ya Rais Joseph Kabila hauna uwezekano wa kufanyika mwaka huu. Hilo huenda likazua upya machafuko yaliyoshuhudiwa mwaka jana kwa vile bi ukiukaji wa makubaliano yaliyoyasitisha mwaka... | 2 |
SIMBA rasmi imemrejesha kundini Ibrahim Ajibu akitokea Yanga na usajili huo unaonekana kumkuna beki wa zamani wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo.Ajibu amesaini mkataba wa miaka miwili wa kucheza kwenye kikosi cha mabingwa hao wa Tanzania msimu ujao. Usajili huo unaonekana kumkosha Kihwelo aliyesema kuwa hakuna mchezaji wa ... | 4 |
ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM NI masikitiko. Ndivyo unaweza
kusema baada ya Jeshi la Polisi, kueleza namna Hamisi Luwongo, ambaye
anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mkewe, Naomi Marijani, alivyofanya mauaji
hayo na baadaye kuteketeza mwili wake kwa moto. Inadaiwa Naomi alitoweka katika mazingira ya kutatanisha Mei
mwak... | 0 |
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, ameanza kujivunia kikosi chake kuwa kwa sasa kipo imara na kinaweza kumpatia matokeo mazuri kwenye mechi zilizobakia za Ligi Kuu Tanzania Bara kama ilivyokuwa mkakati wake. Simba hivi karibuni ilifanikiwa kuifunga Kimbunga FC ya Zanzibar kwa mabao... | 4 |
Mkutano huo ambao pia kampuni 50 za Ufaransa zitashiriki zikiwamo kampuni kubwa kama Total, Airbus, Sogea Satom na Alstom, kutakuwa na majadiliano mbalimbali kati ya wafanyabiashara wa Ufaransa na Tanzania ili kuona wapi taifa hilo linaweza kushiriki katika uwekezaji.Taarifa ya kuwapo kwa mkutano huo ilitolewa na Balo... | 5 |
WEKUNDU wa Msimbazi Simba wameendeleza ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya African Lyon.Katika mchezo huo uliochezwa jana kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, mabao ya Simba yalifungwa na John Bocco mawili na Adam Salamba aliyefunga bao moja.Ushindi huo unaif... | 4 |
NA OSCAR ASSENGA, KOROGWE.
TATIZO la uhaba wa nyumba za walimu wilayani Korogwe mkoani Tanga, limesababisha walimu kushindwa kuishi kwenye shule wanazopangiwa kutokana na miundombinu kutokuwa rafiki.
Hayo yalisemwa juzi na Kaimu Ofisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Korogwe, Martha Kusare, wakati wa upoke... | 3 |
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Maulidi amesema atafi kisha kwa Rais John Magufuli madai ya kuwepo kwa sintofahamu, juu ya malipo ya baadhi ya wakulima wa korosho, ambao wamerejeshewa mazao yao baada ya uhakiki.Maulid ambaye pia ni mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Lindi na Mtwara, ametoa ... | 3 |
WAZAZI wametakiwa kuwa makini baada ya ugonjwa wa kisukari kuongezeka miongoni mwa watoto na vijana jambo ambalo wataalamu wameainisha dalili ambazo wanapaswa kuzifahamu mapema wawafikishe hospitalini.Miongoni mwa watoto wenye ugonjwa huo ni wenye umri wa mwaka mmoja huku dalili zinazotajwa mara nyingi kukumba kundi h... | 3 |
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mwinyi Zahera ameibuka na kusema kuwa Bodi ya Ligi inamuonea kwa kumfungia kuingoza timu yake katika mechi tatu, kwani yeye aliiomba mechi yao na Ruvu Shooting kusogezwa mbele ili kupata muda wa maandalizi baada ya mchezo wa kimataifa.Yanga ilicheza na Township Rollers nchini Botswana na k... | 4 |
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefunguka kuhusu utendaji wa jeshi hilo katika miaka minne ya uongozi wa Rais John Magufuli, akimmwagia sifa kwa kuliimarisha, hali iliyolisaidia kudhibiti uhalifu nchini.Mbali ya hilo, ameeleza kuhusu anavyonyimwa usingizi na suala la ugaidi nchini Msumbiji, lakini p... | 3 |
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa mara ya kwanza imeandaa tuzo za kuwatambua watoa huduma za mawasiliano nchini zitakazofanyika Mei 17, mwaka huu huku ikisisitiza ni lazima kwa kila mwenye leseni yao kushiriki. Tuzo hizo zinajumuisha makundi 15 ikiwemo mtoaji huduma bora za simu wa mwaka, mtoaji huduma bora z... | 3 |
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amejitosa kumrithi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), utakaofanyika Aprili 14, mwaka huu. Lissu, ambaye aliteuliwa kugombea nafasi hiyo lakini ameshindwa kukidhi matakwa ya kamati ku... | 3 |
WASHINGTON DC, MAREKANI MWANDISHI mkongwe nchini hapa na rais wa zamani wa Kampuni ya vichekesho ya Marvel Comics, Stan Lee, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95. Mwaka 1961, Lee alibuni filamu nne bora za Marvel Comics na kuzipatia majina maarufu ikiwemo Spider-Man na The Incredible Hulk. Kwa mujibu wa wakili w... | 2 |
Derick Milton -Simiyu UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Simiyu,
umesema kasi kubwa ya wananchi wanaojitokeza kupima na kupatiwa chanjo ya
ugonjwa wa homa ya ini, imesababisha kuwapo uhaba wa chanjo hiyo. Kutokana
na changamoto hiyo, hospitali hiyo inalazimika kutoa chanjo kwa vipindi kwani
mahitaji ni makubwa kul... | 0 |
Na VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM
INAWEZEKANA wewe ni miongoni mwa watu wanaopenda kuongeza chumvi kwenye chakula pindi kinapokuwa kimetayarishwa mezani tayari kwa kuliwa.
Watu wengi hasa walaji wa nyama choma na chipsi hupendelea kuongeza chumvi mezani kwa madai kwamba chakula hakijakolea ladha i... | 0 |
Wenyeji wa Fanali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2019 (Afcon), Misri ambao ni mabingwa mara saba wameanza michuano hiyo kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimbabwe katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Cairo. Mechi hiyo ya ufunguzi wa michuano ya Afcon kwenye Uwanja wa Taifa jijini Cairo, Misri walikwenda... | 4 |
ROME, ITALIA MAMILIONI ya watu barani Ulaya wanaanza kurudi kwenye maisha ya kawaida, baada ya wiki kadhaa za kujifungia ndani kwa hofu ya maambukizo ya virusi vya korona lakini wanakaribishwa na dunia ambayo si kama walivyoiwacha. Anga la rangi ya bluu linawakaribisha wakazi wa Mji Mkuu wa Italia, Rome, katika dunia ... | 2 |
MILA potofu juu ya lishe katika baadhi ya makabila mkoani Singida, zimetajwa kuwa ni moja ya sababu ya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kukumbwa na utapiamlo kutokana na wazazi wao kutopata mlo kamili wakati wakiwa wajawazito na hata baada ya kujifungua.Uchunguzi uliofanywa na Mwandishi wa habari hizi kwa ja... | 3 |
WANANCHI wa Mkoa wa Pwani wametahadharishwa kujikinga na ugonjwa wa homa ya dengue ambao hadi sasa kuna wagonjwa 42 wanaougua ugonjwa huo. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo kwenye kikao maalumu cha Kamati ya Ulinzi na Usalama na wadau mbali mbali wakiwemo Kamati ya Amani inayoundwa ... | 3 |
Bethsheba
Wambura, Dar es Salaam Rais John Magufuli, amezindua ghala kuu na
mitambo ya gesi ya Kampuni ya Taifa Gas Ltd. inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam
Aziz ambapo amewataka Watanzania wanaotumia mkaa kuanza kutumia gesi ili
kupunguza gharama na kujilinda kiafya. Aidha, amezipongeza sekta binafsi kwa kuamua
kuu... | 3 |
Akizungumza na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dk Reginald Mengi jana jijini Dar es Salaam, Yoshida alisema kwa kuwa kilimo ndicho kimeajiri watu wengi nchini na wanahitaji kupata masoko nje ya nchi ikiwemo Japan, yuko tayari kuzungumza na kampuni kadhaa ziweze kuingia ubia na Watanzania.Alitoa kauli hiyo baada ya Dk Mengi... | 5 |
KOCHA wa timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Morocco amesema kuwa anakiamini kikosi chake kwa namna alivyokiona katika kuelekea kwenye michuano ya Cecafa Chalenji inayotarajia kuanza rasmi kesho Jumamosi.Michuano hiyo safari hii inafanyika mjini Kampala nchini Uganda huku bingwa mtetezi ikiwa ni Kenya il... | 4 |
SERIKALI imetoa kanuni mpya za usimamizi wa mazingira katika kutekeleza agizo la kutotumika kwa mifuko ya plastiki nchini ambapo faini zake zimo za kifungo cha siku saba jela na faini ya hadi Sh bilioni moja.Chini ya kanuni hizo mpya, atakayekutwa na mfuko wa plastiki atatozwa faini ya kati ya Sh 30,000 hadi Sh 200,00... | 3 |
HOMA ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo litapigwa kesho Jumamosi, imezidi kupanda, ambapo timu zote mbili zimejinasibu kwamba maandalizi kuelekea mchezo huo yamekamilika.Simba ambao ndiyo vinara wa ligi ni wenyeji wa mchezo huo, huku Yanga wakiwa wageni na mchezo huo umepangwa kupigwa Uwanja wa Taifa D... | 4 |
ERICK MUGISHA-DAR ES SALAAM HATIMAYE mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito
Magoti (26) pamoja na mwenzake ambaye ni
mtaalamu wa Tehama, Theodory Giyani (36), wamefikishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwamo la uhujumu uchumi. Magoti na mwenzake wali... | 3 |
NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kutembelea
Gereza la Butimba, Mwanza, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa waraka kwa majaji na
mahakimu, ikiwataka kuhakikisha kesi zinazofikishwa mahakamani zinakidhi
matakwa ya kisheria kuepuka msongamano wa mahabusi. Hivi karibuni, Rais Magufuli alite... | 0 |
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso ameagiza Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Slyvester Mpemba kukamatwa na kuwekwa ndani baada ya kubaini fununu za ubadhirifu wa fedha katika mradi wa maji uliopo kata ya Mwakitolyo.Aidha amemtaka kaimu Mhandisi wa maji mkoa wa Shinyanga, Julieth Pa... | 3 |
WINFRIDA MTOI Na ASHA KIGUNDULA – DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga imeondoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Mara, ambako itakabili Biashara United, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Uwanja wa Karume mjini Musoma. Kwa upande mwingine, wapinzani wa Yanga, timu ya Simba nayo iliondoka jana hiyo hiyo jiji... | 4 |
ACCRA, GHANA MFANYAKAZI mmoja wa kiwanda cha samaki nchini Ghana, amewaambukiza kirusi cha corona kinashosababisha maradhi ya Covid-19 wafanyakazi wenzake 533 wa kiwanda hicho. Hayo yameelezwa na Rais Nana Akufo-Addo katika hotuba kwa taifa jana na kusisitiza kuwa, watu wote hao 533 waliambukizwa virusi vya corona na m... | 2 |
NA SHOMARI BINDA-RORYA WAZEE wa Wilaya ya Rorya mkoani Tarime, wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na vijana kwa kuchukua hatua ya kuwachapa viboko kwa kile kinachodaiwa kuendeleza mila potofu ambazo pia zimekuwa zikiwadhalilisha na kuendeleza ukatili. Wakizungumza kwenye semina iliyoandaliwa na shirika la Masister wa... | 3 |
Mapenzi ni sawa na gurudumu, ni lazima kutiwa nishati ili kubingiria Mapenzi ni gari, huelekea anakotaka dereva, mapenzi mto hufuata mkondo Katika kila uhusiano, upo wakati ule wa kwanza mpokutana na kuamua kuwa meli hii tunakubali kuipeleka ndumakuwili, basi yapo baadhi ya mambo ambayo kila anayetosa katika bahari la... | 1 |
TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita katika kipindi Oktoba hadi Desemba, mwaka jana, imeokoa zaidi ya Sh milioni 16 za taasisi mbalimbali ikiwamo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)ambazo zingehujumiwa.Taasisi hiyo imepokea malalamiko ya rushwa 48 kutoka kwa wananchi ambapo malalamiko 10 kati ... | 3 |
Pia amewataka wachezaji wa timu hiyo kuheshimu maadili ya michezo kwa kutojihusisha na matendo ya utovu wa nidhamu badala yake kuwa na dira ya mafanikio.Kikwete alitoa wito huo jana alipozungumza na wachezaji na viongozi wa timu hiyo walioenda kumtembelea Ikulu na kumkabidhi Kombe la Kagame walilolitwaa mwishoni mwa w... | 4 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.